Mtoto Akizaliwa Anatakiwa Kufanyiwa Mambo Haya / Happy Birthday Hakuna / Sheikh Hashimu Rusaganya

  Рет қаралды 86,078

Baraza la Waislam USA

Baraza la Waislam USA

Жыл бұрын

Mtoto Akizaliwa Anatakiwa Kufanyiwa Mambo Haya / Happy Birthday Hakuna / Sheikh Hashimu Rusaganya
Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Mtoto Akizaliwa Anatakiwa Kufanyiwa Mambo Haya / Happy Birthday Hakuna / Sheikh Hashimu Rusaganya
tizama mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Baraza La Waislam U.S.A
Instagram @Baraza La Waislam U.S.A
KZbin @Baraza La Waislam U.S.A
TikTok Baraza La Waislam U.S.A

Пікірлер: 99
@jumaazainabu-vn1wc
@jumaazainabu-vn1wc Жыл бұрын
Shehe Mimi kijana wako Nina kuelewa tena unanijenga kimaadil mungu akupe maisha malefu na mwisho mwema
@abdulhida8291
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Jazzaka Allah kheri, Tabaraka Allah kheri, Darsa muhimu sana kwa wakati tulionao. Namuomba mungu akukinge na kila la Shari .Tuendelee kunufaika Amina inshaallah.
@ahmedmndolwa6562
@ahmedmndolwa6562 Жыл бұрын
Jazzaka Allah Kheri, Allah Akbar!
@MishMohaa-eh8pi
@MishMohaa-eh8pi Жыл бұрын
Allah akujaze kila kheri amiin.
@khadijakhamis2082
@khadijakhamis2082 Жыл бұрын
Mashaallah Sheikh! Allah akujaze khery kwa darsa zuri, kweli kina mama tunachupa mipaka sana, allah atuepushe yaarab, atujaalie tufuate maamrisho yake
@khadijaomar6708
@khadijaomar6708 Жыл бұрын
Jazakallah sheikh Allah akupe umri uzidi kutuelmisha inshallah🙏
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 Жыл бұрын
Allah akujaze kila lakheri , akuzidishie umri. Kweli Kabisa umma unaanza kubadilika kwa Kasi kubwa Sana Kufuata tabia za kitwaghuti.
@ezechieryamuremye9692
@ezechieryamuremye9692 Жыл бұрын
Jazaqallah khailla
@abdallahally2241
@abdallahally2241 Ай бұрын
Jazakallahu shekhe,Allah akupe mwisho mwema
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!!
@husnaally7964
@husnaally7964 Жыл бұрын
Jazaak llah khair zidisha kutupa ukumbusho umma umefikia pabaya waislam mawaidha tuyashike
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Inshaallah ALlahumma Ameen
@MustaphaamirWazir-co8xq
@MustaphaamirWazir-co8xq Жыл бұрын
Allah akulipe kher nauliza je inafaa kufanya hakika baada ya siku saba
@user-qy1pv6tb6j
@user-qy1pv6tb6j 2 ай бұрын
Ahsa allah akulipe mema inshaalaah
@maftahramadhani2382
@maftahramadhani2382 Жыл бұрын
Alhamdulillah shukran Maalim rusaganya
@umarusiraji1796
@umarusiraji1796 Жыл бұрын
SubhaLLAH
@AnchaAlide
@AnchaAlide Ай бұрын
Mungu akusaidie sana nakukubali
@Ledjo-kk1kk
@Ledjo-kk1kk 4 ай бұрын
Djazakallah khairan
@frankhaule
@frankhaule Жыл бұрын
Allhamdu lillah
@mwajumamunezero4055
@mwajumamunezero4055 Жыл бұрын
Asante umetufumbuwa maana basidai zinatupeleka papaya
@nyirabazigasifa
@nyirabazigasifa 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 Asante 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😢😢 zzz
@user-pw9lf6yt9b
@user-pw9lf6yt9b 4 ай бұрын
Amin
@mingwenyomingwenyo
@mingwenyomingwenyo Жыл бұрын
Mashallah!!!!
@fatumasuleiman8516
@fatumasuleiman8516 Жыл бұрын
Mashallah
@mayasakagendo669
@mayasakagendo669 6 ай бұрын
Allah akujaze Kila la kheri
@user-fo2vo8io1v
@user-fo2vo8io1v 9 ай бұрын
Mashaallah
@zfc2186
@zfc2186 11 ай бұрын
MashaAllah
@sayshabani6350
@sayshabani6350 Жыл бұрын
Inshaallah uishi myaka mingi ili tuendelee kukufaidi kwa darasa nzuri
@alfredrutaguza7506
@alfredrutaguza7506 Жыл бұрын
Wew baba wanikumbusha shekh gorogosi
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@yasminmarka-mz4qc
@yasminmarka-mz4qc Жыл бұрын
Urongo mtupu Wapi Mtume S. A. W Ali adhania watotowake
@maisarah6819
@maisarah6819 Жыл бұрын
Ulete ukweli wako ndugu.
@NurdinTwangeni
@NurdinTwangeni 5 ай бұрын
Ww unakichwa kibaya utadhurika achana na izotabia za jazba za kuiga
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 3 ай бұрын
Ndio maana mnakuwa. Mashoga' hamsikilizi mawaidha ya mashekh wetu.
@abdallahally2241
@abdallahally2241 Ай бұрын
Huna ulijualo ww
@Leila-ee9lo
@Leila-ee9lo 28 күн бұрын
Je kama mtoto hakuadhiniwa siku amezaliwa inaswii kuadhiniwa siku ya 6.....
@sharifrajab1166
@sharifrajab1166 Жыл бұрын
Jazakallahu khayr.
@ghaniyehaji
@ghaniyehaji Жыл бұрын
Mashaallah asnt kw kituzingua
@ghaniyehaji
@ghaniyehaji Жыл бұрын
Naomb kukuuliz mm nna watoto wa2 wa kike na kiume wakike nimemwita narmin wa kiume nimemwita Naiymaar nimeambiw maanayk mwenye nguvu wakike nimeambiw maana yk maua lkn naomb ufafanuz wa jina hili mn naambiw
@ghaniyehaji
@ghaniyehaji Жыл бұрын
Katkat lina moto naaomb unifafanulie km halifai nimbadilishe
@user-my6rp3iq7u
@user-my6rp3iq7u 9 ай бұрын
Ok
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Kwel mohamad ni jina zur
@HusseinIddy-eh7hd
@HusseinIddy-eh7hd Жыл бұрын
Wee kauka na mm 😃😃
@hosnabintmariam3287
@hosnabintmariam3287 Жыл бұрын
Naaam Sakhikh sheikh
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana sana yapo tunayofanya hajalishi wewe ni kundi gani ukweli kwa jamii ni huo tubadilike
@janethibrahim6917
@janethibrahim6917 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepes
@AliRahma-tw7cz
@AliRahma-tw7cz Жыл бұрын
Nmeakiza Hadi mwisho ela mm nliota utupu wa mume wangu ambae xx nmarehemu na sikuina aibu nipe jawabu na mm hapa
@kingmansa523
@kingmansa523 Ай бұрын
Subuhanallah bado nimekuwa sijaelekuwa kuwa na wewe unamambo ya uzushi katka dini kabisa hebu tueleze kwa daili kabisa hiyo adhana inatolewa mtoto kwenye maskiyo imesumuliwa na mtume wetu kweli?
@aishasalim6834
@aishasalim6834 22 күн бұрын
Hiv we king ni mwislam kweli?
@kingmansa523
@kingmansa523 20 күн бұрын
@@aishasalim6834 kbs
@yasmeeenmusajuma6531
@yasmeeenmusajuma6531 Жыл бұрын
Kama hunauwezo
@user-qy1pv6tb6j
@user-qy1pv6tb6j 2 ай бұрын
Je Kama hajafanyiwa alipokuwa mchanga, akiwa mkubwa haifai tena kufanyiwa?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Nywele unapeleka kwa sonara zinapimwa za gramu yake mtoto akisema kiasi ndo kile kiasi cha pesa unapeleka msikitini
@assaneanliassane4680
@assaneanliassane4680 Жыл бұрын
Kwa mfano muislam yuko nchii ambaye akuna uislam, inafaa kwagiza nyumbani kwawo vitengenezwe vyote? Yani kqma ulaya kupata mbuzi ni vigumu sana kwaiyo inakuwaje? Naomba mesada wako sheh.
@user-wg1eo9je7r
@user-wg1eo9je7r Жыл бұрын
Sheeh samaan nilazima kuyafanya yote
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Ata mama mdogo alikuwa anaogopa tende
@taqiyyuhashim4069
@taqiyyuhashim4069 Жыл бұрын
Jazzakum Allah Allah akupeumri mrefu wenye manufaa ktk Dunia Yako na akhera Je, ikiwa nimejaliwa kupata kondoo inafaa nimchinjia mwanaume ? Na anatakiwa kondoo wa aina Gani?
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 7 ай бұрын
Yes anafaa.. Awe kondoo dume
@MaijaRashid
@MaijaRashid 4 ай бұрын
Sheikh nina swali....kisha izo nywele nazitupa ama nazizika?
@AmosSniper
@AmosSniper 10 ай бұрын
Baada nywele zinaenda ifaziwa wapi?
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 4 ай бұрын
Na arobaini ile inamaana gn?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Akika si ni siku ya arobain akitoka ndo uwa wanachinja mbuzi
@bekakasambala7108
@bekakasambala7108 Жыл бұрын
Sheikh nauliza ..vip ukimpa mtoto jina la kurithi...imma la Babu yake au shangazi ,mjomba, bibi na n.k ..hiyo inaswihi katika dini yetu ya kiislamu?
@ArafaSuleiman-v4d
@ArafaSuleiman-v4d 14 күн бұрын
Arafa kutoka znZ je nikamsomea maulid mtt n haram
@rxjoy4493
@rxjoy4493 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fHKtpqF4rbqMprs kwanini unaishi duniani
@asyahaji9268
@asyahaji9268 Жыл бұрын
Shekh hata mama aliyejifungua ana nifac anaweza kumuadhinia mtoto wake?
@benabdoul8762
@benabdoul8762 Жыл бұрын
Ata coran unasoma ila usiguse mashafu
@siti3197
@siti3197 Жыл бұрын
Shekh mm ninaswal hikiwa. Mtoto wako ni mdogo n Haun uwezo wa kumfanyia hakika. N yule MTT hlikakua n miaka 9 n hpo unauwezo wakuchinj watk kumfanyia hakika SS yawezekana kweli
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 7 ай бұрын
Ndio inawezekana.. Hata mtu ukiwa na miaka 30 kama hujafanya hakika unatakiwa ufanye
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Ustadh nauliza ikiwa mtu hanauwez hat wa mbuz m1 anatakiw kufany nin!!!!!
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 7 ай бұрын
Akipata afanye lkn hakika ni lazima
@hemedyusuf8835
@hemedyusuf8835 11 ай бұрын
Sheikh nywele Sasa zifanywe vp nizi tupe ama nizike
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 7 ай бұрын
Unazifukia
@hawamohammed6939
@hawamohammed6939 4 ай бұрын
Waambie Wakikuelewa Wakuelewe Wasipokuelewa A Hana Nao Lakini U Kweli Uwape Shukraan Shekh
@NiceNaftali-re7pd
@NiceNaftali-re7pd Жыл бұрын
Sasa hilo sitambiko
@abuumrisho204
@abuumrisho204 8 ай бұрын
Ndio ni Tambiko la kisheria la sheria yetu ya kiislam, Tambiko la Allah. Na ww kama una matambiko yako ya Kimzimu mzimu nenda kafanye. Sisi ni Laailahailallah ndio njia yetu and we are proud for that
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 4 ай бұрын
hiyo ndiyo mila ya Ibrahim
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 3 ай бұрын
Usifuate uzae mashoga na wasagajii
@dktabdurahim3896
@dktabdurahim3896 Жыл бұрын
nakuunga mkono
@jamilamuhammedtanzanian8129
@jamilamuhammedtanzanian8129 Жыл бұрын
Mafano aujamfanyia ivo akiwa mdogo unaweza mfanyia tena akuwa na miaka 7
@maisarah6819
@maisarah6819 Жыл бұрын
​@@jamilamuhammedtanzanian8129 mwisho wa kumfanyia mtoto hakika n pindi anapoingia katika balehe ndio mwisho lakin kabla hajaingia balehe yawekana
@TatuJulius-ls9ex
@TatuJulius-ls9ex Жыл бұрын
Mbowanasema.hadisiku40
@danielotto4197
@danielotto4197 Жыл бұрын
zikipita hizo siku 7 unatakiwa kufanyaje shiekh?
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!!
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!!
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!!
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!!
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!!
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!!
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 7 ай бұрын
Unamfanyia
@user-vr8ns5xg7y
@user-vr8ns5xg7y 9 ай бұрын
Jeee kwa wal ambao hakumfanyia mtoto wao kwa wkt muwafak na mtoto huo ameshafikia umri mkubwa anawez kumfanyia mtot huy sadak hio au anafanyajeee!!!! 13:48
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 7 ай бұрын
Unaweza kumfanyia
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 69 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,4 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 108 МЛН
MAAJABU YA USIKU-SHEIKH RUSAGANYA
15:13
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.
NIHARAMU KUWAOA WANAWAKE HAWA 15. SHEIKH KISHK.
56:59
Kishki Online TV
Рет қаралды 712 М.
KUNA MAKUNGWI KAZIYAO MATUSI TU //SHEIKH NYUNDO
19:13
arkas online tv
Рет қаралды 115 М.
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 56 М.
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 50 МЛН
@juanchinbrodie #comedia #humor #juffec #felipecharry #amigos
0:15
Felipe Charry
Рет қаралды 8 МЛН
спидран по ютуб шортс 86 | Ушные свечи
0:35
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 8 МЛН
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 57 МЛН
@juanchinbrodie #comedia #humor #juffec #felipecharry #amigos
0:15
Felipe Charry
Рет қаралды 8 МЛН