JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@halimamasai223414 күн бұрын
Hongera sana mama mlezi mungu akupe maisha marefu
@jessicamwasandube94414 күн бұрын
Mmh huyo mama wa mtoto ni teja,huyo mtoto asilelewe na huyo mama,tutakuja kujutia badae.halafu huyo mtoto anajitambua sana,amejieleza vizuri sana.Mungu akusimamie mwanangu
@Zuwenamchuzi14 күн бұрын
Hongera mamamkubwa unaroho safi sana❤❤
@minahchidi479214 күн бұрын
Daah inaumiza sana kwakweli.sema mtoto yuko vzl ALLAH ATULINDIE VIZAZI VYETU
@SophiaKamgunda14 күн бұрын
Mhhh kwanini mamamzazi unaenda kwafujo wakati yuko sehemu salama
@sizamazongera561014 күн бұрын
Huyo mama aswekwe ndani
@aairraahseif56484 сағат бұрын
Mtoto ana akili sana, kukimbilia mahala sahihi, Mashaallah Allah amlinde mtoto huyu, ampe ufahamu mzuri na awe mtoto mwema,watoto wengi hukimbilia sehemu hatarishi na kuhadaiwa au kuhadaika na mambo machafu, Allah amnusu, na wahusika mnusuruni mtoto huyu awekwe mbali na mama huyo, hata ikiwezekana hata mtoto mdogo alie nae apokonywe! Hafai ktk malezi bora,Allah ampe umuri na afya mamamkubwa ndio kimbilio la watoto hawa
Sasa km munataka mtt auwawe mrudishen kwa huyo mama bora mumuache kituoni tu aishi kwa amani mm sidhan km huyo mma angemlea vzr huyo mtt sizan km angemkimbiA
@AishaIssa-l4q14 күн бұрын
Mmmm mtihani sana huu Allah tunusuru wamama Dunia hii
@TatuMkeso14 күн бұрын
Duh hatar sana
@faridamkesso9714 күн бұрын
Hatari Sana na inahuzunisha sana 😢
@SAFIAFOMAR8 күн бұрын
Ingekua Ulaya asingempata tena huyo mtoto
@HadijaJoseph-d1g3 күн бұрын
Chizi huyo mama na huyo mtoto msimpe
@MsFadhila14 күн бұрын
Pole sana mama mkubwa mtoto achukuliwe
@oman-c7y14 күн бұрын
Sahihi huyo mtoto anavingi anavyofanyiwa kwa mama yake
@FatumaJuma-b2g14 күн бұрын
Watu wanatafuta watt yy ana chazea watto Mh Allah tupe nassi 🤲
@ziadasalimu173014 күн бұрын
Huyo mtoto msimrudishe kwa mama yake huyu mtoto atakuwa anapitia magumu jama mama yake huyo kichaa kabisa
@KkhamisKha14 күн бұрын
Maan mtoto kanyoosha maelezo kam rula
@Siasia20914 күн бұрын
Maswahibu yote hayo na amekua mtu wa 8 jmn uyo mtoto apate sehem nyengine akae Allah amuhifadhi
@SKY-fk3fz14 күн бұрын
Asirudi hawezi kulea
@ZUHURASEIF-v1j14 күн бұрын
Mama yk anampenda Tu amfanye kijakazi wa wadogo Zake yy akadange vilabuni
@Haji-yr9db14 күн бұрын
Uyo mama ana mambo mengi mtoto anapitia mengi sana uyo
@KingKong-gu5qn14 күн бұрын
Huyo mtoto baba yake yupo wapi au family ya baba ipo wapi?
@Amazingbee111114 күн бұрын
Hata hao watoto wake wengine, muwachukue, huyo mama ni mtesaji.
@BoraAlamri14 күн бұрын
Huyo dada msimpe mtoto 14:36
@kilogreek405014 күн бұрын
Mgemfugulia Mashitaka kumpeleka Makamani huyo mama kama Alivyokuja apo ndio Atavyokwenda kumuua selekari Angarieni jicho la tatu Atakwenda kumtoa Roo mtoto huyo mama Ashitakiwe kwanza😢
@anithawidambe754314 күн бұрын
HUYO MTOTO MSIMRUDISHE KWA HUYO MAMA
@anithawidambe754314 күн бұрын
Ulizeni vzr huenda cy mtoto wake
@salmahalfani630714 күн бұрын
Aulizwe nani wakati huyo aliejieleza ni mama mkumbwa wa huyo mtoto.
@KkhamisKha14 күн бұрын
Mwachen mtoto jamn asije kufa bure
@Ameena-l8g14 күн бұрын
Na ata ao watoto wariobaki wachukuriwe wataadhiririka sana
@kilogreek405014 күн бұрын
C JIKE LA TEMBO WEWE??? UPO VIZURI UMEPENDAZA DADA YANGU MPE POLE MWANETU MUNGU ATAMBALIKI MAMA MZAZI ATAKUJA KUMUUA MTOTO😢☝️
@HadiaAme-x5f14 күн бұрын
Atakua wa mtaani mukimrejesha uyoo
@dotnatajoseph262014 күн бұрын
Jamaniiiiii mama mzazi u akuwa katili paka mtoto anaona Bora akalelewe na wabaki kweli huyu mtoto anapitia mambo mengi sana asikilizwe pls tunakuomba mama yetu mama gwajima ingilia kati hili jambo
@sleeprelaxation843114 күн бұрын
mtoto akiongea asikilizwe, jamani kuna wazazi wanatesa watoto wao na wala hawana huruma nao.wapo ila na tuna ishi nao.
@anithawidambe754314 күн бұрын
WEWE MAMA MZAZI WA MTOTO NI MJINGA SANA. TUNAOMBA HUYO MTOTO ASIRUDISHWE KWA HUYO MAMA YAKE. KM ANALETA FUJO KWANI POLISI HAWAPO?WAMKAMATE WAMFUNGE AU ACHAPWE FIMBO.