Mko vizuri sana, Mnaburudisha na kuelimisha na kuweka WAZI mambo ambayo kwenye JAMII YAPO na hayapaswi kufumbiwa macho. MUNGU AWALINDE MAANA mnapotoa Siri zao huwa hawapendi.
@hamzasuleiman96052 жыл бұрын
CLAM hii nzuri kuliko zoteeee duuuh , Mzee hapa umenyooshaaaa saanaaa. HII NAIPA NAMBAR MOJA KISHA NAMBAR 2 NI ILE MUME WANGU 💯✔✔✔💯🤣🤣🙌
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Tunaotaka pati 2jamani tujuane kwa like aki mko vizuri ndugu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@PaschalMtani7 ай бұрын
Clam Vevo kwa kwel umetisha kinomanoma. But Binti Sala anakufaa kabisa kumfanyaa shemeji ye2. Au vip💝
@jeffahmkenyaofficialmusicandmo Жыл бұрын
One Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 napenda sana shot film 📽️ zenu. Na napenda kuigiza pia so nikiiga kutoka kwenu msinione mbaya jamani.
@MariamuLukasi Жыл бұрын
Hahahahahaha aise hii karii sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@puritykalasinga371 Жыл бұрын
Miaka kumi Aiseeeee Kaka pole😂😂😂😂😂😂😂Asiye Sikia La mkuu huvunjika guu.Asanteni Sana CALM kwa Kipindi.
@estaraberd1245 Жыл бұрын
😂😂clam umependeza na hiyo sket na Inye ndembendembe😍😍💞😀
@NelsonLewa4 ай бұрын
Nkama dem Wang 😂😂😂😂 7:37
@officialnkuyehe7960 Жыл бұрын
Duh wametisha sana jamaa big up sanaa
@nishimwesafi7 ай бұрын
👏👏 bravo ww unajeuli tena unajuwa cheza
@aliimanitujitibukwatibazahalal2 жыл бұрын
Haya ni maandalizi mabaya kwa mtoto ,Allah atuongoze!!!!!!!!
@shukurumsebaloli2 жыл бұрын
Acha ufala
@Happiness.132 жыл бұрын
Mbn Jennifer kaigiza uchawi na hajawa
@priencedamdoek5087 ай бұрын
Hii ni sanaa ndugu, punguza kilanga watu wanatengeneza maisha na vipaji.
@daniel-i1j5y23 күн бұрын
Daniel fils de dieu , l'homme arêtes sans motif liberté sans jugement
@nyamwinukankwera37492 жыл бұрын
CLAM 🤣🤣🤣sio kwa kunichekesha huko kaaah jamani nimecheka 😂😂😂
clam Ile ilichekesha. Si. Kwa Yale makalio🤏👐🐕🪀🪳👩❤️💋👩🛺👗🔹🦧🐍🦠🐕🦺🪄🤖🏄🏻♂️🕴️👨🍼👠🐂🐀🐴🐸🔹🐸🐸🎮🦦🐤🦔😭🤣😂😅😆😁😄😃😀🥳😍🤩🥰😚😙😗😉😇🤪😜😝😛😋🥲🙂🙃🤔😶😐😑😔😌😏☺️🙃🤫☺️🤭🥱🤗😱🤨🧐😒🙄😢😥😟🥺🤬😡😠😤😮💨😮💨🙁😕🤐🤬😰😨😧😦😮😣😖😧😓😬🤐🤯😬😨😞😓😕😳😲😯🌜🌛🤤😪😴😵💫😵😫😩😩🌝🌚🌞😶🌫️🥴🥵🥶🤢🤮🥸🤓😎🤑🥴😷🤕🤒🤧👿😈💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💥✨🌟⭐💫🔥🔥🔥🔥🤡👹🙉💥✨🌟🎊🎉💤⭐⭐⭐⭐🕳️🕳️💦💤💨👹💢😿😽🙀🎉😻😹😸💨😺🙊😾🖤🤎💜💙💚💛💛🧡❤️😾