Mtoto Mzuri Remix - Nonini (Remix Radio Version) [SMS "Skiza 6110052" to 811]

  Рет қаралды 415,844

NoniniMgenge2ru

NoniniMgenge2ru

Күн бұрын

Пікірлер: 254
@geofreybob6313
@geofreybob6313 7 ай бұрын
2024 whos here
@MrTommy-blox
@MrTommy-blox 5 ай бұрын
Bobby mapesa killed it,why lie 🤥
@Dukeofhazard.
@Dukeofhazard. 5 ай бұрын
@@geofreybob6313 still a banger
@Sanare_n
@Sanare_n 5 ай бұрын
Bana
@chriskoech4993
@chriskoech4993 3 ай бұрын
2024 and still my favorite song
@Musicicon254
@Musicicon254 2 ай бұрын
Niko hapo
@eutyentertainment
@eutyentertainment 2 ай бұрын
Who's here after it's trending on TikTok
@teddy2397
@teddy2397 3 жыл бұрын
Bobby Mapesa was something else
@funtastic5430
@funtastic5430 2 жыл бұрын
Was a lyrical genius
@josephonyango8267
@josephonyango8267 2 жыл бұрын
Criminal na lines
@danmuoki7198
@danmuoki7198 Жыл бұрын
Weh mzee. Alikua mambo bad
@highachievers163
@highachievers163 7 ай бұрын
naskia umechafua Hadi kwetu east kwa mabeast. 😂😂only eastlando people will understandi
@barrysila3729
@barrysila3729 3 ай бұрын
Bobby madollare
@Alien_civilizations
@Alien_civilizations 2 жыл бұрын
Before Kibe, Before Amerix there was Nonini
@Denmelful
@Denmelful Жыл бұрын
🤣🤣🤣.... ''mkilemewa na shame mnataka kutublame'' July 2023💯💯
@pollycarpodongo9359
@pollycarpodongo9359 2 жыл бұрын
"Kwanza make list ya wenye wamekufeast....naskia umeshachafua mpaka huko kwetu east kwa ma beast" Bobby Mapesa !
@barrysila3729
@barrysila3729 3 ай бұрын
Dangerous
@faithmukabi3564
@faithmukabi3564 2 ай бұрын
Noma 😅
@meshacknganga4658
@meshacknganga4658 2 ай бұрын
Kwa wale wanakumbuka enzi za Furahiday, Nameless Nasinzia, Juacali, Abbas, Wyre pure Golden era
@kiokomutua3209
@kiokomutua3209 2 ай бұрын
Mtoto mzuri hits differently 😎 every time🔥🔥🔥🙌🙌💯
@barazaelly7436
@barazaelly7436 2 жыл бұрын
Nonini is one of the most underrated Kenyan music pioneers let's celebrate this dude when's he's still alive
@waringatsirizane4415
@waringatsirizane4415 2 жыл бұрын
He's not underrated!!actually he's the god father of genge music.
@FritzBegambo
@FritzBegambo 2 жыл бұрын
Don’t leave out Jua Cali
@derrickwakhungu9707
@derrickwakhungu9707 11 ай бұрын
Tunambutai mbaya
@clntmch6
@clntmch6 22 күн бұрын
Nonini is one of the best,He is actually the Godfather of Genge 🔥🔥
@Funzone_331
@Funzone_331 7 ай бұрын
2024 who's still listening
@stephenkiruthu7743
@stephenkiruthu7743 3 жыл бұрын
Mbona nonini apewe likes kiasi hivi, this niga hold the kenyan flags during the oldies,this are the legends wasee,I respect 🙌 alot bro
@zakayoandere5861
@zakayoandere5861 Жыл бұрын
Naskia usachafua mbaka kwetu East kwa beast. 2023
@HEssLawH
@HEssLawH 5 ай бұрын
Roll Call Ya Gen Zees 2024. Weka Rick
@vincentkibet-lu6bo
@vincentkibet-lu6bo Жыл бұрын
Haija fika mita ajee , ama ni juu ni kiswahili.
@hafsahusseinali
@hafsahusseinali 25 күн бұрын
Uuuuu Huh Nonini uh Bobby Mapesa eehh mtoto mzuri remix Mambo Sawa tukaruka shower 1 (Nonini) Ushaona mtoto amesimama ka Range four point sita aitwa lima ama anita mrefu kidogo ameniacha ka kitu ka three metres nimpande ka maji kwa tap ikitoka kwa mita mdogo mdogo anaeza nikatikia nikiwa nyuma yake unaeza dhani mi ni mkia hii drink yangu amenifanya nikajimwagia na anacheka nikimwambia nataka kumtiaaaaaaaah akaipita base kila mtu amwita auntie tabia tabia zake waeza dhani ye ni mlami ngozi yake laini na ni rangi ya lame macho ukimcheki na-wish ningekua ndani ndani ya jeans yake nipate size yake anipeleke kwake aishi kwa mamake kila Monday nimuamshe ngware tusilale mateeee aaaaaah mtoto mzuri kwangu asiwe ma... hataki nimpeleke ka... haoni... tukimaliza... twaruka... mtoto mzuri kwangu asiwe ma... hataki nimpeleke ka... haoni... tukimaliza... twaruka... 2 (Bobby Mapesa) shida yenu madame wataka tuwe same mkilemewa na shame wataka kutu-blame hii ni kama game hatuwezi kuwa same sitakutaja name unanipenda juu ya fame kama wewe ni wa kusalimiana na watu kwa barabara wee ni wa swara kama wewe ni wa kuchekesha makonkodi usilipe kodi wee ni kugwara hapana itisha mimi thao ya saloon shika mbao nyoa kichwa saf ka baloon za lunch za noon, see you soon usiwe kula kula kama baboon siwezi do kama hujaiva, na pia siwezi do kama sijaiva kwanza make list ya watu washaku-feast nasikia ushachafua mpaka kwetu east kwa ma-beast mtoto mzuri kwangu asiwe ma... hataki nimpeleke ka... haoni... tukimaliza... twaruka... mtoto mzuri kwangu asiwe ma... hataki nimpeleke ka... haoni... tukimaliza... twaruka... manze naeza like mtoto anapenda ma-rap sana hata kama anapenda ma-blues pia ni sawa m-flexible kila kiungo by nature na amejibeba, vimeja na usiwe wa kifalafala kukaa tu ndee kimalamala zako ni ku-flash na kungoja hala kwa ma-boys wa ki-white collar jua kusaka dollar na usiniulize Nonini huwaga na gari gani gari gani? Gari gani?... kwenda panda matatu usiniitishe fare tafadhali usijam nikikam home nikinukia madame after ku-perform mtoto mzuri anavaa ka Oriego Manduli tabia nzuri, nywele nzuri mtoto mzuri kwangu asiwe ma... hataki nimpeleke ka... haoni... tukimaliza... twaruka... mtoto mzuri kwangu asiwe ma... hataki nimpeleke ka... haoni... tukimaliza... twaruka...
@stephenngari9429
@stephenngari9429 3 ай бұрын
When Kenyan muzik was music
@thehappyplace7998
@thehappyplace7998 Ай бұрын
Shida yenu madem mnadai tuwe same😔❤️Na atuezi kua same2025 God vibes
@pimp2hood
@pimp2hood 7 ай бұрын
Mapesa with best ever verse on a feature
@mugo5075
@mugo5075 3 ай бұрын
We are here 2024. 🔥
@frumencekaigai4030
@frumencekaigai4030 19 күн бұрын
Millennials twakumbuka hii ikiwekwa kwa mat tukitoka ama kuelekea high school 😂😂😂 great memories
@jadozktown9219
@jadozktown9219 Жыл бұрын
mtoi's verse will forever be legendary
@bakhitaesther6751
@bakhitaesther6751 3 ай бұрын
Mtoto mzuri 2024 still ni hit 🫡
@uchiha_Clan32
@uchiha_Clan32 4 ай бұрын
2024 anyone?
@walubengorodgers7907
@walubengorodgers7907 Жыл бұрын
Nonini is the King of genge. Nobody comes close. I have been a big fan for many years.
@moffatmurage
@moffatmurage Күн бұрын
Mad nostalgia bana. OG mwenyewe.
@FatmaNyamvula
@FatmaNyamvula Ай бұрын
It's a vibe yani bongo unaeza skiza usmile tu bure 😂❤
@OrainR
@OrainR Ай бұрын
Nonini 🐐beberu...RIP Orie Rogo maduli
@bonventureouma9979
@bonventureouma9979 Ай бұрын
Moto kama pasi🔥🔥🔥🔥
@Trendynewz21
@Trendynewz21 Ай бұрын
This one should have over 50 million views....mtoto mzuri
@johnmwangi117
@johnmwangi117 3 ай бұрын
Amesha chafua mapka kwetu East kwa MaBeast🔥🔥Bobby mapesa flow is ridiculous walai
@hussleafrica8402
@hussleafrica8402 2 ай бұрын
@@johnmwangi117 kwanza weka list ya watu washakufeast
@PatrickKatana-s1s
@PatrickKatana-s1s 2 ай бұрын
Niko apa
@fredotieno3473
@fredotieno3473 2 ай бұрын
Am here for bobby mapesa verse 😂😂
@cynkem6947
@cynkem6947 2 ай бұрын
RIP Laiti, you brought me here
@Collins29
@Collins29 Ай бұрын
"Nikiwa nyuma yake unaeza dhani mi ni mkia" 🙌🏿 Nonini I salute you as a fellow nyash brother 🫡😂😂😂
@elshady9720
@elshady9720 7 ай бұрын
Collabo ya Bobby na nonini 🔥 📛 ii ni mautam tupu
@ThisandThat-s5w
@ThisandThat-s5w 7 ай бұрын
Nyuma yake unaeza dhani me ni mkia...2024 innit🔥🔥🔥🔥
@coolkidabbas910
@coolkidabbas910 5 ай бұрын
Lets camp here 2024 .Full support
@igeoslo6060
@igeoslo6060 2 ай бұрын
aah my primary sch days!
@kadirmamo3769
@kadirmamo3769 2 ай бұрын
Nilikuwa class 3 sai nko first year I still think banger n kama ya jana❤
@juliuskilonzo799
@juliuskilonzo799 2 ай бұрын
Siwezikudo ka sijaiva🔥
@kenreikokahihia8821
@kenreikokahihia8821 2 ай бұрын
Mtoto mzuri asiweMa...
@josephmarigi6374
@josephmarigi6374 5 жыл бұрын
Nonini Bobby mapesa anateta juu ya doo zake . anasema hii ngoma ukumlipa. Nonini lipa pesa ya bobby bana
@beatriceokemwa8221
@beatriceokemwa8221 4 жыл бұрын
Hakumlipa, manze alimrusha...
@josephmark-gm2dj
@josephmark-gm2dj 11 ай бұрын
Nonini was international before anyone knew him with Juacali
@joakimkituku6224
@joakimkituku6224 3 ай бұрын
Gotha Tena
@chrisleaky8934
@chrisleaky8934 2 ай бұрын
We gon listen this 4Life❤. Noneneeee 🐐
@TomTommiest-i1x
@TomTommiest-i1x 2 ай бұрын
Nimeona hii ngoma tiktok ndio nimekuja huku
@cateshii4853
@cateshii4853 8 ай бұрын
Genge damu our music were the best thanks to our legends 😢❤,Nonini left a good legacy
@danielmoriah5545
@danielmoriah5545 2 ай бұрын
RIP Laety!! Mtoto Mzuri kweli!!😢
@KaydenAmiri
@KaydenAmiri Ай бұрын
Who was Laety btw?
@ODIMZJR
@ODIMZJR Ай бұрын
​@@KaydenAmiri Uyo Dem akona Bobby kwa ndai
@KaydenAmiri
@KaydenAmiri Ай бұрын
@@ODIMZJR Wueh Izaa bro...Nini ilimhappenia if I may ask?
@slow4338
@slow4338 6 жыл бұрын
Usiniitishe pesa ya saloon,, shika blue unyoe safi ka baloon
@judymunyi6493
@judymunyi6493 9 ай бұрын
Apana itisha Mimi thao ya saloon shika mbao nyoa kichwa Safi kabaloon. wacha tu
@florenceatieno3700
@florenceatieno3700 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@barrysila3729
@barrysila3729 3 ай бұрын
Hatarr
@sasourgeneral206
@sasourgeneral206 26 күн бұрын
noma
@marthachege7533
@marthachege7533 10 ай бұрын
2024 nani ako hapa🔥🔥🔥 Was my ringtone for a while
@dodyblacky2542
@dodyblacky2542 Жыл бұрын
Again after watching iko nini👊👊🔥🔥🔥
@peterkagwi-h4z
@peterkagwi-h4z 2 ай бұрын
Bobby mapesa banaa
@kevinwanjala4603
@kevinwanjala4603 2 ай бұрын
Hii drink yangu amefanya nikajimwagia,,na anacheka nikimwambia nataka kum... Hahahahaaa
@drsinjaworkout4868
@drsinjaworkout4868 2 жыл бұрын
Boby mapesa killed 🥰🥰
@marisemambo4465
@marisemambo4465 2 ай бұрын
Nonini always the best🤪🤪🤪
@brian.mwangi
@brian.mwangi 2 ай бұрын
Verse ya 2:35 imepita wengi. Flexible, na Flexx.
@ANKOeTV
@ANKOeTV 3 ай бұрын
Rudisheni Bobby kwa game
@hassanmwanaka3262
@hassanmwanaka3262 5 ай бұрын
🎉🎉 2024 Zakayo Ashuke 💪💪💪💯
@EstherOchieng-r4p
@EstherOchieng-r4p 4 ай бұрын
😂😂😂
@mikekiriinya7596
@mikekiriinya7596 Жыл бұрын
2023 . listening to this 21 times a day🔥
@sentokaich6297
@sentokaich6297 Жыл бұрын
Siwezi do kama hujaiva na pia siwezi do kama sijaivaa
@bryanjefferson8291
@bryanjefferson8291 Жыл бұрын
The godfather ... Gotta hand it to nonini... He made my younger years Hella dope with these tracks 💯
@wanguigrace2957
@wanguigrace2957 5 ай бұрын
Eeiiiiiiiyyyy me i miss these times bana😭😭😭😭 Nonini Mgenge True ❤❤❤msisahau tuna #Reject the finance bill ❤❤❤💪🏻
@kokigituma3343
@kokigituma3343 8 ай бұрын
Bobi mapesa 🔥🔥🔥🔥🔥ati make list ya watu washaku feast noma😅😅
@JoelNjane
@JoelNjane 3 ай бұрын
Miss Laety!!..
@MitchelleSafi
@MitchelleSafi Жыл бұрын
Mambo sawa 2024
@widaro7066
@widaro7066 Жыл бұрын
Enyewe nonini sii alitupatia classic hits back to back. Legend
@mreffs
@mreffs 11 ай бұрын
2024 Bobby mapesa murdered his verses.
@hassanbashir3253
@hassanbashir3253 4 ай бұрын
Hapana itisha mimi thao ya sallon..shika mbao nyoa kichwa safi kama loon 😂
@DaveOndiekAaron85
@DaveOndiekAaron85 3 ай бұрын
I REALLY LOVE THIS SONG 🤔😏❤️💯
@uchiha_Clan32
@uchiha_Clan32 3 ай бұрын
lets have this two legends sing this song again
@steveroche684
@steveroche684 3 ай бұрын
Never to 4get this track
@picostevo
@picostevo 5 ай бұрын
Still a banger Noninii na Bobby Mapesa! 💥💥🔥🔥
@amayootieno9043
@amayootieno9043 6 ай бұрын
The year is 2008. Nonini huyo dame amevaa dress kama ya Cheetah ako wapi sikuizi na anaitwa nani.
@rodgerluteshi
@rodgerluteshi 4 ай бұрын
tumekua wakubwa sasa tunamtaka 🤣
@wykkyiiink8561
@wykkyiiink8561 Жыл бұрын
Napenda hii song mbayaa my uncle alifanya nikapenda nonini them days….but nonini ni underrated sana
@SolomonNganga-f1v
@SolomonNganga-f1v 4 ай бұрын
❤❤❤❤ AKIPITA BAZE KILA MTU ANAMWITA AUNTI
@evansmutwiri1683
@evansmutwiri1683 Жыл бұрын
"Usijam nikikam home, nikinukia madem after kuperfom(perfume) - Bobby" Double entendre:🎤🎤🎤🎤🎤
@edwinngoha2200
@edwinngoha2200 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@barrysila3729
@barrysila3729 3 ай бұрын
Kali
@RoseMwachia
@RoseMwachia 6 ай бұрын
Big for Nonini MgengeTru👏 song stil remain hit to me UpTo now🔥👍💯
@lydiakaren3947
@lydiakaren3947 5 ай бұрын
2024 finest,😍👌👌👌
@SavyHamisi254
@SavyHamisi254 22 күн бұрын
Nonini we are proud of you for this trilling track...
@frankkin6785
@frankkin6785 2 ай бұрын
2024 in it
@estherkatile7433
@estherkatile7433 3 жыл бұрын
This will never get old aki.
@fredrickmuia7626
@fredrickmuia7626 5 ай бұрын
Roll call ya millennials...hit like
@kevinyahuma3310
@kevinyahuma3310 5 жыл бұрын
Nani ako hapa 2019
@denniskariithi4053
@denniskariithi4053 2 жыл бұрын
Beats were on 🔥🔥🔥🔥🔥 NONINI raps were godly... hits differently on a road trip.thank you NONINI
@davidsonbaraka2812
@davidsonbaraka2812 10 ай бұрын
Hands down a kenyan classic.
@rasygal1139
@rasygal1139 5 ай бұрын
Inabamba sana
@funtastic5430
@funtastic5430 2 жыл бұрын
Once start looking for one of these TBT classics,they keep coming
@raphaelngala651
@raphaelngala651 2 ай бұрын
The best song ever 🙌🏾
@sly2549
@sly2549 Жыл бұрын
Hii song ilikua hit🔥, Bobby Mapesa alienda wapi
@Josephislington
@Josephislington Жыл бұрын
This song is a platinum billbooard hit
@nicholasamolo6522
@nicholasamolo6522 6 жыл бұрын
2018 tunakuskiza booby mapesa Kama wewe ni wakuchekesha makonkodi ndio usilipe kodi
@billysquad488
@billysquad488 3 жыл бұрын
2021 joo ngoma kama hizi zilikuwa heat tbt siku hizi hawatoi ngoma kama hizi
@daudikabaka7221
@daudikabaka7221 20 күн бұрын
Classic remix
@paulawke6427
@paulawke6427 8 ай бұрын
18th April 2024 well represented..
@ginger97072
@ginger97072 Жыл бұрын
Ati Nini Bobby MaChwa haha Kali sana 2023
@orucholam
@orucholam Жыл бұрын
Mapesa 🔥🔥🔥
Nonini - Kadhaa ft Christine Apondi (Official Video) HD version
5:27
NoniniMgenge2ru
Рет қаралды 209 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 71 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 55 МЛН
Jimwat - Under 18 (Official Video)
6:07
Calif Entertainment Africa Ltd
Рет қаралды 1,8 МЛН
NAKAM SAI LIL MAINA X SOSATHEPRODIGY
2:56
Lil maina
Рет қаралды 4,9 МЛН
Juacal - kiasi(Official Video)
4:37
Calif Entertainment Africa Ltd
Рет қаралды 1,9 МЛН
Githurai Remix Extended  Mr Googz & Vinnie Banton Ft  Mr lenny
4:42
Vinnie Banton
Рет қаралды 272 М.
We Kamu - Nonini 2003 (Official Video) Better Audio
5:30
NoniniMgenge2ru
Рет қаралды 143 М.
Dar mpaka  moro (wanaume family
4:18
mpangala
Рет қаралды 454 М.
na wewe tu
4:39
Aden yussuf
Рет қаралды 2,8 МЛН
Kleptomaniax   Swing Swing muziki ni bomba
4:03
Humphrey Moris
Рет қаралды 1 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 71 МЛН