MTOTO wa ajabu anaye treind HUKO TIK TOK II Tumemkuta nyumbani kwao..

  Рет қаралды 124,334

Isaac Tv

Isaac Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 433
@Zuu673
@Zuu673 7 ай бұрын
Ukipewa kilema mungu hawezi kukunyima mwendo mtoto mzuri mungu akujaalie tunakupenda malaika ❤❤❤❤
@CalmelinaCoelho-i5v
@CalmelinaCoelho-i5v 6 ай бұрын
Wewe uliyeandika mtoto wa ajabu chunga sana kauli Yako mtoto mzuri ivyo mungu amjalie afya njema
@hawaally2308
@hawaally2308 6 ай бұрын
Nahisi tu anamaanisha vizuri sio kwa uajabu wa ubaya
@joycekalago532
@joycekalago532 6 ай бұрын
Umenichekesha ulivyomfokea et chunga sana😂😂😂kweli kabisa achunge sana
@July-mi4fg
@July-mi4fg 6 ай бұрын
Kabisa akome kabisa
@NdohoAud
@NdohoAud 6 ай бұрын
Nadhani mume muelea vibaya sio jise amemaanisha
@IgnacioAndrew-rj8pd
@IgnacioAndrew-rj8pd 6 ай бұрын
Jamani kiswahili kigumu😂😂😂 husikii wanavyohangaika kuongea
@PentergonHonesty
@PentergonHonesty 6 ай бұрын
Eeee mwenyezi mungu kwa neema yako naomba uweze kuwawekea hawa malaika ulinzi siko zote za maisha yao wabariki na kuwaongoza na kuwa katika furaha na amani daima na hata milele: IN JESUSS NAME%
@beckymaria2125
@beckymaria2125 7 ай бұрын
Hongera kwa babake Gabriella sababu wengine wangetoroka kuona mtoto mlemavu mungu amzidishie
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Inshallah
@Mail-z5q
@Mail-z5q 7 ай бұрын
Mashaaaallah kazuri Allah akulinde kipenzi ongera wazazi kwa kuikibali hali yake na kumpa thamani kama watoto wengine
@Muhsin-d3u
@Muhsin-d3u 7 ай бұрын
Mashallah mtoto mzuri mungu akukuze vzr na uwe na furaha daima
@MusaSaid-x9e
@MusaSaid-x9e 7 ай бұрын
MUNGU akutunze mtoto mzuri milango Yako ikafunguliwe MUNGU akuinue 🙏🙏
@nicaisenduwimana4253
@nicaisenduwimana4253 7 ай бұрын
Njo ivo mungu akuwezesh akupe roho ya uzazi kabisa wapende sana watoto wako mungu anawaona na atawawezesha 🥰🥰🥰
@bayishimemathieu2693
@bayishimemathieu2693 7 ай бұрын
Eeeeh mwenyezi Mungu mmpe makuzi mazuri na afya njema huyu mtoto 🙄
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Aamin
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 7 ай бұрын
Mtoto wa ajabu?????? ni mzuri sana sana Mungu amkuze vyema, kuna wasanii walikua wanamtafuta
@ElissaMucowera-uw4vq
@ElissaMucowera-uw4vq 7 ай бұрын
Maskini Gabriella mtoto mzuri❤❤ allah amraisishie katik maisha yake
@Mail-z5q
@Mail-z5q 7 ай бұрын
Amiiin
@JacklineAlistides
@JacklineAlistides 6 ай бұрын
Maskin unaweka ya nini
@NshimirimanaCharlene
@NshimirimanaCharlene 7 ай бұрын
Pole mom Mungu akukuzie mtoto na iyo ni Baraka Mungu hajawai kosea
@dorcasassenga2005
@dorcasassenga2005 7 ай бұрын
Jamani. Yote ni kumshukuru Mungu. Ila Mtangazaji yupo vizuri na ana upendonna Watoto🇹🇿
@AhumnzaIvan
@AhumnzaIvan 7 ай бұрын
This bby Gabriela😭
@sadaathumani3099
@sadaathumani3099 7 ай бұрын
Tumuacheni MUNGU aitwe MUNGU mtoto mkubwa mlemavu,anae mfata mlemav wangozi kwel MUNGU kila alitendalo analijua yeye,nimfano mzur kwa wale Jambo dogo wanaqfuru😢
@wizerepamella5762
@wizerepamella5762 7 ай бұрын
Maskini toto nzuri Mungu akukuze na Furaha ijae kwenye Moyo wako na Familia yako ishangae na Mambo mazuri Mungu anakwenda kuwatendea🥰🥰🥰🥰
@saeaaa8571
@saeaaa8571 7 ай бұрын
Ameen... Soon anakwenda kuwa na mikono ya bandia kupitia Joely Lwaga... Tusiache msaport wapendwa
@jessicaishimwe
@jessicaishimwe 7 ай бұрын
Amina🙏
@RachelMalekela
@RachelMalekela 7 ай бұрын
Amina
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 7 ай бұрын
Amiin😊
@florabuhendwa976
@florabuhendwa976 7 ай бұрын
Amen 🙏🏿
@EDISATARIYE
@EDISATARIYE 7 ай бұрын
Jaman tutumien nyimbo za mtoto huyo ni nzurii saana mtoto ana kipaj sana Mungu ampe furaha sikuzote
@Aziza-o5f
@Aziza-o5f 7 ай бұрын
Mungu awafanyie wepesi mtoto Gabriella aweze kukamilisha viungo vyake,,,nawapenda
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 7 ай бұрын
Mungu amjalie gabliela na wadogozake amani na furaha na maisha mazuri kabisa mkono wa Mungu usiwapungukiea kabisa jamni watoto wazuri kweli jmni Mungu awalinde
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 7 ай бұрын
Mama mzuri na watt wake MashaAllah Allah amtunze na ampe hitaji la moyo wake aweze kuwalea watoto wake vizur 🙏
@SallmaXg
@SallmaXg 7 ай бұрын
Gabriella Mwenyezi Mungu akufanyiye wepesi mtoto mzuri❤❤
@esthermliga4875
@esthermliga4875 7 ай бұрын
Mungu analo kusudi juu ya hao watoto mum! Endelea kumshkru Mungu tuu Kwa hiyo hali!
@violetteniyongabire3859
@violetteniyongabire3859 7 ай бұрын
Mutoto muzuri mungu akurinde
@TumuhozeJoseline
@TumuhozeJoseline 7 ай бұрын
I really loved this baby girl the first day I saw her video on TikTok ❤. God bless you baby girl ❤
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 7 ай бұрын
Aki toto zuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉mrembo sanaa mungu amkuze na kumlinda daima mpk akue mkubwa naamtumikie mungu 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hakizimanaviolette1564
@hakizimanaviolette1564 7 ай бұрын
Mungu kwer anajuwa chochote kwa bina dam
@ELOGERUHIMBASA
@ELOGERUHIMBASA 7 ай бұрын
Woow final you find queen of Burundi
@rosesilio9008
@rosesilio9008 7 ай бұрын
Da ni kazuri kweli yani🤦‍♀️🙏😍❤❤
@witnessosiana4170
@witnessosiana4170 6 ай бұрын
Sanaaaa❤
@hategekimanamariespeciose5701
@hategekimanamariespeciose5701 7 ай бұрын
Mtoto mzuri kweri sikujua kama ni Murundi wa kwetu❤❤❤🎉🎉🎉
@EstraEmily
@EstraEmily 6 ай бұрын
Mtoto muzuri sana mwenyez mungu akubariki
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 7 ай бұрын
Tunawapenda Familia tukiwa Tanzania tutawasidia vipi hawa Ndugu Mungu awape furaha pia awakuze watoto wazuri InshaAllah ❤❤🙏🙏
@VioletUg
@VioletUg 7 ай бұрын
Mufatilie Joel Lwanga kaweka namba ya kuchangia
@VioletUg
@VioletUg 7 ай бұрын
Anataka aje Tanzania kwajili ya kupata mikono badia
@hahajah7189
@hahajah7189 7 ай бұрын
Imana imurinde disi nanje naramubonye numva ndamukunze can disi imana imube hafi🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 7 ай бұрын
Nukuri arababaje imana imurrnde
@ndayiragijejeanclaude-rh1zl
@ndayiragijejeanclaude-rh1zl 7 ай бұрын
Kwel Isaac huyu mutoto Na mi alinushangaza kipindi nilimukutapo TikTok.hata machozi alitulilika kbx.kwa ile chalenge alifanya ya fernando.yani Fernando angekua mutu muzuli angemutafuta basi akamupea ka kitu kidogo.mana Alichalenge vizuli.nampenda sana huyu mtoto kbx .🥰🥰😘
@birungideborah
@birungideborah 7 ай бұрын
Mimi nililia hadi niliamua kumtafuta yeye na mama yake
@monicapeter9065
@monicapeter9065 6 ай бұрын
Tktok anatumia jina gan jaman please
@hildenyandwi1142
@hildenyandwi1142 7 ай бұрын
Waaawooo lsahaku anajuwa kuongelesha watotoo😂😂.mungu akubariki.
@rukiamashaka7577
@rukiamashaka7577 7 ай бұрын
MashaAllah kazuri Allah azidi kumpa furaha na uzima
@safianamani1375
@safianamani1375 7 ай бұрын
God bless this kid... N the presenter...
@Kisra-yw3qz
@Kisra-yw3qz 6 ай бұрын
Mashaallah muzurii😊❤❤
@ثامركعبي-ي1ق
@ثامركعبي-ي1ق 6 ай бұрын
❤❤❤❤masking mtoto mzuri mungu akukuze my
@AngelMsangawale
@AngelMsangawale 6 ай бұрын
Duuuu jaman mngu akusaidie mtoto mzuri
@pendorobert3552
@pendorobert3552 7 ай бұрын
YESU amtunze mtoto wetu akawe mwenye hekima na akili🙏
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 7 ай бұрын
Koodo mtangazaji yuko very patient Mungu akubariki
@zhuraab7223
@zhuraab7223 7 ай бұрын
Wow kazuri mashallah
@rahelymrisho9321
@rahelymrisho9321 7 ай бұрын
She is so beautiful my God bless this baby
@DativaMbowe
@DativaMbowe 7 ай бұрын
Mtangazaji ni mtu wa maana kabisaaa mungu akubariki saana❤❤
@faustaemmanuel1390
@faustaemmanuel1390 7 ай бұрын
😅😅ni mtu wa mara pia ni mtu maana
@bijoux20
@bijoux20 7 ай бұрын
Yooh mtoto mzuri sana tena anakipaji
@HoHnot-py1nj
@HoHnot-py1nj 7 ай бұрын
Isaac tv sutwa aratohoza amakuruyose😂😂akokana Imana igahe umunezero wibihevyose🎉🎉🎉🎉
@EmmyPankras
@EmmyPankras 6 ай бұрын
Mungu amfanyie wepes jaman mtoto mzuri na amtie nguvu mama ake Aishi vyema na watoto wake
@fatimahants1526
@fatimahants1526 7 ай бұрын
Subahnallah³...allah ampe makuzi mema yaarab
@yohanaphares8733
@yohanaphares8733 7 ай бұрын
Mungu amsaidie mtoto mzuri uyoo Janam 😢😢
@NzarigeramoHenriette
@NzarigeramoHenriette 7 ай бұрын
Yesu arakuzi mwana muto
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh 6 ай бұрын
Yaani kazi ya Mungu haina makosa. Yaani karembo wuui hivi alivyo ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Gabbie live long ❤
@ItangishatseAnastase
@ItangishatseAnastase 6 ай бұрын
This is amazing talent Gabriella ❤ I Love you,She is beautiful bebe
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 7 ай бұрын
Da mungu akusimamie dada yangu tunakuombea Sana awakuze vyema watoto wako
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 6 ай бұрын
Usife moyo dada mungu ndiye anajua kila kitu kuhusu wewe na hao watoto wenu hao,hiyo ni baraka wala msione ni laana"watanzania tunawapenda nyinyi
@SuzyMk94
@SuzyMk94 7 ай бұрын
Mungu akutunze bébé na akufungulie kila milango ya baraka ❤️🫂❤️🙏
@luisjunior8759
@luisjunior8759 7 ай бұрын
Amen
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 6 ай бұрын
Nashanhaa ajabuyake Nini mtoto nimuzuri nimempeda Sana🙋🙋🙋💐💐
@GenevièveNijimbere-l3y
@GenevièveNijimbere-l3y 7 ай бұрын
Yesuweeee uwomwana disi😢Imana izomukuze disi ishoboze abavyeyi biwe gukomez kumurera
@AshuraIsa
@AshuraIsa 7 ай бұрын
Katoto kazuri, mungu azidi kukuinua.
@luisjunior8759
@luisjunior8759 7 ай бұрын
Bebe kaka iko na smile 🥰
@uwasenadine4336
@uwasenadine4336 7 ай бұрын
Akooose manaaa kobwa nzizaaaaaaaa❤❤❤❤❤
@chnae-k5o
@chnae-k5o 7 ай бұрын
Yarabii !!! Machallah Iman iguhe kuram mwana 😮😮
@July-mi4fg
@July-mi4fg 6 ай бұрын
Baraka congo amen ubarikiwe🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@NishimweNadia-kt8pe
@NishimweNadia-kt8pe 7 ай бұрын
Mtoto mzuri Masha Alllah🤗🤗🤗🥳🥳 ❤❤❤
@nickyjizzie
@nickyjizzie 6 ай бұрын
Life will seem hard for you, But God will surprise you with big things! Go kid, you are too blessed and nothing will ever limit your luck ❤🙏
@Cutterose
@Cutterose 6 ай бұрын
Huyu mtoto ni mzuri sana kina sura nzuri mungu amlinde sana
@MarcelNahishakiye
@MarcelNahishakiye 7 ай бұрын
Mungu amukuze🎉🎉🎉🎉
@MariamNdossy
@MariamNdossy 6 ай бұрын
Mtoto mzuri sana mwenyenzi mungu amfanyie wepes wa kila jambo
@JumaKizaba-gz2cp
@JumaKizaba-gz2cp 7 ай бұрын
Mtoto mzuri mungu akujalie ukue vyema katika misingi ya kumjua na kumpendeza mungu inshallaH Kila jambo litakuwa jepesi kwenye maisha yako mtoto mzuri
@DearNaah-st2nx
@DearNaah-st2nx 7 ай бұрын
Machikin katot kaxuri😢😢alaf kachangamsh balaa yooh Allah akakuz vyem 😢 alaf kaongeaj kazur❤❤Allah akalind pand zot😢
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 7 ай бұрын
Yallabii toto julijuli jaman masha allah❤❤❤❤❤❤
@Uwabahindakazi
@Uwabahindakazi 6 ай бұрын
MANANI azidi. Kumpaa kipajii mashaALLAH kajuulii❤❤ALLAH akupee umrii mrefu pia toto mzurii
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 7 ай бұрын
Masha Allah, ni karembo
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 7 ай бұрын
Nakupenda sana mtoto wangu ❤❤❤❤❤
@MokgaetsiRoseSibanyoni-se6xi
@MokgaetsiRoseSibanyoni-se6xi 7 ай бұрын
Kumbe ntanukuguru afise yooo Imana imurinde
@NdayiTitia
@NdayiTitia 7 ай бұрын
Aragufise nuko kutareha nukundi kandi
@NdayiTitia
@NdayiTitia 7 ай бұрын
Aragufise nuko kutareha nukundi uwomwana ikintu kizobagora abavyeyi ukwakura ukwokuguru kurahindurwa
@afsamimi2780
@afsamimi2780 7 ай бұрын
Subhanallah 😭 Gabriella Mungu akufanyie wepesi ktika maisha Yako inshaallah 🙏
@امزكرياالجابري-ه7ق
@امزكرياالجابري-ه7ق 6 ай бұрын
Tatzo mnamkarisha mablmb ya.dunia na sio mungu jamn mfundishe kuhusu mungu amtnze
@JoselyneAkimana-p9r
@JoselyneAkimana-p9r 7 ай бұрын
Uyumwan aratey ikigongw nukur Iman imuh kwihangan
@shantiMickel
@shantiMickel 6 ай бұрын
Mtoto mzuri yuapendeza ❤❤❤❤😂😂😂😂
@Nyaboke58
@Nyaboke58 6 ай бұрын
Mrembo kweli kweli mungu amlinde na kumtunza daima❤❤❤❤
@prisilaKennedy
@prisilaKennedy 7 ай бұрын
Jamni jaman mi nlimwona nikabaki mdomo wazi nimetokea kumpenda sanaa gabiii ni mrembo mungu akutunze vyema inshallah
@AliceCuki
@AliceCuki 6 ай бұрын
Wooiii Kazi ya Mungu hayin makos mama Gabriella Mungu akutie nguvu usijal Mungu yupo
@EsaaEsata
@EsaaEsata 7 ай бұрын
Be blessed baby girl may Jehovah bless you
@AimeJoseph-y6k
@AimeJoseph-y6k 7 ай бұрын
Eeeeeeh Mungu ayendelee kumulinda
@JustineNIRERA-b2i
@JustineNIRERA-b2i 7 ай бұрын
Imana nimana nukuri ikora uko igomvye Imana imugirire neza uyu mwana ❤❤❤🎉🎉
@edefridalivigha6049
@edefridalivigha6049 7 ай бұрын
Mashallah Uu ndio ukuu wa Mungu mtoto mrembo sana ukue ukimpendeza Mungu
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 6 ай бұрын
Mungu awabariki sana wewe namume wako niwatu wamungu kweli maana hamjapata tamaa ❤❤ nawapenda sana
@ConfusedAlien-xk3sh
@ConfusedAlien-xk3sh 7 ай бұрын
Mtoto mzuri sana mungu aendelee kumtunza❤
@jolamb8469
@jolamb8469 7 ай бұрын
Imana yomwijuru imukuze
@LucyMakoa
@LucyMakoa 6 ай бұрын
Kazuri haka kabinti jamani, Mungu amkuze vyema❤❤❤❤❤❤❤
@uweralaetitia5017
@uweralaetitia5017 7 ай бұрын
I love you so much ❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤ Leatitia from Rwanda 🇷🇼
@JackyTarimo
@JackyTarimo 7 ай бұрын
Mungu fund jaman hakup kilema akunyime mwendo
@Nduwimanadenise
@Nduwimanadenise 7 ай бұрын
Mungu nisaidie nisilie 😢❤❤❤❤❤❤nimependa ningekuwa niko Burundi ningekuja kumuona❤❤❤❤❤🇸🇦🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦♥️♥️♥️
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 7 ай бұрын
She is soooo beautiful.
@maryamt594
@maryamt594 7 ай бұрын
Nukur uyumwana anteye ikingogwe can mungu wang kube ntanakuguru yifitiye mama watoto nakuloba ujikaze kwatoto napia awagukuzie vizuli
@FatumaLuhwavi
@FatumaLuhwavi 7 ай бұрын
Mungu azid kukufungulia kwa Kila jambo
@beckymaria2125
@beckymaria2125 7 ай бұрын
Gabriella mtoto wa kwanza miaka tatu na uko na sengine wawili wakumfuata kivipi unazaa kila mwaka anyway Gabriella ndiye ataleta baraka hapa duniani❤
@PiliAbdallah-vc2no
@PiliAbdallah-vc2no 6 ай бұрын
Mashallah mwanangu allah akukuze kwenye maadil mema. Yenye furaha mwanangu
@LucyNekesa-i5d
@LucyNekesa-i5d 6 ай бұрын
Yani mmoja albino mwingine kilema daa mungu ana sababu jipe moyo mungu ako nanyi
@MagrethBONIFACE
@MagrethBONIFACE 5 ай бұрын
❤❤❤❤katata kazur kwel mungu ampe afya njema
@moontv2504
@moontv2504 2 ай бұрын
Kazi ya mungu Haina kosa
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 7 ай бұрын
Kazuri njameni mungu umulinde uyu mtoto wetu muzuri ❤❤❤❤
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
NDARO NA STEVE WALIVOMPIGA MGANGA UTACHEKA
15:45
Ndaro Tz
Рет қаралды 753 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН