MTOTO WA MIAKA 13 ALIVYONUSURIKA KUZAMA NA MELI

  Рет қаралды 127,188

S MEDIAZ ONLINE

3 жыл бұрын

simulizi yenye kuhuzunisha,ni siku ambayo siwezi kuisahau,nilikaa kwenye bahari usiku kucha.

Пікірлер: 144
@omarkali7712
@omarkali7712 2 жыл бұрын
Naitwa Omar Kombo Ali ni miongoni mwa wahanga wa ajali ya mv. Spice islanders 1, na mm ndio mtu wa mwisho kuokolewa, niliokolewa na meli ya mv, Serengeti majira ya saa 8 za mchana ya tarehe 10, nikiwa naogelea tu bila kujuwa naelekea wp, alhamdulillah Allah ni wa pekee kabisa tunapaswa kumshukuru kwa kila jambo, Allah awalaze mahali pema peponi wale wote waliotangiulia mbele ya haki, na cc tulipona Allah atupe maisha marefu yenye kheri na cc
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Allah awalaze NDUGU zetu peponi ishalla awajaliye makabur yao yawe bustan ktk mabustan za pepon 😭💖
@ahluljazira2259
@ahluljazira2259 3 жыл бұрын
Hilo ni janga kubwa sana subhanallah inashinda ile ya titanic Allah awasameh yaliyowapita awajaalie jannat firdaws iwe makazi Yao Amin ya Rabb
@frankdanford8245
@frankdanford8245 3 жыл бұрын
Inaumiza sana naumia mno kila nikisikia haya yaliyotokea tuombe mungu kila tutokapo atushikilie na kuzilinda nafsi zetu na kila tunaporudi tukumbuke kumshukuru muumba wetu Amina na anatushindia kila magumu tunayoyapitia.
@khairatally7733
@khairatally7733 3 жыл бұрын
So sad wallahy😪.. Allah awahifadh kwa Hilo na jengine in Shaa Allah 🤲 na awasameh na awalaze mahala pema peponi kwa wote waliotangulia Aaamiin
@faridaiddi104
@faridaiddi104 3 жыл бұрын
So sad 😭😭😭😭 but Allah Qariiim 🙏😭 mungu awarehmu maiti wetu walio tangulia
@moudboss2030
@moudboss2030 3 жыл бұрын
Cd ya Matukio yote nimetoka kuitazama leo 😭😭😭 Roho inaniuma. Mwenyezi MUNGU azilaze Roho za marehem peponi.
@ghanimaali4507
@ghanimaali4507 2 жыл бұрын
stori inaskitisha sana ila mtangazaji hafai hujui hta kuuliza shida tupu
@MOHAMED-g6f9t
@MOHAMED-g6f9t 29 күн бұрын
Mungu awajaalie makazi mazuri mema peponi kwa walio tangulia mbele za haki🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 жыл бұрын
So Sad Allah awarehemu wote walio poteza maisha AMIN AMIN AMIN 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@aminaabdulla8829
@aminaabdulla8829 3 жыл бұрын
Kazi ya mungu haina makosa sote safari yetu moja mungu awape subra amiin
@happymarchiusnjungani1138
@happymarchiusnjungani1138 3 жыл бұрын
Dah..pole sana Endelea kumshukur mungu ..waliotangulia Mungu awarehemu
@bintmuhammad4913
@bintmuhammad4913 3 жыл бұрын
Subhana Allah! Inaskitisha sana mji ulijiinamia ni huzuni tu kwa kweli alhamdulillah kwa wote waliokoka. Allah awajaalie pepo yake waliofariki nasi atujaalie mwisho mwema..amiin
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
Ni upumbavu wa wahusika kwa nini waliruruhusu meli iondoke hali ya kuwa imejaa sana ni uzembe plus tamaaa tu serikali pamoja na kwamba walipinguza watu wasitowe amri ya kusitisha safari kabisa kuna taarifa kwamba meli ilikuwa inaingiza maji,kweli kabisa MMungu analoliandika hakuna wakulifuta ila ukweli ni uzembe uzembe uzembe na tamaa hakuna jengine
@w4058
@w4058 3 жыл бұрын
Alhamdulilah kusikia kwamba watu wameshahadia Allah akawalipe pepo ya daraja ya juu kwa uwezo wake Allah
@maryammustafa1107
@maryammustafa1107 3 жыл бұрын
Bahati anajuwa kuogelea,dah mpaka machozi yamenitoka yani😭
@maryammustafa1107
@maryammustafa1107 3 жыл бұрын
Kadra Allah
@sadabkari5532
@sadabkari5532 3 жыл бұрын
Hii siku inaniliza sana haikuwa Muna familia yangu ila familia za wenzangu ni zangu pia kwasababu cjui kesho yngu na historiya ya Ashrak inazidi kunikumbusha mbali ila Mungu mkubwa sana na anauwezo 😭😭😭
@sadabkari5532
@sadabkari5532 3 жыл бұрын
Allah atufikishe salama inshaallh
@gharybabdulla8495
@gharybabdulla8495 3 жыл бұрын
Allah awarehem na awasameh wote tulowapoteza,pole sana brother
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 3 жыл бұрын
Daaah...kwa kweli inauma sana nilimpoteza rafki yangu kipenz na jirani yangu Innalillahi wainnaailahi raajiuun raajiuun...Allah awasameh wote waliopoteza maisha ktk hii siku...
@maryamhabib466
@maryamhabib466 3 жыл бұрын
Pole sana
@fundisuma4542
@fundisuma4542 3 жыл бұрын
Aaaaaahh mtangazaji znazingua hauna fani ya utangazaji hata uongeaji wako haupo clear,
@mbarackawadh3756
@mbarackawadh3756 3 жыл бұрын
wow tupoe woteee😭😭sema nn big up classmates big up sillah big up shia big up smediaz .... 2gether sanaa
@abdulfattaah4510
@abdulfattaah4510 2 жыл бұрын
الغريق شهيد والحريق شهيد أسال الله أن يرحم أمواتنا جميعا يارب انت أرحم بعباده انت أرحم بنا ليس لنا رب سواك فندعوه وليس لنا رب سواك فنرجوه
@pandemictv7345
@pandemictv7345 3 жыл бұрын
alhamdulillah nlisafiri mwanzo kabla ya tukio ila nahuzunika nlipoteza rafiki zangu wawili
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 3 жыл бұрын
😭😭🇰🇪poleni Sana muliofiliwa .mngu atawapa Subra insha'Allah
@Nashakirozo4881
@Nashakirozo4881 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa 😭😭😭kina cha kutembea meli ulizama n ukapona aki Mungu n mwema yani machoz yananitoka aki pole kwa wote mlipatwa n janga ilo Insha Allah mungu atawasamehe walio tangulia mbele za haki n atusamehe sisi siliopo duniani 🙏😭
@zahororashid239
@zahororashid239 3 жыл бұрын
Dah poleni Sanaa Allah awafanyie wepec
@jamaalmuhammad7457
@jamaalmuhammad7457 3 жыл бұрын
Ashraq unanikumbusha shanaa bro tulikuwa twins ila my brother kaondoka nikaokoka mimi na nyinyi really sad😭😭😭😭
@theodoltheophil7858
@theodoltheophil7858 3 жыл бұрын
Pole best
@ashashaphy9413
@ashashaphy9413 3 жыл бұрын
Pole Sana Allah awasameh maiti zetu Mimi nilimpotez mam angu Ila ni meli ya dar kuj znz tuwaombee dua tu ndo kilichobakia
@nassorahmed4672
@nassorahmed4672 3 жыл бұрын
Pole an Jamaal Broo wako ajmal alikuwa mshkaji wangu sn
@ummuashfaq3920
@ummuashfaq3920 3 жыл бұрын
Jamaal Muhammad pole sana
@ummuashfaq3920
@ummuashfaq3920 3 жыл бұрын
@@nassorahmed4672 polen san
@watototuwajali376
@watototuwajali376 3 жыл бұрын
Allah awape subra ❤️amiin
@dullahmudy2255
@dullahmudy2255 3 жыл бұрын
Pole saana ndugu yangu story yako imenitoa machozi.. mwandishi ongeza taaluma kidogo..coz story zako zinahuzunisha saanaaa
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Mungu arehem walikufa ishaalah aweke pali pemba peponi ishaalah mungu ndiyo kila kitu
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Amiin
@sabriyasuluh3002
@sabriyasuluh3002 3 жыл бұрын
Allah awape kauli thabit marehemu wote aminn inshaallah na Allah azipe subra familia zote aminn inshaallah
@thestonetown3302
@thestonetown3302 3 жыл бұрын
Dahhh.....inauma sana all it waz my blood.......
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 3 жыл бұрын
Abiria lengo lake afike safari yake Inauma Sana zaid ya sana maana now machoz yananitoka
@najimmbarouk4529
@najimmbarouk4529 3 жыл бұрын
Ashar wallah umeongea uzuri inanisikitisha sna mm siku hii nilikataa kusafiri
@zaidybakar6865
@zaidybakar6865 Жыл бұрын
Naitwa Maoud Juma mm ni mhanga wa Ajali ya mv spice islander Allah awarehem ss ni sisi tuliokolewa na mzungu toka Nungwi haihadithk kwakweli.
@rhhr3495
@rhhr3495 8 ай бұрын
inauma sana . I cant it over my life.Oh Allah protects us
@maqboulal-barwani2506
@maqboulal-barwani2506 3 жыл бұрын
Alhamdulillahi Baraka llahu fiykum. Akhuwiy
@fahadhamad4924
@fahadhamad4924 3 жыл бұрын
😢😭😫😪Pole sana broo story inahuzunisha sana
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 3 жыл бұрын
karashia sawa sante maaruf
@fatimaf5284
@fatimaf5284 2 жыл бұрын
Pole san Kaka agu
@ashasuleimani2057
@ashasuleimani2057 Жыл бұрын
Naitwa asha suleimani ali mm pia nimuhang wa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭siwez elezea mengi ila haisahauli
@amransalim5663
@amransalim5663 3 жыл бұрын
Pole sana bro Mr kimbola
@rashfordsulley7402
@rashfordsulley7402 2 жыл бұрын
Allah Anasema kuulu Nafsi dhahikatu le maut lila nafsi itaonja mauti kwaiyo tisihuzunike yoni mipango ya Allh🙏🙏🙏🙏😌🙏🙈🙈🙈😭😭
@theodoltheophil7858
@theodoltheophil7858 3 жыл бұрын
Pole Ashrak
@arafatkombo5823
@arafatkombo5823 3 жыл бұрын
Mzee karashia ple sn Allah awajaliye kheri amin
@shanimwakilima968
@shanimwakilima968 3 жыл бұрын
Pole Ashiraffi Allah SW awarehemu Mai wote
@AliOwjsy
@AliOwjsy Күн бұрын
Wallwah nimetokwa na machoz
@halimhakim1408
@halimhakim1408 3 жыл бұрын
Bro Allah akuweke na kukutunza sku zote na akujalie khatma njema kaka
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 2 жыл бұрын
Anlla Karim kwakweli anastahili sifa walotangulia anlla awalehem wote walo tangulia 🙏🙏
@ashrakswaleh2116
@ashrakswaleh2116 3 жыл бұрын
Amin kwa sotee inshallah
@shadiaally2217
@shadiaally2217 3 жыл бұрын
Pole sana
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 7 ай бұрын
Mashallah kijana kajieleza uzur❤
@ashasuleimani2057
@ashasuleimani2057 Жыл бұрын
Pole muhanga mwenzangu
@AjmalBeka
@AjmalBeka 3 ай бұрын
Allah awarehemu wote waliofikambele yahaki
@suleimanpandu8955
@suleimanpandu8955 3 жыл бұрын
Eti makombo ya spice noma sana
@habibasalum2054
@habibasalum2054 Жыл бұрын
Allah awajalie kauli thabit na awasamehe makosa yao
@hamdukhamis6067
@hamdukhamis6067 3 жыл бұрын
Dah my best friend karashia
@AbdillahKhamis-u1m
@AbdillahKhamis-u1m Жыл бұрын
hongora dada kwa kipind chako kizur sana❤
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Siku hiii haitasahaulika Ila Allah ndio mpangaji wa yote
@zaitunihotti4110
@zaitunihotti4110 3 жыл бұрын
Subhanallah dah
@munajomar3218
@munajomar3218 3 жыл бұрын
Haaa ndo mara ya kwaza kupanda ndege lkn mmi naliaaaa
@zuwena1zuwena114
@zuwena1zuwena114 3 жыл бұрын
Dah pole sana
@faukiaabdallah3856
@faukiaabdallah3856 3 жыл бұрын
😭😭😭Allah atawalinda zaid😭
@fahadhamad4924
@fahadhamad4924 3 жыл бұрын
Ukisikiliza hii clip ukakosa kumwaga machozi basi wewe ni katili wenzetu walipotea dah Allahu akbar
@hurleynahibrahim9937
@hurleynahibrahim9937 3 жыл бұрын
Ashrak jmn pole saut yko ya majonz 😔😔
@Khamis-hr2ho
@Khamis-hr2ho 4 ай бұрын
Broo tufany ibada kwa wing t
@mohammedkhkombo4439
@mohammedkhkombo4439 3 жыл бұрын
Dah Allah Mkubwa sana
@swalhasaid3933
@swalhasaid3933 3 жыл бұрын
😭😭😭😭poleeeee sanaa
@mwajabukobembe726
@mwajabukobembe726 Жыл бұрын
Poleee saaana dar inaumizaa saana😰😰😰
@mohamedmtulia3691
@mohamedmtulia3691 Жыл бұрын
Poleni sana
@HmahajsamEl-Mughery
@HmahajsamEl-Mughery 3 жыл бұрын
It is better for true story series film...
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 3 жыл бұрын
sawa karadhia
@aysheromary7935
@aysheromary7935 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Tushukuru mungu kwa yote🙏
@hidayabakar7026
@hidayabakar7026 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 Жыл бұрын
Wewe Hostess nakukumbuka kama ulisoma shule ya Chasasa Wete miaka ya 2013-2014
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Mtangazaji mmmmmmmh kasome
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 жыл бұрын
Kwakweli alafu ana cheka cheka kwenye uzuni😏😏
@fatmanassormohd8071
@fatmanassormohd8071 3 жыл бұрын
Umeona eeeee
@munajomar3218
@munajomar3218 3 жыл бұрын
Hebu jikaze wewe mtangazaji se tunalia hii hali mdomo umeuregeza sana
@ashuiddy9322
@ashuiddy9322 3 жыл бұрын
😁😁
@badrualiy2778
@badrualiy2778 3 жыл бұрын
Asharaq bana unaniangusha hunamuangalia uyo mtt tuuh .... Ulipaswa kuangalia camera apo.... Ww unaangalia... Chin na 🤪 unamuangalia.... Asila
@naghiftykhamis1932
@naghiftykhamis1932 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Jamani!😢
@hamadimwinyi2146
@hamadimwinyi2146 3 жыл бұрын
Mtangazaj muachee adisieeeee thn ww ua unamuuliza maswali Kam hujuwelew au wadau wak hawata elewa
@SuleimanJuma-xg2qe
@SuleimanJuma-xg2qe 4 ай бұрын
dah na mm nina store ya siku hii
@MariyamBaraka
@MariyamBaraka 29 күн бұрын
Amiin amiin amiin 😭😭😭😭😭
@aminaaly3514
@aminaaly3514 3 жыл бұрын
Nimecheka et nikamuona mdg wng na yy kashika kipolo cha yeboyebo😂😂😂
@mwanakombomwatsuluka3759
@mwanakombomwatsuluka3759 2 жыл бұрын
Subhana Allah
@pendohillrey1164
@pendohillrey1164 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@monatomamonatoma3308
@monatomamonatoma3308 3 жыл бұрын
Mola azidi kukufanyia wepesi
@husseintayar699
@husseintayar699 3 жыл бұрын
MtangazJi mmmmmh naomba namba yako
@zawadi9998
@zawadi9998 3 жыл бұрын
Nakilajambo likitokea nimakadara ya allah
@sulemanjuma612
@sulemanjuma612 Жыл бұрын
Mungu awarehem
@hadharaalli5201
@hadharaalli5201 3 жыл бұрын
Innalillah wa innalillah rajiuun
@abdulmalikmohammed8449
@abdulmalikmohammed8449 2 жыл бұрын
Ameen ya rabby
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Inauma sana
@mohamedsuleiman2785
@mohamedsuleiman2785 Жыл бұрын
Kusema ukweli tahadhar hakuchukuliwa ni uzembee wa Hali ya juuu ulio fanyika
@twahaally1969
@twahaally1969 3 жыл бұрын
Allahughafurahim wallah so sad,
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 жыл бұрын
So sad
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 3 жыл бұрын
🙏😭😭
@zawadi9998
@zawadi9998 3 жыл бұрын
Allah nimwem
@hasnuuomar8080
@hasnuuomar8080 3 жыл бұрын
Pole san ndg
@seifmussa2544
@seifmussa2544 3 жыл бұрын
Daah so sad inasikitisha sana..polen sana Allah awape subra awaupshe na jengne
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
SubhanaALHA😭😭
@abdulfattaah4510
@abdulfattaah4510 2 жыл бұрын
لاحول ولاقوة إلا بالله
@MAPETEE
@MAPETEE 3 жыл бұрын
Ila Ndege ni mbaya Zaid Ajali yak kuliko meli bora meli Ajali yak ni ndogo
@marisianamabagala7708
@marisianamabagala7708 Жыл бұрын
🙏
@hilalsaid3321
@hilalsaid3321 3 жыл бұрын
🥰🥰
@twahaally1969
@twahaally1969 3 жыл бұрын
SAD MOMENT 😭😭😭
@faiziaabdallahomar8162
@faiziaabdallahomar8162 3 жыл бұрын
Inaonesha mtu ukitaka kufa unahisi km ndo mwisho wa ulimwng
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 21 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 44 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 90 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 21 МЛН