No video

"MTU AKIKUDHURUMU SOMA DUA HII LAKINI KAMA UNA UWAKIKA UMEDHURUMIWA" l SHEIKH HASHIMU RUSAGANYA

  Рет қаралды 128,398

Africa TV2

Africa TV2

Күн бұрын

Tupate mitandaoni kupitia
Facebook : / africatvch2
Instagram : / africatvch2
Telegram : t.me/africatv2
Twitter : / africatvch2
#AfricaTV2

Пікірлер: 141
@AshuraMakasi
@AshuraMakasi 20 күн бұрын
Mwenyeezi mungu akupe maisha marefu
@NajimaNichole-oz3zv
@NajimaNichole-oz3zv 4 ай бұрын
Sema babaaa ukweli Mtupu Sema baba ❤❤
@omanmct135
@omanmct135 2 жыл бұрын
Mashalllah uyushekh nampenda sana kwajili yallllah
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 жыл бұрын
MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI SHEIKH WETU
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 10 ай бұрын
JAZAKA ALLAH KHAIR SHEIKH.
@asiaa6573
@asiaa6573 2 жыл бұрын
Allah atunusuru tusiwi miongoni mwa wenye kufanya dhulma 🤲
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Allah_Akulipe_daima
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 2 жыл бұрын
Swadact sheikh Hashm Rusaganya Allah akulipe kila la kher
@NajimaNichole-oz3zv
@NajimaNichole-oz3zv 4 ай бұрын
Toa no Shekhe utusaidie mi pia nimedhulumiwa wallah
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 жыл бұрын
Mungu kakuleta utusemee ukweli Allah akulinde mkombozi wa wanyonge
@aminrendis7249
@aminrendis7249 2 жыл бұрын
SHEH SEMA IYO DHULMA MASHEH WENGI AWATAKII KUZUNGUMZIA DHULUMA NA DHULUMA IMEZIDI KUPITA KIASI
@nuruali9608
@nuruali9608 2 жыл бұрын
Allah akurahisishie maisha yako na akulipe hapa duniani na mbele yake siku ya mwisho
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu rusaganya naomba niandikiye hiyo dua tafadhali maashaallah barakallah fiikiy 🙏
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 жыл бұрын
Mola atalipa hapa hapa duniani huku wanataka kule wanataka hawatosheki na sanda hazitawatosha madam wanadhulumu biidhn llah Allah atalipa haki yangu hapa hapa insha Allah
@mohacrim
@mohacrim Жыл бұрын
Ameen ya Dhul Jalali wal ikram
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 2 жыл бұрын
Nyukii imefanyaa kazi yakee shukrn.sn sheikh
@nuruali9608
@nuruali9608 2 жыл бұрын
Allah akupe afya njema na akujaalie ilmu zaidi yenye manufaa na cc tufaidike..Allah akuhifadhi shekh hashim....
@bibahhadith
@bibahhadith 2 жыл бұрын
Allah amiin
@zuhuraamrani244
@zuhuraamrani244 2 жыл бұрын
Amiin
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Mashaallah shkh... May Allah bless you always Ameen
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah shukraan sn sheikh
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallaah yarab tuhifadh na utulinde pamoja na mashekh wetu wote amiin yaarabaliaalaamiin alhamdulillah
@kakaidi4418
@kakaidi4418 2 жыл бұрын
Mashallah
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
Amen lnshallha yarab naomba allha asikie kilo changu lnshallha
@zubedadahalgould8809
@zubedadahalgould8809 2 жыл бұрын
Assalaam Alaykum warahmatullahi wabarakatu ninaomba kukuuliza Sheikh jee kama umewakopesha watu na hawataki kulipa deni lao jee hiyo pia dhulma ninaomba usisaidie niwafanye nini ili wanipe pesa zangu
@fatimayoussoufali1930
@fatimayoussoufali1930 2 жыл бұрын
Sheikh mimi ni mjeni nimedhulumiwa milioni 5 na laki2 na mtu huko tanzania Allah amlaani.
@zulekhasogoi8122
@zulekhasogoi8122 Жыл бұрын
Pole sana kwa maumivu ya kudhulumiwa, watu wanatudhulumu halafu wanacheka hawajali maumivu ya aliyemdhulumu inauma sana
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Sheikh ukitoa hayo mawaidha km ulivyowataja boda boda basi na jina la masheikh nalo ulitaje. Mana masheikh wengi siku hzi wamezidi dhulma. Na hayo mawaidha huona hayawahusu km wanaraba wanafutia dhambi za dhulma.
@mufid707
@mufid707 2 жыл бұрын
Jazakallah kher Sheikh.
@rukiyamama3626
@rukiyamama3626 2 жыл бұрын
Allah akulinde na kila balaa akupe umri mrefu uzidi kutuilimisha umati Wa mtume Muhammad s a w
@nadhraali9898
@nadhraali9898 2 жыл бұрын
Shukran sama sheikh
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 жыл бұрын
Wanazidisha kodi na kumdhulumu mhusika mungu anaona kunu faya kunu
@ramaaman8084
@ramaaman8084 2 жыл бұрын
Mashallah Shekh,dhulma sio ni kweli
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 жыл бұрын
Ahsante sana Sheikh.Mola akujaaliye akupe kila la kheir na sila yako.ekuepushe n kila mabaya
@alphanikiumbe6612
@alphanikiumbe6612 2 жыл бұрын
Shukurani kwa mwenyezi mungu na allah akufanyie wepesi na wewe kiatabu na dua hi tutaipata vipi sisi tupo congo Kinshasa
@muniraalshaidi5480
@muniraalshaidi5480 Жыл бұрын
مشاء الله بارك الله فيك
@sumayyahally3199
@sumayyahally3199 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu
@zainabusalum2365
@zainabusalum2365 2 жыл бұрын
Subhanallah
@kmtcuniversity9310
@kmtcuniversity9310 2 жыл бұрын
Sheikh mimi nimedhulumiea vikubwa sana nina machozì sana.
@zulekhasogoi8122
@zulekhasogoi8122 Жыл бұрын
Mimi pia wallah ni maumivu makubwa kabisa ya kudhulumiwa
@kmtcuniversity9310
@kmtcuniversity9310 Жыл бұрын
@@zulekhasogoi8122 Unani daa
@user-fo2vr6oy8m
@user-fo2vr6oy8m 5 ай бұрын
Pole sana
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 жыл бұрын
dah sheikh nimeipenda sana kaaalu 😆😆lzm tuwe fiit💪💪siyo fat kwa pilau za kasida
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 2 жыл бұрын
Sheikh umenigusa moyo wangu hicho ulicho kisema ndio kimenikuta napesa yangu ya miezi saba nimedhurumiwa utafikiri uliona ulicho kiongea
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 жыл бұрын
Malipo hapa hapa duniani
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 жыл бұрын
Mashallllah
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
Shukrani Shaikh
@sharifaaljahdhamy7633
@sharifaaljahdhamy7633 2 жыл бұрын
بسم الله مشاء الله تبارك الرحمن الله يحفظك ويسعدك انشاء الله
@ramlasuleiman9236
@ramlasuleiman9236 Жыл бұрын
أمين ثم أمين
@mwaminishukia872
@mwaminishukia872 2 жыл бұрын
Asante kwa kutukumbusha she he maana dhuruma zimeenea sana
@zg9430
@zg9430 2 жыл бұрын
Mimi kuna mtu kala million mbili na laki 9 na 80 alisema nimuazime 2020 lakini mwisho wa mwaka huo akaniblock mpaka leo kabadilisha sim kadi na nyumbani kwake kahama na family nzima hapa nilipo jaman naomba maombi yenu
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Tukae pamoja mdogowangu maana namm yamenikuta hayohayo tena mm ninyingi kulikozako mmnipo omani yy yupo Tanga ilanikieudi ishaallah tutapambana
@zg9430
@zg9430 2 жыл бұрын
@@aishaaisharagp9381 Pole jamani
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 2 жыл бұрын
Jamani watu wanapenda kuzurumu sana mm milion moja nimedai nimelipwa laki moja na nusu kweli jamani roho inaniuma sana namenitia block
@zg9430
@zg9430 2 жыл бұрын
@@sikudhanimoshi6967 yaani acha tu mtu hujui umepitia nini mpaka ukapata hiyo pesa
@mariammmbaga976
@mariammmbaga976 2 жыл бұрын
Pole sana
@aminarajab1045
@aminarajab1045 16 күн бұрын
Shehe mimi nimedhulumiwa hakiyangu Niko Oman nimefanya kazikwa fatma Abdullah bashwani miaka 10 Leo kanifukuza bila kunipa mafao yangu anasema yame ex pay shehe naomba nambazako unisaidie anilipe
@abidayusuph6642
@abidayusuph6642 2 жыл бұрын
Tuwekee no yako shekhe, allah azidi kukulinda pia inshaallah
@maryamsimai6263
@maryamsimai6263 2 жыл бұрын
wallah ni kweli
@yasiniano5682
@yasiniano5682 Жыл бұрын
Kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏
@seanmurray6516
@seanmurray6516 2 жыл бұрын
Mimi nasumbuliwa na hawa wasiojua kuandika kiswahili kwanini wanaachiwa kuzidi kuichafua hii lugha si waandike kwa kwa lugha zao. Kwa mfano neno kukudhurumu hakuna neno hilo kwa kiswahili
@issamkombo7300
@issamkombo7300 2 жыл бұрын
hilo tatizo linalotokana na lafdhi yakabila la mtu kama vile msukuma mkuria nk
@ramadhanipaulkwel2317
@ramadhanipaulkwel2317 2 жыл бұрын
Hakuna mkamilifu si kila mtu atajua unachokijua madamu umeelewa alichomaanisha inatosha.
@anksusiabdurashid114
@anksusiabdurashid114 2 жыл бұрын
Shekh nakubar sana
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Tunakuomba utuandikie hii dua kwa kiswahili...plz shkh
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 жыл бұрын
Maneno kuntu dhulma mbaya sanaaaaa
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Dua kubwa muachie Allah ,ndie hakimu,unaweza kumuombea mtoto au kijana wezio Ifike,fahamu deni halifutiki, na ww una watoto utalipwa km ulisoma dua kuangamizamwezio na ww utaupata tu msiba huo Allah atujaliye kheir na kizazi chema ndio dua ya kuomba
@fatumanjirasirio6954
@fatumanjirasirio6954 Жыл бұрын
Hayajakukuta
@jamillahaidha8184
@jamillahaidha8184 Жыл бұрын
@@fatumanjirasirio6954 kweli kabisa hayajamkuta
@ayushjhayayushjhay2476
@ayushjhayayushjhay2476 Жыл бұрын
Ujadhulumiwa ww
@amisiabedi1147
@amisiabedi1147 Жыл бұрын
asante,ya nafaa kabisa. Hasa subira kwenye mitihani.
@zulekhasogoi8122
@zulekhasogoi8122 Жыл бұрын
Huyu hajadhulumiwa, na hajui maumivu yake kama umedhulumiwa lipiza kisasi, nimedhulumiwa kusamehe siwezi daima
@lazaroalfan8703
@lazaroalfan8703 2 жыл бұрын
Swadakta kabisa maalim wangu wape vijembe vyao
@mkamangomo717
@mkamangomo717 2 жыл бұрын
Allah akulipe kila la kheri
@user-vz9te8ox8e
@user-vz9te8ox8e 3 ай бұрын
Shekhe tuandikie dua kimaandishi
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 2 жыл бұрын
Watu wengi Sana shekhe wana lia wameibiwa tupatie Simu yako unapatikanaje.
@yasiniano5682
@yasiniano5682 Жыл бұрын
Ukweli 🙏🙏🙏🙏🙏
@masiniamkemi8730
@masiniamkemi8730 2 жыл бұрын
Asalaam alaikum ndugu zangu
@safiaothman5175
@safiaothman5175 2 жыл бұрын
Waalaykum Salaam Warahmattullah Wabarakattuh.
@africandarling6925
@africandarling6925 2 жыл бұрын
Kwl tu mie nimezurumiwa hivi hivi kiwanja kule pungu sitesheni na Mzee mmoja hiv anaitwa kivumbi
@fathukariib3548
@fathukariib3548 2 жыл бұрын
Masha Allah.naomba.namba.ysko.shekhe
@user-cc2uh3ts5i
@user-cc2uh3ts5i Жыл бұрын
Assalam aleikum warah matullahi wabarakatuh Sheikh je, kama umedhulumiwa unaeza kaa baada ya wiki moja ndio umuombee yule aliye kudhulumu?
@nurukavumbi2477
@nurukavumbi2477 2 жыл бұрын
Sheikh, sisi tunathulumiwa shamba Letu na kijana tuliomlea hapo shambani baadaye yeye na mama yake wamesimama shamba nilao baada ya miaka katha baba yangu kufa. Tumekwenda kortin lakini makaratasi yanapotea mara hayaonekani. Hivi sasa yuaja shambani na mapanga kututishia na kiburi.
@ayushjhayayushjhay2476
@ayushjhayayushjhay2476 Жыл бұрын
Msomehe vle shek kasema
@MussaMasimba
@MussaMasimba Жыл бұрын
Naomba namba za Rusaganya jamani
@umukulthumu1419
@umukulthumu1419 Жыл бұрын
​@@ayushjhayayushjhay2476sio rahis kusamehe mtu anayefanya dhulma akidhani mm ni dhaifu aisee sionei huruma binadamu mwenye roho chafu mwenye roho yadhulma hawanaga huruma hata chembe watu tunatafuta rizki kws shida majasho yanatutoka tena hatupumziki mpaka tunalipwa mishahara yamadimango aisee ww kama hujawah kudhulumiwa kaa kimya ndugu yangu
@ummuramadhan1842
@ummuramadhan1842 2 жыл бұрын
Subhanallah Wabihamdi 😰😰,,,,hakika mawaidha haya yamenisisimua 😭
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 2 жыл бұрын
Chales dereva kanidhulum ela zandu za mchele mungu ningeweza family yake yote iliyokula mchele wangu wangedhulika ili nae aumie kaka mimi
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 2 жыл бұрын
Allah atakulipa Ndy yetu
@AkilidjumaMundu-ub9os
@AkilidjumaMundu-ub9os 2 ай бұрын
Hapana inbox utawahomba hela watu iyandike hapahapa
@halimafimbo4890
@halimafimbo4890 2 жыл бұрын
Nataka no ya shekh
@annamnanka1640
@annamnanka1640 2 жыл бұрын
Naomba namba zako shekh
@fatimayoussoufali1930
@fatimayoussoufali1930 2 жыл бұрын
حسبي الله ونعم الوكيل seif mohamed seif kwa kunidhulumu milioni 5 na lak2 zangu Allah akukatishie maisha yako kama ulivo nidhulumu hela zangu nakunikatisha nisiendeleze lengo langu
@fatimayoussoufali1930
@fatimayoussoufali1930 2 жыл бұрын
Naomba number ya huyo sheikh tafadhalini
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@sirmdoechuma6962
@sirmdoechuma6962 2 жыл бұрын
kweli kabsa
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 2 жыл бұрын
Yalinitokea kufukuzwa kazi na malipo sikulipwa mpaka leo
@nuurjumaan266
@nuurjumaan266 2 жыл бұрын
Pole Allah atakulipa mazuri inshallah
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 2 жыл бұрын
Ameen thumma ameen, 🤲🤲🤲🤲
@aishamohamed669
@aishamohamed669 2 жыл бұрын
Mm nilizulumiwa na baba yangu mzazi kisa mama wakambo
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 2 жыл бұрын
Ba naomba mimi unisaidie kama inawezekana nikupe namba ya sim unisaidie kuna watu wamenidhulum pesa zangu
@jowhairiakassim2684
@jowhairiakassim2684 2 жыл бұрын
Naomba uweke namba zako za simu sheghe wangu
@aishamohamed669
@aishamohamed669 2 жыл бұрын
Nilimfanyia kazi myaka sita na nina watoto wananitegemea mm
@mahramarswad6041
@mahramarswad6041 2 жыл бұрын
Tuandikie shekh plz
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 2 жыл бұрын
Kitabu hicho inabei gani wamewapatia watu pressure
@anksusiabdurashid114
@anksusiabdurashid114 2 жыл бұрын
Raisi wao anajulikana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Kwani wakristo nao wanaweza omba hiyo dua ama warudi kwa mchungaji kukemea pepo
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 2 жыл бұрын
😂😂😂Allah awaongoe
@umukulthumu1419
@umukulthumu1419 Жыл бұрын
Omba kwa lugha yoyote uwezayo Mungu anachukia wanaodhum awe muislam au Mkristo hakuna haki yakudhulm mtu kisa Mkristo au mwislamu Mungu anadili nao madhalim wanajiona mawamba kwenye huu ulimwengu Mwenyezi Mungu awadhalilishe nafamilia zao kwenye hii dunia mpaka akhira
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 2 жыл бұрын
Kudhulumu
@superwomankulwa620
@superwomankulwa620 2 жыл бұрын
Shekhe mm naitaji namba yako plz
@jowhairiakassim2684
@jowhairiakassim2684 2 жыл бұрын
Sheghe weka namba zako plz
@murishoayubu7531
@murishoayubu7531 2 жыл бұрын
Asww.nijuze.ukiwahunauzu.unaruhusiwa.kumbaduwa
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 жыл бұрын
Uyo mnaomzima apo ninani
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Anaetaka hio duwa kwakiswahili anifate inbox nitamuandikia
@rahimomary7663
@rahimomary7663 2 жыл бұрын
Nitumie what's up
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
@@rahimomary7663 hionamba yako ikowapi
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 2 жыл бұрын
Mm naomba iyo dua
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 2 жыл бұрын
Niandikie pls Niandikie kwa kiarabu
@mariammmbaga976
@mariammmbaga976 2 жыл бұрын
Sawa. Naiomba pia maana machozi yananitoka
@alexandremasumbuko2473
@alexandremasumbuko2473 2 жыл бұрын
Nimezurumiwa sheik nimezurumiwa na mtu nimempa pesa tufanyiye kazi ila yeye ametoroka na pesa zile sasa ninasikiya tu kwamba yupo uganda nifanyeje sheik?
@emmadominic9601
@emmadominic9601 2 жыл бұрын
Msamehe wewe.Mungu amesema tusameheane,biblia inasema hivyo
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 2 жыл бұрын
@@emmadominic9601 achen kutuongopea bwana Yn Watu wanafanya dhulma kusud Ww usamehe tuu kirahiss, Mm Mwenyewe inshaallah nitajitahid Kwa hz dua wapo walio nifanyia dhulma
@anksusiabdurashid114
@anksusiabdurashid114 2 жыл бұрын
Hahahahaha swafi
@masudikaswala7898
@masudikaswala7898 2 жыл бұрын
Taqbill
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 9 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 17 МЛН
Uzito wa Dua ya Mwenye Kudhulumiwa - Sheikh Nassor Bachu
1:40:57
Islamic Kindness
Рет қаралды 51 М.
ADABU ZA SIKU YA IJUMAA NA FADHLA ZAKE  / SHEIKH HASSAN AHMED
37:33
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 49 М.
SHEIKH HASHIM RUSAGANYA....ALAMA KUBWA KUMI ZA QIYAMA
29:59
ADE LINK HABARI
Рет қаралды 1,9 М.
SIFA ZA WACHAMUNGU  JEE NA WEWE UMO ? // SHEIKH OTHMAN MAALIM
53:20
arkas online tv
Рет қаралды 33 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16