Ni vizuri umeanza kuchoka wee mama kilicho na mwanzo lazima kiwe na mwisho
@ZolufaMas-ie4un8 күн бұрын
Mtume wetu twakuombea sana upate nguvu
@JoyceWambui-s7y8 күн бұрын
😅😅😅mtume eti shimo kubwa au ndogo😅....good work Glory to our heavenly Father
@HjGh-rd1el8 күн бұрын
Mtume mungu akuzidishie nguvu kz nzuri
@PhilisKundu8 күн бұрын
Amen you too
@AwuorSera8 күн бұрын
Man in blue anataka shimo kubwa na ndogo😂😂😂mtume surely😂😂
@johnmeshack44318 күн бұрын
Safi sana mungu akutie nguvu mtume❤
@marionnanjala18068 күн бұрын
Asante kwa kuokoa watoto mwenyewe roho ilikua inatundakutunda thank you Jesus
@Sarah-iw6cg8 күн бұрын
Leo iki KIMAMA akina nguvu ata kidogo...mungu mjaze MTUME nguvu aweze kumumaliza UYU muuaji
@maulnejumba11288 күн бұрын
Amen Amen mwaka wa mabadiliko tumechoka na kuchinjwa kwa watoto na watu wazima
@MaryMuthoni-rf2qu8 күн бұрын
Good choka kabisaa utajua Mungu ndiye muumba nchi na mbingu na hakuna nguvu zinazidi zake aya ww mama malindi siki zako zimehesabiwa
@resperadhiambo8 күн бұрын
Amen 🙏🙏 mtume musiwe na huruma
@zenajimmy66038 күн бұрын
Ngai wameuwa tena yarabi tuonee huruma watoto WETU twakuomba Ya Allah wewe nimuweza we beg you o God have mercy on we are sinners forgive us rescue kids o Allah we beg you have mercy upon us
@MsAisha-w4o8 күн бұрын
Mpaka utubie zambi zako MBWA wew kazi ni kuua watoto WA wenyewe ila insha'allah kikurambe kwa uwezo wake Allah☝️
@EmmyWilla8 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mtume leo nimecheka
@johnndunguMbugua8 күн бұрын
Glory be to God, for he has come from heaven himself to his childrens
@ZenabAli958 күн бұрын
Subuanallah. ALLAHU AKBARU. MUNGU.MUUMBA WETU TUMALIZIE HII SHETTAN YA MWANAMKE.
@MoureenGesare-u7j8 күн бұрын
Okoka dada mungu wetu ni wa neema njoo kwake
@annmwikali54398 күн бұрын
Amen and Amen,,may God continue to intervene on behalf of our nation and the entire world,,,2025 is the year of perfection
😂😂😂😂😂 nimengoja nijue kwenye amepelekwa sasa ...mana alikua anafikiria kama biashara itaendelea kwel Mara boom,,# Next?
@AdrineTwongirwe8 күн бұрын
Dangulo, Riaga said that you call him that he will help you to finish mama malindi
@halimajay6068 күн бұрын
😢 anakaa km mtt wangu rohoo imenipasuka walai Allah awalinde watt wawenzetu na team dangulo nyote In sha Allah
@MumFavour-d3d8 күн бұрын
🙏 🙏 🙏 🙏 amen
@MsAisha-w4o8 күн бұрын
ATI sukari ni Ile Ile Leo nimecheka kifala ATI wataka shimo kubwa...🤣🤣🤣😂😂😂
@miriamnafula65858 күн бұрын
Asante sana mtume kwa kazi nzuri
@sarahwambui6258 күн бұрын
Mtume not give them the time again
@JoanKinya-tw2gq8 күн бұрын
Amen, mama malindi mwenyewe hana nguvu . Glory to the most high God 🙏🙏
@norahmorebi46058 күн бұрын
Congratulations mtume wa Mungu
@janetmwale61278 күн бұрын
Amen Mungu saidia mtume awamalixe wote
@NofelaJaco8 күн бұрын
huyu mtoto ndio nilikua na lilia asante mungu kwa kumuokoa
@everlineeverlinewamalwa2438 күн бұрын
Ama kweli mungu ni mkubwa ,,leo huyu mana malindi amewezwa, wow thanks mtume 🙏
@BrendaPeter-zu3bv8 күн бұрын
Mungu tenda kazi yako
@EmmyWilla8 күн бұрын
😂😂😂😂😂 shimo kubwa ndogo 😂😂😂
@FaithBrown-ib4tc8 күн бұрын
Naomba mungu azidi kukufuncha moyo wewe muuaji uajane na kazi hyo
@marrieauma58078 күн бұрын
Mungu awaongoze watume nguvu zaidi wao doe wa alifu na wa ganga
@MildredInyanji-qu1fh8 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅aki mtume wwe ety shimo kubwa au ndogo 😅😅😅😅bwana yesu asifiwe tena nyote🙏🙏
@gracekaruga8978 күн бұрын
😅😂😂😂nakufa na kicheko mm
@annmwikali54398 күн бұрын
Toka hapo😂
@salehHassan-rl8bd8 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@evalyneacheing-ow2ew8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MildredInyanji-qu1fh8 күн бұрын
Nisha toka kamamiee😅😅😅😂 lakini Hadi WWE umesikia Tu na hatusemi😂@@annmwikali5439
@JaneMomanyi-mh5kk8 күн бұрын
Mapenzi ya mungu yatendeke ata watoto wanasangaa nn kinaenderea duniani😢
@MilaKavwai8 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢
@SaidaAwour8 күн бұрын
Aky mtume aty sukari ni ile ile😂😂😂😂
@DelphineWanjala8 күн бұрын
Mungu twakuomba mzididishie Mtume nguvu zaidi 🤲
@MmMmm-ne1zq8 күн бұрын
Malize kabisa kazi mzuri sana mtume
@sophiahmayaka94548 күн бұрын
MTUME Dangulo sukari ni ile ile😂😂😂unataka ndogo ama kubwa❓😂😂😂 Kikaragosi :nataka zote😢😂😂 Mtume :kijana umelaaniwa😢😂😂😂😂😂 Kikaragosi:kashikwa kapewa free flight😂😂😂😂😂
Jamani hiyo Kenya mnaishi vipi, mimi naogopa sana, sitanami hata kuikanyaga hiho aridhi ya Kenya. 🇹🇿 Karibuni kwetu
@atwowa63807 күн бұрын
Huko kwenu hakuna mauwaji wataka useme basi mmebarikiwa
@TabithaTabitha-t6s8 күн бұрын
Wamalizwe wote katika Jina yesu
@LilianKanana-r5o8 күн бұрын
Mtume ati anataka shimo kubwaaaaa😂😂
@JoyceRoo8 күн бұрын
Hahaha eti shimo kubwa🤭
@WardahBukuru8 күн бұрын
Mungu twakuomba mzidishie mtume nguvu zaidi amarize huyu mama
@chunaabdullah13338 күн бұрын
Yani mara hii ashatoa matako na macho😮😮😮
@JacklineNyabokeOsiango8 күн бұрын
Good job mtume ❤❤❤
@kariuki26kimani8 күн бұрын
Mwenyezi Mungu amekasirika na maovu yenyu maliza wotee
@Mariam-v2i8 күн бұрын
Wewe mwanamke muogope mungu 😢😢😢😢
@JoanKinya-tw2gq8 күн бұрын
Mungu kumbuka huyu mtoto mwingine Baba 🙏🙏🙏🙏
@queenyakinangop40968 күн бұрын
Mungu naomba upatie mtume nguvu ili aweze kumaliza huyu mwanamke 😮😢 tumechoka nakuharibiwa watoto
@chunaabdullah13338 күн бұрын
Hapa pahali si nipeupe Kwani hawaonekani jamani 😢😢😢
@kadzokenga8 күн бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
@SarahPetro-w6o7 күн бұрын
Utamu ni ule ule unataka shimo laina gani😂😂😂😂
@SharonAchieng-l8z8 күн бұрын
Napenda sn huyu mtume yaani hapendi ujinga, kufinish kumalo
@Jackline1398 күн бұрын
Sasa huyu mwanamke si aokoke tu jamani nguvu Gani Ako nazo na ile design wamemkamata na kukimbia naye😂😂😂😂mungu wetu halali
@elizabethkinyuaelizabeth5348 күн бұрын
Asante Yesu
@bethmbatia87678 күн бұрын
Mungu akupe nguvu mtume, umalize nguvu za huyu mama shetani.
@Marry-u8m8 күн бұрын
Kumbe mama malidi anajue mitume wetu wana nyote safi
@BridgitAyuma-q8v8 күн бұрын
Mtume tumia radi kumaliza huyu mama aki anamaliza watoto
@RoseWakio-kd2yp8 күн бұрын
Kweli usiwahi mchimbia mwenzio shimo maana utaingia mwenyewe
@Mutheueunice-u6v8 күн бұрын
Nataka uyu mama Akufe araka
@Mutheueunice-u6v8 күн бұрын
Jamaa ivyo ivyo umeuwa mwezako nawewe ivyo ivyo
@abdullahalanazi27148 күн бұрын
Mungu wetu uliye tuma Watume na wateule wajaze na nguvu ili kumaliza huyu pepo
@zeinabumu.hamza.12338 күн бұрын
Dangulo nima joka.ku tazama.hapo bona.usi malize.huyo mama
@shinehusnah65728 күн бұрын
Atamalizwaa subrah ..mtume alisema sio rahis kumumaliza juu ako na Damon 278 kitu kaa hyo ..so wanaenda step by step BT siku zake zimekaribia
@MagdaleneMaingi-p7c8 күн бұрын
Hii kazi lazima utaacha.Heri uokoke kwa Yesu kuna raha
@زواديكاريسي8 күн бұрын
Zawadi karisa I'm waiting
@MilaKavwai8 күн бұрын
Kwa nini hiki kimalindi kisiokoketu mara moja🤔😏😏😏
@KamikaziSalma8 күн бұрын
Mja wa laannah wewe nandomana unalana ya Mungu na wazaziwako sikuyako iko inafika we washati la blue gisi umemfanyiya mwenzako nanjogisi naweye utafanyiwa pumbafuzako .
@adelaidemary55148 күн бұрын
Twende nalo mtume
@RuthKibiriti8 күн бұрын
☺☺☺🙏🙏🙏amina
@JoanKinya-tw2gq8 күн бұрын
Mwaka huu ni mwaka wa mabandiliko. Mwaka wa kuliondoa lolote baya.
@jerrynachongali28128 күн бұрын
Kwani watu wamepewa nn na huyu mama? Mtu anaona mwenzake anauwawa na bado hasikii. Eti haezi rudi kwa Mungu😮😮
@marynabwile40868 күн бұрын
Mbona wasimalise huyu mama surely mtume akimaliza wafanyi kazi anatafuta wengine siiwamumalise mwenyewe aki
@chunaabdullah13338 күн бұрын
Sukari ni ile ile 😂😂na chumvi ndio mtakula safari hii mmeingia chaka baya, kijana mrefu mjinga mpumbavu eti wanawake 200 uko sawasawa ilo bongo lako
@doreenmabiria58948 күн бұрын
😂😂😂😂
@janetmugure2348 күн бұрын
Ww mama umekataliwa
@RoseWakio-kd2yp8 күн бұрын
Huyu mamaa siku zake zimekaribia kwa kweli
@gakyjaklin4508 күн бұрын
Hawa wote waende na ticket ya araka sana ,na uyu mama siku yake itafika
@fozfoziya93178 күн бұрын
Kijana amekata kata kata
@Kakakalama8 күн бұрын
Mtume anajua Shimo wah
@jaberkidogo7618 күн бұрын
😂😂😂Mtume skari ni ile ile,200 women kwani anataka kuwa Akuku danger
@gracekaruga8978 күн бұрын
😂
@EuniceKerubo-vt3dk8 күн бұрын
Kwa akili timamu mbona unalipwa wanawake Mia mbili ufanyie nn
@MaryMuthoni-rf2qu8 күн бұрын
Aki dangulo ai mshirikiane na riaga mumalize huyu mama aki atamaliza generation
@faridaabbas71998 күн бұрын
huyu mama katili ako tayari watoto wa watu waangamie juu yake
@Mego-s4s8 күн бұрын
Wewe mama nimekuchoka kweli
@AssdfAssd-g3y8 күн бұрын
Sasa mambo imebadilika yani mbio kabsa acha atuonee huruma kila siku kilio lkn tutafika mwisho na tuvune mazuri ya mitume amiin maana sio muriphe hio nguvu kwisha mama majigambo iko wpi😂😂😂😂😂
@zenjibar648 күн бұрын
Kila siku analeta sura mpya . Muhimu auliwe yeye . Ana wale ya wauliwe makusudi ili yeye apate kafara . Huyu kijana mzima ? Anasema hawezi kurudi kwa Mungu na kashaona mwenzake akinyongwa .
@Zuuh1078 күн бұрын
Lazima uuache ujinga wako unaoufanya we mama nafc ngapi ezulumu
@HappynessJose8 күн бұрын
Wameona mambo ni moto kwa mtume wakapitia mbio mama Yao shezi zenu nyie Eti boss twende ata kumaliza kule munaeda ndipo mtume ako
@ZenyGold-g7h8 күн бұрын
Kwasasa atakuwa kikaragosi kama kinyambizi
@nagudizipola29928 күн бұрын
Clon angekua karibu kumalo Leo fatuma Ana nguvu
@shikobig35918 күн бұрын
Huyu mama anaishi kimasikini humu duniani na kisha akifa achomwe na shetani 😳
@JoyceMugambi-s8g8 күн бұрын
Yaani huyu mwanamke hunyua damu?🙈
@NdindaFlorence7 күн бұрын
Camera man mbona hutuoneshi huyu wa blue akiuliwa ?
@PhilesOngono8 күн бұрын
Leo clone hangekuwa hapa. Huyu lazima hangekufa
@Roz-m2z8 күн бұрын
Huyu mama akufee na amos amejificha wapi ana alimalizwa na mschana wake
@eunicefaida89778 күн бұрын
Utajua hujui round hii haitafanyika kazi ya kishetani