Part 2.bonge la kende la mganga ilitoka nje😂kzbin.info/www/bejne/h5OrYayXi5ZrqpIsi=yDj69dvKrU5CdtjE
@مريماسماعيل-ق7ب22 күн бұрын
Mama Sara uliambiwa na mtume mohali photo raff anaenda muende na raff lakini nikama usiki sacha utandikwe kidogo ndio akili ifunguke nikama hawa wanganga walikuziba mskio
@ZolufaMas-ie4un22 күн бұрын
Raff utaniuwa na kende la mganga 😂😂😂
@RaelNekesa-25422 күн бұрын
Waaah,dada sara u have suffered 😢yani ukiwa kwa waganga ulichapwa ukikuja kwa mungu bado unachapwa😂ama kweli kupumzika ni mbinguni😂😂😂😂😂😂
@lincy426122 күн бұрын
Weeh aki Raf unapenda kubebwa yawaah😂acha mungu awapinganie muende mukapate mamaRaf
@emmiemmi386122 күн бұрын
😂😂 mimi ilibidi nicheke
@KhadijaOman-j2i22 күн бұрын
Apana siyo gupenda Rafuu Hana nguvuu Rafuu nikama ana nja inamuhuma namawaz mengi mpaka anakosa nguvu😢😢
@glad465322 күн бұрын
You realized it too😅😅, anapenda sana kubebwa kweli, since wakiwa na Chisaka
@AlylenShitamu-tc2ng22 күн бұрын
😂😂😂😂😂acha tu nicheke juu nlijuwa dada sarah atakula viboko
@LizaLee-d8h22 күн бұрын
Alifaa apewe jana😂😂😂
@mercynjeri627522 күн бұрын
Tunahitaji watume kama hawa tano hawataki ujinga wanayoroza makonza dada sarah pole mungu atawapigania
@PhilisKundu22 күн бұрын
Shetani ashitwe kwa jina LA yesu amen
@janetmwale612722 күн бұрын
Mungu simama na Raff plz amepitia mengi
@MwangalaEverlyneNelima22 күн бұрын
Kwani camera lady si hata wewe unafaa kuzikiza vile mtume anaeleza
@AssnnetMusuruve-jp5dv22 күн бұрын
Woi😢 depression uyu raff anapitia aki mungu usiwache uyu kijana aki bariki yeye akimaliza mission akae sawa asahau shida amepitia aki
@judithmelvinealuchio896822 күн бұрын
chenye sielewi nii yule mutume Aziz aliwatuma mukaokoa kwani hakuwa mamako Raf
@isabelakerubo375322 күн бұрын
Yule waliokoa NI mama ya Aziz
@theresiawangui131522 күн бұрын
Mbona Sarah hataki kufuata simple instructions????? Tulisema gari like sawa hawasikiii. Mtume akasema mganga haha nguvu, hawasikii?????
@chunaabdullah133322 күн бұрын
Mama Eric hana makosa, kweli mtume alisema gari iko Sawa lakini wapeleke gari service na Raff ndio akua apeleke asubuhi na Raff ndio kawai kutoka
@annejuma317722 күн бұрын
Huyu mtume nikiboko yao,😅😅😅😅 sasa kataa mission pokea viboko alaah kwani iko nani 😅😅❤❤❤❤❤❤❤
@Sharon-z8i4x22 күн бұрын
Mama shifuna God is trying to use you acha kupea mitume hard time na bado hujakipokea😢😢
@karanjagladys182722 күн бұрын
Huyu mama pia nikama amshubaisha laff😢
@lenismokeira505622 күн бұрын
Mganga round hii clone akikupata na vile niliona ako na style deadly za kukunyonga wacha ile ulikuwa unambia kinyambiza akufurutie shingo unakufa sasa utakufa cha ukweli
@naomybosibori950422 күн бұрын
😂😂😂😂ETI UKO MBELE CLONE ATANISHIKA😂😂
@JanetKenyatta22 күн бұрын
Aky rahaf unapenda kubebwa nikama pia dada sarah ana upagusi kati yako na erick anawapenda sana ndio maana urikua unamutafutia wokofu wacha mungu abariki hii familia na katika jina la yesu utapata mamako mukae kwa amani❤❤❤❤
@jacklinerudisi511622 күн бұрын
Eric aliendapi surely ashike Raff mkono hata kama nikienda maombi si angerudi kwanza, then Raff umekuwa strong ukisaidia watu wengine mbona umefika kwa mamako unachoka instead ya kuomba na uje online tuchange kama kawaida wewe ni kuamua zako kwa nini Raff surely.... Lakini Raff Tena unamchezo😂😂😂😂Hapo kwa Kuja nikubebe miguu zinapata nguvu ya kuinuka😂😂😂😂weweee.....
@veronicahsabina652222 күн бұрын
Eric alikua kwa prayer and fasting for a week
@isabelakerubo375322 күн бұрын
Mganga walifunga watu waste pesa ya kuenda kuokoa mama yake ata gari waliweka madawa na nyoka😊@@veronicahsabina6522
@isabelakerubo375322 күн бұрын
Wasipate
@mercykagwiria810922 күн бұрын
Eric ni Mtume pia
@AgnesKamau-h6j22 күн бұрын
Wew mama Sara hatukuoni vizuri ata ukimtafuta una nuna ati hujakula
Jana watu walimwambia tokeni mtume ako na nyinyi akasita tu niusiku na aliona raff hali sio nzuru ss viboko ndio hiyo
@johnndunguMbugua22 күн бұрын
Hata dada Sarah hajawahi patana na viboko,wacha apate adabu kwa kupuuza mtume
@MagdaleneMaingi-p7c22 күн бұрын
Unasahau za babu 😂😂
@MoureenGesare-u7j22 күн бұрын
Raff ni vile ako peke yake as in angekuwa na Eric hakekuwa na hii stress 😢😢😢😢
@charlesongoro481122 күн бұрын
Huyu mama sifuna sio mama mzuri
@glad465322 күн бұрын
Mbona? Mungu amemsamehe ubaya wake uko wapi?
@CyphroseRobert22 күн бұрын
@@glad4653👍 Ni mtu mzuri tu.🙏
@teedullah570822 күн бұрын
Nani kama mama pole Sana raff mungu atakuja Liya mmko atarudi
@rachaelosiche12122 күн бұрын
Dada Sarah pole ulikuwa umepumzika viboko za mababu sasa leo Mtume amekuchangamsha na viboko za pande hii😂😂😂😂😂😂
@AssnnetMusuruve-jp5dv22 күн бұрын
Dada Sara haskii maneno 😂😂😂jameni uyu mtume n mambo mbaya sio mchezo
@MaldrnA22 күн бұрын
Na hizo hidden camera zenye huwa munaweka kwani huwa hamuangalii,Raff sababu mganga alikuwa akipanga na Lilian,nyi mnatuwekee video na headlines na nyi wenyewe hamuangalii,sasa oneni yenye mnapitia
@MagdaleneMaingi-p7c22 күн бұрын
Raff pia wewe uko na mchezo.After kukosa pesa ungerudi ka nyumba
@PingaBombwe22 күн бұрын
Kwani Jana si mlichangisha na mkasema mtapeleka gari Kisha msafili vipi tena😢😢😢😢
@elizabethkosgei473122 күн бұрын
Dada sara na uwache kuongea mingi, sikisa kwanza na uongee chache, Wacha kuroboka mingi, isilo la mahana
@mwahijaseleman424722 күн бұрын
Ndio hakuja mtume azizi kaja uyu mkari kiboko yako
@MagdaleneMaingi-p7c22 күн бұрын
Ukweli,Aziz ni mpole
@ReemaM-i5t22 күн бұрын
Wakti mwengine nvzr kusikiliza maneno mutume anavyo ongea jmn maana anatetea uhai WA mama raff inatakiwa ukiagizwa kitu unayafata bt raff pole pole sana kwayote hyo yataisha 🙏🙏🙏🙏
@sellyraps205722 күн бұрын
Wao wana skia na kusafiri ni pesa hawajakataa ni vile waganga wsmefunga njia za kupata nauli
@ZiX-o8w22 күн бұрын
Mama shifuna sikiza mtume awaongoze vzr ju mtume sio mtu mbaya ni mcha mungu huyo
@teedullah570822 күн бұрын
Raff pole Sana msikize mama shifuna kwani Eric yuko wapi
@Betty-wk3eg22 күн бұрын
Huyu mama shifuna nikama ataki raff aokoe mamake raff Mungu pigania raff aweze kuokoa mamake setani ana mamlaka juu yako Mungu saindia hawa vijana team chisaka, ndangulo, mungu awalinde kila wakati 🙏🙏🙏🙏🙏
@evelinemose995922 күн бұрын
Mtume anaongea na mama shifuna anamkatisha badala angekaa wadikize chenye wanaambiwa. Bado anahitaji kijapo
@veronicahsabina652222 күн бұрын
😂😂😂😂😂mama shifuna anaetembezwa cha lazima kwa viboko
@shalomkind457522 күн бұрын
Mkichapwa mseme JESUS CHRIST OF NAZARETH !TUSAMEHEEEE!
@sara-fx3wp22 күн бұрын
Mama shivuna uko na roho ya shetani hata kama umeokoka haya yote n ww ulichenga madhabau mbaya mbaka ukanyanyua ndoto ya raff ngangana upate mamake raff
@WeddyKathambi-b6g22 күн бұрын
Hakukua kupenda kwake stop judging
@EmilyOsita-ni4um22 күн бұрын
Alipo samehewa na mungu dhambi zake ziliondolewa,roho ya shetani hamna ndani mwake amen
@lilianmbeyu22 күн бұрын
Ameokoka amekuwa kiumbe kipya,ila hii vita ni ngumu ni Mungu tu awasaidie
@damarismwaura145522 күн бұрын
Aty utajia njia ni gani😂😂😂😂na umeelezwa hizo viboko for me😂😂😂😂
@Humble-f7x22 күн бұрын
Mungu saidia pesa zipatikane raff apate mamake inauma sana mungu fungua njia wapate pesa waokoe mamake inauma kwa kweli everything will be fine in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏
@CyphroseRobert22 күн бұрын
Kumbe camera lady ni mke wa Raff, hongera sana Mungu awabariki.🙏
@lailalaila629722 күн бұрын
Raff akiambiwa njoo nikubebe unaenjoy na kupanda haraka haraka😅😅😅😅
@mercykagwiria810922 күн бұрын
Ni mgongo ya aunt wacha aenjoy😂😂
@MwangalaEverlyneNelima22 күн бұрын
Aki huyu mama ana maswali mengi na ku argue sana
@Famillebeine22 күн бұрын
May God strengthen dada Sarah ,I love how lovely this mother is to Raff 🙏🙏🙏
@janetmugure23422 күн бұрын
Dada Sarah kichwa ngumu sana
@Briana_B-t9j22 күн бұрын
Huyu Mtume nikama ni babake Raff.
@Mamajona-f1z22 күн бұрын
Hata mm nafikiria hivo ....sauti ni moja
@dorcasofficial169822 күн бұрын
Kweli raff anapenda kubebwa kama mtoto mbona alijileta mwenyewe kurudi ana bebwa