Mungu awbariki na kuwalinda watumishi wote wa safina na kuzidi kuwavuvia roho mtakatifu🙏
@Brendaface-ud3fv Жыл бұрын
Mungu awalinde watumish wote wa safina radio
@belindalowasa2819 Жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe Mimi niko zanzibar nahitaji hicho kitabu napataje
@GloryGasper-b4r Жыл бұрын
Huyu Mungu wa Mbinguni asinyamaze Kwa ajili ya watumishi wa radio safina pamoja na watumishi wote katika taifa letu wanaomwabudu Mungu halisi,Mungu awabariki ninyi nyote mnao mwabudu Mungu katika roho na kweli 🙏🙏🙏🙏🙏 Imekuwa njema sana hii ibada nimemwona Mungu akituhudumia kwakweli Mungu yupo Nasubiriaa kupokea tena siku ya tarehe 05/8/2023 ni siku ya Jumamosi Yesu anipe kibali naikaabidhi siku hizi wakfu Kwa Jina La Yesu
@davsonshao.4865 Жыл бұрын
Ameni,jaman nashid na namba yake mwenye nayo msaada
@EvalineEmmanuel-wr6ub4 ай бұрын
Mungu awalinde watumishi wa safina baraka za bwan zizidi kumiminika
@hellenchristopher8003 Жыл бұрын
Mungu anisaidie matokeo yangu yakabadilike na yawe mazuri, Eeh Mwenyezi Mungu nisaidie
@MikeLukumay Жыл бұрын
Mm mako natamuka ya kwamba maombi ya ntaren4,8223 mungu usiniac he yesu sinategemeolikine tembea na mm maana nimekata roho saumasikini Kwa njina LA yesu kirisito amen
@EvalineEmmanuel-wr6ub4 ай бұрын
Jaman mimi natamani kupata namba za mtumishi paschal Thomas nisaidien bas
@BenardLaizer7 ай бұрын
Mungu abariki radio safina
@MalilaMalila-ht2fr4 ай бұрын
Ee Mungu baba simama nami
@FelistaShija-l1h Жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa radio safina
@PendoElirehema6 ай бұрын
Mchngaji mungu akubarik sana
@mmaryroselyne Жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki watumishi waredio safina 23:50
@joshualaisa Жыл бұрын
👐👐
@janetshao6423 Жыл бұрын
Amen
@BenardLaizer7 ай бұрын
Mwenyezimungu naomba unisaidie nipate lesen nanipate kazi kwa jina layesu
@salmakiyabosiriyamachoziha8756 Жыл бұрын
Ameni
@pollineshirima502316 күн бұрын
Shalom watumishi Asante Kwa maombi naomba number ya hansi max
@happymahuvi Жыл бұрын
🇮🇱🙏
@belindalowasa2819 Жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe Mimi niko zanzibar nahitaji hicho kitabu napataje
@EvalineEmmanuel-wr6ub4 ай бұрын
Mungu awalinde watumishi wa safina baraka za bwan zizidi kumiminika
@EvalineEmmanuel-wr6ub4 ай бұрын
Jaman mimi natamani kupata namba za mtumishi paschal Thomas nisaidien bas
@MikeLukumy074 ай бұрын
Amen
@EvalineEmmanuel-wr6ub4 ай бұрын
Jaman mimi natamani kupata namba za mtumishi paschal Thomas nisaidien bas