Masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra shekh wetu OTHMAN naswaha nzito kwa malezí n ss piah kujichung n marafiki zetu ...mola akubariki akupe kheri dunian na akhera Ameen 😊😊
@Sayd-pi5lq9 ай бұрын
Ameen yaarabb kwa sotee InshaAllah
@MaryamRashid-r8z12 күн бұрын
Maashaallah Allah akuzidishie uhai na uzima na afya njema sheikh wetu na akuzidishie ujuzi zaid inshaallah
@Sayd-pi5lq9 ай бұрын
Allah a2zidishie kher inshaAllah na pia a2pe muongozo
@AnishaAlly-de2heАй бұрын
Mashaallah tabarakallah Allah akujaze umri sheikh tupate kuyasikiya mengi katika Islam twamuomba akupe jaamah yarrabi 🙏
@SophiaTsopa4 ай бұрын
MashaAllahu mwanagu kipenzi Mwenyezi akuzidishie neema ya ilm uzidi kutuongoza na mahasidi wasikuone
@eshasaid32589 ай бұрын
Atujali waja wa peponi❤❤❤❤ pepo ya firdausi pomja na mtume ❤❤❤❤❤sheikh othuman❤❤❤amini❤❤lnshaallah❤❤❤❤
@salmaalnabhani26478 ай бұрын
¹1¹❤❤❤❤111😍
@MuhindoJamaldin9 ай бұрын
❤❤❤nikweri afiya njema na akhra na furaha
@noriegaabbas32059 ай бұрын
Swadcta sheikh maalim Othman. Ahsante
@ZuhurIbrahim-g9t9 ай бұрын
Asalaam alaiykum Allah amlipe ajirah kadiriyake alivyokadiria isha allah
@ayoubballe84942 ай бұрын
Mashallah allah akupe umri mrefu sheikh wangu inshaallah
@RayaSuleiman-o7y6 ай бұрын
Mashaalla mawaidha ni mazuri Allah akulipe ujira mkubwa inshaallah.
@SalmaMohamed-z8e9 ай бұрын
Jazzakallah kheir shekh Othman maalimu
@Hemed-g2n4 ай бұрын
Jazakallhu khaaira
@HawaHawa-f7u9 ай бұрын
Umetufunza mazito ambayohatuyajuiii
@Lightway-c7o9 ай бұрын
Mashala alhamdulilah Good lecture. Allah atupe uongofu tuelewe na tuishi na tulee wanafunzi katika hii njia
@HawaHawa-f7u9 ай бұрын
Mashallah tabaraka rahmanii.
@issathani63259 ай бұрын
mashllah ❤
@ShMsaAberi9 ай бұрын
MashaAllah ❤
@azizayassin36239 ай бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@FatmaMzee-mx9xg9 ай бұрын
Hakika umesema Yakweli
@siriyangu47249 ай бұрын
Amiin yarrab
@FatumaShabani-pe2ye9 ай бұрын
Alhamdullah
@ChausikuAhmadi4 ай бұрын
Assalam aleyikm wapendwa waisilam naombeni ushauli napia kama nitakosea mnisamehe mimi nimwisilam kabisa naomba ushauli wenu kuna vijana wawili mkubwa na mdogo naote wanakazi nzuri kabisa ote hawa wanania yakunioa nafamilia yao imelidhia kabisa naniwaisilam kabisa mkubwa ameshawahi kuoa lakini wakaachana nawamezaa watoto 4 mdogo hajawahi oa wala kuzaa lakini ote wanavuta sana naombeni ushauli wenu yupi niende kwake mnisamehee San kama nimekosea wapendwa
@madrassatulihyaa-ilislaami29112 ай бұрын
sasa kama wanavuta hao n wanaume kweli wa kuanzisha nao familia,...hao wataaribu watoto manake watot wanachukua tabia za wazazi,..swali istikhara na Allah atakuonyesha yupi sahihi huenda wote hawakufai,..n pia pesa isiwe kisababu cha wew kupenda Mume, hakika pesa n pambo tu katika mapambo ya dunia mbora wenu n yule ambae anamcha Allah,...Shukran
@asiahamis7893Ай бұрын
Masha Allah imeshika sehem zote barakallah fiquum❤❤❤@@madrassatulihyaa-ilislaami2911