Assalamu Alaykum ayyuhal ikhwanil qiram. Naona leo mumekaa chonjo mukanitangulia lakini kuchelewa ni bora kuliko kukosa kabisa. Allahumma Barik team Salim daawah.
@ZakiyaAnwar-w1r22 күн бұрын
MashaAllah
@salimdaawah12320 күн бұрын
Aameen ameen ameen tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
@RajabwanyonyiJuma22 күн бұрын
Tumeimgia, wa pili leo❤
@salimdaawah12320 күн бұрын
Masha Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@ibruzah00122 күн бұрын
Jazakumullah kheyral jazaa mashekhe wetu. Natumai sheikh Hassan yuko salama na buheri wa afya. Mda mrefu hatujamwona kwenye kiwanja. Allah atujalie sote afya njema na atujalie wenye kufaulu duniani na akhera.
@salimdaawah12320 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@abdallahdoka917322 күн бұрын
Waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatu ❤
@MohdJuma-w6l22 күн бұрын
Leo nimewahi wa 20❤❤❤
@HisMajesty6422 күн бұрын
Watu 10 peke yake wameandika comment utakuaje wa 20😂😅
@nin-geed-saaran22 күн бұрын
@@HisMajesty64views 20
@salimdaawah12320 күн бұрын
Masha Allah tunawapenda wote kwa ajili ya Allah
@hassansharif571622 күн бұрын
Masha ALLAH
@faridbashuu22 күн бұрын
Barakallahu feekum nyote Wakristo hupiga makofi na Hata swali na jibu hazipelekani ( Confused )... Wagalatia mtihani...
@salimdaawah12320 күн бұрын
Wengi wao hawajui na hawajui kama hawajui ni mtihani sana
@SaidMgeni22 күн бұрын
مشا الله تبارك الله
@jamaltv295322 күн бұрын
Assalam aleykum warahmatullahy wabarakatu, watching from Riyadh Saudi Arabia
@HisMajesty6422 күн бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu
@salimdaawah12320 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@ibruzah00122 күн бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@Idysalim21 күн бұрын
Mwalimu Salim umenimaliza eti wewe huko binguni hutaki kwenda😂😂, Subhannah'Allah wataelewa tu polepole, hajui bingu zitaondoka, Kazi ya daawah si rahisi kweli, Allah awape subra na umri mrefu mwendelee kutufunza sote insha'Allah, jazzakal'Lahu kheir
@salimdaawah12320 күн бұрын
Aameen ameen ameen hiyo bingu wanaoenda haieleweki
@MohamedMeja22 күн бұрын
Masha allah mungu wabarikii
@salimdaawah12320 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@ibruzah00122 күн бұрын
Wa alaikum salaam warahmatullahi wabarakatuhu
@fatumahamisi160421 күн бұрын
Allah karim
@mwanaidiissa1022 күн бұрын
❤❤Allah akujaalieni afya tele mashekhe wetu
@salimdaawah12320 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@estherwamaitha100622 күн бұрын
Allah awafanyie wepesi kila njambo
@salimdaawah12320 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@mamasiham928722 күн бұрын
Allhamdullilah
@nayef390322 күн бұрын
Huyo mzee mbishi wakristo wanamtuma apoteze Mda huwa mjuaji
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@badmanno.165022 күн бұрын
Huyo David atasilimu insha'Allah.
@salimdaawah12321 күн бұрын
Inn shaa Allah
@badmanno.165022 күн бұрын
Mwengine mbishi ni huyo Shadrack 😅😅 na ukija unprepared Sheikh Ali atakupa vineno neno vyakuchoma. 😅😅😅
@salimdaawah12320 күн бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@aliroro934422 күн бұрын
😂😂😂... Subha Allah Sasa Mungu alkua mdogo 😂 alfu ttzo awataki kurekebishwa wankua wabishii sanaa
@salimdaawah12320 күн бұрын
Wataelewa tu inn shaa Allah
@MwangiMuhammad-q8r22 күн бұрын
Mushkilat sana huyo white t-shirt, kuelewa huwa ni kipaji kumbe? Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu
@salimdaawah12320 күн бұрын
Kabisa walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@badmanno.165022 күн бұрын
Somo la leo kwa kweli limeeleweka, watu wametulia sana wakaskiza maandiko.
@salimdaawah12321 күн бұрын
Kabisa Allah awaongoze waione haki na waifuate watoke katika giza
@bashirmahero702122 күн бұрын
Asalam alaikum brother and sister nmeingia Tena
@HisMajesty6422 күн бұрын
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu
@salimdaawah12320 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@alilim195822 күн бұрын
Leo imechelewa kuuingia
@salimdaawah12320 күн бұрын
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@josemu87019 күн бұрын
Allahamdhulla
@ibrahimhajji621022 күн бұрын
Shida ya mzee Ali ni ku interrupt mwalimu akiongea..tafadhali onge na yeye awe kama wasomaji wengine.
@hmmmandy757322 күн бұрын
Sioni kama Kuna shida...hawa masheikh wanasaidiana. Ni mgumu sana mtu kunyamza wakati mwegine anakana ukweli.
@HisMajesty6422 күн бұрын
@@hmmmandy7573mimi kwenye topic hii nimeamua kukubali tu yaishe. Anaetaka asukume mbele video sehemu inayomuudhi kama ninavyofanya mimi😅😂
@ConfusedCello-kj5gk22 күн бұрын
Ali unaongea sana wachia hao salim
@HisMajesty6422 күн бұрын
Bora ukubali tu. Mwache mzee wetu apambane na hayo masikio ya kufa. Kazi yenyewe ngumu.😢
@mwanaidiissa1022 күн бұрын
😅😅😅 eti kazi yenyewe ngumu@@HisMajesty64
@molee0022 күн бұрын
Huyu Cameraman ana zurura sana wakati Andiko ina somwa. Hakuna haja yaku Film Crowd kila saa! Film The Crowd very briefly just ONCE every 25mins, for 20secs only! Unatu potezea Raha ya D3BATE, wakati una concentrate on the CROWD kila saa! Jamaa ame ulizia Swahili Bible inao somwa. Answer is simple. The Swahili Bible ni XOPY ya ENGLISH KingJames VERSION Bible(Slave Bible), ilio TUNGWA kule OXFORD in 1814AD. Therefore the ANSWER is: Biblia ili TUNGWA in 1814AD, katika lugha ya ENGLISH! Simple! Na LEO, kuna over 2000 VERSIONS ya hii 'King James VERSION Bible' ya 1814AD. Therefore Biblia, ili TUNGWA na WAZUNGU in 1814AD! TabarakAllah Team na Bebaji Vitabu na Cameraman.