Muhammad Bachu acha uongo || Hakuna funga ya arafa moja dunia nzima: Ustadh Haji Upepoحفظه الله

  Рет қаралды 20,975

Haji Upepo Online tv

Haji Upepo Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 324
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 3 ай бұрын
Acheni malumbano bachu bachu hasad hizo Allaah Amuhifadhi bachu biidhini llaah
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 3 ай бұрын
Ujinga ndo unamsumbua bachu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 ай бұрын
Sio hasad bachu anapotosha na ilomu hana sasa achafue achwe
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 3 ай бұрын
Hapo ni porojo tu bachu ndo ana elimu
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 ай бұрын
Hasad kwan ana nn
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 3 ай бұрын
Amin
@UstadhSalmu
@UstadhSalmu 3 ай бұрын
Shukran maalmu Mie naisubili kwahamu hiyo mada yakivuli in Sha allah
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l 3 ай бұрын
Nime kuelewaaa sana upo sawa huyo mtt wa bachu Wala ASI washuhulishe ana kamshahala kwa ajili ya kutetea uzushi
@tbm7tv257
@tbm7tv257 2 ай бұрын
Watu wa Bid'aah kama wakristo, mmepotea.
@sheikhyusufdiwan2489
@sheikhyusufdiwan2489 3 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@jamalabdillahi3575
@jamalabdillahi3575 3 ай бұрын
Bachu pia wewe kubali ukikosolewa...
@abdallahkabuto8392
@abdallahkabuto8392 3 ай бұрын
Bachu Dunia sio kama meza..hii arthi ina time zones nyingi na hiza Zina thinitisha utukifu wa Allah,na ukweli Mtume (SAW).watu wafuate matlai (zones)za kwao.
@sulekhan7119
@sulekhan7119 3 ай бұрын
Wajuwa kujifanya kira kitu unajuwa nimtihani mambo mengine angalie tu
@salumkaisi4907
@salumkaisi4907 3 ай бұрын
Mashekh mnafeli wapi kama arafa nitendo la kusimama arafa linalofanyika siku siku siku ya 9 nalinafanyika namaujaji? Hiyo siku fungeni
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 3 ай бұрын
Hyo Dalil haipo ya kufunga kwa kuangalia kisimamo hapa kinachozingatiwa ni mwez 9 na mwez 9 inategemea mwandamo dhulhijjah kwa kila sehem hicho kisimamo kinategemea mwez 9 kwahyo kisimamo cha mahujaji kinategemea, mwandamo wa makkah lkn kwa walio mbali na hijjah hawahusiani kabisa na kile kisimamo kwa sabab kile kisimamo ni tendo la mahujaj lkn weye si hajj kwasabab pia funga ya siku ya arafah ilikuwepo kabla ya, kufaradhishwa hijjah uelewe acheni kupotoshwa kwa kuwasikiliza mashekh mihemko akina Bachu
@HemedSerious
@HemedSerious 3 ай бұрын
"Ni uzushi wa wazi'' ni msimamo wa kimwehu sheikh haji Allah azidi kukuweka na afya. Inshallah...
@madhuru2554
@madhuru2554 3 ай бұрын
Hao wanaosema fungeni tarehe 9 ndio wazushi Mtume swallahu alayhi wasallam amesema fungeni yaum Arafah wala hakusema fungeni tarehe 9.
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 3 ай бұрын
​@@madhuru2554sawa twambie mtume wakati wake kafunga vipi na swahaba na tabiina na tabii tabiina
@allykhalfan9513
@allykhalfan9513 3 ай бұрын
Haji upepe rudi madrasa ukasome tena
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 3 ай бұрын
Tuacheni bachu wetu
@ibrahimutuwaamiri9163
@ibrahimutuwaamiri9163 3 ай бұрын
BACHU MJINGA ASAMEHEWE TUU MTOTO MDOGO ANALOPOKA TUU
@AthumanMohamed-xq1qe
@AthumanMohamed-xq1qe 3 ай бұрын
Huyu mtoto wa bachu hajui elimu
@omarysungi4635
@omarysungi4635 3 ай бұрын
Kisimamo cha arafa hakifungamani na funga ? Au
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 3 ай бұрын
Nakupenda sana mwalimu
@alikurran150
@alikurran150 3 ай бұрын
Ushauri wangu epuka maneno ya hasira kama mwehu,punguani,etc yatakushushia heshima
@AmirathumaniSori
@AmirathumaniSori 3 ай бұрын
Shekh hauna JPY wew acha kundanganya wat wewe muongop mungu
@abdallahkabuto8392
@abdallahkabuto8392 3 ай бұрын
Ajabu ya uhabi unachimbuko la uzayuni ndio wamepata jina lingine ,wanaitwa ZIOSLAM.yaani islamya uzayuni.wanao chukia wapalestina,wala hata chakula huwanyima .
@shmohd11
@shmohd11 3 ай бұрын
Muongo. Kuna Wapalestina zaidi ya 200,000 wanaishi Saudia.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Swali lingine. Je, waislam and wa zamani ambapo hapakuwa na vyombo vya habari wao waliangalia mwezi tu na wakatofautiana siku ibada zao batili?
@shmohd11
@shmohd11 3 ай бұрын
Sheiikh Ibn Uthayneen ni kauli yake (Allah amrehemu). Je mumeisoma Fatwa ya Lajnat Daaimah ya huko huko Saudia kuhusu suala hili?
@burhanmuhammed2234
@burhanmuhammed2234 3 ай бұрын
Ww haji ni upepo tuu huna kitu
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 3 ай бұрын
جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ
@khadijashee9105
@khadijashee9105 3 ай бұрын
Hatuna majibu wewenimpuzi humuwezi bachu nenda kateze chakacha
@AbdallahMasoud-bp6hz
@AbdallahMasoud-bp6hz 3 ай бұрын
Bachu mwenyewe huku msa alijikojolea ilibakia kidogo tu ajikunyie maana swali moja tu ilikua hali hiyo je!!​@@khadijashee9105
@mngwaliis-haka5348
@mngwaliis-haka5348 3 ай бұрын
Mashallah ahsante sanaa
@badrukhamis-rx1yu
@badrukhamis-rx1yu 3 ай бұрын
Sio siku nyengine ni siku Ile Ile siku Ina masaa 24
@KhamisHabib
@KhamisHabib 3 ай бұрын
Assalaamu alaikum kwa hio yule uliemuweka tumsikilize alikua Mtume au
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 3 ай бұрын
Mashallah
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 3 ай бұрын
Shekhe Muhammad bachu kusema ukweli mafundisho yake yanapotesha jamani asiy kuwa na elimu kama mm akay kimya awe ni msikilizaji tu ila asipotow uislamu Mm sijasikiyapo alla asiwe na kivuli Astaghafirullah
@KhamisHabib
@KhamisHabib 3 ай бұрын
Ingekua unafahamu zaidi mbona ndevu tu zimekushinda kuweka au hadithi pia alikosea Mtume
@IbrahimsalehKikuli
@IbrahimsalehKikuli 3 ай бұрын
Ache kuita mashekh waong wao wamesom watoa fatua kwa walch kifaham mm n ww tunaft upepe tu
@HajjiSuleiman-er4ly
@HajjiSuleiman-er4ly 3 ай бұрын
Tuacheni nyinyi nyote wawili ikhtilafu mmezikuta kuweni na adabu ya elimu
@superhemed7590
@superhemed7590 3 ай бұрын
Hoja ni kwa masaa Macca na tanzania masaa yapo sawa
@saidilikananowe1446
@saidilikananowe1446 3 ай бұрын
Hoja kufunga pamoja dunia haiwezekan ndio inayozungumziwa kwamba mkifunga pamoja na watu waliopo hija ndio unazipata hizo fadhila za arafa ss sheikh ndio anakuambia hapo sio sawa na haiwezekan hebu sikiliza kwa makin hy ni elim usiwe mwepes kwaajir ya ukaid tu.
@salemaliy1963
@salemaliy1963 3 ай бұрын
Hemed quruan.hasemi hivo
@SuleKhamisi
@SuleKhamisi 3 ай бұрын
Ivi mna Nini nyinyi jaman mnawapa nguvu wacokua waislam
@PeacefulSoccerGoal-ki7td
@PeacefulSoccerGoal-ki7td 3 ай бұрын
Hpa Kwa shk bachu umepata mwenzio coz yy atakujibu ila shk Ally mselem huwezi mpata Kwa fani hzi
@YusuphRamadhan-y1m
@YusuphRamadhan-y1m 3 ай бұрын
43:15 huyu ni mpotoshaji mufti mwenyewe natafuta kifaa cha kuangalia mwezi
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o 3 ай бұрын
Huyo bachu anataka kupoteza watu. Yende azidishe elmu
@KhamisHamad-gk7eh
@KhamisHamad-gk7eh 3 ай бұрын
tunaingia usiku sote na mchana mmoja
@Omanzikra-ft5cr
@Omanzikra-ft5cr 3 ай бұрын
Huyu mtt wa bachu yuko sawa ila nyinyi tunao waita masheikh zatu nihatari mm mahujaji wakisimama arafa ndio nafunga ndio sheria hayomengine yote mnayo ya sema niporojo tu
@tbm7tv257
@tbm7tv257 2 ай бұрын
Sahihi
@HemedSerious
@HemedSerious 3 ай бұрын
Yani wana majibu tofauti kwenye suali moja mawahabi bwana!!!!
@MussaBinauli
@MussaBinauli 3 ай бұрын
shekhe basho sio muogo nhi munaficha ukueli basho kijana mjuzi kabissa na atakufudicheni wote na mashehezeno . dio munawakosecha wato .toka uge una dalili unaogea kisuaili toa dalili
@mustafapandu5189
@mustafapandu5189 3 ай бұрын
Nyinyi nyote vijana wenye pupa ya kujifakharisha kielimu wala hamna elimu na nidhamu ya elimu sijui nani kakupeni usheikh. Tunataka mabadiliko kiuchumi , kisiasa , kivita, kiuchumi usheikh wenu vibalekhe nyinyi ni kujifakharisha.
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 3 ай бұрын
Toka lini sis tukaona mwez kabla ya saudia
@hazardmjeshi5200
@hazardmjeshi5200 3 ай бұрын
Sasa mambo yakivuli ya nn hap na tunazungumzia arafa
@HemedSerious
@HemedSerious 3 ай бұрын
Jambo halitekelezeki kbs
@mudirashid5973
@mudirashid5973 3 ай бұрын
Maalim kanukuu sahihi.Simu na television Ndio vilivo tuharibu waislam wa kizazi kipya. Ikiwa hamna hivi kila mtu angefuata muandamo wa nchi yake. Maana uislam hauendeshwi na vitu hivi
@badrukhamis-rx1yu
@badrukhamis-rx1yu 3 ай бұрын
Zamani Zanzibar ilifika somalia leo kwakua sio nchi yetu mwezi ukionekana somalia tunasema sio wetu
@hometownke.9658
@hometownke.9658 3 ай бұрын
Bachu ako sawa
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 3 ай бұрын
Bachu kapinda, kwa hili hana hoja msikilize huyu shekh vizuri bila ushabiki utajua kabisa bachu nawenzake wamepinda kiufupi huyu shekh nmemuelewa, mwezi wa kimataifa, haupo na hakuna, dalili ni maneno tu ya Technology
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 3 ай бұрын
Bachu yuko sawa lkn syo kwa hili la mwez
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 3 ай бұрын
HAWA MASHEKH WA BAKWATA MTIHANI SANA KAZI KUPIGANIA MASLAHI YA DUNIA NA KUPOTOHA....NAWEWE UNAPAMBANA KUPIGA PROPAGANDA UPATE NAFSI PALE BAKWATA
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 3 ай бұрын
Upepo kama upepo elim yako ndogo Sana hao sio masheikh wakubwa wewe hao ni washirikina hawafuati tawheed
@AbuuzuhairMuhammad
@AbuuzuhairMuhammad 3 ай бұрын
Bachu kwakuw mnampend t
@salamanyale2226
@salamanyale2226 3 ай бұрын
Mtu hajielw apendwe kwa lip lbda nyinyi majuha msiojielw mpka wanazuon wenu pia mwaqapinga ni uzima kwl
@SuweidJuma
@SuweidJuma 3 ай бұрын
Uo bachu msomeshen mpk aelew
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci 3 ай бұрын
Mie nahis vyema ukasomeshwa wewe maan kama bachu ana kibanzi cha jicho wewe una boriti jichoni
@aishamary2462
@aishamary2462 3 ай бұрын
Hukuwa na sababu ya kumuita muongo ni swaala la kumuelekez alipokosea yeye ni binadamu uislamu ni kupenda
@rushu1232
@rushu1232 3 ай бұрын
Huyo bachu sijui kasoma wapi maana kiarabu kinampiga chenga sana hana ilmulmantwik ndio anatoa makosa pasipo kuwa namakosa kilugha.
@alfamody6286
@alfamody6286 3 ай бұрын
huyu nae kwa kutafuta kiki!!?🤥kweli wewe upepo na unachukuliwa na upepo kweli kweli
@SuleKhamisi
@SuleKhamisi 3 ай бұрын
Wewe upepo na bachu muchukilia wake zenu au mbona hamna adabu nyinyi kweli ni waislam kweli? Na mmekosa la kulingania
@AbdulshakuurMohammad
@AbdulshakuurMohammad 3 ай бұрын
Jahhili wa
@mustafapandu5189
@mustafapandu5189 3 ай бұрын
Upepo unachanganya wasiojuwa achana na mitandao jifunze elimu kwanza
@Alvials
@Alvials 3 ай бұрын
Kachanganya wapi ?
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 ай бұрын
Ww ndio wachanganya haji upepo yuko sawa
@khamismaulid-zh4xk
@khamismaulid-zh4xk 3 ай бұрын
Shehe acha matatizo hebu wafahamu ndio uwongee watu wanafata muandamo popote duniani muhimu taarifa tu nyinyi mmeshika saudia tu mbona mnamatatizo nyie
@muhidiniwadhifa3600
@muhidiniwadhifa3600 3 ай бұрын
Acheni kuufanya uislam kuwa mgumu nyote kama kukosea nyote mnakosea hemu toeni nasaha watu wajitahid wasome, ww unamwita mwenzio wahabi wewe uitwe shia ama nani upotoshaji
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 3 ай бұрын
Bacho kiielimu bado,,ila anatafuta umaarufu tu
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci 3 ай бұрын
Ila kwa wewe tayar sana na anakusomesha vizuri xana tu
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 3 ай бұрын
Bachu so muongo ,hili jambo Lina khilafu Kila shekh anafundisha Kwa ushahidi wake hakuna haja ya kukadhibishana mitandaoni acheni kutafuta kiki na kuwababaisha waislam
@rashidmohd115
@rashidmohd115 3 ай бұрын
Ni kweli hili jambo ni la khitilafu, lkn bachu anachokosea yeye anataka watu wte duniani wafuate itikadi yke wakat jambo ambalo haliwezekani kwabb ni suala la kielimu ambalo lenye ikhitilafu tangu uyo bachu hajazaliwa, sasa anachopaswa kufanya bachu ni kuheshimu itikadi yke,ya wenzke na cio kujiona yeye ndio ni pure wengne ni wrong 'apo siku zte atafeli.
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 3 ай бұрын
Bacho muongo. Anawapotosha waislamu
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 3 ай бұрын
Tangu lini mhabi akaheshimu mashekhe.?
@KhadijaDida-j2q
@KhadijaDida-j2q 3 ай бұрын
Bro hakuna ikhtilaaf kwa wanazuoni kuhusu swaumu yaumu arafa hukmu ni kuangalia muandamo wa mwezi wa maeneo yako wala si kufuata kisimamo cha arafa .hakuna hata hadithi wala aya wala maulana yy ndio kaelewa vibaya kisha awalazimisha wafuasi wasio fahamu
@KhadijaDida-j2q
@KhadijaDida-j2q 3 ай бұрын
Hizi ni ibada mbili tofauti kabisa moja ni sunna na nyingine ni faradhi sasa niambie zaingiliana vipi ndugu yangu kisha kisha huyu alokwenda nifaradhi kwake ambayo ni ukufu arafa na nyingine ni swaum ambayo lazima uangalie mwezi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 ай бұрын
Ww ni upepo Ule unaotoka kweny Tundu la haja kubwa. Achana Na mitandao nenda katafute Elimu.
@arifali3942
@arifali3942 3 ай бұрын
WW AKIL HUNA MISHIP YAKO YA UBONGO IMEUNGANA NA MISHIPA YA MAV .KUNA UPEPO KIMBUNGA PIA AU HUJUI
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 ай бұрын
@@arifali3942 na ww ukakae chini usome acha kufata mkumbo. Mfano Afrika nzima ingelikuwa chini ya mtawala mmoja je bado mgesema Abuja na Tanga kila mmoja wana arafa yao???Au ni Ww ndo unaziona Arafa nying nyingi.
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 ай бұрын
@@arifali3942 Hizo hoja zenu ni za miaka ya 90 hukoo wtu walikuwa vizani.Sasaiv sidhani kama kuna mtu anapotaka kwenda makka atapanda Punda. Tanzania hakuna Arafa.Rejea kitabu cha Sheikh Mohammad Nassoro wa Twariqa ya Qadiriyyah aliyezikwa pale mskit wa ngamia m'burahati daresalaaam.ujue kuw haya mambo sio ya kubishana.
@osos9073
@osos9073 3 ай бұрын
Swali kwa nini Allah kaleta mwezi muandamo unaotimiza siku za kiislam
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 3 ай бұрын
Ilo wahabi halina hoja kazi matusi tu
@fakiahmadi1382
@fakiahmadi1382 3 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@jumaothman4411
@jumaothman4411 3 ай бұрын
Haya upepo usonguvu msikilize shekh wako mzwanda kwenye jambo hilo acha fujo au unataka comment na follower wingi you tube ikulipe
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 3 ай бұрын
Bachu hajielewi ana matatizo uwawapiga mpaka mashekhe zake Allah amuogoze
@latifasuleiman7527
@latifasuleiman7527 3 ай бұрын
Kama hamjuwi musikoment munamkosea allah
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 3 ай бұрын
Mamlaka ya saudia wamejiandalia KALENDA endelevu na ndio wanayoitumia na kufata hawatafuti mwezi mwandamo na hivyo wameachana na ile hadithi ya bwana Mtume(SAW) isemayo"fungeni kwa kuuona mwezi na funguweni kwa kuuona mwezi ". Saudi Arabia hawatafuti na wala hawategemei mwezi
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 3 ай бұрын
Kuja kwa technology ndio kumetufikisha apa yaani dooohh mpk hukmu hukmu za Allah twazitoa sisi mtume hii ibada alifanya akiwa na Maswahaba zake lkn sahii huskii mtume kafanya vp na Maswahaba zake sababu mzungu ameleta technology ndio twamuacha mtume na maswahaba twafuata mzungu kwakua twaona Kila kitu mtume hatumtaki apo dooohh Kisha watu wajiita wao ndio watu wa sunnah 😂😂😂😂
@HemedSerious
@HemedSerious 3 ай бұрын
Ata mm nashangaaa, wanaitwa watu wa bidaa wanatetea Sunna, na wanaojiita watu wa Sunna wanatetea bidaa,😂😂😂
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 3 ай бұрын
Istoshe fatwa za maulamaa makubwa Afrika mashariki walisema ikitokea tofauti ya mwezi sisi uku tufunge siku mbili na wewe haji upepo usitoke povu bure kuegemea upande mmoja
@allymbasha8794
@allymbasha8794 3 ай бұрын
UMENIPA ELIMU KUBWA SANA KUANZIA SASA WA KIMATAIFA BIN MTANDAONI BAAAAASS ASANT SHEIKH
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 3 ай бұрын
Tatizo Lao wanachanganya kati ya Ibada ya hijja na Funga... Hijja Ibada mbali inajitegemea na Funga ya siku ya Arafa ni Ibada mbali inajitegemea na haitegemei kisimamo wala Ibada ya Hijja
@salumtakao9828
@salumtakao9828 3 ай бұрын
Hiii Hadith inaonesh Waz kuw fung ni siku ya arafa ( swiyamu yaumu arafa) fung ya siku ya arafa. Sasa mabishano ya Nini ?? Km mtu ashsema funga ya siku ya arafa. Nyinyi mnping et fung Hain mafungamni na hijja acheni uongo, acheni matamnio. Fung hii umekuja siku ya arafa na hio siku ni Ile mhujjaj wanposinam hapo arafa na ndio sisi tuntkiw kufunga na wao mahujja hawfung hio siku ni sie tu. !! Sas mkitk huo mwez tisa wa tanzania mtjikut mnfunga siku tofaut ya sik ya arafa. Acheni ubishi fungeni siku ya arafa nusifunge siku ya mwez tisa . Huo mwez tisa unweza ukawa sio siku ya arafa na fung hio imensibishw na arafa ( swiyamu yaumu arafa). Acheni kufata mkumbo tumien dalili za Hadith na quarn. حديث أبي قتادة: أن النبي ﷺ قال في صوم عرفة: يُكفِّر السنة التي قبلها والتي بعدها، وعن صوم يوم عاشور قال: يُكفِّر السنة التي قبلها، وعن صوم الاثنين قال: ذلك يوم وُلدتُ فيه، وبُعثتُ فيه، أو أُنزل عليَّ فيه، هذا يدل على فضل صيام هذه الأيام، وأنَّ يوم عرفة يومٌ عظيمٌ يُستحب صيامه لغير ...
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 3 ай бұрын
Huyu sheikh Muhammad Bachu anatetea Madhehebu na haitaki haqqi. Kwa mana anavyotaka yeye haiwezekani. 1. Haya hao wa nyuma yetu sisi kabla ya hii technology ilokuja juzi watu walaifunga vipi? Vipi walijuwa kama Makkah umeandama mwezi? 2. Watu wakiwa arafat mpaka iingie maghribi wanaondoka mahujjaj kuelekea Muzdalifa ndio watu marekani wanaamka, sasa hawa watafunga vipi? 3. Na Quran iko wazi lakini huyu Muhammad Bachu anatetea Madhehebu sio haqqi. Mbishi na naamini ndani ya moyo wake hivi sasa anajua kauli yake sio sahihi lakini anaona haya kusema ni kosa.
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 3 ай бұрын
Upepo toa hadithi sahihi iliyosema Mtume (s.a.w) arafa ni mwezi 9. Bali zipo hadithi nyingi zinazosema funga ya arafa ni ya kitendo cha arafa. Muongo ni wewe
@YussufYussuf-w9m
@YussufYussuf-w9m 10 күн бұрын
We mpuuz Jina lako upepo Tanbia za kishatwan u takwenda jus siku utakayosimamiswa katka mahkama ya alla
@al-aminbaruan6167
@al-aminbaruan6167 2 ай бұрын
Kumbe wewe ndio mpumbavu kiwango hiki?!!, sikutaraji WALLAAHI. JISALIMISHE KWENYE DAAWA ASSALAFIYYAH.
@KiwakaAbdallah-oe4nu
@KiwakaAbdallah-oe4nu 3 ай бұрын
Kwani kama kauli imesema "Fungeni siku ya arafa"kama lipo neno " siku""halo kila mnavyomtusi bachu mnajidhalilisha sana ni bola MTU ukae kimya.
@gareb2001
@gareb2001 3 ай бұрын
Sheikh nadhani hukumfahamu bachu vizuri anamaanisha ikiwa siku ya Arafa ni Monday basi Dunia nzima wafunge hiyo Monday wakati huo Los Angeles Bado wako Sunday lakini wakifika Monday wafunge kwani Arafa ni hiyo hiyo siku Kwanini Dunia nzima wanasherehekea Mei Day siku Moja bila ikhtilaaf kwa sababu kila nchi wanasubiri ifike tarehe Moja May kwao hawajali Australia ni mchana na kwao ni usiku
@jabaruti001
@jabaruti001 3 ай бұрын
@mohamed Bachu umeona vile ilimu inavyo tafsiriwa kasome baba
@KombHaji-dr5pd
@KombHaji-dr5pd 3 ай бұрын
bachu pungi kam wew wallah wabilah wew na bachoo mukasome kwahu haji
@AbdallahMasoud-bp6hz
@AbdallahMasoud-bp6hz 3 ай бұрын
Bachu mwenyewe alijikojolea kwenye nikashi ilibakia kijikunyia 😅😅
@MwanjumaBaya
@MwanjumaBaya 3 ай бұрын
Hapana yeye nimuongo Karne zote zimepita hakuna haya mambo ila yeye Sasa kwa matusi kejeli kwa mashekhe wenzake kwenye mitandao kwani hawezi kuwatafuta mashekhe wenzake nakujadil sio kurusha mambo mitandaoni mpaka makafiri watuone sisi kituko
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 3 ай бұрын
Upepo sufi mkubwa upepo upepo upepo upepo huna jipya kasome kwanza elimu ya dini halafu ndio urudi huku
@KAIPAAA3211
@KAIPAAA3211 3 ай бұрын
Vitabu vyote vya hadis n vyauongo, kra mtu anatunga kitab ilikikubalike anatunga uongo Mtume kasema, wahuni
@BaaOmar-j4h
@BaaOmar-j4h 3 ай бұрын
Twakuuliza wewe wasema si muongo wewe umesoma au ni kama yeye umteteae muandamo utakua vipi mmoja jamaa mwalimu wenu aliwakhini ilimu au mulitoroka madrasa ndio maana hamuelewi Kila mkifundishwa!!!!
@Thabitilubunani
@Thabitilubunani 3 ай бұрын
Sikujua kama na wewe nijahili kiasi hiki wewe na huyo mwenzako mkakae darasani acheni kuwatia makosa watu kwenye masala ya khilafu ungewekuwe wew nimuadilifu ingezungumza na kuweka waza ikhtilafu matokeo yake na na wewe unazungumza kiushbiki kama bacho
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 3 ай бұрын
Kwa hiyo unamnukuu muhabi Kwanini Na unasema amuwaamini wahabi ungemkuu jufri mwenye kilemba cha mtume liongo likubwa
@JumaSalimin
@JumaSalimin 3 ай бұрын
Huyu Haji unaongea na bachu wala hakusikilizi wala hakujibu sasa vipi hakuelewi au hueleweki ndio maana akakunyamazia
@SharrifCharo-mi1bn
@SharrifCharo-mi1bn 3 ай бұрын
Alafu mbona huyu chief kadhi wa kenya mbona ni kama anababaika hajiamini anachokisema
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 3 ай бұрын
Ni muongo kwasabab hilo jambo ni la khilaf kwa watu waliombali syo khilaf kwa waliopamoja kitu ambacho hakipo sawa uelewe
@amirabubakar9195
@amirabubakar9195 3 ай бұрын
Sina upande ila kuwaita waislam mambumbu ni kuonyeshs sheikh hana staha ni aibu kwani ukiambiwa unataka umaarufu utakataa Mtume aliwatuma maswahaba waende seheme fulani na walitofautiana katka kuswali ambalo nijambo la faradh mbona hawakuitana mambumbumbu seuze jambo la sunna Tusiruke mipaka
@hajjisanga789
@hajjisanga789 3 ай бұрын
Sasa kama khilafu zipo basi huyo bachu alete kiusomi zaidi sio munawakosesha watu swaumu mi nadhani Elim ndio muhimu sisi tumesoma madhehebu mbali mbali na fatwa za maulamaa mkitaka fatwa ya wanawazuwoni wengi mwezi kila nchi na matokeo yao ktk umbali wao sasa hao wengine sio wengi sasa wao kina bachu hawasemi wanasema Yale wanayo wataka tu
@zurehaabdalla1624
@zurehaabdalla1624 3 ай бұрын
Hakuna haja yakubishana mitandaoni ambizaneni kwa siri ili kila mmoja ajijue then ukija mtandaoni ongea wewe kama wewe
@fadhilimatano3213
@fadhilimatano3213 3 ай бұрын
Alimpinga shk yupi?Allah akuongoze pia wewe dini si Yanga na Simba
@bashkamohamed3041
@bashkamohamed3041 3 ай бұрын
Huyu ibnu utheemin munataja taja je munamufuata ??nyinyi masufi wacheni ubishi hamutaki haki nyinyi kazi wenu nikufuata mashia tu .
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp 3 ай бұрын
Masha Allah Nakupenda kwa ajili ya Allah
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 3 ай бұрын
pumbavu zako Ina maana watu wamaka nawewe nani msomi naje unajiakiki Kisha wewe ushaipata pepo bakwata pumbavuzako
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l 3 ай бұрын
Sasa hivi baadhi ya ma wahabi wana pita nawana fundisha watu wasi some vitabu vinavyo chapishwa Tanga na Mombasa hili nili liskia Kwa masikio yangu
@SwafiyaAlhussein
@SwafiyaAlhussein 3 ай бұрын
Hawa mawahabi hawataki kuelewa ni ushindani ndio wao basi hawana hoja za ukweli
@madhuru2554
@madhuru2554 3 ай бұрын
Mtume Sallahu Alaihi Wasallam amesema fungeni siku ya Arafah hakusema fungeni tarehe 9 lau mtume angelikuwa hai mungelimkanushaa?
@AhmedmadaiAli
@AhmedmadaiAli 3 ай бұрын
Je io arafa iko tarehengap au ushawahi kusikia watu wakasimama arafa tarehe 1
@madhuru2554
@madhuru2554 3 ай бұрын
@@AhmedmadaiAli Tambuu za lamu zauzwa hapa
@warshysaid8564
@warshysaid8564 3 ай бұрын
Na zile nchi ambazo zimeitangulia makka kwa masaa tambua siku ya kiislamu inaanza saa 12 usiku linaappozama jua kwa hiyo siku ya arafa inakuwa ishaingia kwa hiyo makka ikiwa saa 2 za usiku nchi nyingine ikawa saa 11 alfajir wao wataamka na funga ya arafa kabla ya hicho kisimamo 7bu siku ya arafa ishaingia na hiyo masaa ya arafa nii siku na siku ina masaa 24 yanaaza saa 12 ya magharibi ya mwezi 9 mpka saa 12 ya magharib ya mwezi 10 hakuna nchi itakosa hiyo siku
@ahmadsaleh8882
@ahmadsaleh8882 3 ай бұрын
We upepo huna elimu ya fani hii Sasa unatowa maswali Yako kicwani sio
@SharrifCharo-mi1bn
@SharrifCharo-mi1bn 3 ай бұрын
Ingekuwa hakuna ma tv na masimu tungejuaje kama mahujaji wako arafa
@sharifsayyid
@sharifsayyid 3 ай бұрын
Hao unawao wataja ni waongo jufri anasema kilemba chake ni Cha mtume
@Daawa-l8s
@Daawa-l8s 3 ай бұрын
Mashekhe mpunga hawa ni tatizo.
Sheikh Mselem awekwa kwenye mizani na Ustadh Haji Upepo
16:18
Haji Upepo Online tv
Рет қаралды 16 М.
HESHIMA NA UNYEYEKEVU WA DR ISLAM KWA MUHAMMAD BACHU || MOMBASA KENYA.
4:22
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 65 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 54 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA.       BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES
5:55
MAMBO HAYA YANAHARIBU SWALA YA MTU SHEKHE NASSOR BACHU
33:23
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 7 М.
HAJI UPEPO APATWA NA AIBU KUBWA BAADA YA MAJIBU MAZITO YA SHEIKH MUHAMMAD IS-HAQ.
40:13
HUKMU YA QURAN KATIKA SIMU
7:12
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 69 М.
Darsa ya Fiqhi ( Matnu Zubad): Vyombo na matumizi yake // Ustadh Haji Upepo
35:28
WENYE KUKUMBATIA DUNIA || Muhammad Bachu || 1445.
47:16
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 6 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН