NASAHA ZA SHEIKH SHAHARANI JONGO || Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 10,455

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 333
@MwanaidAmri-y6x
@MwanaidAmri-y6x 7 күн бұрын
WALLAH WASIOMUELEWA MUHAMMAD NASSOR BACHU NI VILE TYU WANAFATA MATAMANIO YA NAFSI KWA HAKIKA ANAONGEA VITU AMBAVY VINAELWEKA MASHALLAH
@FakiSuleiman-hj1zv
@FakiSuleiman-hj1zv 7 күн бұрын
Shekhe gan uyo
@FakiSuleiman-hj1zv
@FakiSuleiman-hj1zv 7 күн бұрын
Kumbe ataka aitwe shekhe WA duniamzima
@fakihkombo6065
@fakihkombo6065 7 күн бұрын
Uyu nishekhe mkubwa afrika mashariki nzima
@HasaniSasi
@HasaniSasi 7 күн бұрын
@@FakiSuleiman-hj1zvwewe Sufi kama sikosei
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Kweli kabisa
@muaadhegyptegyptairlegypta6699
@muaadhegyptegyptairlegypta6699 7 күн бұрын
Alhamdulillah mwamko na mabadiliko ni makubwa, Allah awajazi kila la khair ahlu sunnah kwa kuwaamsha watu kutoka kwenye usingizi mzito....
@hassansas1024
@hassansas1024 7 күн бұрын
Ustaadh bachu mi mwanywe walai bilahi tolahi mungu shahidi nilikua nikienda maulidi ya mambrui na kipini na nikicheza zamuni but sai Alhamdullilah niko kwa sunnah. Allah akuhifadhi kwa ajili yetu uzidi kutufungua akili.
@rahilaabdulrazzak9951
@rahilaabdulrazzak9951 7 күн бұрын
Allah akuzidishie elimu na hikma, uzidi kuutetea uislamu sahihi na kuupeleka mbele. Amiin yaa Rabbil Alamyn.
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 7 күн бұрын
Maashaa Allah Maashaa Allah darsa nzuri😊 Allah akuhifadhi nafurahi kua unaeka upande wa comment coz ndugu zetu upande wa pili wanazifungia wanaogop kisha ni wakwanza kuangalia naona comment vzr tuuu Allah awabari watu wa sunna na walokua bado awazindue
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 6 күн бұрын
Shukran niko buja Bujumbura watu wabidaa hapa burundi ni wachache sana lakini tukafaidi kuwajuwa watu na ilim sheikh baco Allan akupe uchamungu shulkran
@AhmedMohamed-mw3ev
@AhmedMohamed-mw3ev 7 күн бұрын
Allah akujalie pepo pamoja na waislamu wote muhamad wallah mm nakufahamu vizuri sana sana Allah akulinde kwa kila jambo baya
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Aamiin
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 7 күн бұрын
Maashaa-allaah,wape bakora zao,hawatakuchukia ila watu wa bida'a na majadida ahlulhawaa wal-ujub wattafaruq bayna suniyyiin(والله المستعان)
@KaysanMwingira
@KaysanMwingira 7 күн бұрын
Sheikh Bachu Allah akuhifadhi nimejifunza na bado naendelea kujifunza mengi kutoka kwako endelea kupambana na sisi tuko pamoja na ww
@LovelyArchery-jq8qg
@LovelyArchery-jq8qg 6 күн бұрын
Hakika wana wazuoni wa skuhizi wamekosa sana hekma na wapewa sana kibri,,,,, huwa nafikiria sana na kuwaombea wana wazuoni walio ipgania dini ya Allah kusimama kwa kukemea uchafuu wa maaswi na ufisadi ktk visiwa hivi vya kielemu...Allah awape afya njema walio duniani na awasamehe madhambi yao walio tangulia akhera.😢😢 Tunajifunza kutoka kwenu mashekh wetu,,,,sheikh Aboud Rogo wa Kenya,, sheikh Hassan ilunga,,,sheikh Farid, Hussein (Nyundo) tuliona faida zenu ktk kuyakemea maaswii...lkn hao walio baki baadhi yao ni kupimana na kujionyesha nani zaidi kwa mwenziwe ktk elimu
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 7 күн бұрын
Jazaqallahu khaira sheikh ..Endelekutufumbua macho Baada ya muda mchache niwengi sasa wanabadilika kama tulivyobadilika ktk swala la MUANDAMO Alhamdulilah
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 7 күн бұрын
Bachu namkubali na sheikh shaharani pia nampenda wote nawaombea waingie peponi
@othmanali7408
@othmanali7408 7 күн бұрын
Wao pamoja na sisi Amin
@amidainarukundo1764
@amidainarukundo1764 6 күн бұрын
Amiiiin yarabbi
@moralist6100
@moralist6100 7 күн бұрын
SHEIKH BACHU NAKUKUBALI SANA ALLAH MTUKUFU AKUZIDISHIE VINGI SANA NA AKUJAALIE VIWE NA KHERI KWAKO NA KWA ALLAH MTUKUFU PAMOJA NA UMMA KWA UJUMLA HATA MIMI PIA NIMETOKA KTK UKHURAFI NA KUJA KTK SUNNAH
@abdulkrimalawi7165
@abdulkrimalawi7165 7 күн бұрын
Mashaallah tabaarakallaah allah akuhifadhi akhiy
@Khalidniya380
@Khalidniya380 6 күн бұрын
Hata na mimi nilikua sufi ila Alhamdulillah kwa sasa nimeona uongofu
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Allah akupe Subra na Ujira mkubwa Sheikh wetu kwa kazi kubwa unayo ifanya
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 6 күн бұрын
@@شيخنيف ameen
@mohagurey2214
@mohagurey2214 7 күн бұрын
Saa hii hata ujinga ya kuomba makaburi waziwazi imeisha, Albadiri yafichwa, ushirikiina ya kufunga mji na damu imeisha, wengi wameacha maulidi, msikiti ya sunnah kujengwa kila mahali Tanzania hadi Kenya, na zingine zaidi mashallah, alhamdulillah
@JumaDzombo-er7jy
@JumaDzombo-er7jy 7 күн бұрын
Kweli kabisa Allhamdulillah
@ZogoMtaani
@ZogoMtaani 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Kinyume kabisa ziara zimekua nyingi na ni uongo wako kusema ziara za makaburi imekua sio waziwazi bali ziara zamakaburi zinafanywa wazi wazi kwa wingi humu afrika mashariki na hata saudi arabia . Kwa hivyo wewe ni muongo . Na nakuhakikishia maulidi mwaka huu ni mengi sana na yanahudhuria kwa wingi sana . Haya munayo yasema ni kutamani tu.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 7 күн бұрын
@ZogoMtaani Endelea kufurahia bid'a na kiyama ni adhabu na majuto tu. Sisi tutaendelea kutetea sunnah na hata msipofuata basi radi za Allah tunayapata
@ZogoMtaani
@ZogoMtaani 7 күн бұрын
@@mohagurey2214 Naam sisi tunafurahikia haqi nyinyi fanyeni kazi za kizayuni kukufurisha waislam kwani mpango wenu ni wa mazayuni . Maishani kuanzia uwahabi uasisiwe na uingereza hawajawahi kupigana wala kusimamisga jihadi dhidi ya makafiri wao jihadi yako ni kukufurisha waislam na kuwaua na kuwalipua . Ama vita vya ghaza umebainisha uzayuni wa mawahabi . Kisha leo vibaraka vya saudia hakuna hata mmoja anaelaani kitendo cha saudia kupeleka malaya na kucheza uchi juu ya stages za saudia na la kusikitisha ni kua hadi leo vibaraka wao wanaizingatia saudia ni mchi ya tauhid . Uwahabi ni club chafu iliyo asisiwa na uzayuni . Acheni kua ni wasemaji wa uislam .
@khamishaji9508
@khamishaji9508 7 күн бұрын
Muongo
@iddijuma1428
@iddijuma1428 7 күн бұрын
Mashallah shekh Muhammad bachu
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 7 күн бұрын
Huyu ndie sheikh kijana bora na msomi bora afrika mashariki kama si afrika mzima allah amhifadhi
@silimakhamis7088
@silimakhamis7088 7 күн бұрын
Bora dunia nzima😊 Mtieni wazimu tu nyie
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
​@@silimakhamis7088Basi Sheikh Mkubwa ni ww
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 күн бұрын
Mohd bachoo maashaallahu Allahu akulipe kheri kweli watu wa ssunnah wanavitu vya ndani wakivitoa kuna watu watarudi cholee rufiji
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 6 күн бұрын
Jazaaka llaahu shekh Bachu upo sahihi
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 6 күн бұрын
Nafikiri shekh Shaharani alikuwa na nia ya kujenga lkn anasahau kwamba huu uzushi unaokithiri tena usio na dalili sasa hawawezi kukaliwa kimya!!!
@ShabanKindinda
@ShabanKindinda 7 күн бұрын
Assalamu-'alaykum warahmatullaah wabarakaatuh, mimi nimetokea Daarul-Ssalaam nimekuja Zanzibar Kwa ajili ya utafutaji wa Dunia na Akhera yangu, katika kutafuta Akhera yangu natafuta misikiti na ma sheikh wa Sunnah nipate elimu, mwenye kuona UJUMBE wangu anifahamishe. Shukran
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 7 күн бұрын
masjid faaruq mkele zanzibar jirani na soko la kiband maiti uizia mskiti wwa masalafi
@MohamedSalim-cm9ih
@MohamedSalim-cm9ih 7 күн бұрын
Nenda masjid bukhari magomeni...ni sehem Salama kwa akida yako na manhaj salafi ya ukwli
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Lete namba zako Akhy nikuelekeze
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Waalaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh
@OthmanIja
@OthmanIja 6 күн бұрын
Nakutakia kila la kheri sheikh 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Allah akuokoze
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 7 күн бұрын
Leo ndio marayakwanza kumsikia shekh Muhammad bachu kutumia lugha mzr, Masha Allah
@MattarSalim-i5y
@MattarSalim-i5y 7 күн бұрын
Ww ulikuwa na kibri tu ndio maana na kama alivyokuambia hayo mambo wameanza wao na inafikia mpaka anaitwa Mropokwaji,Mwanaakharam,Swafu nzima ya watu wanaopinga maulid kuitwa Mbawa, punguani ,mawahabi .kiufufupi ni majina mengi mabaya wanayoitwa kuna wakati kama binaadamu lazima utajikuta unarejesha Cha msingi chukuweni elimu msiangalie nani kasema jamaa yuko vyema sana anatoa elimu ya kutosha
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 7 күн бұрын
Hakika zile zama zilizotabiriwa zimefika, mtu mkweli ataonekana muongo na muongo ataonekana mkweli, Ruwaibidhwa. Allah atunusuru hali mbaya.
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 5 күн бұрын
Tupo wengi, mimi binafsi nimesoma madrasa hizo hizo za kisufi, mombasa kule. Nakumbuka tukienukia kulikua na ammi yetu mmoja alikua answar sunnah alipigwa vita sana na familia nzima. Ila saivi mimi na mzee wangu na kaka zangu sote tumeingia kwenye sunnah alhamdulillah, na hadithi mfano wa hizo zipo nyingi mitaani. Minakasha ina natija na natija yenyewe ni ushindi kwa Sunnah ya mtume SAW. Manake kila mwaka maelfu ya masufi wanaiacha bid'aa na kujiunga na sunnah. ALHAMDULILLAH
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 6 күн бұрын
Kweli mtuwangu tunamuelewa sheikh wetu,Allah amuhifadhi, wallahi ujinga unaisha, sunna inapta nguvu, kheyri kubwa hii. Muhammad Bachu.
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 7 күн бұрын
Allah akuhifadh sheikh bachu
@FatuNahimana
@FatuNahimana 7 күн бұрын
Acheni kumkashifu kijana ana sema kweli
@yussufmahbub7032
@yussufmahbub7032 7 күн бұрын
Asalamu alaykum ohh kuhusu munaqasha tumefaidika sana na hio ilmu ...na watu wanapibga haki kwa sababu ya kufuata matamanio ya nafsi zao
@dhidhasalim267
@dhidhasalim267 6 күн бұрын
Sheikh twakuombea na Allah akuhifadhi kwa kuendelea kutubainishia masheikh feki wanaofanya mambo ya ajabu ajabu yasiokuwa kwenye uislamu.Allah ajaalie kuwe na kama wewe hamsini ili sunnah ya mtume isimame kisawasawa.Usichoke sheikh wangu.
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 7 күн бұрын
Jazaakallahu khaira.
@saidmohamed6543
@saidmohamed6543 7 күн бұрын
Sheikh Muhammad bachu tunakufuatilia vizuri kabisa wape nasaha hao
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 7 күн бұрын
MAASHAA ALLAH tabarakallah sheikh
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 7 күн бұрын
Dini bila challenge huwezi kujua dini safi ya mwenyezimgu.
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 күн бұрын
Shikh bachu tunakupenda wengi kwa ajili ya allah video yako ya juzi imewabadilisha watu wengi wamesimama kwenda kwa waganga.
@dhidhasalim267
@dhidhasalim267 7 күн бұрын
Jazakallahu khaira
@daudikombo5957
@daudikombo5957 7 күн бұрын
Kweri shekh ht sisi tumeacha maulidi tunakufatiria xana tu shekh mbona tunakuelewa vizuri Allah akuzidishie elimu uzidi kutuzindua sisi tusio bahatika kupata elimu
@OthmanIja
@OthmanIja 6 күн бұрын
Mimi nipo Mozambique nakupenda sana sheikh kwajir ya Allah
@joauchitlango3547
@joauchitlango3547 7 күн бұрын
Faida ya hayo Huku Tanzania bara Tanga hata sisi wengine tulikuwa huko kwenye bidaa nilipoanza kujua ukweli wa dini Sunna na kitabu Allaah 1992 barabara 19 mpaka kuanza kuswali tangamano swafu Moja tu Sasa hivi Sasa uwanja hautoshi
@sulemanealisaide217
@sulemanealisaide217 7 күн бұрын
Mashallah allah akuhifaz tuko pamoja na ww
@habibmohd8008
@habibmohd8008 6 күн бұрын
Allah akupe umri mrefu tuzd kunufaika na ww
@RAMZANJumma-hr3ff
@RAMZANJumma-hr3ff 5 күн бұрын
Yaan bachu hadi ushauri una uraddi
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 7 күн бұрын
WANAUMIA SANA KWA KWELI SHEIKH BACHU PIGILIYA KWENYE MSHONO WATU WA BIDAA NI HATARI SHEIKH
@ThaniMussa-be5bn
@ThaniMussa-be5bn 7 күн бұрын
Mmi thani mussa Ame mzaliwa wa ndijani nilikua mganga wa kienyeji Alhamdulilah baadaya kusoma vitabuvya tauhidi katika msikiti wa jamiitaquwa uliopo dunga skuli Anapofundisha shekh mati haji mati kupitia kitabu na sunna nilijikuta nikuamkosefu kwa molawangu nikaamua kuacha bidaa sitski uganga .maulidi. zikri Alhamdulilah nimejitambua...shekh muhamadi bachu Allwah Akupe umri mrefu vunja mabidaa
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
MaashaAllah
@daymalhomebae9488
@daymalhomebae9488 7 күн бұрын
Sheikh naomba utoe video nzima kuonyesha biddaa za makhurafi na masufi ❤
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 5 күн бұрын
Shukran ❤❤❤❤
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 7 күн бұрын
Bachu usiwaache salama
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 7 күн бұрын
Muhammad bachu na kasim mafuta Hawa ndo viboko wa maghurafi
@IsmailSanga
@IsmailSanga 7 күн бұрын
@@pavillioncry5241 kasim mafuta na Bachu wote hao Mawahabi wamesoma maka wote,Chaajabu hawaelewani wanaitana JADIDA na HIZBI.
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 7 күн бұрын
Hakika,,,
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 күн бұрын
Bali watu wa ssunah wote ni viboko kwa maghurafi
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 6 күн бұрын
@@MohdIkra-d7s swaddakta
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
ila Kassim Mafuta ni JADIDA
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 6 күн бұрын
Kumbe na shekh Shaharani ni mtetezi wa bidaa!!! Subhaana llah yaani anapinga Minaaqasha kumbe na anatumia qauli mbovu namna hiyo kuitetea maulidi
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 7 күн бұрын
Tuko pamoja from 🇲🇫
@musamusahshafi1496
@musamusahshafi1496 7 күн бұрын
Muhamadi bachu Allah akuhifadhi nakupenda kwajili ya Allah nakuomba nipe number ya cm yako
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 5 күн бұрын
Hawa wote watapata pepo kwa uwezo wa ALLAH lengo la hawa 2 wote ni kheir tupu ila ni makosa ya kibinadamu nawapenda sana hawa
@omarshaban4735
@omarshaban4735 7 күн бұрын
Mm nipo Qatar na niliachana na maulidi
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 7 күн бұрын
Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 7 күн бұрын
Muhammad Bachu yasemekana kwamba umewakana ambao ulikua wawatetea kuwa ni masalafy tunasubir taraajui kudhihirisha hilo katika umma ili watu wafahamu msimamo wako.Maana umewasema sana maduati wakubwa katika da'awa ikiwemo Sheikh Qassim ambae kwa bahati nzuri hajawahi kujibu.
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 7 күн бұрын
We kijana hamis bado una tongo za macho kwn uyo kassim yy ni mtume au nabii ambae akikwambien k2 km wahyi, saiv w2 washafunguka macho na haina haja ya kumuangalia eti safaly au nani kwn uyo salafy hawakosei hapa lengo sio salafy wala nani kufikisha daawa ya kwel na sahihi tu huyo kassim ana madhaifu yake kibao ambayo hata nyny masalafy majadida munayajua kw iyo km huna la kuongea nyamaza hapa tunapata k2 sahihi na ch kwel kw mujibu wa hadith na qur an na ushahid wa wanavyuon sasa km muna comment kw walim wenu na wao wakitoa darsa waeleze km anavyoeleza huyo sheikh humammad bachu wallah, allah akujaalie kila la kheri sheikh wetu InshaAllah
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 7 күн бұрын
We kijana hamis bado una tongo za macho kwn uyo kassim yy ni mtume au nabii ambae akikwambien k2 km wahyi, saiv w2 washafunguka macho na haina haja ya kumuangalia eti safaly au nani kwn uyo salafy hawakosei hapa lengo sio salafy wala nani kufikisha daawa ya kwel na sahihi tu huyo kassim ana madhaifu yake kibao ambayo hata nyny masalafy majadida munayajua kw iyo km huna la kuongea nyamaza hapa tunapata k2 sahihi na ch kwel kw mujibu wa hadith na qur an na ushahid wa wanavyuon sasa km muna comment kw walim wenu na wao wakitoa darsa waeleze km anavyoeleza huyo sheikh humammad bachu wallah, allah akujaalie kila la kheri sheikh wetu InshaAllah
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 7 күн бұрын
We kijana hamis bado una tongo za macho kwn uyo kassim yy ni mtume au nabii ambae akikwambien k2 km wahyi, saiv w2 washafunguka macho na haina haja ya kumuangalia eti safaly au nani kwn uyo salafy hawakosei hapa lengo sio salafy wala nani kufikisha daawa ya kwel na sahihi tu huyo kassim ana madhaifu yake kibao ambayo hata nyny masalafy majadida munayajua kw iyo km huna la kuongea nyamaza hapa tunapata k2 sahihi na ch kwel kw mujibu wa hadith na qur an na ushahid wa wanavyuon sasa km muna comment kw walim wenu na wao wakitoa darsa waeleze km anavyoeleza huyo sheikh humammad bachu wallah, allah akujaalie kila la kheri sheikh wetu InshaAllah
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 7 күн бұрын
@khalifa_kuchi Sasa povu la nini wakati masheikh wako wakina Barahiyani walimsema sheikh Qassim kaja n madhhebu mapya ya salafy lakini saivi na wao wanataka kuitwa Salafy halafu sheikh Qassim jadida huoni kma watu wamechanganyikiwa?😁😁😁halafu nakupa za chini kwamb huyo Muahammad Bachu kashawakana Wakina Barahiyani na Kishki mda si mrefu in shaa Allah atafanya taraajui hadharani sasa mtachagua nayeye aitwe jadida au laa ni juu yenu.
@rogertuga007
@rogertuga007 7 күн бұрын
Mtu yoyote akikosea anarekebishwa haijalishi ni nani. Sote ni binadamu na tunakosea na kukumbushana. Kuna kukosea kawaida kama binadamu na Kuna kukosea makusudi tu ili kutetea tumbo au kundi lako. Ila kote utarekebishwa
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 7 күн бұрын
Bidaa ndio chanzo cha watu kugawanyika kwahiyo wakorofi ni watu wabidaa ila sio watu wa Sunnah
@DenisTaki
@DenisTaki 7 күн бұрын
Maulidi ni bid'a na tawheed 3 ni bid'a mimi nafaidika sana na nikashi hizi, sheikh usiache nikashi. Mungu tuongoze
@zuberiabdul7941
@zuberiabdul7941 7 күн бұрын
Tawheed ili ikamilike lazima ukubali Allah ameumba kila kitu, Allah ndio anaendesha kila kitu, sifa za Allah hazifanani na chochote. Hii ndio upwekeshaji wa Allah (Tawheed). Allah anajua zaidi
@HarithAlyhamadi
@HarithAlyhamadi 7 күн бұрын
Acha ujinga tauhudi soo bida nawew ustake kufuru tauhid bidaa wakat kaileta mwenyewe Allah
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 7 күн бұрын
Pengine kakosea kuandika tawhid c bidaa na tuendelee kuskiliza kwa pamoja ili tunufaike
@BinSultan-t5g
@BinSultan-t5g 6 күн бұрын
Shehe shaharani hakueleweka lengo la swali lake. Pachu amejibu vizur ila swali alilojibu sio lililoulizwa
@Breezy9757
@Breezy9757 4 күн бұрын
Wa kwanza mm kuacha maulidi
@martinboboka1012
@martinboboka1012 7 күн бұрын
Na kwa siku za mbele waislamu tujiandae na miungu watatu yaani mungu baba mungu mama na roho mtakatifu.
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 6 күн бұрын
Jiandae ww sihaulewi
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Hatuwezi kujiandaa kwa upuuzi huo ndio maana Waislam twahimizwa kuisoma Dini yako
@MwanamkasiMusa
@MwanamkasiMusa 7 күн бұрын
Aslamu alaykum sheikh Muhammad vp Kule handeni kuna mtu mmoja ana jinasibu kua kuvaa khirizi ilio andikwa Quran inafaa watuambiaje sheikh
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Haifai hyo ni Shirki tena kubwa
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 7 күн бұрын
Kheyri sheikh tuko nawe sambanba.
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 6 күн бұрын
Jambo la kushangaza komenti nyingi za hawa makhrafi(masufi) zimejaa 1-matusi 2-ujinga 3-husda 4-chuki 5-kulinda maslahi ya bida-a zao,sisi tunawambia kama alivyo waambia allaah ktk qurani(موتوا بغيظكم)(kufeni kwa chuki zenu)
@abuunabil1090
@abuunabil1090 7 күн бұрын
Alhamdulillah
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 7 күн бұрын
Shekh kwa mweny mazingatio anakuelewa ila kw mwnye ushabiki hawez kukuelewa katu
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 7 күн бұрын
Dini safi ni Tawheed na ukiwa wafuata dini ambao haina Tawheed wewe umeenda maji, kwa sababu mitume wote wa mwenyezimgu, walikuja na tawheed.
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 6 күн бұрын
Muhammad Bachu watu wanahoji Naswi ya tawhid tatu,na kwa nn ziwe tatu Wala si nne Tano au SITA? Na kwanini iwe tatu ambazo zinafanana na utatu mtaka kitu? Hujui unajifananisha na makafiri?na Mtume anakataza kujifananisha na makafiri. Ni kweli Tawhid ndo msingi wa ibada na ndiyo Uislam, Siyo lazima kuzigawa kwa Moja mbili tatu au nne, kwa kufanya hivyo ni kujifananisha na makafiri.
@rashidjuma9169
@rashidjuma9169 7 күн бұрын
Wewe umeng,ang,ana kutetea tawhidi ya utatu ambao ambao imefanana na utaswara ambayo mtume akufundisha wala maswahaba wala maimamu wanne walo gawanya nguzo za swala na suna zake .
@abeidsamsung
@abeidsamsung 6 күн бұрын
Ila kama kwel ulikua unasikiliza na kupima hoja na jawab la swali hilo liko waz kabisa kwamba Jambo lina asili katk Quran hivyo ugavi wa taweed umetokana na aya za Quran, zaid ni jitihada za kiufaham zenye uhalisia mfno ktk sura 16:90 kuna idad kamil ya allah ameamrisha kwa mwanadam , bidaa jambo ambalo halina asil yaktk quran wala sunna ya mtume 2: vitu vyote vya bidaa vinakua na mwanzilishi mahususi yaan mtu maalulum je kuna nakala yeyote inayoelezea mwanzilish wa aqsam taweed na mwaka gani? 3: vip unashindwa kuelewa uchambuz wa wanavyuon wakat ni warith wa mitume ambao wanapita katk hoja zilizopo kwenye quran na kusaidia ufafanuz na akili pia inahakik jambo hili la atweed( quran19:65 ) 3: kama kwel uelew hilo idad ya nguzo za swala mtume kafundisha wap au maswahaba , no ni mlango wa uchumbuz usioenda kinyume na upo ndan ya mipaka yakiuslam , ndio maana kuna kitab quran na sunna za mtume , uchumbuz wowote unapimwa kwa mizan hizo mbil mwanachuon akifel kuonesha uhalisia ktk quran au hadith anafel ingawa yy anawez pata ujira 4: kwani unafaham nini bidaa? Na vigezo vya kulipima jambo la din au jambo lolote kwa vigezo hivyo bila kuhusisha na matakwa ya nafsi ? Mfano ww unaweza kusema kutumia spika za kuadhin ni bidaa hii kwakua ujafaham nini bidaa !! 5: bidaa si kwamba jambo ambalo hakufanya kuagiza au kusema mtume au maswahaba au tabeen pekee hiyo ni maan pia lakin imepanuka zaid wazuon walivyoelezea hata kufanya jambo ambalo uwezekano wake ulikuwepo unawez kufanyik (wakat qurun tat bora lakin halikufanya ( mfno maulid) 6: jambo la aqsam taweed mfano lina athar gani ktk din ya uislam wakat allah kaseme tumpwekeshe yeye ktk nyanja hizo tatu? Alhamdu, iklasw na sehem nying? Allah ajalie sana ktk kuifaham haki na batwil na askibakishe ktk ujinga wa hoja ambazo hata nafs yako inajua no dhaifu!!
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 7 күн бұрын
MashaAllah Allah bless you and your family 🫶🏾
@mohagurey2214
@mohagurey2214 7 күн бұрын
Maulidi pia sini taarab tu
@DulayoOmary
@DulayoOmary 6 күн бұрын
Sheikh upo sahihi sheikh wang nakupend san
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 7 күн бұрын
Allah atuongoze ktk usawa amin
@anamgulfcorner
@anamgulfcorner 6 күн бұрын
Alhamdulillah kuwa wengi hawakuelewi wewe ni wahawwabi mjinga unatafuta shuhra tuu Hakuna kipote kiovi ka cha mawahhabi dini ilianzishwa na mayahudi Acha porojo zako
@OmarySima-r5l
@OmarySima-r5l 6 күн бұрын
Nadhani umri wa huyo mzee ndo hivo tena
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 7 күн бұрын
Na ukiona shekhe wetu unajadiliana na watu wabida'a kama wale waovu akina yusufu diwani na mfano wao wanajibu kwa Shubha na matusi achana nao jadiliana na watu wabusara japo ni makhurafi
@martinboboka1012
@martinboboka1012 7 күн бұрын
Kwa maoni yangu sasa hivi kuna makundi tu lakini hayana dini ni sawa kuna makundi mengi lakini woote ilimradi yamebaki majina tu kwa sababu ukichunguza waislamu wa sasa ni waislam majina tu wengi wao hawajuwi kuswali, hawajuwi nguzo za sala yaani waliowengi ni waislam majinatu na kuhuau uislamu kukuwa huu ni uongo kwa mujibu wa vitabu hizo zama nyuma ndio uislam ulikuwepo na kila siku siku zinazokuja ndio uislam utakuwa zero kabisa.
@rashidjuma9169
@rashidjuma9169 7 күн бұрын
Na manaswara wako na utatu na nyinyi tawi la mazayuni mko na utatu hapo uislamu ndipo ulipoteza haiba zake
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 7 күн бұрын
Nyinyi kuambiwa mambo matatu afanyiwe Allah pekee mmekereka kwanini mbona hamsemi tupo na utano coz nguzo za kiislam ni tano c ndio, Quran imeletwa ili ituongoze km hutofungamana na Quran na sunna utapotea
@abasimwinyibovu3090
@abasimwinyibovu3090 17 минут бұрын
Moja ya dalili za kiama alizozitaja mtume ni elimu kupotetezwa mbona hapa hampasemi mnabambanya tuu maulidi yanahusu nini mtume amesema yoyote anaejiona bora kuliko mwengine amefanya kiburi mbona hizi hadithi mumezifuta katika akili zenu wewe Bachu huna adabu wala elimu hebu zielezee hizo hadithi za mtume kwa mapana yake
@martinboboka1012
@martinboboka1012 7 күн бұрын
Mashehe wa sasa hivi wengi ni sawa na wasanii wanahubiri dini ili kupata wafuasi wengi tu hata kama hiyo dini yenyewe hawaijuwi ilimradi ana kundi kubwa tu.
@MasoudChoum-pp1ob
@MasoudChoum-pp1ob 7 күн бұрын
Sio mda mrefu tutavunja makaburi hapa kwerekwe
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Kwa nini?
@abasimwinyibovu3090
@abasimwinyibovu3090 25 минут бұрын
Sijawahi kumkubali huyu kijana ninawasiwasi kwa sababu nimtoto wa mjini mihadarati inamchanganya
@dhidhasalim267
@dhidhasalim267 7 күн бұрын
Uzushi kuisha lazima kuwa na kelele nyingi sana kuupinga.Minaqasha ni wajib
@makameshibli2797
@makameshibli2797 5 күн бұрын
Watu wanaopenda munakasha wasiopenda kukaa madarasani na hii minakasha inapaliliwa na mataifa ya kikafiri wanajua tutakua hatuelewani tu
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo 7 күн бұрын
hujui uislamu umepoteza haiba kwa kuja nyinyi
@MohammadJumah-qk2xc
@MohammadJumah-qk2xc 7 күн бұрын
Sio kwel
@medimisi6930
@medimisi6930 7 күн бұрын
watu wa suuna ndio wanao pelekea kwa nguvu za Allah uislam usiingizwe uhuni maana juzi tu tulimsikia yule saidi mnanda anasema mziki ni halali na kur ani ni mziki pia sasa aachiwe tu aongee namna hiyo si umeena unuhimu wa dini kufuaa suuna
@RajabuMsumari-dh5jb
@RajabuMsumari-dh5jb 7 күн бұрын
Hata ujinga ukiuanzisha unapata wajinga wa kuufuata
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 6 күн бұрын
😮
@ramygichero1016
@ramygichero1016 7 күн бұрын
Mtume uliacha dini ni moja leo ni makundi makundi kiongozi uliyemwacha ukhalifa hana tena Aliy kauliwa ' Fatma kauliwa ' Hassan kapewa sumu kauliwa piwa 'Hussein kauliwa vibaya hii ndo tatizo na laana iliyo ikumba dini
@HalfanHemedi-r8z
@HalfanHemedi-r8z 6 күн бұрын
We ni shia
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Mbona umetaja hao tu wengine hujawataja akina Abuubakar, Omar na Othman?
@ramygichero1016
@ramygichero1016 6 күн бұрын
Historia iko wazi makosa yalifanyika tukigudua swahaba anamakosa au alisababisha kifo cha swahaba mwingine hoyo ni muovu na hafai kufatwa
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 7 күн бұрын
Huju wijambo bachu
@khalidaliy6882
@khalidaliy6882 7 күн бұрын
Kuna maasi mengi hapa Zanzibar, lakini simsikii bachu kuyakemea wala kuyakataza, KAZI Yake kulumbana Tu, M/Mungu anamlipa MTU kutokana na Nia Yake, watu wa maulid washajieleza wanakwenda kumsalia Mtume, na kumtangaza Mtume S,A,W na kusoma sira Yake, sasa kelele za nini,
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t 7 күн бұрын
@@khalidaliy6882 hajielewi anatafuta umaarufu
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 7 күн бұрын
Nakupiha vigoma
@alinnenne984
@alinnenne984 7 күн бұрын
Hayo mtume aliyasema yafanywe au maswahaba zake walifanya na mtume akaridhia? Kwani maswahaba walikuwa wakikusanyana na kumsifu mtume kwa njia hiyo. Hata mimi nilikuwa ninapenda maulid kwasbb nililelewa kwenye chuo cha Maulidi lakini ukisoma huoni kwamba hili jambo mtume alilifanya au maswahaba zake lkn sisi tunalifanya na tunalitilia mkazo kana kwamba ni lazima au mtume aliusia. Tuyashikeni aliyoteremshiwa mtume s.a.w na yale aliyotuambia yeye basi dini inatosha na yanatosha kutuingiza peponi
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 күн бұрын
​@@alinnenne984kwenye maulid kubwa lao nikua halikupelekei kwenye takwaaa
@alinnenne984
@alinnenne984 6 күн бұрын
Sasa ikiwa halikupelekei kwenye takwaa, kwanini watu wafanye maulidi. Maulid si katika dini yetu wala si Mila ya mtume wetu. Mungu atakuja kutuuliza tuachane na mambo ya kuengeza engeza, hayo ya faradhi watu hawayafanyi inavotakiwa wanaenda kushika Maulidi utafikiri ni jambo lililonasihiwa. Unapokuwa mdogo walezi wako na walimu wako wanakuwa na jukumu na watajibu siku ya kiyama kwa kukuingiza kwenye bidaa lakini unapo baleghe na ukajua kupambanua nini sahihi na nini si sahihi na ikiwa unaendelea kufanya kilichokuwa si sahihi etu tu kwakuwa shekhe mkubwa au mwalimu wako wanafanya hakikisha Allah atakuja kutuuliza kwahili. Dini yetu imeweka wazi kila kitu tuacheni mambo ya kuiga mababu zetu tunapotea
@makameshibli2797
@makameshibli2797 5 күн бұрын
sasa watu kubali ww au ayo manhaj yenu ndo faida halafu kumbe munakasha umeleta ugonvi Allahuakbar,mm naona shekh hujamfahamu,kukusanya watu pamoja hailazimu kwa hio nyinyi hamu yenu tuwe tafauti,mijadala haijatusaidia inatupeleka pabaya
@MohdNgwali-f2z
@MohdNgwali-f2z 7 күн бұрын
Maulid sibidaaa yeye mwenyewe kasema fungueni makaataaa ibnu taymia kasema
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 күн бұрын
Ibnu taiymiah sio (saw) uwe naa adabu kasome kurani unamtanguliza vp ibnu taymia na mtume saw yupo usirejee tena
@MohdNgwali-f2z
@MohdNgwali-f2z 4 күн бұрын
@MohdIkra-d7s sw kiongoz
@HajiJumbe-w4o
@HajiJumbe-w4o 7 күн бұрын
Wallah Bachu Allah atakulipa unachostahiki katika jitihada zako za kuuchafua UMMA.
@شيخنيف
@شيخنيف 6 күн бұрын
Ww una chuki tu
@soudsoud335
@soudsoud335 7 күн бұрын
Kwani mtu ili awe muisalm awe mfuata mlengo gani ? Sunni, Shia, Whabbi, Salafi, Sufi suna wa jamaa sijui nini awe nani hasa? Na je Hashim Muhammad SAW alikua akifuata dhehebu gani ?
@MassoudHamad
@MassoudHamad 7 күн бұрын
Katika maelezo yako bachu unaonesha kuwa umoja utapatikana kwa kufuata suna, lakini tunakuona daima unakhitilafiana na hao wenzako akina mafuta au yeye sio mtu wasuna. Wewe tatizo unasumbuliwa na ubinafsi tu na ukosefu wa heshma kwa wakubwa zako eti kwa kisingizio cha kwamba umesoma. Na dalili zinaonesha kuwa haya ungemfanyia hata babayako angekuwepo. Hebu mtu wa suna tupe dalili Allah au mtume alipokuruhusu kuwavunjia heshma watu wanaoheshimika na wakubwa zako ili usiwe kwenye bid'a. Mbona unatufanya tuanze kuamini kile wanachokuambia akina yussuf diwan
@anyeresa928
@anyeresa928 7 күн бұрын
ndugu yangu ikhtilafu mbona ni jambo lakawaida tuu...wewe fuata unapoona panafaa sheikh bacho hajasema umfate yeye..kama unaona yusuf diwani anafaa mfate huna haja ya kashfa
@Zaitunimaulid-o1h
@Zaitunimaulid-o1h 7 күн бұрын
Naona unasahau juz t hapa kuna shekhe alimwita bachu mwanaharamu wazi wazi au hukuon km si matusi ni kt gn
@Zaitunimaulid-o1h
@Zaitunimaulid-o1h 7 күн бұрын
Ndugu yangu dini ya uislam sio ya wazee wala mashekh fulan ni ya allah t ukikosea utarekebishwa ht uwe nan mana dini ni yake allah kwakua mt mzma uharibu usiambiwe wataambiwa t bachu wanyooshe vzr mm nilikua mt wa maulidi nimeyawacha uchafu mtupu ule
@zafarmohamed9413
@zafarmohamed9413 7 күн бұрын
heheheh ww kweli mwana.....u
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t 7 күн бұрын
Halapia naww njoupelekwe katikanyumba zawanaojiita watu wasuna ambao wametoka kwenyesuna nakuingia katika maulidi tutakupeleka nyumba kwa nyumba nawenginejiranizako hapo kkwajuni
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 7 күн бұрын
😅😅😅
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 5 күн бұрын
Watu walishakujua wwe ni taira tuuu yani watu wote hawana Elimu wewe ndoo mwenye Elimu mzinifu mkubwa wasio kujua watakuona mwema😂😂😂
@shuaibabdullahi7544
@shuaibabdullahi7544 5 күн бұрын
Karni ya saaba ndo kugawanya tahweed ikaanza
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 7 күн бұрын
Wanaobweka huwa ni nani?Angekuwepo tungemuuliza ni nani hao wanabweka ni nani? Je! Ushahidi wa kuwa hizi ni madhehebu 2 zenye itikadi tafauti makundi haya unadhani watapatana lini?Huoni huo mtiririko wa hoja hapa?
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 7 күн бұрын
Minakasha kwa ujumla ni mikinzano tu baina ya madhehebu 2 zenye itikadi tafauti.Faida zimeatikana kutoka na madrassa hizo ulizozitaja si minakasha.Kuna nikash ambazo washindanaji mmoja kamkubali mwenziwe.Baada ya nikash kila upande ni kujisifia tu kashinda.Madrassa ndio chachu ya mabadiliko na elimu ya maendeleo ya uislamu.
@SaidMadai
@SaidMadai 7 күн бұрын
Pia hujifaham mn sheh kasema mijadala icyo n faida ww unaropoka ropoko kumdogesha sheh kw nasaha 2 kw umma et ww ndio sheh ss ha2oni awo waliokua makafir n kuwalingania ata 1 kupitia daawa yk hujitathmini 2 kjn ww
@adammaulid2356
@adammaulid2356 22 сағат бұрын
Mchukue MOMBASA walau akatembee 😂 Sio abaki Meli nne tu akitafsir Qur-an huku atuchanganyia n BID'AA na hadith zaifu
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 87 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 32 МЛН
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 12 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН
WACHA KUPELEKA MKE WAKO KWA YUSSUF DIWANI NA DAWA ZAKE || Muhammad Bachu.
24:52
MASHALLAH SKILIZA QUR-AN KWA MAHADHI MAZURI || Muhammad Bachu. 1445.
21:25
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 40 М.
WEWE MSELA WA MELI GANI ACHA UJINGA- SHEIKH NYUNDO
19:42
HAJI ONLINE TV.
Рет қаралды 32 М.
SHEIKH OTHMAN MAALLIM UNAPOTOSHWA || Muhammad Bachu.
41:53
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 17 М.
MUHAMMEDI BACHU KITANZINI NA USTADH SAIDI MAMBURUI MUNAKASHA BARZANJ
1:31:53
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 87 МЛН