Watu wa baatwil wasikuchukie vipi, wakati wewe unasahihisha uchafu na ujinga wanao uingiza ndani ya Dini ya Allaah Tabaaraka Wata'aalaa, nawao Dini hawaijuwi, wanacho kijua ni vile wanavyo ambiwa na mashekhe zao tu, na mashekhe zao kwao hawakosei wanacho sema ndio ichoicho. Allaah akubariki Shekh Muhammad, kwa hakika Umma unahitaji watu mfano wako..........
@Yussuf-b3b9 сағат бұрын
Hakika kabisa sheikh izurdin kama hii ataiona sijuwi kama atakaa kwenye misikiti kutowa mawaidha kwasababu inavyoonekana IZURDIN ELIMU YAKE NI NDOGO
@sultanmohammed41576 сағат бұрын
Shkh Azidin yuko sawa . Wacha ushekhe wako wa kupotosha wa Islam
@k.kchakua13769 сағат бұрын
Aah Sheikh Bachuuu Watupa Raha ..Maa Sha Allah ...wew nimwalim Haswa..hata sisi MAAMUMA tuna Shiba wallahi .. Jazaqallahu khaira Sheikh Bachu
@jamalsaid74753 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran
@othmanhaji8625 сағат бұрын
Shukran Sheikh Muhammad Allah akupe kheri za Dunia na Akhera
@jamalsaid74753 сағат бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
@RamadhaniShembilu-l1e3 сағат бұрын
Mashallah ndomana nakukubali bachu tangu nianze kufatilia darasa zako sijawahi kutoka patupu lazima nipate elimu. Allah akuweke kipenzi tuzidi kufaidika ,NAKUPENDA KWAAJILI YA ALLAH ❤❤❤❤❤
@alijabu622612 сағат бұрын
Wallaah mda mwengine uwepo wako ni neema kwetu
@KishkitvAhmad12 сағат бұрын
Wallahi wa billahi mimi nakupenda kwa jili ya Allah sheikh Muhammad nassor bachu
@salehsaleh13059 сағат бұрын
Mnafiki mwenzenu
@living_creature9912 сағат бұрын
BACHU BACHU BACHU Mashallah.. hongera sana 🙏🙏🙏 tupe elimuuu
@jamalsaid74753 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran Ameen
@SadickMussa-g6h9 сағат бұрын
Sheikh langu Bachu Allaah akuhifadhi na vitimbi vya Majahili na akujaalie uendelee kuinusulu sunna na uwapuuze wenye chuki zao binafsi in shaa Allaah
@KishkitvAhmad12 сағат бұрын
Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor Abdullah bachu uhibuka fi Allahi
@MwanaidAmri-y6x5 сағат бұрын
Mashallah❤❤❤ ALLAH akupend piaa kam unavyompenda ALLAH amjaalie khery kipenz CHETU...❤❤❤❤
@AhmedMohamedMadaiMadai45 минут бұрын
Mwanawazimu nyny jitu jahil alipe umri mrefu elimu halina halina hili
@omarkhamys981812 сағат бұрын
Mashaallah shk Bachu ila hapa umemshusha mno shk izzuddin sababu ni miongoni mwa mashk wanaoaminika ana wanafunzi wengi..... Niwaombe wanafunzi wake mubak nae kwn kuteleza ndio ubinaadam ....ushaur kwa shk izzudin muone Bachu japo kwasir kwake ukajifunze
@HamzaDenilson10 сағат бұрын
Izzudin sio shekhe. Kila siku yeye ateleza. Yani ningekuwa na uwezo basi ngemkatalia kutoa durus pamoja khutba. Ju lau sheikh bachu amuamulie kufwatilia videos zake atamkosa mpaka sheikh bachu atachoka. Makosa ni mengi mno
@salehsaleh13059 сағат бұрын
Munashabikia ujinga tu
@HamzaDenilson9 сағат бұрын
@salehsaleh1305 Sio ushabiki akhui. Ukweli ndugu yetu izzudin atowa fatwa kwa akili na hisia
@abdallahmgaya75219 сағат бұрын
Masheikh wanatakiwa waache AIBU na FITINA waende wakasome KWA sheikh BACHU, Sheikh BACHU jitahidi update wanafunzi wengi walioiva vizuri ILI utakapoitwa na mwenyezi Mungu elimu iendelee kuenea
@abdallahmgaya75219 сағат бұрын
KUMBE SHEIKH IZZUDDIN HANA ELIMU YA KUTOSHA KUITWA SHEIKH WA MSIKITI
@AbdulkhadirMaulid9 сағат бұрын
Jazzakalwahu kheiran kheira jazaa tunapata elimu MashaALLAH
Mwenyezi mungu akuifadhi shekh muhammad bachu hata wakikuchukia lakini haki unaidhiirisha na nyoyozao zinakubali unayo yasema ila midomo yao tu ndiyo wanailazimisha ikatae haki
@AliAme-r4w5 сағат бұрын
Mashalla fanyeni haya kwa ajili ya allah masheikh
@sheikhanasser47144 сағат бұрын
Allah tuandike kwa herufi kubwa "Allah" Shukran
@abuuiqiramtv8 сағат бұрын
Ma shaallah ❤❤❤ kwa ufafanuzi huu Kuna kitu. Unaweza sema
@Nabeel-2212 сағат бұрын
Tupo pamoja Shekh letu Bachu Allah akufanyie wepesi
@jamalsaid74753 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran Sheikh Ameen
@msabahkhamis52336 сағат бұрын
Jazaakumu Allah khair Allah akupe kila lakheri na haya unayo yasema yawekwenye mizani yako ya hasnat inshallah
@jamalsaid74753 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran Ameen
@AlikhamisAli-k9d7 сағат бұрын
sheikh wangu mohamed bachu ww unajua kwa kweli nakupa hongera nyingi sana Allah akulinde sana kwenye kutoa dawa huna papara Na ndini Allah tuombee dua na sis tuwe kma ww ivo In Sha Allah
@AbuuAhmed-d4n11 сағат бұрын
Asalam alaykum warahmatulah wabarakatuh Maikhwa hapa hawazozani Hapa wanawekana sawa Kwa nini shk mohamad bachu anamrekebisha kwenye mtandao Kwa sababu shk izzudini kazungumza kwenye mtandao na watu washa msikiliza Shk mohamad bachu Allah akuhifadhi na uendelee kutubainishia
@AllyHamran6 сағат бұрын
Hajakosea chumbani kakosea kwenye mtandao na shida sio yeye izudini laaa ni waumni ndio lengo sio shehe alokosea waumini waliopotolewa.
@muaadhegyptegyptairlegypta66993 сағат бұрын
Baraka Allahu fiikum...
@jamalsaid74753 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran Sheikh Ameen
@AhmadRamson-g5gСағат бұрын
Ukwer nikwamba sheikh ni zaidi ya sheikh wallah Allah akulipe kila la kheli
@jamaldineali322812 сағат бұрын
Sheikh kipenzi changu, mie nakupenda kwaajili ya Allah, wallahi
@MwanaidAmri-y6x4 сағат бұрын
Mashallah habib ALLAH azidi kukuongoza na kukupa kila la khery kwan unafanya kaz kubwa mashallah ❤❤❤
@jamalsaid74752 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran
@ArifAli-hw4gz8 сағат бұрын
Jamani mtu kama swali hulijui au Huna elimu nalo yapaswa kusema ukweli , angalia sasa watu tayari wamesha jua kuwa hamna allah huakbar safi shekh bachu ,
@ShariffNoor-q6v3 сағат бұрын
Shukrani
@alijabu622612 сағат бұрын
Muhammad bachu Allaah akupe afya na ikhlaas wa kuelew ataelew asieelew Allaah atamuonyesh usahihi uko wp
@jamalsaid74752 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran
@mirajimsigiti73176 сағат бұрын
Maashallaah SHEKH WETU ALLAAH AKULINDE NA MAADUI
@muhamadkhalid49764 сағат бұрын
Maashaallah sheikh Muhammad Allah akuzidishie elimu yenye manufaa hapa duniani na kesho akhera
@TwahirBurhan10 сағат бұрын
Yaani hawa Mashekh wa KISUFI na WANASIASA hawana tofauti kabisaa
@SaidAdam-w4r11 сағат бұрын
Wasomesheni watoto dini hii ni khazina kubwa Allah akulipe na akuhifadhi bainisha shekh
@biggestnasritv26014 сағат бұрын
Mashallah
@IssaKaduma-q6j5 сағат бұрын
Allah akuhifadhi aammiinnaa
@jamalsaid74752 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran Ameen
@husseinkinoko247611 сағат бұрын
BACHU MASHA ALLAH ALLAH AKUPE HEKMA NA AKILI ZAIDI
@jamalsaid74752 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran
@isackwaite-uf1zy7 сағат бұрын
MashaAllah sheikh Muhammad Bachu Nakupenda kwajili ya Allah kutoka Mz🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AllyHamran6 сағат бұрын
Allah akuhifadhi na akuongezee Elmu shekhe .
@jamalsaid74752 сағат бұрын
Ameen
@sadih533310 сағат бұрын
Masha Allah, ndugu yangu Muhammad
@irshadabuhafsi658513 сағат бұрын
Asante sana ndugu yangu
@saadaAbdalla137110 сағат бұрын
Maashaa Allah Allah akubarik cku zote. Comment zao kwann sheikh Bachu anajifanya kila kitu anajua 😳 asa km anajua kweli asiseme? Allah akuzidishie ilmu ,hukma, maarifa na afya njema
@Captainome8 сағат бұрын
Mm nilisema izudin katika darsa lake ana ihstizai nyingi kuchezea sheree kauli mpaka MISEMO AU MIFANO YA wanawazuoni walahy niliacha kuskiza darsa zaKE ilesiku aliposema (sisi na maswahaba wanaopenda mtu zaidi nani?akajibu Ni SISI) TUMCHENI ALLAH IZUDIN WALAHY ANAPENDA SANA KUCHEZEA WATU SHEREEEH AKIJIONA AKISEMA YEYE NA KELELE ZAKE BAAAS IMEPITA.SHUNKRAN BACHU
@AbuuNusaiba7 сағат бұрын
Allah akbar
@ramadhansabuni313611 сағат бұрын
Sheikh Muhammad nasoro Bachu ALLAH akuhifadh maana wewe ni mwalimu wa masheikh na maustadh itabidi wathibitishe kwanza kauli zao kabla ya kuwafundisha watu wengine
@ayubumasudi838012 сағат бұрын
MAASHALLAH TABARAQALLAH❤
@jamalsaid74752 сағат бұрын
Simba wa Afrika Mashariki na kati sh Muhammad Nassor Bachu(Allaah Akuhifadhi) Kutokana na Hasadi na Jicho Baya na Chuki za watu.
@HamidaMusa-q2v4 сағат бұрын
Barakallahu fikum
@jamalsaid74752 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran Ameen
@WahidaTv5 сағат бұрын
Sheikh bachu umesha mfata sheikh ukamkosoa..au ndio Uko miongoni kwa watu ambao wana weka wazi madhaifu ya watu.. 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Sheikh bachu unasikitisha pia Kama unamfahamu kwanini usimfate umwambie ..? Uislamu hauja luhusu kumchafua mtu . Kwanini usimfate umwambie ..? ..😢😢😢😢
@Abdulshabani-nl8xk12 сағат бұрын
Du Allah akuhifadh akupe umri.mrefu aaamin aamin
@makhanguwakhutu240812 сағат бұрын
Hapo ndugu yangu izzudinn umefell kuja mbele ya uislam ukiri ulikosea Kwa sababu umedanganya waislam kutokana na haki uje urekebishe hii kauli yako
@AliAwadh-qc8wk3 сағат бұрын
MUNGU HAANGALII SAFU ILIYOPINDA PINDA SAFU LAZIMA INYOOKE
@arkamyussuf571912 сағат бұрын
بارك الله فيك وجزاك الله خيرا
@abdulkrimalawi716511 сағат бұрын
وفيك يا اخي أركم يوسف
@abasifadhiliswai94654 сағат бұрын
Ukiendekeza bidaa lzm akili ijichanganye na mafuta taa. Allah akuhifadhi sheikh wng Bachu.
@kassimngao22824 сағат бұрын
😂😂😂
@HusseinShahib4 сағат бұрын
بارك الله فيك أخي قد بينت المسألة. واضح كوضوح الشمس
Huyu amejawa na chuki na roho chafu, akianza tu maneno yke unajua anataka kuongea chuki......
@Yussuf-b3b11 сағат бұрын
Tupo pamoja sheikh bachu Jana ilikuwa kwa Haji upepo,leo ni IZURDIN ,,TUWEKEE SAWA HAO MASHEHE WA KISUFI
@musarashid-xw1qm10 сағат бұрын
Ok
@sheikhabuusakakin324312 сағат бұрын
جزاكم الله خير وجعله في ميزان حسناتكم
@swalehmohamed484912 сағат бұрын
Pia vizuri hzi hadithi za Rasuul kuhusu miguu ndio zishereheshwe kwa mujibu wa maimu wanne wametafsiri vp
@ElvisPresley-n2y11 сағат бұрын
apo ndo point ilipo
@arifali39426 сағат бұрын
Bach hajui nin fiqhi hana manhaj sahihi yy analolitak anachukua kuwek na hadith bas nakujuw kuna kauli muutamad katik kila.madh.heb na kila madh.heb wana dalili zao
@yuschhhhcdxddddddxd8965 сағат бұрын
Sahihi kabisa
@MohamedSaburi-s7w4 сағат бұрын
MAASHALLAH, SHKH TUPO NA WW, WATAKAO KICHIKIA NI WATU WASIO PENDA HAKI, ENDELEA SHEKH,
@ZakariaAlly-vq2rd12 сағат бұрын
Mbona Muhammad ww ulikataaa kujibu kua hujafahamu maneno ya sayyid jaafar barazanji
@JABIRHAJI-t6n5 сағат бұрын
Acheni ushabiki usio lazima
@JumaOmar-c9jСағат бұрын
Wewe kichwa kibovu unaleta mambo ya barazanji jifunze swals kwanza ndoibada yenye uteremsho
@abubakarhajjabubakarhajj12527 сағат бұрын
Barakallahu ALLAH akuhifadhi
@jamalsaid74752 сағат бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran
@AbdulRama-u7d11 сағат бұрын
Dah yani wewe muhammad bachu unajua mpk unakera ❤❤❤
@kasimubangu187511 сағат бұрын
Hii kauli yakusema unajua mpka unakera sionzur kwetu sisi waislam hii tuwaachie watu wa mpira na mambo mengine yasio yadin inapendeza zaid ukamuombea dua
@abdulkrimalawi716511 сағат бұрын
Mashaallah tabaarakallaah
@AbdulRama-u7d10 сағат бұрын
@@kasimubangu1875 shukran
@musarashid-xw1qm10 сағат бұрын
Allah akuhifadh bachu uwepo wako tunanufaika hapo kwenye matege nimechika wakati sio jambo la kuchekesha
@AsampiMpili12 сағат бұрын
Sasa kama sheikh anafuatilia maongezi ya madam Leyla kisha akamtafuta kwa kusema anafaidika unafikir kuna nini hapo?
@adammahmood69285 сағат бұрын
جزاك الله خيرا يا شيخنا
@saidimkwinzu910612 сағат бұрын
*ALLAH AKUJAZE KHEIRI NYINGI NA ABORESHE AFYA YAKO VIZURI ZAIDI NAFAIDIKA SANA NA HIZI RUDUUD ZAKO❤*
@AbdulRama-u7d11 сағат бұрын
Raha sana kwa kweli
@hamoudel-mughery939619 минут бұрын
HASBUNALLAH ALRAHMAN WANEEMAL WAKEEL
@Abdulshabani-nl8xk12 сағат бұрын
Shekhe bachu we kiboko ya wasio.elewa mi binafsi kinacho nifanya nimpende nimpende Muhammad buchu nikwamba asemi ala kwa dalili tena wazi katika screen
@AbdulRama-u7d11 сағат бұрын
Allaah akubaarik wenye chuki waache na chuki zao
@jamalsaid74752 сағат бұрын
JazakaAllaahu'khayran Ameen
@NassorBarkatiGhullam-t5f9 сағат бұрын
Sheikh. Kweli elimu ni Bahari,mm nawaangalia tu munavyozama. Kwangu mm sheikh.Muhammad ingekuwa ni faida kwa Mwenyezi Mungu,ungemuhifadhi mwislam kumuhifadhi Mwislam mwenziwe. Ila sio hivi unavyofanya ww. Hii inakuja kama Kiburi. Allah atuhifadhi. Na upo ktk hadithi tu,jee Sheria? Mm nakuomba mtafute umnaswihi kwa hilo.
@IsmailSanga9 сағат бұрын
Shukran,Leo umejitahidi hujatoa mano machafu katika kurekebisha. Atakua amekusikia na kuelimika.
@iddijuma142811 сағат бұрын
Mashaallah
@ShaibMussa6 сағат бұрын
Mashallaah shekh letu mashaallah dah
@HashimOmar-r1j6 сағат бұрын
Mashallah ndio maana elimu haina mwisho
@canoksancomprehensivelearn718212 сағат бұрын
Allah akubariki kwa faida unayoitoa kwa ummah na Allah amuongoze Izzudin maana pengine anapenda dini lakin bado hajapata taufiq ya kuijua kiusahihi lakin na umaarufu pengine unamuharibia mtu akaona akisema sijui itakuwa taabu kwake watu watamuelewa vibaya umashuhuri ni angamizo hasa katika zama hizi za media na kuonekanwa kwa wingi na ubaya sasa hapa anapoteza watu kwa kujibu kwa matamaanio au akili yake
@SamiraAdam-k6s10 сағат бұрын
ما شاء الله، في ميزان حسناتك
@ZulfatMaulid3 сағат бұрын
Hakuna mkamilifu isipokuwa Allah peke yke. Tatizo la masheikh wetu siku hizi hawajui hekma za kurekebishana na kukosoana maana kiilivyo hatutakiwi kukosoana kwa style hii inavyotakiwa ungelimrekebisha privete na yeye arejee kurekebisha maneno yke.
@Ibrahim-d3q5 сағат бұрын
Hukmu ya kuacha kugandamanisha katika swalah hiyo mguu na bega ni gani shekhe? Pili, ni faradhi ama ni sunnah? Tatu, priority ni kupanga safu ama ni kugusana? Na wanawavyoni wanazungumziaje hii Hadith kwa ufahamu wa dhehebu lako na lake?!!
@eidallyeidally50935 сағат бұрын
shekh amewek kiporo kwanza anafuta vumbi la kukata kauli kitu hiki hakijathibiti.ingali kimethibiti ama hukumu alishasema hataki.kuingia ktk khilafu iliyokuja ktk kauli za wanazuoni
@SalminSuleiman-qy3ji5 сағат бұрын
Hhh izudin unachekesha weye hhh dini haiendi kwa akili za watu
Mungu humpa hikma amtakae...back ground ya vitabu so kua na hikma... Kwani dini nikukashifu mashekhe mitandaoni ?...unaonyesha nini wasiokua waislamu ? ...simama ushindane na ma pastor ambao hawana wanachokijua katika uislamu unasimama unakosoa mashekhe? Kweli ww ni msomi au zumbukuku
@jumatv46697 сағат бұрын
Twambie umuhimu wa kufanya hivyo tafali
@HAMZAAMIRI-kp6qf5 сағат бұрын
Kwani lazima mshoot muonyeshe hivyo vitabu pembeni msipoonyesha hivyo sauti itakua haitoki au acheni ria
@khadijahaji29704 сағат бұрын
Ushamba na ulumbukeni wa kusoma unachangia 😂
@izmamuizmamu65216 сағат бұрын
بارك الله فيك
@aimanabdillah-o4x12 сағат бұрын
Mimi sio mfuasi wako lakini hapo nakupongeza maana hivyo ndivyo ninavyojua.
@Muhammad_Nassor_Bachu_.12 сағат бұрын
😂
@mohagurey221411 сағат бұрын
Chukua haqi baba, sio mambo ya mfuasi
@RanadhanHamad11 сағат бұрын
Kumbe sheikh unafatilia hizi comment zeeetuuu !@@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@RanadhanHamad11 сағат бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_.Nakupenda kwa ajili ya Allah ila nakuomba tafuta fatwa walizopatia wenzako uwapongeze na usisubiri wateleze ili upate kuwabomoa.
@RanadhanHamad10 сағат бұрын
Huku mwisho umeongea kihekima sana ,kweli sheikh alikua anakimbilia sehemu akaripua ripua 2
@swalehmohamed484912 сағат бұрын
Wanazuni walosema kushikana wapo wengi hpo Izzudin ameteleza kiubinaadamu
@LuluAquai11 сағат бұрын
Baaraka llahu fik
@jamalsaid74752 сағат бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran
@OmarKhamis-c4x11 сағат бұрын
Huyo anafanya mzaha wa uswahili sio fatwa za kielmu ya uislamu.Ole wao wafuatao uswahili.
Allah atulindie huyu kijana azidi kutusaidia ktk kuliokoa jahaziletu maana kuna baadhi ya watu wanatutobolea jahazi letu
@abdullahleith265910 сағат бұрын
Je kama ungewasiliana nae ukampa ukumbusho than ukamuambia arudie Kauli yake, si ingenue vyema zaidi. Kuliko kumkosoa katika hali hii ya kukosoa ili watu wote wajue kama amefanya kosa ili umuaibishe.?
@SuleimanHassan-o6f4 сағат бұрын
Omar bin khatwab Kakosea juu ya mimbar Mwanake akamkosoa Hapohapo hakumngoja mpaka ateremke
@omarsal32663 сағат бұрын
Allah amridhie
@ahmedomar8046 сағат бұрын
Sheikh izudin hapa umeteleza, bila kwenda kwenye kitabu, haya maneno huwa yanaaemwa na maimamu wengi miskitini, atakaye huzunika mwache ila hapo kateleza
@sadofaraji599910 сағат бұрын
Kuunganisha vifundo ni kauli na vitendo vya masahaba si maneno ya mtume.uwe muelewa.
@MahmoudAli-rs5mi7 сағат бұрын
Kwaiyo ww unapinga au maswahaba wawaona kama babuzako wa mkuranga
@sadofaraji59997 сағат бұрын
@MahmoudAli-rs5mi unatakiwa usome ili kujua msimamo wa sahaba unaweza usiwe msimamo wa masahaba wengine
@AbdulkarimNissa11 сағат бұрын
Haito angaliwa warabu hapa tuna pata usahihi wake na warabu sio dalili kweny dini
@bakariomari24omar216 сағат бұрын
Izzudin kakurupuka na suala Kuna masheikh wengi kama swali hanajibu anasema nitalifanyia utafiti
@omarchaijefwa72912 сағат бұрын
INNALILLAHY WAINAILLEHY RAJIUN...MSIBA KWA MATWARIKA KUZUA TUUUUUU HAO
@abuuzahra-fc2jg8 сағат бұрын
Ww Mohd Bachu kwann wapotosha watu kila siku nakwambia wachukua nusus dhahiria
@MahmoudAli-rs5mi7 сағат бұрын
Haya bwanamkubwa tupe yako ghaibiya
@JumaOmar-c9jСағат бұрын
Wewe una chuki za kijinga
@RAMADHANZSHAABAN4 сағат бұрын
NIPO ALHAMDULILLAH
@JafarTomas11 сағат бұрын
Ila Allah akuhifadhi bachu mwanachuoni yeyote anae kosea jambo lolote maadamu aalimu Allah humsamehe kwani elimu ni ushindani unashindana bachu hivi ndio Allah na mtume wamesema ameacha warithi ndo nyie hivi kuzozana muogopeni Allah
@saadaAbdalla137110 сағат бұрын
Hivi ilikua anyamaze ili watu wazid kupotea huenda akiion video hii ataenda kurekebisha alipokosea
@saadaAbdalla137110 сағат бұрын
Muache vinyongo moyoni
@SharrifCharo-mi1bn7 сағат бұрын
Mimi niliacha kusikiliza mawaidha ya radio rahma kqa sababu ya izudini hana ilimu kabisa
@ZakariaAlly-vq2rd12 сағат бұрын
Umoja kwenye dini ndio Jambo muhimu acha ufarakanishaji na taasubu
@AsampiMpili12 сағат бұрын
Kwahiyo watu waendelee kubakina ujinga2? Au alichofundisha Shekh Izuddiin ni sahihi?