ALI FAZA NJOO UONE MATUSI YA MGANGA WAKO YUSSUF DIWANI || Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 13,423

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 308
@abuibra
@abuibra 17 күн бұрын
Huyu Kiumbe Sio mjinga pekee,Mshenzi Sana SUB'HANALLAH,Inashangaza Wahuni sana inachosha vilemba majoho ya kudanganya watu wasio kua na Elimu Dalili za siku za mwisho. Shukrani (Shaikh Bachu)tafadhali msiwape nafasi matapeli wanao tumia kwa jina la Dini ya Kiislamu.
@KishkitvAhmad
@KishkitvAhmad 17 күн бұрын
Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi
@Sayfumakame
@Sayfumakame 17 күн бұрын
A/ alayikum Akh i i i muhammad Bachu na muomba allah akupe mwisho memw
@HabibMohd-l3h
@HabibMohd-l3h 17 күн бұрын
Masha Allah ....tunakuomba usichelewe kutuletea sehem ya pili ...tunakupenda sana sheikh Muhammad.
@hemedmohammed-e3t
@hemedmohammed-e3t 17 күн бұрын
mwite jina lake usimwite ustadh malemba mwanafunzi unatakiwa uumpe moyo katika mafunzo malemba ni vazi pengine analipenda na linaleta muonekano wa heshima kwa jamii na uislamu hata kama nae ni jahili shukrani
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 16 күн бұрын
Nasaha nzur kabisa shida ya sheikh wetu Bachu hisia zinamtawala kuliko ikhlaswi katika raddizake naombasana waliokaribu nae wamfikishie hilo katika hali za namna kama hiylo
@HasaniSasi
@HasaniSasi 16 күн бұрын
@@kasimubangu1875sasa hayo ya kumtus na kejeli wewe hauyaoni?
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 17 күн бұрын
Bachu mdogo wangu, Alhamdulillah unatufaidisha Sana lakini nikuombe usijibu hoja zaid ya mara tatu, acha dunia ipime yenyewe. Ukizidisha sana itakutafasiri tofauti Sana
@mariamebrahim3925
@mariamebrahim3925 17 күн бұрын
Mashaa Allah shekh bachu, Allah akuhifadhi...endelea kutupa faida Penye haki hapakosi fitna....Allah akufnyie wepec
@MukramRwakatale-ly1lz
@MukramRwakatale-ly1lz 17 күн бұрын
Hahaha hvii Hawa mashekh wakoj utapeli was wazi Asante shekh muhammad walipue wasilete utapeli katika dini أسأل الله ألعافية والسلام
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 17 күн бұрын
Kwa mwenendo huu, makhurafi hawatakupenda sheikh wetu Mohammed Bachu...Allah akuhifadhi...Endelea kuwabainishia
@yuenbiao1777
@yuenbiao1777 17 күн бұрын
Kwa nini unaita muislamu mwenzako khurafi? naomba unifunze nini maana ya khurafi
@IsmailSanga
@IsmailSanga 17 күн бұрын
MAYAHUDI wapo kazini!.
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 17 күн бұрын
​Khurafi maana yake ni(mzushi)😂
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 17 күн бұрын
Yaan hii hawawezi jibu maan wakijibu huko mbele kuna mtego watashindw kuja kuutegua na pia mbaya zaid watajikuta wote w2 wa maulid utawakumba kw kwel sheikh muhammad bachu hawa wanaumia na ww ila zaid ni kwamba hawakuwez maana unatoa ushahid ila wao wanatoa porojo tu
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 16 күн бұрын
Kasome ni aibu hii​@@HassanIddy-v1b
@saidjumaabdalla1789
@saidjumaabdalla1789 16 күн бұрын
Inshaallah mwenyezimungu akupe ulinzi shehewetu Muhammad bachu kwa elimu kubwa tunayo ipata
@LuluAquai
@LuluAquai 17 күн бұрын
Baaraka llahu fik,sheikh Muhammad Bachu shida ni itikadi mbovu,me nasema niushirikina kabisa
@adnanestropa7092
@adnanestropa7092 17 күн бұрын
Nakupenda bure kijana cha Bachu❤
@nassorally2441
@nassorally2441 17 күн бұрын
Allah akuhifadhi na atuongoze sote ktk kheri
@dreamleague-uq2gx
@dreamleague-uq2gx 16 күн бұрын
Sheikh bachu nakuelewa sana. Allah akuzidishie elimu MASHA_ALLAH
@Khamismwtn
@Khamismwtn 15 күн бұрын
Ustadh bachu Allah akujaze subra na akupe nguvu yakuendelea kupambana na wachafuzi wa dini yetu ya kislamu na SS tutazid kukuombea kwa Allah akulinde kwanguvu zake dhid ya mahasidi inshallah
@omarhassan2637
@omarhassan2637 16 күн бұрын
Shekhe Muhammad Bachu tumekuelewa sana Allah akuhifadhi, mwenye akili ameshafahamu
@MwanakomboAbasi-j1r
@MwanakomboAbasi-j1r 15 күн бұрын
Namuomba Allah akuhifadhi shekh tuelimishe watafaidika kwa wenye kufahamu in shaa Allah
@RAMADHANZSHAABAN
@RAMADHANZSHAABAN 17 күн бұрын
ALLWAH SW AKUHIFADHI SH BACHU NAKUKUBALI SANA SANA
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 17 күн бұрын
Shekh Muhammad Bachu Allaah akuhifadhi na akulipe kheri kwa kazi njema unayo ifanya ya kuwaelimisha Waislamu kutokana na upotevu na mpindo wa masufi wanao utumia kupoteza watu na kuwatapeli wasio jitambua. Hakika hakuna sufi siku moja atathubutu kuja na hoja za kutetea chochote ktk Dini, ukiona sufi kaja, nimoja ktk mambo yafuatayo; 1-Imma amekuja kutetea shirki na bidaa zao. 2-Au amekuja kufanya khiana na udanganyifu, hapo atapondoa maana na makusudio ya aya au hadithi, ili ionekane ana hoja na dalili za kufanya ushirikina wake au uzushi wake. 3-Au ataleta upuuzi tu, ambao hata akili haikubali upuuzi hule, bali hata hao wafuasi wao watasema mh! kwa hapa Shekh simkubali. Sasa kama hii ndio hali ya masufi, basi itaendelea hivihivi, kwa sbb Dini yao ndio kitu duni zaidi kwao, na ndiomana kaachiwa atakae aseme atakavyo, na afundishe watu atakacho, na Dini haina shida, ujinga, upumbavu, uwenda wazimu, uzuka, matusi, dharau, urongo, upotofu wa kila aina, shirki, uzushi, vyote hivi nivitu vya kawaida kwa masufi, na hauwezi simama usufi bila ya upuuzi huu. Kwaio hakuna sufi atakuja kutetea Dini, anaekuja, imma atatetea ushirikina, uzushi, utapeli, wizi, upumbavu na ujinga, au anakuja kutetea tumbo lake tu. Allaah Mtukufu amewanyima vitu vingi sana masufi, na ndiomana ukaona hata wenye elimu ktk wao hawawezi kutetea manyago yao.
@fuadbilalsaid-fe3zu
@fuadbilalsaid-fe3zu 17 күн бұрын
Huyu Ali Faza anatafuta umaarufu tu. Wala hana hoja za msingi. Sheikh wetu Muhammad Bachu Mwenyezi Mungu akulinde na akupe subra IN SHA ALLAH.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 17 күн бұрын
Haoni matusi ya wenzake lakini ataona mbele ya Allah, isikusumbue sana ndugu yangu, hio ni akiba yako mbele ya Allah
@yusuphhassan9619
@yusuphhassan9619 16 күн бұрын
Innalillah wa innailaih rajiuun,Allah atufanyie wepesi turudi kwenye dini.Mtume wetu angelingania hv dini sidhani kama ingetufikia!
@saidjuma4547
@saidjuma4547 16 күн бұрын
subhana Allah Allah akuhifadhi sheik wetu Muhammad bachu fufuwa madudi masufi wakae kwenye mstari wa SAWA SAWA
@OmariKikoti
@OmariKikoti 15 күн бұрын
Shekhe Nina krip yako Moja tu ya u somaji wako wa qur.an tupia soma msahafu mzima kiraa chako nimekielewa sana ALLAH akuhifadhi
@Saidimkwizu
@Saidimkwizu 17 күн бұрын
MASHAALLAH yule alifaza anajifanya hajui kua diwani ndo mwenye matusi kuliko waganga wote wa kisufi salafi sana 😂😂😂😂 halafu ni sufi aliekubuhu pia huyo Ali faza
@MwalimuSeif
@MwalimuSeif 16 күн бұрын
Mashaahllah shekh wetu mohamed nassoro tunakukubali sana
@ismailowino2866
@ismailowino2866 17 күн бұрын
Masha'allah tabarakallah.Allah azza wa jal aendelee kukuhifadhi Sheikh Muhammad.
@Kassim-o6m
@Kassim-o6m 17 күн бұрын
Uyo diwani kweli ameitafsiri vibaya kurani na anatakiwa atubie na asifanye tena kosa Hilo la kuitafsiri kurani kwa matamanio ya nafsi yake
@MR_GROUZER
@MR_GROUZER 16 күн бұрын
mm namkubali shk Muhammad akiwakamata hawa watu pia kaka shikilia huku huku maana walio wengi wanafahamu na kuelewa kupitia njia hii
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
Sheikh hao Wanaghadhibkia kwavile Unawaumbuwa Uovu/Utapeli wao na Ushirikina wao ktk Kivuli Cha Uislamu 🙌 📌Hivyo ln Shaa Allah Sheikh Usirudi Nyuma, endelea Kuondosha Uovu/Uchafu wao wasiuchafuwe Uislamu na Wasituchafuwe Waislamu Kwa Tamaa zao za Dunia 🙌
@AbuuLukman-u5u
@AbuuLukman-u5u 17 күн бұрын
Mashalla wabainishiye shee bachu nawakija wanna wake navitabuuu
@binmuhamd
@binmuhamd 17 күн бұрын
Ashukran sana Shekh wngu bachu
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN 16 күн бұрын
Shekhe Bachu nakupenda kwa ajili ya Allah ila naomba mwiite shekhe au ustadhi wwte kwa jina lake ili iwe sawa zaid mbele ya Allah usimwite kwa jina ambalo hakuitwa na wazazi wake au kujipandikiza mwenyewe kama Haji Upepo
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 17 күн бұрын
Ni mpuuzi tu Uyo ali faza mtu wa Uzushi hajielewi kabisaaaa
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 16 күн бұрын
Afu utamsikia Miongoni Mwao hawa Matapeli/Washirikina (hufundisha/huamasisha); husema, na huamini eti Qura'an (Ruqyah) haiwezi Kufanya Kazi/haina Nguvu ktk Mashaiytwan/Majini yaliyopo Mbali na Mgonjwa/Mwenye tatizo. Laakin ktk Ushirikina na Utapeli wao (kama tunavyosikia) hutumia Qura'an Kurejesha/Kuvuta Mpenzi aliyembali (hata kama sababu ya Kutenga/Kuwa Mbali hutenganishwa na Mashaiytwan/Majini je?!) Laakin eti Qura'an/Ruqyah ishindwe Kufanya Kazi ktk baadhi ya Shida (Magonjwa/Maradhi).🙌 Kwavile Utapeli na Ushirikina umewatawala hawelewi hata Umuhimu/Uwezo wa Qura'an (Ruqya) ktk Kutibu/Kuponya Kila Shida/Tatizo (Maradhi/Ugonjwa) Kwa Uwezo wa Allah/akitaka Allah. Qura'an ni Msaada/Kiwezeshi ktk Kudanikisha Jambo/Kuipa Nguvu Tiba/Dawa nk. 📌Hivyo tuitumie Vema Qura'an/Ruqyah na si Kuitumia Qura'an ktk Kukufuru/Kufanya Ushirikina (eti weka Chumvi, Ndimu nk afu Soma Qura'an). Nilikuwa nasikiliza Kwa Makini sana ktk hiyo BARZAM nilizani unapikwa Mchuzi Maana hivyo Viungo; Chumvi, Ndimu nk 🙌😂😂😂 Laakin wao (Matapeli) wanashindwa Kutumia BARZAM/DUA YA NGAMIA Kupata Vifaa vya Kuendeshea Shughuli zao za Ktk Online TV yao nk 🙌 Inamaana BARZAM na DUA YA NGAMIA haina Uwezo/hushindiwa Kuwapatia Vifaa vya Shughuli zao /Tv yao?! 🤫🙆 Sheikh Mohammed Bachu Wanyoroshe hao Matapeli na Washirika hata Wakikupiga Mande/Wakikuchangia (awakikushambulia) Kutaka Kudhorotesha Hoja zako Kwa Wingi wao hawata shindana na Umoja wa Allah Subhanallah Wataala sababu Sheikh unasimamia Haki Unapinga Batili🙌 In shaa Allah Allah atakulinda sababu unatea/unapigania Haki (Unaondosha) Dhulma wanayofanyiwa Watu (Waislamu na Wasokuwa Waislamu) hutapeliwa Mali/Pesa zao na hufanyiwa Dhulma Uislamu na Allah Kwa baadhi ya Watu (Waganga) hufanya Kinyume na Mafundisho ya Mtume Muhammad SAW/Kinyume na Uislamu. Hivyo huchafuwa Uislamu na Waislamu. Na Allah amehimiza unapotokea/unapafanyws Uovu na baadhi ya Watu basi ni Wajibu/lazima (Ibada) wajitokeze Miongoni/baadhi ya Watu waondoshe Uovu. Tusipouondosha Uovu ilija Adhabu ya Allah (Kwa Duniani) huwa Kwa Wote (Wema na Waovu), hivyo nivema Kukumbushana Kwa Elimu (Kwa Hekma na Busara), tufanye Yale anayoyaridhia Allah kama tulivyofundishwa na Mtume Muhammad SAW Kupitia Qura'an na Sunna/Hadithi za Mtume Muhammad SAW Ili tupate Nusra ya Allah Kwa Duniani na Akhera. WaAllahu Aalamu. AAAMIN
@BadrudinSiraji
@BadrudinSiraji 16 күн бұрын
Assalamualaikum Warahmatullahi Wabarakatu,tunashukuru sana sheikh Bachu,Allah akuzidishiye kheri na familiya yako pia na wazazi wako,sasa mwenye macho ataona na kujuwa ukweli.
@Juleybibsalim
@Juleybibsalim 16 күн бұрын
Sheikh Allah akupe subra sababu mtume muhammad SAW aliitwa majina machafu na matusi mengi sana,,,,
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 16 күн бұрын
ASANTE UST MUHAMMAD HAWA UNAWAFUNZA LAKIN KIBUR TU LAKIN FANYA SUBRA ALLAH ATAKULIPA NILIJUA HUYU UST MALEMBA ATASHIDA ADABU YAKE UKISHAMSHUGHULIKIA HARUD TENA
@ShahidaMdoe
@ShahidaMdoe 17 күн бұрын
Allah akuhifadhi shekhe wetu
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 17 күн бұрын
She m,bachu yatoshaaa😂😂 kichapo anachowapa hawa makhurafi na majadida kimevuka dozi Yao angalia usipate kesi ya mada😅😅😅
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 16 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Juleybibsalim
@Juleybibsalim 16 күн бұрын
Kazi ya daa'wa ina changamoto nyingi sheikh Allah akupe subra na iman Inshaallah
@omarjuma1794
@omarjuma1794 16 күн бұрын
Mashallah Sheikh #MuhammadNassorBachu, kwa kuwapa ukweli.
@Tolleiyss-g6b
@Tolleiyss-g6b 16 күн бұрын
Hhhh wah wllh mungu akuhifadhi sheikh Muhammad bachu, ndugu wetu mungu ukuzidishie umri Allah akopamoja na wewe.
@MuslimIbrahim-qf4nn
@MuslimIbrahim-qf4nn 17 күн бұрын
Mashallah tabarakallah
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 17 күн бұрын
اللهم صل على محمد وآل محمد الطيبين الطاهرين
@mustafaibrahim5200
@mustafaibrahim5200 17 күн бұрын
Bwana mdogo Bachu anawabananisha wazee na Majadida kielimu wakipaniki wanaanza kutukana
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 17 күн бұрын
Mara ya mwisho kumsikia Bachu anatamka neno jadida ilikua lini? Mwenzako kashaacha ujinga wa kuita jadida baada ya kutambua alikua anapotea sasa wewe endelea kukaa na huo ujinga kichwani.
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 17 күн бұрын
​We mpuuzi😢kwani bachu ndio dalili?acha awakaange vzr unajipendekeza kwake?😂😂jadida nyie
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 16 күн бұрын
@@HassanIddy-v1b Endelea kufuatilia nasaha na kusoma mwisho utaanza kuondoa ujinga kama alokuanao mwalimu wenu wa wajinga Bachu (Mr.Hadhayaani)
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 16 күн бұрын
​Bado mtaumia sana fitna aliokujanayo k,mafuta nikubwa sana itamgharimu sana na Kila anaemuunga mguu na tumbo,
@kisiwaPanza
@kisiwaPanza 17 күн бұрын
Hili Nilimpa Huyo Sheikh Malemba Siku 3 TU Raddi Itamuhusu Maana Alipo Ingia Sipo Na Atakimbia TU.. Matusi anayo Tukana DIWANI Bachu Hawezi Hata Kuyatamka Usingizini Akiwa Pekeake.. Alinishangaza Sana Huyu Malemba .. Nikawa Nasubiria Yatakayo Mkimbiza.. Nipo Palee Nasubiria No.2
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 17 күн бұрын
Mlevi wa pemba haya manen sidhani kama kuna haja ya kuyatamka maana ni kama vile unawatukuza walevi wa pemba Mlevi ni mlevi tu wala usitake kutofautisha kati ya Mlevi wa pemba na sehemu zingine Unaweza kutoa hoja zako bila kutumia maneno hayo
@HarithAlyhamadi
@HarithAlyhamadi 17 күн бұрын
Walevi wapemba tofaut na walevi wing wasehem nyengine mlevi wa pemba asilmya kubwa wanalewa ila.hawaib siwaporaj watu pya niwasomi kidog unaweza kumkuta mlevi ila anakushinda wew kwa elimu hzo ndosifa za walevi wa pemba
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 17 күн бұрын
@HarithAlyhamadi hakuna kitu kama hicho mtu akishakuwa mlevi ni mlevi tu na mtu akishelewa akili haziwi zake zinakuwa za pombe. Pombe tu labda mtuambie pemba mna pombe zenu maalum tofauti na sehemu zingine. Huwezi kuwaingiza walevi katika mambo ya dini na hoja inaweaa kueleweka tu bila kuwataja hao walevi
@HarithAlyhamadi
@HarithAlyhamadi 17 күн бұрын
@@swalehemusakiluwa9405 yeye hajatumya kauli iyo km nihoja labda wew t umemuwelewa vbya
@HarithAlyhamadi
@HarithAlyhamadi 17 күн бұрын
@@swalehemusakiluwa9405 ila mlevi wapemba wallah wastaarabu san pya Mt kalewa ila anakupgya hadith aya fresh t maisha yanaenda
@twaliburajibi856
@twaliburajibi856 16 күн бұрын
​​Hawa watu wana itikadi mbovu sana ambayo si katika mila ya kiislamu hii ni mambo ya kijahili kabisa kufadhilisha watu kwa kigezo cha wanakotoka. Huwezi kuta​nguliza upemba mbele ya mila ya kiislam. Ukabila hauna nafasi mbele ya dini, maongezi ya aina hii nimeyasikia sana katika kipindi hichi, waislam wanabaguana hadi kusikia kauli za kufadhilisha walevi wa Pemba mbele ya masheikh wa bara, kuna jamaa nimemsikia tena anawabeza masheikh wa sunna ambao kazi zao zinafahamika.@@swalehemusakiluwa9405
@AbdullaHaji-b7d
@AbdullaHaji-b7d 16 күн бұрын
Allah SW Akuhifadh sh. MUHAMMAD
@SeyabageMunobo
@SeyabageMunobo 17 күн бұрын
MASHA ALLAH MWALIMU WETU SHEKH MUHAMMAD BACHU ALLAH AKUHIFADHI NA AKULINDE NAKUOMBA KWA AJILI YA ALLAH HAKIKISHA KWANZA KABLA HUJAMPA ( RADI) KUMMOMONYOA MPE NASAHA KWANZA NJE YA KAMERA AKIGOMA KUJIREKEBISHA MBOMOE ITAKUWA HAKI YAKE KURADIWA. SASA HIVI WANAKUOGOPA ILA KUCHOMOKA INAWAWIA VIGUMU. NAKUOMBA WAPENI NASAHA KWANZA NJE YA CAMERA NA WALLAH WATAACHA KUTANGAZA BATILI ZAO
@BadrudinSiraji
@BadrudinSiraji 16 күн бұрын
Allah akulinde na balaa ,fitina namengine mabaya ,
@MaisaraIbrahim-i9b
@MaisaraIbrahim-i9b 16 күн бұрын
Hata kusoma Bachu unababaika, tafuta walimu wakufundishe acha ubishi mwenyezi Mungu sio baba yako Wala mjomba wako acha kiburi
@OphraiddHir
@OphraiddHir 15 күн бұрын
Haki inachomachoma, vumilia
@AhmedMalick-jf6sk
@AhmedMalick-jf6sk 16 күн бұрын
Mashallah mashallah jazakallah kheir
@ahmedabry293
@ahmedabry293 17 күн бұрын
Nimecheka sana huku mwisho huyu yussuf diwani tapeli sana dah😂
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 16 күн бұрын
Ali faza anataka umaarufu hata dj said alikuwa haijulikani kabisa ila alipoanza kukushambulia ndio akapta umaarufu wa kuitwa kwenye vikao vya Maulid 😊
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 17 күн бұрын
Shekh wallahi tuko pamoja sana
@BradothAdm
@BradothAdm 14 күн бұрын
Mshirikina yusufu niwaniiii mshirikinaaaaaaaaa
@SibmaSeleman-zv4nv
@SibmaSeleman-zv4nv 16 күн бұрын
akhiy mm nakuelewa san tu inshallah usirudi nyuma tangaza dawa kwa haki usimuhofie mtu ukiona jambo haliko saw tubainishie haki
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 16 күн бұрын
Baarakallahu fiik
@justinabdi9353
@justinabdi9353 17 күн бұрын
Mashallah sheikh,nilikwa na subiri Sana ii video
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 17 күн бұрын
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh❤❤🇹🇿🇹🇿
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 16 күн бұрын
MAASHAA ALLAH tabarakallah
@borntown6945
@borntown6945 17 күн бұрын
Bachu unatisha sana
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 16 күн бұрын
Allah Akuhifadhi muhammad bachu ❤❤
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 16 күн бұрын
PASSWORD YA UST MALEMBA HHHHH MMMM HHHH MMMM WACHAPE UST MUHAMMAD MASHALLAH UNAWATANDIKA VIZUUUR SANAAAAAA MASHALLAH ALLAH AKUPE UMRI MREFU UENDELEE KUWA TANDIKA WAZUSHI KTK DINI YA ALLAH
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 16 күн бұрын
Ali Faza Muongooooo kisha Jahiiiijj la mwisho kwa Tiktok. Huyu Ali faza na Dr Sule..mmoja
@yahyayunus2892
@yahyayunus2892 17 күн бұрын
Jamani Huyu Yussuf Diwani hana tofauti na tapeli Mwamposa
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 16 күн бұрын
Mm nipo nchi katika eneo hakuna harakati za dini ila naelimika
@dhidhasalim267
@dhidhasalim267 16 күн бұрын
Watakuchukia sana kwa kuwaambia ukweli.Alafu hawa watu wa maulidi wanaleta kila aina ya balaa katika uislamu.Huu ukhurafi ukomeshwe kabisa.
@yuenbiao1777
@yuenbiao1777 17 күн бұрын
Ongea ukweli utapeli ni mwingi sana unatutia dosari waislam
@nnajahtv
@nnajahtv 17 күн бұрын
Kadiri anavyo zeeka diwani akili inazidi kuondoka : "ومن نعمره ننقصه في الخلق" ndo huyu diwani السبابة ila malemba hajui au anajitia hamnazo
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 16 күн бұрын
Nawausia ndugu zangu wote waislamu. Tuitaneni kwa majina mazuri jamaa".
@husseynomar9523
@husseynomar9523 16 күн бұрын
MashaAllah Tabaarakallah
@PeacefulSoccerGoal-ki7td
@PeacefulSoccerGoal-ki7td 17 күн бұрын
Tumswalieni MTUME WETU S.A.W waislamu tutumieni hekma kujibizizana
@OphraiddHir
@OphraiddHir 15 күн бұрын
Haki ikiingia urongo hutoeka. Ukitoeka utaacha machungu, ukihisi uchungu haki ikibainishwa, jichunguze
@spartachize122
@spartachize122 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂uganga una password pia
@masudihemedi5488
@masudihemedi5488 17 күн бұрын
😅😅😅
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 17 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣hiii kali
@spartachize122
@spartachize122 16 күн бұрын
@@HassanIddy-v1b 🤣🤣🤣🤣
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 17 күн бұрын
Masufi kwa hakika wana matatizo sana
@HamisMwamba
@HamisMwamba 17 күн бұрын
Akhy diwan mjinga sana kisha izo aya mbona zponying sana mpaka katka surat israil
@BadrudinSiraji
@BadrudinSiraji 16 күн бұрын
Namuomba Allah akupe umri mrefu.
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 16 күн бұрын
Shukran
@AmruMuhambi
@AmruMuhambi 17 күн бұрын
waganga wameitana/Lau watajikusanya waliokufa na walioko hai majini na watu kutaka kuizuia Haki basi hawatoweka ليضهرهوعلی دينی کله ولو کره الکافرون
@mickdadihiga5246
@mickdadihiga5246 17 күн бұрын
Hapa ilipofikia wew muislamu...swali,funga swaum,toa swadaqa kwa uwezo wako epuka madhambi...Omba Allah ufe ukiwa muislamu...Io tosha awa waliona ugomvi waachieni watapambana uko mbele ya haki
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 17 күн бұрын
Huyo ustadh malemba ameyakanyaga kwa Bachu....manake anamtetea mushrik mhuni diwani
@IbraFareed
@IbraFareed 16 күн бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI WABILAHI TAWFIQ
@mohagurey2214
@mohagurey2214 17 күн бұрын
Hawa masufi wanasahau kuwa mwisho tutarudi kwa Allah na watalipwa kwa dhulma wanafanya kwa kutusi watu sunnah kisha kujifanya wao ndio wadhulumiwa ilhali wao ndio wenye matusi na kupinga sunnah day and night
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 17 күн бұрын
Kumbe ndio maana hawa Masufi akina Diwani na Malemba huwa wanamshambulia sana Bachu sababu anatoa elimu inayopingana na huu itapeli wao
@IbraFareed
@IbraFareed 16 күн бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI WABILAHI TAWFIQ
@IbrahimuMgeni-gz5vx
@IbrahimuMgeni-gz5vx 17 күн бұрын
Jino kwa jino
@RajabuMsumari-dh5jb
@RajabuMsumari-dh5jb 12 күн бұрын
Bachu ungekuwa unaelimu.ungesomesha watu.Ajabu unatafuta makosa makosa..Kwa Elimu hakika bado sana ndio maana una payuka payuka
@KuradusengeAbdurahman
@KuradusengeAbdurahman 17 күн бұрын
Bachu mashaallah tunasubiri nyengine
@sergegnabry1234
@sergegnabry1234 17 күн бұрын
Hivi diwani anajua kumwita mtu mwana wa haramu maana yake haswa ni nini? Hili ni tusi baya ni sawa na kumuita mtu mtoto wa nje ya ndoa na kufanya hiv ni kuwasingizia zinaa wazee wake jambo ambalo limekemewa kuwasingizia zinaa watu waliojihifadh.
@IsmailSanga
@IsmailSanga 17 күн бұрын
Ninini maana ya KURAFI?
@sergegnabry1234
@sergegnabry1234 17 күн бұрын
@IsmailSanga Ni mtu alietoka kweny misingi na misimamo ya kiislam
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 16 күн бұрын
Hakuna Chizi ata mmoja ambaye anaweza mtetea Diwani .. Diwani anaongea na Anapromote kumshirikisha mwenyezi Mungu wewe Malemba unatetea upuuuzi wa Diwani
@AhmadAli-y6h3w
@AhmadAli-y6h3w 10 күн бұрын
Hutaki tna mjadala Ust Said akungojea Hku Mombasa
@SalumKarzai
@SalumKarzai 16 күн бұрын
Mumeacha kulingania Dini ya Allah mumekuwa content creators tupo mashahid hadi mutukanane wazazi wenu kwa tamaa za kidunia
@AbdallahAlly-b5m
@AbdallahAlly-b5m 16 күн бұрын
Kwani hapo bachu analingania nin? Inamaana kwa kuitazama hii video hijaiona haki na baatil? Au nawew ulikuwa ni mmoja wa watu waliotapeliwa na yusuph diwani? Bachu anabainisha haki wew unasema wanatukanana,kwani hujaona alietukana nani? Jitambue
@OphraiddHir
@OphraiddHir 15 күн бұрын
Hakuna kulingania dini zaidi ya haya, kuamrisha mema na kukatazana upotoshaji, urongo na utapeli ndani ya dini. Kama huoni hivyo jichunguze. Huenda umeathirika na yanayokatazwa. Kwa sababu kusafisha kitu lazima upate uchungu kuacha
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 17 күн бұрын
Diwani sio mtu wakusilizwa kabisa
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t 16 күн бұрын
Bachu yamekuta sasa uliokuwaukiyatafuta kumbe ukiambiwa kafiri hupendi😂😂 lakiniwezako kilasikuunawambia makafiri😅😅😅😅
@conhecmintokujuwa
@conhecmintokujuwa 17 күн бұрын
Ndomaana BiDAAA NI HATAR SANA KULIKO SHIRIKI
@OMARIOMARI-j5j
@OMARIOMARI-j5j 17 күн бұрын
bidaa haiwez kuwa hatar kuliko shiriki. Acha upotoshaji, Mshirikina atakaa motoni milele lakin hakuna dalili katika aya wala hadith kwamba mtu akifanya bidaa anakaa motoni milele. ACHA UWONGO NA USHABIKI
@conhecmintokujuwa
@conhecmintokujuwa 17 күн бұрын
Ni HATAR kwasababu Bidaa yaweza kukufanha ukiwa msirikina Lakini ukujiepusha na nayo automatikal uwez kuwa mshikina ...​@@OMARIOMARI-j5j
@RashidHassan-qi6ll
@RashidHassan-qi6ll 16 күн бұрын
Shirki ni ndambi kubwa lisilo sameeka mtu akifa bila kutubia na bidaa nindambi ambalo mdu anafanya Ibada hisio kubaliwa kwasababu kufanya Ibada mpaka tufanye masharti mawili kufanya kwaajili ya Allah na kufanya alivyo fundisha mtume s.a.w ndio Ibada ikubalike na na kufanda Ibada ya kuzua amalizake hazikubaliwi kwahiyo atakua ibadazake zote hazitokubaliwa u​@@OMARIOMARI-j5j
@pakashume725
@pakashume725 17 күн бұрын
Asalaam alaykum, tunanufaika ki elim
@GSaleh-xr3vn
@GSaleh-xr3vn 16 күн бұрын
Masheikh mnakosea sana kwann mnafanyiana mambo yasio na maana
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e 17 күн бұрын
Wallahi awawatu hawana hata aibu, kilasiku waondo wanatukana tena mpaka kutuita sisi ni wagaratia, haujaonayote haya ,umeona hayayakuitwa mjinga au tapeli? Mcheni allah
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 17 күн бұрын
Pale kwenye kusema Allah ni kitu chchte chenye kuabudiwa nimemtoa maanani kabisa
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 16 күн бұрын
Achana namasufi. Kwanza nenda ukamjibu. Shekh ABUU UBEYDA. KULE. MALKAZI AL IMAAM MUZANIY
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 17 күн бұрын
Huyo malemba naona atafuta umaarufu kupitia sheikh wetu bachu .mm nilimwambia jee aweza ktk Quran pahala pa fastaeedh akatamka audhubillah?
@OmariKikoti
@OmariKikoti 15 күн бұрын
Shekhe Mimi naitwa omari kikoti nipo mkuranga naomba kupata utaratibu wa kujifunza lugha ya kiarabu ahsante
RADDI KWA HAJI UPEPO || JE KUFANYA KONGAMANO NI BIDAA || Muhammad Bachu.
45:20
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 8 М.
RADDI KWA HUSSEIN SEMBE || Muhammad Bachu || 4 February 2025
49:13
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 10 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
WALIFURAHIA KWA KUTANGAZA KUFA KWA ABUU IDDI NI WAJINGA TU || Muhammad Bachu
11:21
USIJIONE NI MCHAMUNGU KULIKO WATU WOTE UTAANGAMIA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
33:17
HUYU NI MALAANIFU KWANINI UNAMTETEA ? || Muhammad Bachu.
33:02
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 8 М.
HAYA MAMBO SIO YA KUCHEKA LAKINI MASHEIKH WANAYACHEKEA || Muhammad Bachu.
37:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 10 М.
RADDI BAKORA YA MTOTO WA KUSOMA KWA MTOTO WA BACHU
29:12
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 6 М.
ALI FAZA UKAFIRI UPO KWAKO IKIWA UTASHINDWA KUJIBU HOJA HIZI || Muhammad Bachu.
33:26