Рет қаралды 3,031
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Waefeso, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Waefeso, Paulo anaonyesha jinsi habari njema inavyopaswa kujenga jamii zenye makabila mbalimbali ambazo zimeunganishwa kwa msingi wa kujitoa kwao kwa Yesu na kujitoa kwao kwa kila mmoja wao.
#BibleProject #Biblia #Waefeso
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA