MUME WA DIVA AJIBU TETESI ZA MKE WAKE KUTEMBEA NA OSCAR OSCAR / TULIGOMBANA SANA / TULIACHANA

  Рет қаралды 26,474

Manara TV

Manara TV

5 ай бұрын

KWA HUZUNI SIKIA MWANZO MWISHO MUME WA DIVA ALIVYOELEZEA KUHUSU TETESI ZA MKE WAKE DIVA KUTOKA KIMAPENZI NA OSCAR OSCAR / TULIGOMBANA SANA / TULIACHANA
#diva #mumewadiva #hajimanara #diamondplatnumz #dottomagari

Пікірлер: 77
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th
Huyu mganga ajawahi kuwa mzima ni kichaa
@salomewandya7257
@salomewandya7257
Duh yaan Diva maskn alikosea sn kuolewa na huyu mganga tapeli😢😢
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387
Sio ugonjwa wa mouo hiyo ni stress,hiyo ni palpitation punguza stress na angalia damu yako inaweza kuwa nzito
@user-zz7jr7yj9m
@user-zz7jr7yj9m
Divaaa anamoyoo wahurumaaa sanaaa
@Naju645
@Naju645
Diva kichaa kumbe nabwana nae wamekutana kopo namfuniko
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q
ABDOULL MTOTO WA MJINI SANA
@marymanoni5536
@marymanoni5536
Diva ulikosea kuchagua
@MILK52899
@MILK52899
Abduri huwezi mtunza Diva maana ana penda pesa kuliko wewe na wewe anasema ni yeye ana payed kila kitu inaonekana wewe mume bwege huna pesa acha akuchiti maana huna pesa tafuta wale masikini wenzako hutoweza kumkidi Diva maana maisha yake huto yaweza lazima awe na wenye pesa 😂😂😂😂😂😂
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n
Mhm hapa kazi ipoooooo
@hanifamziray277
@hanifamziray277
Dawa za abdul zimeisha nguvun sbb yy ni mdangaji ndio maana anasikia wivu amesahau yakwake toa upwiru mwaya
@bosschick2417
@bosschick2417
Mbona kama mtangazaji anaskia arufu ya mdomo wa guest wake?😂😂 lol
@cdeleo9336
@cdeleo9336
Wamekutana pipa na mfuniko. Wote matapeli watupu
@aminajuma1156
@aminajuma1156
Nawapenda sana jamani ❤
@asiaswedi8945
@asiaswedi8945
Eti anajiona handsome mwenyewe, mbona sio kiviile. Kawaida sana tu. Kwanza ajue tu wanawake wengi hawapendi wanaume weupe. Mwanaume wa kujisifia eti yeye ni mzuri sio kabisa . Kwanza hata haipendezi kwa mwanaume kujisifia.
@PrincessZAmlima-qh1uq
@PrincessZAmlima-qh1uq
Sheikh unakubari kuhojiwa huku wito wa Azana unaita....Nenda kafanye ibada uje uendelee na mahojiano
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075
😂😂😂Nacheka huku sijui nacheka nn😂😂😂
@vumiliakilosa4548
@vumiliakilosa4548
Acheni kuingilia ndoa za watu
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042
Duuh pole sna
@shabanmakata7329
@shabanmakata7329
Hamna mtangazaji hapa
@user-cc5xq5qq6k
@user-cc5xq5qq6k
😊
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,4 М.
TAMATI YA MZAZI WA KIJANA WA MIAKA 27 HAYA NDIYO YALIYOJIFICHA UKWELI HUU HAPA
10:30
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН