Muna afanya maamuzi mazito juu ya mazishi ya mwanae patrick / casto dickson apewa kisogo

  Рет қаралды 380,416

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@gililwise
@gililwise 6 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati namshukuru sana Muna kukubali mtoto azikwe na mme wake wa ndoa .alichokiunganisha Mungu mwanadanu asikitenganishe.kaka yangu samehe yote yaliyopita amen
@anastaziaschone9403
@anastaziaschone9403 6 жыл бұрын
Mungu amfichi mtu muovu ata siku moja duuh uyu dada uwemuwaz jaman
@marthamasanja1659
@marthamasanja1659 6 жыл бұрын
pole sana kwa msiba mama inauma sana tunajua tulioenda leba baada ya mazishi kaa na mme wako bwana peter muanze upya msameheane tu ni mme wa ndoa hupo poleee
@maryraphael7810
@maryraphael7810 6 жыл бұрын
hiyo picha mtoto kafanana na Peter🙊🙊, kwaajili ya pamba naumaridadi watu wanamuona kama wa Castoooo😱
@mohamedjuma423
@mohamedjuma423 6 жыл бұрын
Brother umeibiwa..Mr. Casto pole
@poteditha9374
@poteditha9374 6 жыл бұрын
hongera Muna kwa kukubali mtt kupumzishwa r.i.p patrick
@mwanarusihamisi1706
@mwanarusihamisi1706 6 жыл бұрын
Ama kweli anae juwa baba mtoto nimama mwenyewe so kunauwezakano kabisaa ikawa pitter kwel alifunga nae ndoa nakuwa vheti vhote vinatibitisha yeye ndio baba alisii lakin ukwel wotee anao mama mtoto ila kwakuwa kitanda akizai haram wamuchee pitter amzikee uyo mtoto kwa Amani...munalove mungu anakuona naujuwee mwisho wa ubaya Aibuu mama umeumbuka
@anastaziamapunda2289
@anastaziamapunda2289 6 жыл бұрын
Huyu dada ni muhuhaji mtoto baba wawili aibu sana wewe dada unaonyesha umalaya wako wazi sio vizuri unatuchefua
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 жыл бұрын
Anastazia Mapunda usimtukane huwezijua huyu mumewe aliyefunganae ndoa waligombana nini ktk mzunguko wao wamaisha siri anaijua yeye na mumewe,tusimuhukumu maisha ya ndoa nimtihani mkubwa ndomana tunzo yacheti inatolewa ndoa ikifungwa,vinginevyo wengi wao wasingeyakubali haya maisha
@neemakobiro1799
@neemakobiro1799 6 жыл бұрын
Siku zote akina Mama tunanyooshewavidole lakini tukumbuke Na akina baba nao wana yao
@nurunuru.habibu3956
@nurunuru.habibu3956 6 жыл бұрын
Du wanawake ss wabaya tena wauwaji Dada elimika kwasasa upo kwenye kipindi kigumu huto waza kukisaau maishani
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 6 жыл бұрын
Ebu muhifadhini mtt kwanza kwenye nyumba yak ya milele alafu nyie muendelee na ujinga wenu
@samirateme5209
@samirateme5209 6 жыл бұрын
na kweli nisha
@olivercharles4553
@olivercharles4553 6 жыл бұрын
Kiukweli knauma sana Mm n mwanamke but nimeumia sana jinsi Muna alivyofanya ungemsikiliza mume wako ingekuwa jambo jema sana, Plz Dada Muna ubadilk na umuombe msamaha mume wako, Peter ni mwanaume mwenyewe upendo na uvumilivu sana
@omarychediel1307
@omarychediel1307 6 жыл бұрын
Muna katuchafua wanawake WOTE pia tujifunze wengine RIP pat
@scolasticachapuga8745
@scolasticachapuga8745 6 жыл бұрын
Mungu akuti3 nguvu muna
@mcmbilimbi8536
@mcmbilimbi8536 6 жыл бұрын
ni kweli mungu kamchukua kwa makusudi yake
@janenjeri3435
@janenjeri3435 6 жыл бұрын
baby boy lala xallama mungu akipeda tutaonana
@jazilhamussa7231
@jazilhamussa7231 6 жыл бұрын
sio tatizo lake Muna alikuwa hajui sikuzake Za hatarii alitembea nawanaume wawili Kwa Siku Moja polee
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 6 жыл бұрын
Duh wanawake sisi wabaya sanaa
@hajirajabu2039
@hajirajabu2039 6 жыл бұрын
Ulikuw ujuw kuwa nyinyi wanawake wauwaji au
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 6 жыл бұрын
Mungu kakuumbua,makucha yako hakuna siri chini ya juwa.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
mhh 😢😢😢 hivi nikweli mtu kusumbua mwanaume ambaye umefunga naye ndoa mpaka kwenye mazishi? hee jamani inaumiza moyo doa baya sana kaleta huyu mwanamke tena la milele haki haki haki nimechefuka aaaa hee kafanya kosa lakutuka nje yandoa kaona haitoshi kafanya kosa la kutolesha mipesa namesa haa hata roho haimgusi bado hatoshi jamani kwani alimkosea nini tueche mzaha mwanamke huyu kafanya ubaya mzito sana kwamumewake
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 жыл бұрын
jeny yusuph jamani jamani msihukumu bila kujua kilichojificha nyuma ya pazia hamuwezijua.maisha yandoa siwote wanafauru mtihani nakuwa na maisha yenye furaha,huwezijua ilikuwaje ikawa hivyo nahuyo mumewe kiundani zaidi
@paulinewanjiku1746
@paulinewanjiku1746 6 жыл бұрын
Rip Patrick....my condolences to the parents
@rehema2018
@rehema2018 6 жыл бұрын
Patrick wangu jaman 😭😭😭😭😭😭
@mercuchebus2474
@mercuchebus2474 6 жыл бұрын
Wamama tusemeni ukweli tuwache uongo dah
@magejosephu1272
@magejosephu1272 6 жыл бұрын
kwann hukusema ukweli kuhus baba wa MTT ulifnya jambo baya sana ,
@nelsonmakoye3009
@nelsonmakoye3009 6 жыл бұрын
kwer huyo mtoto kafanana na peter, nyinyi angalieni mdomo wa huyo mtoto!
@faridahangedo5554
@faridahangedo5554 6 жыл бұрын
Hatujui tatizo lilikua wapi ndo Muna akaamua kucheat,,,,Shine your way handsome patty till we meet again.
@wacmber2131
@wacmber2131 6 жыл бұрын
Kujiazirisha tu taswira gani umeonyesha sasa MBNA usiseme kabla mwana hajafa ama hukua na uhakika pia ww mwenyewe kuhanya hakuna maana umeona matokeo sasa kuumbuka nayo
@princessaidal1130
@princessaidal1130 6 жыл бұрын
Rest in Paradise baby Patrick hauna kosa
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 6 жыл бұрын
Duuh hyo nayo nikali na nusu mi sitaki kusema mengii maana muna ndo anayejua nani baba mtoto lakin mbona mnamgombania ameshakufa? wakati muna ndo kaangaikanae mtoto kipindi choote hadi sasa kafia katika mikono yake.
@marietherese2637
@marietherese2637 6 жыл бұрын
KwakwiLi Mungu Ani saaame uyu Dada Ana Nzambi mtoto akawa na wababa wawiLi wanawake tuna Nzmbi ndowa yako ona mukana eti siyo mtoto wake sasa Dada A. M soor saa uLovunga dowa ulikuya Na mimba nju akuna ngisi useme kama mtoto siyo wandowayako inama
@mtaanitv3991
@mtaanitv3991 6 жыл бұрын
Useme nn wewe muna wewe mbaya sana aibu tupu mtt ana baba wawili
@selemansaid8122
@selemansaid8122 6 жыл бұрын
wanawake kumbukeni kondom ili mjue Baba halisi wa mtt inashangaza na kusikitisha eti amesema ukweli na watu wanamsapoti ni ujinga mtupu hapa kinachoonekana ktk msiba huu wababa wameangalia pesa na umaarufu lakini Co ubaba wa kutoka moyoni kukiri kuwa ww ndo Baba halisi jitathmin
@fidebaraka4451
@fidebaraka4451 6 жыл бұрын
hee akiwa mzee ndo. ...nyie wadada mnakera angmpenda mmewe wa ndoa c angekerpo nawe micharuko nyieer
@omarjillo9384
@omarjillo9384 6 жыл бұрын
Tz ina mambo saana,daah!
@davidphares5316
@davidphares5316 6 жыл бұрын
dada hafai hata kidogo huyo muna love hufai asee duh kutoka kwenye ndoa kwenda kugongwa na mwanaume mungine mtt wa peter huyo ila kajichanganya ajui kakwamia wapi
@kizajulienne6374
@kizajulienne6374 6 жыл бұрын
Sasa pale kote walikuwaga wapi kipindi mtoto bado yupo hai yaani walikuwaga na subiri mtoto afariki ndo wanajileta
@hajirajabu2039
@hajirajabu2039 6 жыл бұрын
Jaman kafa mtume mulimpost kama ivyo au aliye kufa kafa awez kulid
@rihnayohana5138
@rihnayohana5138 6 жыл бұрын
Ww dd wame wa wawili wote wa nn aaa kelo tu
@shabanihamza3830
@shabanihamza3830 6 жыл бұрын
Msiba ni wa kawaida tu hauna ukubwa wowote ule nyie watu wamedia ndio mnaupa uzito huo.
@rehema2018
@rehema2018 6 жыл бұрын
Labda alitaka kumwambia mtoto ukweli akikua mkubwa
@annmurimi3130
@annmurimi3130 6 жыл бұрын
Rest in peace handsome boy
@kamiqueen2655
@kamiqueen2655 6 жыл бұрын
muna kwani wewe ni wa mzunguko mara peter mara castro
@alimaalimaa6048
@alimaalimaa6048 6 жыл бұрын
uyo mtoto kafanana na baba yake macho midomo wanafanana puwa
@gilianmlindo9312
@gilianmlindo9312 6 жыл бұрын
pumnzika kwa amani MTT Patrick.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 6 жыл бұрын
Amefanya vzur
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 6 жыл бұрын
Amefanya vzur kuamua hivo mna
@lilianmakula2399
@lilianmakula2399 6 жыл бұрын
pumzika kwa amani pati
@abubakarijuma1283
@abubakarijuma1283 6 жыл бұрын
thanks
@vesitinalevocatus4886
@vesitinalevocatus4886 6 жыл бұрын
pumzika kwaamani Patrick
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 жыл бұрын
Huyu muna alichanganya hawa wanaume
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 6 жыл бұрын
Walitakiwa wakapime DNA basi. Vinginevyo ni kudhalilishana tu
@robertrufinus3233
@robertrufinus3233 6 жыл бұрын
Andrew. Gadi Mrinji wakaupme msiba au sio
@priscaneema1569
@priscaneema1569 6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@uwimanaraoul6824
@uwimanaraoul6824 6 жыл бұрын
Hao ndo mambo
@roidatadey4599
@roidatadey4599 6 жыл бұрын
Mmmmmm makubwa
@hassanaminmajura3509
@hassanaminmajura3509 6 жыл бұрын
kererezenu tu mwenyekujua yote ni mama wa mtt nyie yanawahusu? nyamanzen huko
@bintjuma2404
@bintjuma2404 6 жыл бұрын
Yaa allaah mrehem huyo mja wako
@hellenmgungus1979
@hellenmgungus1979 6 жыл бұрын
Watajua wenye kila mtu atapambana na hali yake
@inocentluoga2518
@inocentluoga2518 6 жыл бұрын
Dada zetu tuwe makini
@luthimilalipingu5633
@luthimilalipingu5633 6 жыл бұрын
wadada tunatakiwa kujifunza kitu hapo tuachane natamaa isiyokuwa na faida
@pamellaamimo3547
@pamellaamimo3547 6 жыл бұрын
Pole sana
@aminahhussein106
@aminahhussein106 6 жыл бұрын
Yohanamleemtot
@aminahhussein106
@aminahhussein106 6 жыл бұрын
Pamella Amimo
@hamisiyambi9127
@hamisiyambi9127 6 жыл бұрын
jingaaaaaaa
@khlawena2226
@khlawena2226 6 жыл бұрын
Silaumu muna ata kidogo wanawake yaliyo wakuta kama y muna hawata shangaa tena nasema mwacheni muna jaman plz
@anneamor6192
@anneamor6192 6 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@rubyfabian98
@rubyfabian98 6 жыл бұрын
R I p
@BONGOFASTA
@BONGOFASTA 6 жыл бұрын
Amen Ruby Fabian
@kerrydallysaid4881
@kerrydallysaid4881 6 жыл бұрын
Playdoh
@laizerog3220
@laizerog3220 6 жыл бұрын
sura ya p
@samwelshayo4383
@samwelshayo4383 6 жыл бұрын
Mtoto kafanana na baba yake piter
@rashidmsuya6932
@rashidmsuya6932 6 жыл бұрын
m
@issaomary9520
@issaomary9520 6 жыл бұрын
Duh,
@omarychediel1307
@omarychediel1307 6 жыл бұрын
Muna katuchafua wanawake WOTE pia tujifunze wengine RIP pat
@aminamasawe8300
@aminamasawe8300 6 жыл бұрын
hapana sio kawachafueni wote kajichafua mwenyewe ila na nyinyi badilikeni uzungu punguzeni
@BONGOFASTA
@BONGOFASTA 6 жыл бұрын
Saumu
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 6 жыл бұрын
Punzika.kwa amani Pati
WILLY PAUL AND NANDY - NJIWA (Official Video)
4:19
Willy Paul Thee Pozze
Рет қаралды 24 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 25 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 132 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 87 МЛН
Lava Lava - Gundu (Official Music Video)
3:31
Lava Lava
Рет қаралды 19 МЛН
Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari - Baila (Official Music Video)
4:18
Diamond Platnumz
Рет қаралды 16 МЛН
DIAMOND PLATNUMZ: NAOMBA MUWAPENDE WATOTO WANGU WOTE
5:38
Wasafi Media
Рет қаралды 269 М.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 103 М.
HOUSE GIRL EP 40  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:41
BUSATI TV
Рет қаралды 101 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 25 МЛН