Team strong tumefikiwa zingine tutaongea uzeeni 😂😂but we thank God for everything
@سينثيا-ه6ت4 ай бұрын
Lkn hapo kwa bango , ata naijerians hua wanavaa bango za flag ya kenya, so unaeza sema ni maringo nasio maringo .
@monicakamau95765 ай бұрын
👏👏👏👏God bless the work of your hand joyce
@reginadavid44545 ай бұрын
The show is enjoyable 😂😂😂
@githukiwanyokabi5 ай бұрын
Asante
@سينثيا-ه6ت4 ай бұрын
Nii direda gafuroti ka lipa mdogo mdogo
@kimennjeri52485 ай бұрын
Umeongea ukweli kabisa.
@cutebrown40175 ай бұрын
Hapo kwa kufungwo miezi saba uongo kemboi akichikwo hata hamalizi one week kama haja rudi home unless akuwe alikuwa ameimba kwa mwarabu maybe pesa ama golds kupotea peke yake hakuna kufungwo jera
@سينثيا-ه6ت4 ай бұрын
Mbona unasema ni uongo ? Mm nlikua kemboi na nlifungwa miezi nane .
@WambuiMuguti5 ай бұрын
She is wise... Ona mpaka nmepiga makofi
@serahnjoroge10695 ай бұрын
Kairitu gaitu, mundu ambagiriria uguo maisha. Nduui, lugha,lakini mungu NI mkumbwa!
@shiksjustin5 ай бұрын
Gulf ni ku ngumu ku nataka roho ya chuma
@بدورالكويكبي5 ай бұрын
Anaongea ukweli ukikubali kufanya nyumba mingi kitakuramba .mm nko saudia na Kuna siku madam tukaeda kutebea kwa aunty yake hao wasichana vile waliniona wakaona kijakazi.mm nilikataa direct niliwaabiwa nmeadikiwa watoto lakini hawakufurahi mpaka hio siku hawakunipea.food .tangu.hio siku sijawai enda huko tena.recho.from saudia
@cutebrown40175 ай бұрын
Kuna nyumba nilifanya kazi saudi madam sponsor wangu akanipeleka kwa mama yake ati kila week ananipeleka huko nilikataa nikaitiwa ma police nikaenda riyadh prison nikaa three weeks nikarudishwo kenya safari yangu ya saudi nilikaa 90 days sitawahi sahau saudi maisha yangu yote nilichuka kenya mbila hata shilingi moja ya fare ya gari za kwetu lakini mungu ni mwema nilirudi nikiwa uhai ndoo kitu ya maana
@سينثيا-ه6ت4 ай бұрын
@@cutebrown4017waah , pole sana.
@dorcaskiragu43065 ай бұрын
Ee nikweli uku nikukaa ngumu 😅😅
@CatherineKaranja-v1r5 ай бұрын
Immorality iko
@estherwamaitha1615 ай бұрын
Sasa bibi na bwana wanapatananga aje kaa wanakaa separate rooms
@cutebrown40175 ай бұрын
Pia mimi kuna nyumba nilienda kazi Qatar bibi na bwana wanakaa room separate