Mungu hatusamehei sisi wabunge, tunarudi kwa majeneza nchini - Mohamed Ali

  Рет қаралды 81,568

NTV Kenya

NTV Kenya

Күн бұрын

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co .ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер: 246
@evemurugi3399
@evemurugi3399 5 жыл бұрын
It's first time in my life ku watch parliament and it was because of Ali May God bless you for talking our mind my dad have been fighting cancer and it affect not just one person but the family go through so much, parliament can't heal but it's good they do there part and God do the best ☺☺ be blessed Ali
@CongoFarmTV.
@CongoFarmTV. 5 жыл бұрын
Moha is a God Chosen leader whose wisdom is incomparable.
@highlyblessed6030
@highlyblessed6030 5 жыл бұрын
I can't agree more! He is amazing
@kevinkemboi6218
@kevinkemboi6218 5 жыл бұрын
Kabisa bro we love this guy
@abdullahibulge6552
@abdullahibulge6552 5 жыл бұрын
kevin kemboi ...
@vivianwanini5906
@vivianwanini5906 5 жыл бұрын
It's a cry in the wilderness like that of John the Baptist on the days of Jesus.. same with Mohammed Ali crying for the poor, don't give up Moha 1day God will answer your prayer. God bless you.
@lydiamuthoni7166
@lydiamuthoni7166 5 жыл бұрын
Mohammed Ali for presidency nani ananiunga mkono jamani
@kevinmuriithi9028
@kevinmuriithi9028 5 жыл бұрын
I agree with Moha Jicho Pevu. Health should never have been devolved in the first place
@findpartner1314
@findpartner1314 5 жыл бұрын
Wakenya tumrudie Mumba wetu...pesa inunui maisha ata ukiwa napesa give your heart ❤️ to God niyeye ndie ata kuhugumu atailaza roho zetu kulingana na madendo yetu so tuishi tukimuombaMungu aturehemu ....cancer isije ikawa kama ukimwi kitumasliza it’s a devil 👿 but with God 🔥 fire 🔥
@margaretmuranga1362
@margaretmuranga1362 5 жыл бұрын
Ukienda hivyo utachukiwa na wenzako lakini utaenda mbali Mungu atakulinda you are very young but full of wisdom
@rachelshebesh2752
@rachelshebesh2752 5 жыл бұрын
Congratulation moha God bless u so much
@rachelshebesh2752
@rachelshebesh2752 5 жыл бұрын
Moha tenda wema malipo kwa Mungu
@sadettinozcelik4779
@sadettinozcelik4779 5 жыл бұрын
True moha, ngaii the only leader mwenye anafikiria wananchi wa kawaida
@grammamresh8848
@grammamresh8848 5 жыл бұрын
Long live Moha mtetezi Wa wanyonge
@momfive8847
@momfive8847 5 жыл бұрын
TRUE MOHAMED, GOD BLESS YOU MY BROTHER,
@blackwidow4952
@blackwidow4952 5 жыл бұрын
Moha has the best vision of this country
@godrickomari8319
@godrickomari8319 5 жыл бұрын
Thanks Mohammed, umegundua ni mungu, do what is right, wacheni kupora na kugandamiza wakenya,kila kitu ni nyinyi, you want to be worshipped like God, unless you repent and turn to God, all of you will perish.
@consolataakwabi7321
@consolataakwabi7321 5 жыл бұрын
Very true moha...Mungu atusamehee.....kitu wanatutisha nayo ni mara chukuwa Huduma no..mara ku renew passport. Eshhhh...
@billionaireconcepts1095
@billionaireconcepts1095 5 жыл бұрын
yeeah things which are not important, these system is made up of mad men
@stephenmuguti5434
@stephenmuguti5434 5 жыл бұрын
we should also consider stopping importing foods that we can grow ourselves. we cant be sure the method they used to grow them
@carolinelubrun1731
@carolinelubrun1731 5 жыл бұрын
Muguti Stephen , yes but what about the meat and vegetables we produce and we inflict chemicals and pesticides. Who is protecting the common mwanaichi? The organisation that is supposed to check the food processing chain is worthless because of corruption and lack of training.
@steuerveronicah574
@steuerveronicah574 5 жыл бұрын
Cancer.kubadilisha chakula.kupunguzA chemicals ya mimimea.
@steuerveronicah574
@steuerveronicah574 5 жыл бұрын
PiA Sukari ni mbaya. Ndio fertilizer ya Cancer Material kwa Damu.tule Chakula yetu ya Bio.fruits.and Vegetables
@willybett1906
@willybett1906 5 жыл бұрын
@@carolinelubrun1731 True,we cut our own throats
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 5 жыл бұрын
You are very right! Just search *gutter oil* on KZbin uone maajabu! I wouldn't be surprised if human DNA is found in processed food imports to African from China especially in ground beef. Hayo yote yamekwishasemwa hapo awali.
@petercherop4119
@petercherop4119 5 жыл бұрын
Mohammed Ali speaks for the common Mwananchi. Mungu azidi kukubariki
@godsproperty2956
@godsproperty2956 5 жыл бұрын
Good moha ....sema waskie. Kusema ndio the first step...let them ignore but Mungu wa maskini halali
@marcykamonjo6910
@marcykamonjo6910 5 жыл бұрын
Asante mohammed mungu akubariki sana
@johnnymuthui
@johnnymuthui 5 жыл бұрын
moha you are as good as ten minds we recognize you more than anyone
@damamwa4288
@damamwa4288 5 жыл бұрын
Mohammed Ali is a great leader who can go places....ile makosa kubwa alifanywa ni kujiingiza kwa siasa za peni saba as he would say it...aachane na Ruto na nyota yake itang'ara..
@steveomo2001
@steveomo2001 5 жыл бұрын
Huyu mama pia ana maswali za kishoga sana na anajua shida ya bunge hapa...
@wambuimary192
@wambuimary192 5 жыл бұрын
Moha ur such a leader may God bless you
@willybett1906
@willybett1906 5 жыл бұрын
This news anchor as her own pre-determined thinking Patten,I appreciate Hon Moha he's doing amazing work as an MP
@mamuliciosrajab6664
@mamuliciosrajab6664 5 жыл бұрын
Moha Allah Akustiri InshaAllah🙏🙏🙏
@chalichali9452
@chalichali9452 5 жыл бұрын
This guy in ola of things he is a good person
@djatm1319
@djatm1319 5 жыл бұрын
I support you hon. Muha kiboko ya Mungu itawacha msipolekebisha na husaidia walio wachagua..
@alshabardestomontorizims2632
@alshabardestomontorizims2632 5 жыл бұрын
For the first time i agree with u hon Ali, umeongea kama watu kumi
@rozdina5872
@rozdina5872 5 жыл бұрын
Na kupongeza Muhammad Ali ss masikini hatuna uweza wa kuenda ulaya kutibiwa
@eunicemainamaina8867
@eunicemainamaina8867 5 жыл бұрын
The mp we want the Kenya we need
@samuelwangui9700
@samuelwangui9700 5 жыл бұрын
Thanks Mr. Mohammed to pass that message to politician.
@suleimanfideo8551
@suleimanfideo8551 5 жыл бұрын
This vedio made me cry! pure mheshimiwa
@joyann985
@joyann985 5 жыл бұрын
Hon.Ali you are right 👌👌👌
@mekmek233
@mekmek233 5 жыл бұрын
Endelea hivyo hivyo Mungu akubariki kwa kutetea wanyonge bt akuna mtu anakusikiza, so Mungu atatusikiza
@kevinkemboi6218
@kevinkemboi6218 5 жыл бұрын
this guy is really good one can someone ask him if he needs president
@danielndaro1502
@danielndaro1502 5 жыл бұрын
Kweli Moha infact mama huyu marehemu Laboso(mungu ailaze roho yake pema penye wema) alikuwa na wakati mzuri wa kufañya sheria hii iweze kutungwa ju hata ashawahi kuwa deputy speaker
@henrymathenge8723
@henrymathenge8723 5 жыл бұрын
Heaven sent! Ra's Moha!
@denismugendi1034
@denismugendi1034 5 жыл бұрын
Mohammed ali kiongozi anayejali wanainchi wote .
@samuelkamau7328
@samuelkamau7328 5 жыл бұрын
Well said moha God bless you
@clintonanekeya1660
@clintonanekeya1660 4 жыл бұрын
Very wondergul leader be blessed Ali
@schevchwoney
@schevchwoney 5 жыл бұрын
punguza mzigo is the right the way to go!
@wamboedna
@wamboedna 5 жыл бұрын
He's always on point
@judithcherono4141
@judithcherono4141 5 жыл бұрын
Moha Unamaono kweli Mungu akubariki
@starshine7586
@starshine7586 5 жыл бұрын
A Kenyan artist Muigai Njoroge was very critical in his song last year. "Muriukaga mwi geneza due to cancer"
@marynjeri1486
@marynjeri1486 5 жыл бұрын
Sisii imani yetu ni kwa mungu
@charlsemusina9698
@charlsemusina9698 5 жыл бұрын
If only our so called leaders would listen😢😢😢
@eunicemainamaina8867
@eunicemainamaina8867 5 жыл бұрын
Shukuran moha kwa kuona wanachi wana teseka
@jotaya
@jotaya 5 жыл бұрын
Moha should be a doctor too! His argument is more convincing than the real doctor yawa! Sasa huyu daktari jameni?!?!
@christizarzak1173
@christizarzak1173 5 жыл бұрын
Gavanna Pwani 2022... Joho aende akadance uko Tanzania wakishoot video za Alikiba😁😁
@zenabinty6107
@zenabinty6107 5 жыл бұрын
Heart touching..
@eminix2132
@eminix2132 5 жыл бұрын
Ukabila kando Moha mungu akubariki
@7thestate777
@7thestate777 5 жыл бұрын
They're busy making laws that make more money and perks..... Kenyans are their business like butchery or hardware
@sophiemayiedanny2001
@sophiemayiedanny2001 5 жыл бұрын
Ukweli kabisaaaa 🙏🙏🙆🤔
@teresianyaguthii8770
@teresianyaguthii8770 5 жыл бұрын
Huyu mwanamke kwani uko na beef na moha he has tried his part.
@richardouma9039
@richardouma9039 5 жыл бұрын
Akuna beef anasema ukweli na swali yake ni sawa
@beethkapiesh3457
@beethkapiesh3457 5 жыл бұрын
Mohammed and muigai njoroge are reasoning the same na mungu atawaadhibu tu wabunge moha ur right
@methodistict3729
@methodistict3729 5 жыл бұрын
Good answer Mohammed minuted 4:40
@dansafari6434
@dansafari6434 5 жыл бұрын
well put in deed
@hannahmaina5813
@hannahmaina5813 5 жыл бұрын
A wise leader!
@momfive8847
@momfive8847 5 жыл бұрын
Long life Mohamed
@djdondatta2784
@djdondatta2784 5 жыл бұрын
1 year later... Reality & truth still hits them in the face... Na bado.
@nancyalexia1
@nancyalexia1 5 жыл бұрын
Moha God bless you... upto now ndio nimejua Kuna saratani ya matajiri na maskini....
@helensusana2026
@helensusana2026 5 жыл бұрын
Daktari nevet knew what to answer. Since when?
@morinekagonya8475
@morinekagonya8475 5 жыл бұрын
Moha for president
@TK-pi1vr
@TK-pi1vr 5 жыл бұрын
Kenyans are not angry enough or they are not intelligent. Example, see Nandi people are supporting Rotich, even before he speaks to ask for their voices....when leaders steal...mtu wetu. How will these leaders ever become responsible?
@mweusimrembo890
@mweusimrembo890 5 жыл бұрын
🤣😂🤣😂
@themaster3816
@themaster3816 5 жыл бұрын
I wish you could be our president moha
@deniskithinji9866
@deniskithinji9866 5 жыл бұрын
Mohaaa God bless u
@rachelr.mwania5188
@rachelr.mwania5188 5 жыл бұрын
This is soo true
@bakarikishaa4889
@bakarikishaa4889 5 жыл бұрын
Hiyo ni adhabu kutoka kwa mungu kwasababu uchafu na madhambi yamezidi mmoja katika madhambi yamekithiri ni wizi uliokithiri ambao pesa hizo zafaa zimsaidie maskini wakawaida
@maureeningosi158
@maureeningosi158 5 жыл бұрын
Viongozi hawa wachanga Mungu azidi kuwapa nguvu cos hao ndio the right viongozi wetu mwafaka,dada Mohammed ashakujibu tena poa sana kuwa mswada aliuweka wazi bungeni yeye hana uwezo zaidi ya hapo
@liambrady2631
@liambrady2631 5 жыл бұрын
I agree with Moha
@elimelekkiplimo6838
@elimelekkiplimo6838 5 жыл бұрын
you speak the truth
@jamesmuratha631
@jamesmuratha631 5 жыл бұрын
2022 Mohammed is a leader
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 жыл бұрын
Very true bro umenena
@nomatusi7514
@nomatusi7514 5 жыл бұрын
Moha spoke the truth. Naked truth.
@bernice.m.1356
@bernice.m.1356 5 жыл бұрын
I salute you Moha for the best message
@philomenakaara5415
@philomenakaara5415 5 жыл бұрын
Bari ya kinendero tumendere biu, By Muigai Njoroge
@kadukalwoyelo3030
@kadukalwoyelo3030 5 жыл бұрын
The prophecy is being full field
@brayoshomediys9686
@brayoshomediys9686 5 жыл бұрын
Kitu inatumaliza kenya ni Ignorance, we ignore many things which at last return back to us.
@moseelias417
@moseelias417 5 жыл бұрын
Moha hiyo ndiyo ukweli kabisa
@piawangechi7378
@piawangechi7378 5 жыл бұрын
thumbs up! afya irudi kwa serikali kuu
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 5 жыл бұрын
Moha hapo umetaja jambo muhimu sana kuhusu bidhaa vinavyoingizwa nchini kutoka nje. Ni lazima sisi wananchi tuweze kuchukua jukumu la kusimamisha vyakula na takataka vyote vinavyoletwa kutoka nchi za nje na kuzikwa Kenya. Na huyo dada ambaye anasema kwamba ugonjwa wa saratani ni la ulimwengu nzima anamaanisha kwamba sasa tusishughulike nayo kwa sababu hiyo? Iwapo ameshindwa na kazi basi hana budi ampishe mwenzio ambaye anaweza kutupatia mwelekeo mwem!
@egalgirl2712
@egalgirl2712 5 жыл бұрын
The other time when jaguar talked about Chinese he was arrested. Even small kids are dying of cancer something new. Most things are coz of food they add evil toxic that have never happened since Jesus was in this world. We even so everytime Jesus was eating he could pray remember satan was also there. Copy the example of praying for anything before eating even water even sweet anything that goes inside your stomach. The rest God can help. If u don't have money to pay for cancer and God gave you mouth to pray free then pray. Don't wait to pray when u have problems pray everyday everytime.
@oscarwanjala1737
@oscarwanjala1737 5 жыл бұрын
My people perish because of lack of Knowledge The Mightiest Prophets of The Lord are In The Land of Kenya And They Have The Healing Annointing All Diseases under The Sun are healed by Their Degree Kenya We have a solution for This Cancer Problem but we have chosen to be proud and rebellious to The servants Of God
@gatoromuchee2367
@gatoromuchee2367 5 жыл бұрын
Ulisema ukweli Mohamed Ali..kabisaa
@7thestate777
@7thestate777 5 жыл бұрын
This is tge president kenya need
@mlami1101
@mlami1101 5 жыл бұрын
Compromised by chicken change
@HH-yd5vk
@HH-yd5vk 5 жыл бұрын
yes
@benardaremo7270
@benardaremo7270 5 жыл бұрын
Moha is just useless like the rest of Mps
@nyauskobies5522
@nyauskobies5522 5 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@gpellermusic7818
@gpellermusic7818 4 жыл бұрын
Hiki ni kitabu cha shamba la wanyama nakukubali Mohammed
@djiboutidjibouti6570
@djiboutidjibouti6570 5 жыл бұрын
Wanapaka mayumba rangi badalaya mahosbitali,moha ali. Am In India no medicine for cancer but there early lntervention or prevention.our gvt can do more
@faithgatwiry
@faithgatwiry 5 жыл бұрын
Why go out if it cant be cured... Its time we come together and build our home
@bakarikishaa4889
@bakarikishaa4889 5 жыл бұрын
Is the right for common mwananchi to say no VOTE for any leader
@paulnjogu5886
@paulnjogu5886 5 жыл бұрын
very sad that we have a government which doesn't care about citizens,10b for BBI which is not important
@mustafakitabwalla7425
@mustafakitabwalla7425 5 жыл бұрын
Sound is very low: it is coming from Kenya, East Africa.!!
@MtotoWaPharao
@MtotoWaPharao 5 жыл бұрын
mbayaaaaaaaaaaaaaaaa
@janenjenga5639
@janenjenga5639 5 жыл бұрын
Wacha wakufe pia masikini wana kufa nahakuna mtu huongeya.hongera moha
@KanjaMachua-ht9oq
@KanjaMachua-ht9oq 5 жыл бұрын
Moha tuko KENYA.
@elfuego9117
@elfuego9117 5 жыл бұрын
Bdo waititu,,,, c angeenda yy kwanza then okoth bdae,,,, wacha wakufe coz wanakula Sana haramu,,, kuiba pesa za wananchi na kuchukua kazi za utumishi kwa umma na bdae kujifaidisha wao mwananchii wa kawaida kuumia
@davidkirugo8660
@davidkirugo8660 5 жыл бұрын
sio kwa ubaya bt i support u
@kbm241
@kbm241 5 жыл бұрын
Bill,you are very right.I support you,wacha wakufe kabisa.They will all die,,,manoogle.
@stonecold4630
@stonecold4630 5 жыл бұрын
That one is below the belts
@bklass2545
@bklass2545 5 жыл бұрын
Usiombee mwingine akufe cz unaweza kufa mbele yake.
@kbm241
@kbm241 5 жыл бұрын
@@bklass2545 hiyo sio shida
@justfoundout
@justfoundout 5 жыл бұрын
Majority of Kenyans executed their fate with a voting card 🗳
@wambui4590
@wambui4590 5 жыл бұрын
Napenda hapo muheshimiwa... twaenda supermarket twachukua maharagwe ya mkebe na chapati pia imepikiwa hapo, ni bado kuichukua tu
@ivyachola5210
@ivyachola5210 5 жыл бұрын
My president
@daviddanto4443
@daviddanto4443 5 жыл бұрын
kwa kweli waheshimiwa wetu wanapaswa kutuhudumia vyema sisi kama Wanjiku kama vile matibabu bora
@tonymaina9787
@tonymaina9787 5 жыл бұрын
Remember there is a lot of chemicals from china and this sort of places and we don't have entry control or standards, who know if the box Moha is talking about were radioactive waste.
@helensusana2026
@helensusana2026 5 жыл бұрын
I side with you, they usually test with us Africans before they take it to their laboratories. Sad indeed
@owlliker
@owlliker 4 жыл бұрын
muundo wa social system ndio bora kwa mwananchi aliye na kipato cha chini na maskini. . serikali izingatie kuwalipia NHIF ndipo waweze kupata matibabu ya bure. mimi ni mkenya naishi nchi ya ujerumani, lakini kama sina mapato serikali inanilipia huduma zote za matibabu, napokea kila mwezi pesa za chakula, na wananilipia kodi ya nyumba. hiyo ni social system. nikiajiriwa natoka kwa social system.naanza kujitegemea. social system ni bora kushinda hiyo BIBI
@catherinenjagi9948
@catherinenjagi9948 5 жыл бұрын
you are asking Moha what he has done, what a stupid question? he has tried mbona wengi wamenyamaza tu? mmoja wao a kifariki wanaongopa but how many poor kenyans are dying everyday and nothing is being done?
@gracekamau3263
@gracekamau3263 5 жыл бұрын
I also found that question stupid, moha is just saying bitter truth
@bakarikishaa4889
@bakarikishaa4889 5 жыл бұрын
Mkoa WA pwani katika kitega uchumi ni uvuvi lakini nashangazwa Sana na serikali kukubali kuletwa samaki kutoka southafrica na China.. Chemical zinazotumiwa kuhifadhia samaki kwa mda mrefu ndio mmoja chanzo cha saratani
Smriti Vidyarthi leaves NTV after 16 years
6:06
NTV Kenya
Рет қаралды 17 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Sh Xassan Al Waajidi Maxa Lagu Heystey Marku Laha Qabilta Sh Xassaan Abu Salmaan
22:08
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 63 М.
Seizure of Russian tankers / Strategic defeat
12:05
NEXTA Live
Рет қаралды 475 М.
Filamu ni biashara, asema Celestine Gachuhi || NTV Sasa
7:49
NTV Kenya
Рет қаралды 12 М.
Mount Kenya politics heats up as Gachagua clashes with Ruto
4:26
NTV Mashinani
25:39
NTV Kenya
Рет қаралды 1,2 М.
Leaders forced to cut short speeches as Kiunjuri and Korere booed
4:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 33 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН