Zama hizo Allah alitoa mitihani ili waamini kwamba hapana Mola apasaye kuabudiwa ila Allah na bado watu walikuwa wakaidi subhanna Allah 😢Allah akuhifadhi sheikh wetu Othman uzidi kutukumbusha In Sha Allah ☝️
@Hashim-p4d10 күн бұрын
AS ❤❤❤❤
@Hashim-p4d10 күн бұрын
Kuna mitihani dunia ya sai wanawake wanapaka wanjaa kama wa firauni kuvuta wanjaa mwisho wa macho husbunallah wanemal wakiil
@ukhtymwana40Ай бұрын
Viongozi wa zama hizo walikuwa washenzi sana kwakweli 😢
@Hashim-p4d10 күн бұрын
ALLAH SWT ndio anajuwa zaidi kama funzo kwetu pia 😢subhanallah