MUNGU WA MILELE || MCH. CALEB MIGOMBO

  Рет қаралды 85

Pizzo Online TV

2 ай бұрын

Makambi mtaa wa chuo kikuu mwaka 2024 Nitakwenda na familia yangu
Karibu katika matangazo mbashara kutokea kanisa la Waadventista wa Sabato Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Golani ambapo sikukuu ya vibanda inaendelea kwa juma zima. Mhubiri mkuu akiwa ni Mchungaji Caleb Migombo. Jiandae kubarikiwa na amfundisho mbalimbali yatakaykujia kila siku tukijifunza, kuuliza maswali na kupata tiba ya kiroho tunapojiandaa na ujio wa YESU Kristo kwa mara ya pili. Mungu akubariki sana.
#Makambi2024 #makambi #MakambiMtaawaChuoKikuu #ChuoKikuuSDA #ChuoKikuuSda #pizzoonlinetv #nitakwenda #nitakwendanafamiliayangu
Welcome into this session, we believe that it will add somethig in your growth spiritually, academically, socially and inspirationally.

Пікірлер: 2
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 2 ай бұрын
Thanks for words of God! Stay blessed.
@pizzoonlinetv
@pizzoonlinetv 2 ай бұрын
Hallelujah 🙏