More love from Kenya 🇰🇪,am also hoping for the best,nilijaribu kuucheza
@jonathanofficial73502 ай бұрын
Good work mwe murabarundi ariko ntumugomba gufasha abarundi benewanyu erega sibose bazi igiswahili
@KarengaYvette2 ай бұрын
Napenda kipindi chenu sana kazi zuri sana 💪💪💪
@Amede-o5d2 ай бұрын
Nakuskiya from burundi 🇧🇮 kwa majina ni Amédée nimeceza green card labda uyu mwaka ni bahati yangu mungu mbele🙏
@emanuelcholela86792 ай бұрын
Hakika tupambane nadhani tukifika kwabahati tutakuwa pamoja
@chancardbright98312 ай бұрын
Tunashkulu sana🎉🎉 nasi tuko njia✈️✈️
@AnnaNishiofficiel2 ай бұрын
Finally find my fellow Burundian winner wa DV lottery
@mainabonfacenjoroge80422 ай бұрын
Kazi swafi sana kaka.from kenya n coming soon mungu akinijaria
@emanuelcholela86792 ай бұрын
Hakika tupo pamoja
@JohnMaganga-s6z2 ай бұрын
Asante
@ShebyJuma-u7g10 күн бұрын
Mko Salama ndugu zangu... ...naombeni NAMI kujua namna ya kufanya application ktka bahati nasibu hii tafadhali sana... ndugu zangu...maan napenda na huwa kila nikilala na kuamka nawaza niende Canada .
Je ukishida utapewa muda gani kujitayarisha ili usafiri
@emanuelcholela86792 ай бұрын
Hutofautiana kutokana na utakavoitwa mwezi gani sio watu wote wanaitwa Kwa siku moja
@nancynashipae15052 ай бұрын
@@emanuelcholela8679 thanks
@JohnMaganga-s6z2 ай бұрын
Ok jekama umeshinda ggren na huna nauri,je Kuna msaada wa nauri ili nikifiika nimlipe?
@emanuelcholela86792 ай бұрын
Wakati unasubr green card Kwa bahati nasibu jitahidi kupambana uwe na akiba gharama zipo ambazo unatakiwa kugharamia binafsi
@NAYOMI-T9S2 ай бұрын
But wanasema unalipiya nauli ya Ndege
@emanuelcholela86792 ай бұрын
Jitahidi kuwa na akiba
@JohnsonSengaАй бұрын
Ukishinda nauli ni ya marekani wanakuripia
@ramadhaniferuzi2 ай бұрын
Sasa tunawapata ajee
@emanuelcholela86792 ай бұрын
Bahati nasibu
@mussachichajr2 ай бұрын
Wameongeza siku mbili za maombi hadi tarehe 07/11
@husseinsalimbora35342 ай бұрын
Nikweli mpaka 7th November 2024.
@emanuelcholela86792 ай бұрын
Ni kweli walitangaza kuongezwa mda
@RafiiKipinguАй бұрын
Kaka samahani nna ndgu yngu nataka acheze sasa sijajua anaweza kucheza wakati huu au mda Ushapita asubiri mwakani tafadhali kaka nifahamishe kama inawezekana nikutafute umchezee
@KigomafahariyetuАй бұрын
Muda wa kucheza green card lottery ni Kila mwaka kuanzia mwezi wa (10 October)Hadi (11 November)