Kwenye life style hapo... dr nakuelewa sanaaa mm nilihangaika sanaaa miaka 5 now nina kichanga changu Alhamdulillah🙏
@MartineNgussa Жыл бұрын
Hongera my ulifanyaje my
@khadijerabdallah8703 Жыл бұрын
Asante kwa kunipa Moyo
@Happyhaally-gz4tjАй бұрын
Ulifanyj dad
@yusuphfesto19312 жыл бұрын
Nafatilia sana vipindi vyako Dr upo sahihi sana
@halemasuliman-js8ug26 күн бұрын
Asante sana doctor
@SimoniBatoni-ks8zq Жыл бұрын
Unafundisha vizuri sana ubalikiwe
@halimagumbo72082 жыл бұрын
Asante sana doctor nime kuelewa viruri
@christinadaudi48592 жыл бұрын
Barikiwa Sana doctor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@mussamohd032 жыл бұрын
Asante dr
@safiasoraАй бұрын
Asc doctor,mm nimekaa sana bila kushika mimba,nimefanyiwa taste nikaambiwa homone ya progesterone iko low sana,na dawa pia haijanisaidia so plz utanisaidia vipi
@DrboazMkumboMDАй бұрын
Wasiliana nasi kwa namba 0767 030 160 au fika kliniki tunapatikana Mwananyamala mkabala na Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam
@hopelikaka71 Жыл бұрын
Mimi mimba Huwa zinaharibika ,nmeepunguza kg 6,Bahati mbaya nmebeba mimba sijui itakuwaje
@QueenJohn-um9lw Жыл бұрын
Unawezaje kujua siku za hatar na salama.kama Una hormonal imbalance
@ShamimsulemanShamimsuleman6 ай бұрын
naomba namba doctor
@mariadaniel17532 жыл бұрын
Naitaji kufika hospitali kwenu .naitaji mtoto miakamingi
@arodiahchalesi72362 жыл бұрын
Unapatikana wap doctor
@NdiheSigaro2 ай бұрын
Nahitaji kujua chakula gan kinachotakiwa
@winniejuma46617 ай бұрын
Dokta asante! nichakula gani sasa kinacho faa?
@EdgarSigala-pd4tk3 ай бұрын
Naomba namba ako doctor
@HajiJovetic5 ай бұрын
Doctor omone nazo zinasababisa maziwa kuvimba?
@khadijaa8152 жыл бұрын
Shukran
@neemamsuta26502 жыл бұрын
Nina swali naomba nikuulize inbox
@raylathrashid8488 Жыл бұрын
Dr namba yko tafhari
@salmaamiry76742 жыл бұрын
Dokta mie nilishawahi kushika mimba nikiwa na umri wa miaka 17 nikiwa na kilo 57 saiv nina miaka 26 nina Uzito 90 naangaika kushika mimba lakn sipati msaada wako
@LivingOkooth-ep4tj Жыл бұрын
naomb no yak doctor
@DrboazMkumboMD Жыл бұрын
0767 030 160
@EdgarSigala-pd4tk3 ай бұрын
Habar
@esterkanoni70842 жыл бұрын
Namba ya cim nna shda nahitaj jb
@RebbeccaJohn-it3by Жыл бұрын
Doctor me ninashida ya uzazi ninamiaka mingi Sina watoto
@DrboazMkumboMD Жыл бұрын
Fika kliniki au wasiliana na mtoa huduma kwa wateja kupitia 0767 030 160
@KarimPongwa Жыл бұрын
Doctor mimi nimeambiwa homoni imbalance
@DrboazMkumboMD11 ай бұрын
Fika kliniki kwaajili ya vipimo ushauri na matibabu, au wasilina nasi kupitia 0767 030 160
@RebbeccaJohn-it3by Жыл бұрын
Nisaidie nikupate nitakupataje namba yako
@DrboazMkumboMD Жыл бұрын
Wasiliana na mtoa huduma kwa wateja kupitia 0767 030 160
@diamondtv91695 ай бұрын
Mim ninashida ya kupata mimba na naingi hedhi ya mda mulef kam wiki tatu muda mwingine sion kabisa
@nyerahamhoni86755 ай бұрын
Mdogo wangu ajapata mtoto uuu mwaka wanne
@salmaamiry76742 жыл бұрын
Na swali lingine hapo spital kwenu mnafanya hivyo vipimo ?