Hapo shekh umechemka hayo maneno sio ya kuzungumzia hapo kwa nidhamu ya din kunamahar pale pa kuzungumzia acha hayo shekhe wangu unampa Nan faida uislaamu hauko hivyo Kuna faragha shekhe wangu hapo hujengi din unawapa. Watu pakuanzia kuubomoa uislaam shekhe tumia busar kufikisha ujumbe sio kutatua tatizo kwa kueleza tatizo sio kabisa shekhe
@ramadhanhassan5285 Жыл бұрын
Kweli mana bakwata inamiaka mingi na inakusanya pesa nyingi chaajabu hazijulikani zinako enda hata maabara tuu bakwata haina imekalia maslah tuu na haipo kidini ipo kidunia tuu
Sio haramu muislam kufanya biashara,hakuna anayelazimishwa kusomesha mtoto kwenye shule hizo,pia shule inaendeshwa kwa gharama,nani wa kubeba gharama hizo kama hakuna ada?
@bakalilugaba Жыл бұрын
Aksante mwalim mwaipopo naomba endelea kutoa elim
@hafidhkhamis731 Жыл бұрын
Sema Shekh usiogpe lawama upo sawa
@EliakimMollel Жыл бұрын
Mwaipopo. Wewe .ni Muongo sana
@TarllerMtandala Жыл бұрын
Yaaan huyu jamaa kila anaposimama lazima awataje wakristo mm naomba wakristo awaache na imani yao yeye aendelee na dini yake
@HiB-jw9fl Жыл бұрын
Sku hiz mizozo yote inaletwa kwenye mitandao, hata ambayo ingehitaj busara kidogo TU kuitatua, nafkir haliko sawa hili.
@athumanbalozi9748 Жыл бұрын
Ndio bana yaani wanaongoza dini. Kikabila naujamaa
@Mswahili-12 Жыл бұрын
BAKWATA hili Baraza sioni kama linafanya shughuli za Kiislam na sidhani kama linatutumikia Waislam, Bakwata wao ndo wakumbatiaji wakubwa wa BIDA'A, Wao ndo wanaowakaribisha Mashia.
@MwombekiperadiusWilliam Жыл бұрын
Ira bakWata kama mmeona pepo yenu nikupitia nguvu ya serikar fanyeni
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Acha kuwatukana masheikh n'a uislam wewe si wakusilimishwatu, hikea lini nawewe ukaujua uislam jukha wewe nani kakutuma kuwasemea waislam au vipesa unavyo vitafuta jxa uingo? Ndiyo maana wakristo walikudukuza huna adabu
@isihakaabdul1134 Жыл бұрын
😂😂😂Mwaipopoo, lkn kwa hili uko sawa
@ramadhanhassan5285 Жыл бұрын
Mi nimuombe kiongoze wetu mufti wa tanzania aliangalie hili la mwaza dini ni nasaha
@dastankinyenya5973 Жыл бұрын
ENDESHENI KITAASISI KAMA KANISA KATOLIKI
@MohamedMeja2 ай бұрын
Waisilamu tuacheni ubinsfsi
@MwinyiBwanga-i3l Жыл бұрын
Shekhe labda ujaelewa bakwata nini na shekhe wa mkoa husika anakazi ipi mkoan kwakwe na anapatikan kwa utartibu Gani mpaka anakua shekhe wa mkoa nini majukumu yake kwa katiba ya bakwata
@mtutulaclassic6207 Жыл бұрын
we uko dar kinachoendelea mwanza kinakuhusu nini wewe tapeli mkubwa
@ramygichero1016 Жыл бұрын
Toka Imamu Aliy aporuwe ukhalifa na Abubakar umma kilasiku ni majanga
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Itikadi za Shiatu shaytaan hizi. Majuus, waabudu moto.
@ramygichero1016 Жыл бұрын
@@Ali-nl2du Mnajenga darasa mkifikia kwenye vioo mnagombana jengo hali maliziwi mnalaana ya kuwauwa watu wa nyumba ya mtume
@Ali-nl2du Жыл бұрын
@@ramygichero1016 Ushapewa mke wa mutaa? Au umepata ufadhili? Ndio yanayokuhangaisheni hayo wasaka tonge na wapenda ngono.
@medimisi6930 Жыл бұрын
shia ww,kafiri mwenye kueneza liwati ulimwenguni chukua panga ujichanje mwili iv una makovu mangapi wilini mwako
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Dini pekee duniani iliyojaa chuki,mauaji na migogoro,nenda somalia, Syria, alfaghanistan, Pakistan, Mali kote huko ni migogoro ya dini ya kiislam
@isihakaabdul1134 Жыл бұрын
Ufahamu wako mmbovu kafanye tena utafiti na tumia vyanzo sahihi, asante
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
@mwassamwassa7264 we umejaa chuki embu toka huko
@abdulrahmanally1412 Жыл бұрын
Bwege wewe migogoro inatengenezwa, you have not bee to school, Wazungu hawataki Waislamu wawe na amani, angalia Libya, Iraq, Syria, Falastine, Afghanistan, Lebanon, n.k