"MWAKINYO KIWANGO Chake KIBOVU, UGOMVI wa NYUMBANI Analeta kwenye KAZI, ni UTOTO", SALIM MTANGO

  Рет қаралды 48,241

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

"MWAKINYO KIWANGO Chake KIBOVU, UGOMVI wa NYUMBANI Analeta kwenye KAZI, ni UTOTO", SALIM MTANGO
BONDIA Salim Mtango kutoka Tanga amempa kichapo mpinzani wake kwa 'KO' katika usiku wa 'Levels' uliofanyika kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar.

Пікірлер: 93
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 Жыл бұрын
Mwakinyo kaipasha Tanga kipindi cha nyuma ilikua dar es salaam na Morogoro safi sana Hassan mwakinyo
@brandmwansite399
@brandmwansite399 Жыл бұрын
Wewe mavi inatafuta mimi champion mwakinyo
@fadhilirajabu2816
@fadhilirajabu2816 Жыл бұрын
Huaga nakukubali xna mdogo wangu salim
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Mimi km kijana watanga naumizwa san na hizi tofauti za mabondia wakitanga kutoelewana haswa hawa waliyocheza gym mmoja waliyo lelewa na kocha mmoja khakis mwakinyo ninachojiuliza mashabiki watanga mna tuweka wapi yaan hii niaibu kubwa san mkoa mmoja kutoelewana nakutosapotiana hili si jambo Zuri kwa kweli
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 Жыл бұрын
apa hakuna ugomvi ispokuwa nichojifunza mabndia wengi hawajielewi hasa mwakinyo anajielewa ndio wanaona anaringa
@FatumaMwaluhanga-ui3kl
@FatumaMwaluhanga-ui3kl 9 ай бұрын
Mbona umeongea sana kwamwakinyo ndio hutaki aongeee acha izo japo nakupenda sana sababu yakukupenda unacheza kama mwakinyo kuanaadabu
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 Жыл бұрын
Wewe si umekuzwa kwenye kambi ya mwakinyo...eti leo unamvimbia ....😅😅 wabongo bhana .... hasada na choyo ni kwa wingi sana
@TashwillKaroolse
@TashwillKaroolse 8 ай бұрын
Usichojua ni kwamba Mwakinyo kafunzwa ngumi na huyo mwamba Mwamba yuko kwenye game kabla ya Mwakinyo
@benayasamson1270
@benayasamson1270 Жыл бұрын
Hahaha huyu dg anaanz kumsema mwakinyo 😂
@MaalimShabani
@MaalimShabani Жыл бұрын
Mtango mwakinyo yuko mbali kiwango
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Жыл бұрын
Njaa itakuuwa
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Sasa nimeelewa kwanini Mwakinyo alikataa kuwa watu kama hawa ni watovu wa NIDHAMU
@ayubujumbe9954
@ayubujumbe9954 Жыл бұрын
Asili yamichezo mingi huwa ndivyo ilivyo.Mafanikio yote duniani hayaji kirahisi.changamoto muhimu.Kubwa tuwaombee dua tu.Kuna maisha mengine baada ya haya yaduniani.
@paulamos9201
@paulamos9201 Жыл бұрын
Ili kumuelewa mwakinyo unatakiwa uwe na uwezo mkubwa binafsi ,mwakinyo ni brand kubwa sana sema mfumo uliopo Kwa Sasa hasa kwenye swala la mapromota ni wa kubabaisha Bado hatujafikia huko walipopita mabondia wakubwa unapigana alafu kiuchumi unayumba jina kubwa pesa hakuna.itafika mahali tutamuelewa mwakinyo ,
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
😂
@TashwillKaroolse
@TashwillKaroolse Жыл бұрын
Mwakinyo anaujua mchezo wa nndondi vzr sana Huyu mwamba amesema abadilike tabia; elewa lugha
@ilyasmuhsin3285
@ilyasmuhsin3285 Жыл бұрын
Daaah ila sisi watanga noma sana tukiacha tabia ya kuvimbiana tutafika mbali sana huyu mtango tumekuwa wote kwenye mikono ya mwakinyo eti leo anamvimbia bro daaah noma sana😂
@abubakariyusufu9320
@abubakariyusufu9320 Жыл бұрын
shida bondia wenu anajiona mkubwa sanaa na kumbe sivyo
@ilyasmuhsin3285
@ilyasmuhsin3285 Жыл бұрын
@@abubakariyusufu9320 ila pia unatakiwa kujua story upande wa pili kabla ya kuhukumu
@barikislaa80
@barikislaa80 Жыл бұрын
Nakukubali mess unajua ngumi
@fayheroesmartialartsclub1026
@fayheroesmartialartsclub1026 Жыл бұрын
Sawaa 😂😂
@athumanimohamedi9921
@athumanimohamedi9921 Жыл бұрын
😅😅mabondia wa tanga vita yao nzur sana wote wanaweza mipasho
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 Жыл бұрын
Ila mwakinyo anamsimamo sana lazma utengeneze ngumi ziwe biashara sio kupigana tu halafu huyu dogo ni lazma angesema hivo kwasababu hakuwataka hawa madogo
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Жыл бұрын
Mtango sema kwel kuwa ulichukua demu wake ukampeleka kwa Ibrahim classic
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@salimusuleimani7798
@salimusuleimani7798 Жыл бұрын
Kampeleka vp ?huyo demu kwani hana akili apelekwe tu sehemu
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental Жыл бұрын
Taget ni watu wa nje yann kuonesha tunashidana wenyewe
@FaustiniJoseph-xk1sr
@FaustiniJoseph-xk1sr Жыл бұрын
Ngumi biashara wanatengeneza mazingira vijana wapige pesa ...na ndio maana simba vs yanga Huwa inajaza sana kuliko ata caf champions league
@JumaShimende
@JumaShimende Жыл бұрын
Na siku zote wabongo tunatembelea sana kiki.kiuwasilia mwakinyo watanzania tunamjua.kauli mbilimbili mara kiwango Cha mwakinyo kibovu hiyohiyo anasema mwakinyo ni mtu mkubwa aache mambo ya kitoto tushike lipi?🤝🤣🤣🤣🤲
@mayasajuma7062
@mayasajuma7062 Жыл бұрын
Nje siumekwenda ukapigwa wewe utaishia ndani tu😅 ukaishia kununua gari
@sidearsenal666
@sidearsenal666 Жыл бұрын
Tanga 1 ni mtango anafata mchanja
@SkopionMmalala-ox3gz
@SkopionMmalala-ox3gz Жыл бұрын
Ww dogo unazinguw Kila m2 anaangalia masilahi yake
@amranvuai9172
@amranvuai9172 Жыл бұрын
Njaa inakusumbua dogo hujielewi mwenzio mwakinyo anajielewa
@kaluluu2011
@kaluluu2011 Жыл бұрын
Wapi WEWE unamtetea SHOGA UYO MUOGA mwakinyongo UGOMVi WA KITAA analeta kazini .....mdigo mzigo
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 Жыл бұрын
Bngani humuwezi
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Жыл бұрын
Wewe Mtoto kuwa na adabu kwa kaka yako, utafika mbali.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Жыл бұрын
Mwakinyo yupo sahihi kabisa kuwakataza hawa. na promotion yao. Mrusi alimkataza Ukraine asijiunge na NATO kwasababu atamletea maadui zake karibu, Ukraine akakataa, akavamiwa Hadi leo analia. Mfano huu ndio mfano sahihi kwa Mwakinyo. Ukiwa karibu na adui zako wanaweza hata kukuwekea masawa ya kulevya ili upigwe udhalilike. Maadui zake wote walikuwa karibu hiku Mafia promotion huku Nacoz wanajidai wameleta mabondia wao Ila palikuwa na agenda nadio maana wamekasirika wanaongea hovyo maana malengo yao yamefeli. Ndio maana Mwakinyo anasema amewazidi kila kitubhadi akili.
@athumaniamiri3764
@athumaniamiri3764 Жыл бұрын
Huyu mtango anaonekana anaroho mbaya sama n mwakinyo
@foibeabel5960
@foibeabel5960 Жыл бұрын
Ulishawahi kumuona mtango anamuongelea mwakinyo au ndio akuanzae ukimaliza ndio inakuwa shida tumemchoka mwakinyo kumsema mtoto watu akome kabisa na kama angekuwa na roho mbaya leo hii angekuwa na hamis mwakinyo ambaye ni kaka ake Hassan
@mayasajuma7062
@mayasajuma7062 Жыл бұрын
Ilipanga kumkimoa ila mungu atamsimamia roho mbaya zimewazidi huna lolote wewe umemzidi nini wewe mwenzio yupo juuu
@ayubujumbe9954
@ayubujumbe9954 Жыл бұрын
Ndg wapenzi kubwa ninaloliona kwasasa siyo kusema ovyo. Hakujengi jambo
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 Жыл бұрын
Dah kweli tanga wanafki kama mashoga
@omaribakari5199
@omaribakari5199 Жыл бұрын
5:19 5:19 Kumar wewee
@SamaSamatime
@SamaSamatime Жыл бұрын
Nyinyi makuma tu
@FoibeNicodemas
@FoibeNicodemas Жыл бұрын
pamoja.na.ukoo.wa.kwenu
@AkbirBabu
@AkbirBabu Жыл бұрын
Wewe dogo ujitambui bila pambano la mwakinyo usinge panda ulingoni mshukuru mwakinyo
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 Жыл бұрын
Unamafanikio gani kumzidi Mwakinyo wewe? Punguza maneno unasafari ndefu sana kwenye game.
@FoibeNicodemas
@FoibeNicodemas Жыл бұрын
acha.ushabiki.mandazi anayejiropesha huko mtaani.huyo hasan maarufu.kwako na.bado.hana mkanda.aweke.mkanda wake.kwanza ana mkanda kaushikilia wa mtango.
@chingychingy2066
@chingychingy2066 Жыл бұрын
Kwan uyo mwakinyo ana mafanikio gani kwenye ngumi zaid ya ubinafsi tu
@ConfusedCalicoCat-vz3iu
@ConfusedCalicoCat-vz3iu 8 ай бұрын
Acheni unazi katafuteni majina kwanza mwenzeni anamalengo
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 Жыл бұрын
Kuma huyu mtango unajuwa ngumi wew fala
@FoibeNicodemas
@FoibeNicodemas Жыл бұрын
hiyo unayosema mama ako.ndio.alitumia kukubebea mimba na.kukuza.nyoko.wewe
@makupejafar1771
@makupejafar1771 Жыл бұрын
Smpendi mwakinyo sio yeye ukimya wake
@hadijalddi-zx5qn
@hadijalddi-zx5qn Жыл бұрын
Dada ake Nani huyu kampiga mla ugoro wa chanika yule anaona kamaliza
@JumaShimende
@JumaShimende Жыл бұрын
Tuwache chuki chuki zinamnyima mtu kuiona ukweli na haki.mwekinyo kiwango lait angekuja kiwango chake kibovu angefika hapo Alipo!!!?kidogo inanipa ukakasi nikisikia kauli hizo.
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Жыл бұрын
2:04 mabondia wetu ni waajab sana kila mtu ni mkubwa kwa mwakinyo ww hapo hatukujui mwakinyo ni baba yenu tu
@ayubujumbe9954
@ayubujumbe9954 Жыл бұрын
Kubwa zaidi kila mmoja anamalengo yake.Tafuteni njia yakuwa pamoja.Maana safari yenu bado ndefu.
@salimujuma-kb7wv
@salimujuma-kb7wv Жыл бұрын
Mdomo una sumbua watu
@mwinjumaissa4434
@mwinjumaissa4434 Жыл бұрын
Hata akija sasa hv cjachoka bado hahahaaaahaahaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kazi kazi round 6 bado 6 burazaaa aje tu
@HamzaGazah
@HamzaGazah Жыл бұрын
Mesi wa ngumi sikupingi
@daudysanga8492
@daudysanga8492 Жыл бұрын
Bwege ww
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc Жыл бұрын
Tanga gani unapendwa wew kuma
@FoibeNicodemas
@FoibeNicodemas Жыл бұрын
kwani.uongo.anapigana na hovyo na wazeee
@greenpoint5887
@greenpoint5887 Жыл бұрын
Mvivu wa mazoez huwez toboa
@FoibeNicodemas
@FoibeNicodemas Жыл бұрын
mnunulie vifaa.vya.mazoezi 😮😮😮
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 Жыл бұрын
Sikupingi mwanangu mchezo mzr hakuna makumbatiano
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Жыл бұрын
Uko vzr lkn umuwezi Mwakiyo wacha mdomo
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Жыл бұрын
Acha kuropoka dogo kuwa kwanza
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 Жыл бұрын
mwakinyo kazidi utoto na ushamba huwezi kuacha kazi kwa sababu hizo beans kazingua sana
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu Жыл бұрын
Baada yangumi kunamaisha kwahiyo lazima angalie masilahi
@upendosteven6733
@upendosteven6733 Жыл бұрын
Viatu vimembana tena
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 Жыл бұрын
Mwakinyo mwoga tu. Mtango tunamkubali MESI wa ngumi
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Жыл бұрын
Mwakinyo.achananao.hao.wanawivu.kama.vipi.wakimbie.tu.wabongo.wengi.ni.wachawi.kapigane.mbele.huko.kwani.bondia.ni.mwakinyo,tuu.mimi.mwenyewe.ni.mtu.watanga.sisi.watu.watanga.tuna.hasadi.mwakinyo.ndugu.yangu.kama.vipi.usipigane.na.wabongo.kapigane.na.wazungu.hawa.babu.watakupaka.shombo.maana.roho.zao.zimekunja.kama.vipi.kata.tiketi.uwende.zako.achananao nipige.nikale.potea.babu.hawa.sio.
@doikulwa1165
@doikulwa1165 Жыл бұрын
Kaka. Rudi marekan apa Tazania. Nimajanga tu.
@katalisajuka-fl3st
@katalisajuka-fl3st Жыл бұрын
MWAKINYO UWEZO UMEISHA KILICHOBAKI KUKIMBIA TU
@KervinIshara
@KervinIshara Жыл бұрын
Mwakinyo msenge
@HalidKilale-in2rc
@HalidKilale-in2rc Жыл бұрын
Nyie mafala mnaomtetea mwakinyo. Niwajinga tu
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Жыл бұрын
Acheni.kuongea.ubwege.tusinge.wajua.kama.sio.mwakinyo.kaeni.mtulie.
@deniskyangala3400
@deniskyangala3400 Жыл бұрын
Mtango na mchanja ndio mabondia bora kwa tanga yote, ukibisha uwe na hoja.
@marcomushi-nd8ku
@marcomushi-nd8ku Жыл бұрын
Huyo mwakinyo anamafanikio gani kwenye ngumi kapiga watu wangapi au lile la uingereza ndio lililompa Kiki,jeuri,na majigambo
@athumanbakari3598
@athumanbakari3598 Жыл бұрын
Ujamfatilia ndio maana ungefatilia usingesema ivyo mwakinyo anamsimamo yake
@marcomushi-nd8ku
@marcomushi-nd8ku Жыл бұрын
@@athumanbakari3598 nimemfatilia na pia namkubali ila kuna vitu vingine apunguze atapunguza mashabiki au ndio boxer kiki
@fj8317
@fj8317 Жыл бұрын
unafikiri alipewa mayai baada ya pambano
@AyoubAbdullrahmanAmir
@AyoubAbdullrahmanAmir Жыл бұрын
Mwakinyo sio bondia, ni mitandao tu inamsaidia ...
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu Жыл бұрын
Ww shoga tu unampiga kilamtu kama unajuwa fala ww
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Acha jealous wewe utakufa masikini
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Жыл бұрын
Mbwa wewe
@alfanboblice9150
@alfanboblice9150 Жыл бұрын
Dogo utaniuz
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Mwakinyo ovyo kabisa kwa Sasa mdomo tuuu ndo anaweza sn
@nurumasunga6079
@nurumasunga6079 Жыл бұрын
HAKA KATOTO NIKAROPOKAJI
@KervinIshara
@KervinIshara Жыл бұрын
Mwakinyo msenge
@RajabuAbdallah-yq3bh
@RajabuAbdallah-yq3bh Жыл бұрын
Msenge mamaako ww
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 17 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
Mfaume Mfaume  amwangukia Bakhresa awanusuru
4:21
G23 Online
Рет қаралды 971