Mwamposa Atoa machozi Leo Baada ya Kupigwa marufuku Hii , Serikali Imetoa Masharti Yanayombana

  Рет қаралды 31,262

Hot News Tanzania

Hot News Tanzania

Күн бұрын

#mwamposa Ni miongoni mwa Apostles Wanaofanya Ministry zao Tanzania , Makamu wa Rais Dkt Mpango amewapiga marufuku Wanaojihusisha na Kuwanyanyasa Wananchi Kuwaomba sadaka Ili Wajilimbikizie mali na Utajiri...More info Tazama Video
#mwamposalive
#mwamposa
#hotnewstanzania
‪@HotNewsTz‬
#hotnewstanzania

Пікірлер: 137
@rehemambilinyi3523
@rehemambilinyi3523 Күн бұрын
Ilove and believe him,apostle Mwamposa
@mauricemaungu4946
@mauricemaungu4946 14 сағат бұрын
Unahitaji kuingizwa darasani. Kweli wajinga ndio waliwao!
@PendoMyegeta
@PendoMyegeta Күн бұрын
Mwacheni mwamposa wetu ,ametumwa na mungu wetu. Hata yesu alikataliwa , wanavyo msema vibaya watu ndo wanajaa naipenda sana hiyo.
@mauricemaungu4946
@mauricemaungu4946 14 сағат бұрын
Unahitaji kuingizwa darasani. Kweli wajinga ndio waliwao!
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Күн бұрын
I love you mwamposa ishi miaka miaka mingi tunakupenda waumini wako tumeuona mkono wa mungu tulikua walevi , wazinzi, hatukupenda ibaada lakini sasa tumemkimbilia mungu usisikilize maneno ya watu
@JamesWarburg-j1q
@JamesWarburg-j1q Күн бұрын
Tariff zako kuhusu mwamposa sio kweli
@maryjustambise-t4w
@maryjustambise-t4w Күн бұрын
Yesu alitenda miujiza mingi kama ww hujatendewa pole yako inua kiwango Cha imani
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 2 күн бұрын
Mungu akutuze makamu
@ConnieJohn-ts9rp
@ConnieJohn-ts9rp 2 күн бұрын
Wewe Tena ukome kumsema Mwamposa wetu mnapakaza uongo juu ya Mwamposa wakati tunafanikiwa bure bila kutoa pesa kamwe hakuna atakayetuzuia kwenda kwa Mwamposa wetu.
@LidiaJohn-r4d
@LidiaJohn-r4d 4 сағат бұрын
Mwacheni Mtume wetu Kwa amani ,i love you Mwamposa ❤
@makaotagspiritualhealing5287
@makaotagspiritualhealing5287 Күн бұрын
Mjue sana Mungu, Ili uwe na Amani ndivyo mema yatakapokujia.
@makaotagspiritualhealing5287
@makaotagspiritualhealing5287 Күн бұрын
Hayo hayakuhusu, hatuko Kwaajili ya Dini, tunataka nguvu za Mungu. Mungu siyo wa Dini, Mungu ni wa wokovu.
@mwlmsekekabola5661
@mwlmsekekabola5661 Күн бұрын
Mkijichanganya juu ya huduma hizi, eleweni ni dhambi ya kukufuru Roho Mtakatifu , Huna msamaha kwa Mungu wa Mbinguni.Hata laana iwapate kwa upinzani.
@faridasanga9581
@faridasanga9581 Күн бұрын
Mwamposa fanya kazi Mungu achana na huyo makamu
@GraceKazi-z8d
@GraceKazi-z8d 3 күн бұрын
Mwamposa forever
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 2 күн бұрын
Bwana yesu anaweza yote
@santennko1195
@santennko1195 Күн бұрын
Hili janja janja ndo iliyofanya mheshimiwa Paul Kagame Rais wa Rwanda kuchukuwa hatua ya ukaguzi wa makanisa.
@makaotagspiritualhealing5287
@makaotagspiritualhealing5287 Күн бұрын
Endelea na Dini Yako, sisi tuko Mungu anayeokoa, anayeponya.
@jameswarburg5051
@jameswarburg5051 Күн бұрын
Mwacheni mtume afanye kazi aliyotumwa na MUNGU
@CharlesMakasi-jp2hs
@CharlesMakasi-jp2hs Күн бұрын
Kabsa yanayo wafanya kusema hvo ni wivu tu
@EnjoyEzekiel
@EnjoyEzekiel 3 күн бұрын
Maposa live
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 3 күн бұрын
Yesu alifanya miujiza mingi sana kabla kwenda msalabani, Kazi kubwa aliyokuja kufanya Yesu haikuwa miujiza, kutoa mapepo, kufufua wafu. Sisemi miujiza sio muhimu, ninachosema kuna muujiza mkubwa kuliko miujiza yoote, ambao ni kuzaliwa mara ya pili. Huu Yesu hakuweza kuufanyampaka alipokwenda msalabani, akatoa uhai wake kama fidia ya ukombozi wetu. Huduma nyingi zinatumia jina la Yesu lakini mkazo wake ni miujiza, utajiri na sio Kuzaliwa mara ya pili. Mfumo wa huduma hauna mwelekeo wa kuvuna nafsi na kuzilea zikulie wokovu, bali zina lenga zaidi miujiza, kufunguliwa, mali nk.
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 3 күн бұрын
Maandiko haya yatamsaidia Mathayo 16:26 Meaning hata ungepewa dunia yote na vyote vilivyomo viwe mali yako, thamani yake si sawa na wokovu.mtumishi yeyote aliyeivaa nia ya Yesu ambaye anasema alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea( luka19:10 ) Lengo lake kuu ni wokovu wa watu. Thamani ya kazi ya Yesu aliyoianza na kuikamilisha msalabani ni WOKOVU WA NAFSI. Mtawatambua kwa matunda yao. Hizi ni siku za mwisho.maandiko yako wazi manabii wengi watatokea na watafanya miujiza mingi.na watawadanganya wengi ( matt.24:11)Lakini siku ile Yesu atakaporudi soma Mathayo 7:22-23 Iweje watoe pepo kwa jina la Yesu, watoe unabii na kufanya miujiza mingi kw jina la Yesu ! Halafu Yesu awakane siwajui ninyi.. Unadhani tatizo liko wapi ? Nikusaidie,tatizo lipo kwenye NIA nyuma ya wanachofanya. Kama nia ni watu 1) watu wakoke 2) watu waijue kweli( 1Tim 2:3-5)ili wawe wanafunzi wa kweli wa Yesu Au NIA ni kupata mapato kutokana na ka,I hiyo
@MagrethLukuba
@MagrethLukuba 21 сағат бұрын
Acha wewe!!!!!!! Yesu atahubiliwa tuu!!! Shetani apigwe!!!!!!
@EvanceKombe-p1f
@EvanceKombe-p1f 23 сағат бұрын
Washindwe kwa jina la yesu
@YuvitaWiliam
@YuvitaWiliam Күн бұрын
Mungu nawewe
@TwitikeMwakyonde
@TwitikeMwakyonde 22 сағат бұрын
Bola,tuachike,kwenye,ndoa,lakini,mtuachiye,mwamposa,wetu,udum,mwamposa
@maryjustambise-t4w
@maryjustambise-t4w Күн бұрын
Hata mtunge Sheria kama ya kipindi Cha nabii. Danieli tutamwabudu Mungu tu na hiyo Mungu wenu fek atakufa
@esterwambura
@esterwambura 2 күн бұрын
Mi nashangaa mmeona manyanyaso ya mwananch ktk kanis, kwa nini msifanye oparesheni ya kuondoa mafisadi na viongozi dhalimu wanaokandamiza wanach eti mnahangaika na makanisa hapo mmeferi viongozi
@bahatidamiani561
@bahatidamiani561 Күн бұрын
V good
@NeemaUrasa-u4y
@NeemaUrasa-u4y 3 күн бұрын
Hapo ndipo umedhihirisha uongo wako haijawahi mafuta yakauzwa zaidi ya 1000 na maji hayajawahi kuuzwa zaidi ya sh. 1000 uone uliyo mwongi
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 Күн бұрын
Je watu wanaotekwa kipi kinaendelea
@HelpinaKanduta
@HelpinaKanduta 3 күн бұрын
Tunaangamia Kwa kukosa maarifa,ukiwa na shida zama ktk maombi na sio vinginevyo
@SethMwakangata
@SethMwakangata 3 күн бұрын
UKRISTO NI DILI AU BIASHARA KWA SASA.TRA INGIENI HARAKA KUKUSANYA KODI HAPO.
@annanamuyala
@annanamuyala Күн бұрын
Umeshindwa vya kusema ubili injili siyo kutaja majina ya watu munachafuwa watumishi juwa vyako
@MagrethLukuba
@MagrethLukuba 21 сағат бұрын
Wewe kaibe ndio upate utajili,,,sisi tunapata Kwa Yesu,wewe nenda huko unakopataka,waache watumishi wa Mungu,wafanyie kazi,,usitupigie kelele!!
@mauricemaungu4946
@mauricemaungu4946 14 сағат бұрын
Ukristo unaingiliwa na matapeli wa imani kwa sababu tu Ukristo ndio imani ya kweli. Ndio njia ya kweli. Fahamu kuwa Shetani hakuja kutalii duniani, bali yuko kazini! Shetani anatafuta kila namna ya kulichafua jina la Yesu ili watu WASIMWAMINI, hatimaye Shetani aende nao motoni. Imani isiyokuwa na maigizo na misukosuko, hiyo SIO imani YA KWELI!
@HotNewsTz
@HotNewsTz 6 сағат бұрын
Ubarikiwe sana
@FloraJames-sc9jr
@FloraJames-sc9jr 3 сағат бұрын
Watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa. Kama ni pesa bwana kasema asiyetaka kufanya kazi basi asile chakula
@eppahgara7312
@eppahgara7312 Күн бұрын
ISaya 8:20 Na waende Kwa Sheria na Ushuhuda, ikíwa hawasemi sawasawa na neno hili bila shaka Kwa hao hapana asubuhi.
@maryjustambise-t4w
@maryjustambise-t4w Күн бұрын
Siku zote mchawi akikushindwa atakuita ww mchawi so umemshindwa mqamposa tulia
@maryjustambise-t4w
@maryjustambise-t4w Күн бұрын
Unaesema injili ifungiwe. Mbona waganga huwaongelei ww ni mchawi
@sophietoya4617
@sophietoya4617 2 күн бұрын
Wewe NI mchawi sasa umeshindwa kuroga Mwamposa
@rehemandunguru6281
@rehemandunguru6281 22 сағат бұрын
Hakuna mtu anayevutwa kwa kamba kwenda huko tunaenda wenyewe tukiwa na akili timamu kabisa mtuachie mwamposa wetu
@heavenlightmalisa1112
@heavenlightmalisa1112 Күн бұрын
Wewe huna uhakika na unachokisema.muogope.Mungu
@CLEMENTNDOLE
@CLEMENTNDOLE 2 күн бұрын
Lakini kwa ushauri wangu, naomba serikali isisajiri kanisa bila kumchunguza kiongozi wake kiafya.
@HotNewsTz
@HotNewsTz 2 күн бұрын
@@CLEMENTNDOLE Safi kabisa Una Wazo kama Langu
@MobsFundisimu
@MobsFundisimu 3 күн бұрын
Huyu jamaa Hana kazi njoo nikufundixhe kuendesha Bajaj upate hela
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 2 күн бұрын
Narudia kusema mungu ambaye humtumia mtu yeyote kwa maksudi maalumu ameona sasa ninyi mlioguswa na hili poleni kama hivyo wanavyotumia hao vinauwezo yesu asingewambia wanafunzi wake wasubiri nguvu kutoka juu matendo 1:8
@WatendeMbagule
@WatendeMbagule 3 күн бұрын
Mungu awape nguvu zaidi yakuweza kuyang'amuamaobu Yao amina
@IbrahimHassan-e7z
@IbrahimHassan-e7z Күн бұрын
Mm napita tu ajuae sili ya binadamu ni mwenyezi mungu tu
@LusticaKiwovele
@LusticaKiwovele Күн бұрын
Amen
@user-jj3os9bx6m
@user-jj3os9bx6m Күн бұрын
Kwani wewe ninani na atukuungi mkono mjinga ww mwamposa muacheni
@EstherNyaonge
@EstherNyaonge Күн бұрын
Mmmmm!! Za mwizi ni 40 hakika hakuna mwanzo usio kuwa na mwisho
@EmmyMwashimanga
@EmmyMwashimanga Күн бұрын
Kweli tz imani imekufa, ivi mtumishi gani anaweza kuwa tajir kupitia maji ila jamani iyo selikali inakoelekea ni shida. Nibora hao wanaouza maji kuliko ndoa za jinsia moja, kemeeni hiyo la ndoa za jinsia mbona kama mnafika wakati ukweli upo wazi au mnaogopa Dunia itatikisika. Waacheni watumishi wa Mungu mtasababisha mengine
@nasinyariengera6458
@nasinyariengera6458 Күн бұрын
Umeishiwa wewe Mwamposa mti mzuri lazima muupige mawe ...umetumwa au umeigizwa? Baki na imani yako na wewe fungua kanisa lako au jenga hiyo miskiti na pia mauti hutokea popote tu..
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 3 күн бұрын
Hacha kutumia picha za watu kwa ujinga wako tumeona wengi na kusikia wengi Kama wewe mwisho wasiku anasema ni samehe mtumishi wa Mungu.
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 3 күн бұрын
Nyinyi acheni kushindana na Mungu wa Tanzania 🇹🇿 acheni hiyo sio Imani yenu kiboko anaendelea kufanya kazi yake congo acheni kugombana na Mungu
@HotNewsTz
@HotNewsTz 3 күн бұрын
Au Siyo? Akae huko huko
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 күн бұрын
Kwendra huko nawe ndio mmoja wapo Biblia sijaona maandiko ya huyo kiboko nitachungulia chupi kwendra huko Mungu unamjua peke yako soma Biblia woote hao ni mafake siku zao zaja kelele za nini si afanye tu huko Congo kwani mpaka hapa TZ HEBU TUPUMZISHENI NA TZ YETU
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 2 күн бұрын
Hata kama umeguswa usikasirike wewe hujawafia watu ni yesu tu aliyewafiawanadamu tafakari kabla hujajibu
@OmegaMwakikunga
@OmegaMwakikunga 3 күн бұрын
Wewe unaetangaza Mungu nfio anatoa hukumu sio wewe
@levinamathias8507
@levinamathias8507 2 күн бұрын
Unataka watafute utajiri kwa baba yako!!!!!!
@user-gt4rp4bo8y
@user-gt4rp4bo8y Күн бұрын
Hamjasema mpaka mseme
@user-nd3hy7ot4w
@user-nd3hy7ot4w Күн бұрын
Acha uongo hakuna ansyepangwa Mimi mwenyewe nilishuhudia bila kupangwa, hakuna chupa ya 7000 wewewe mwongo sana hamsomi biblia mbona Yesu alifanya miujiza mingi Hezekia aliwekewa mkate kwenye jipu na akapona acha ujinga wewe hujui hata neno
@PastorTegemeo
@PastorTegemeo Күн бұрын
Kiasili maji hufuata mteremko
@OLIVERMBWILO-fx6cy
@OLIVERMBWILO-fx6cy Күн бұрын
Kazi ipo duuh
@PendoMyegeta
@PendoMyegeta Күн бұрын
Unahangaika.
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 3 күн бұрын
hapa nita mpogeza makamu wetu wa raisi kweli hawa ja maa ukiwaangalia kwa haraka utafikiri kuwa wana wapenda waumini wao sana lakini kumbe wao ndio wana wasababishia matatizo alafu wanawafanyia maigizo kuwa wana wasaidia kuwa tatulia kwa kufanya miujiza feki ili wawaamini yaani kinacho fanyika ni kwamba nina msababishia mtu tatizo ili aje kwangu kuomba msaada nimkamate anipe pesa
@HotNewsTz
@HotNewsTz 3 күн бұрын
Hakika ..Ubarikiwe sana kwa Kuona Jicho La ndani..Wengi wanatukana Wameshatekwa
@sulemanxulex8508
@sulemanxulex8508 10 сағат бұрын
Wewe ni MPINGA KRISTO
@AmaniKamage
@AmaniKamage 3 күн бұрын
Huo ni ukweli tumechoshwa na hao manabii wa uongo
@LufingoMwakafwila
@LufingoMwakafwila 3 күн бұрын
Haya yote selikali ijiulize !! Selikali imeshindwa kuatibu watu wake, kwa hiyo watu wanatafuta uponyaji. Maana selikali imewekeza mlangoni mpaka movhwal. Kingilio ,vipimo , kitanda, dawa , ukifa unalipia movhwal,. Alafu unambiwa umejengewa hospital .. biashala ya kutudanganya mumeanza selekali . Was he hao watusaidi nyie endelea na biashala zenu!!!!!.
@chikuswai491
@chikuswai491 3 күн бұрын
Get lost, hata na wewe hujui unachosema, soma Bible yako vizuri
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 2 күн бұрын
Mithali14::15soma
@paulinethadeus7912
@paulinethadeus7912 3 күн бұрын
Jamani Mwacheni Mwamposa aliyonayo ni nguvu ya Mungu tena mnamkosea Mungu miujiza inayotokea hadhatani.
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 3 күн бұрын
@@paulinethadeus7912 kumbuka ata shetani ana uwezo wa kumuwezesha mtu kufanya miujiza mikubwa sana ata kufuua walio kufa kabisa ,na amegunduwa kuwa watu wengi hawajui hii siri wanafikiri kila muujiza ni wakutoka kwa mungu na wanasahau kuwa Mungu ametuwekea waziwazi njia za kuwa tambua na mfano ni huu una kuta nabii ana miliki gari ya milioni 500 na majumba ya kifahari lakini kanisa lake ni la maturubali na ktk waumini wake wengine hawana ata nguo yapili nk,je hapa hamuoni kuwa wana uweka mbele utu wao zaidi kuliko Mungu mwenyewe? au ni sahihi kumkamua ngombe mpaka akonde abakie mifupa huku wewe una kuwa na kitambi kikubwa kama simtanki la lita elfu 10?
@LufingoMwakafwila
@LufingoMwakafwila 3 күн бұрын
🎉mbona ninyi mnakusanya Kodi nyingi lakini watu tunafia hospitali ya selikal. Mbona hiyo biashala inaumiza watu?
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 2 күн бұрын
Kama kweli ninyi ni watumishi mbona mioyo yenu imekunja ngumi na matusi?eti mnahasira kama mlikufa kwaajili ya wanadamu jifunzeni kwa yesu usimpende sana mtu kwani mtu anaweza akatumiwa na mungu na shetani pia
@HotNewsTz
@HotNewsTz 2 күн бұрын
@@EmmanuelKasike Hakika
@MkundeMeja
@MkundeMeja 3 күн бұрын
Jamani tuacheni na mchungaji wetu huyo ni mtumishi wa mungu
@danielmwaikoono8928
@danielmwaikoono8928 3 күн бұрын
Ko wewe unataka misikiti ifunguliwe?
@deboramaphie154
@deboramaphie154 3 күн бұрын
Ata bibilia inasema usimshutumu wala kumjudge mtumishi wa mungu kwasababu kila mmoja ananjia yake ya kufikisha maombi kwa wale tu waaminio ajamshika mtu kumlazimisha kitu chochote wewe kama imani yako ipo kwenye mapango nenda kasali kama wewe upo na waganga kaza buti kama wewe huna dini kakeshe baa usituletee ujuaji apa pepo mchafu ushindwe na ulegee
@HotNewsTz
@HotNewsTz 3 күн бұрын
Wanatuchafulia Ukristo , Tunaitwa Dini ya matapeli Kwa Wapuuzi Hawa Wachache , halafu Na wewe utofautishe Kuhukumu na Kuongea ukweli , ! Tutayasema hadharani Mabaya yao Ili Wasije kusema hawakuambiwa.
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 3 күн бұрын
Haya yote yameandikwa siku za mwisho mambo yote haya yatotokea .mambo mengi na mabaya zaidi yatajidhihirisha.manabii wa uongo..vita..magonjwa ya hajabu ..familia zitakosana..watoto watawageuka wazazi je hamjayaona?
@HotNewsTz
@HotNewsTz 3 күн бұрын
Amen
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 3 күн бұрын
Kuna Mambo naweza kusema serikali hii inatatizo Sana imeshindwa nini kuukaa na hao wanao kusanya watu wengi na kuwaomba wafanye jambo la kuwasaidia wakiasaidiana na serikali. Watu tunasema Mamboengi hao watu wanatoka wapi na wanapataje habari za kina mwamposa kuliko serikali. Hacheni uongo na ushabiki wa kijinga. Mwamposa anakosa gani unajia ukweli wowote jaribu kuongea na Mungu ndye jibi. Tujaribi kuwa watu waimani maan sisi tumekuwa Mungu . Je tumeomba na kuona uongo wa haya Yanayosemwa?
@ConstantineSalaludo
@ConstantineSalaludo Сағат бұрын
Amina 🙏, Endeleeni kuwafumbua macho watu wanaotafuta utajiri kwa njia ya shot cut,watu kama hao walizoea kwenda kwa waganga wa kienyeji,mimi hua nasema ni Mungu peke yake ndiye hutoa baraka kwa watu wake hao wengine ni matapeli tu kupitia biblia, 😬😎😁🇹🇿 FBI
@JoyceRichard-qo4gn
@JoyceRichard-qo4gn 3 күн бұрын
Mwaposa Ajawahi kuhuza tafuta efu Tano Wala efu mbili
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 3 күн бұрын
Sawa imefanya nini basi wewe ulipojua hivyo kuwa manabii wauongo fikiri Sana tafakari Sana. Hakuna jambo ambalo Mungu anaweza kukuonyesha akashindwa kufanya njia ili kuonyesha huo uongo.
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 3 күн бұрын
Tena nakuomba Kama dini usiseme Kila mtu ana dini yake. Lakini yesu alituletea Imani. Sasa ajabu mwamposa ni mwafirika kabisa mweusi kabisa wtunao mponda sisi Kama yeye. Kama mwamposa angekuwa mzungu hyo aliye leta hii mada asinge sema chochote hyo ni mtumwa na ndugu ya shetani. Mbona hata hao wazingu Wana Kuna Tanzania au siyo Sasa hyo mwamposa amekuwa muongo Hadi dunia inashindwa na mataifa yanashindwa kuzuia watu wao kumfuta au kumsiliza. Hyo Mungu anayesema yeye amelala wapi hata jina lake kudhiakiwa Mungu wetu alali Wala asinzii ndugu. Ikiwa ili afanyalo siyo kutoka kwa Mungu waombaji mkowapi lipingeni kwa Imani nanayo ona nyingi. Tusiinhiliye kazi ya Mungu wapo wwliyoponywa zipo familia zilizo funguliiwa wapo waliyoinuka kutoka katika Hali zao mbaya. Wapo tena wapo Sana Nina amini hata yeye hyo ni moja kati Yao. Aseme tu anawivu wa kishetani.
@HotNewsTz
@HotNewsTz 3 күн бұрын
Mbona unajieleza sana ? Ka hujaelewa Ukimya piah Ni Busara
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 3 күн бұрын
Kwani mafuta ni dhambi na udogo ni dhambi gani. Mimi nashindwa kuelewa aliuza udogo aliuza mafuta je hyo uduma unachangia wewe au umekwama wapi kwa dunia hii ya leo. Zamani wakati wa yesu na mitume na manabii kulikuwa Kuna ledio na tiv na simu hyo jamaa kweli kichaa Cha ushetani Kuna kitu gani Cha bure ataalipo tuma huo ujumbe ametumia maji au ametumia ujumbe kwa mzimu ya kwako?
@HotNewsTz
@HotNewsTz 3 күн бұрын
Mbona Unahangaika Kujieleza ? Kama umeshatekwa Wewe usishawishi Sisi.
@danielmwaikoono8928
@danielmwaikoono8928 3 күн бұрын
Yaaan wewe msemaji hujui usemalo
@mtitetv9653
@mtitetv9653 3 күн бұрын
Kanisa lakweli kwako likoje? Mbona una uhuru wa kwenda uislam
@EvaliniEvelin
@EvaliniEvelin 3 күн бұрын
I la wewe unachokisema do kweri ? Mwaposa kosa lake Nini?Imani tu kawacha tu na mafudisho yake
@NgurumoNyaruganda
@NgurumoNyaruganda 2 сағат бұрын
Wewe unasema kweli lakini ujui kwamba hapa natumia mbando langu
@LugelaMlemwa
@LugelaMlemwa Сағат бұрын
Acha habari za kutafuta pesa kwa uonho
@EmmanuelKasike
@EmmanuelKasike 2 күн бұрын
Mjinga huamini kila neno
@danielmwaikoono8928
@danielmwaikoono8928 3 күн бұрын
Wewe sio mkristo hata kidogo
@StelaMwambemba-qd3tr
@StelaMwambemba-qd3tr 2 сағат бұрын
Ameona tu Mwamposa so aongee watu hawanekani
@MkundeMeja
@MkundeMeja 3 күн бұрын
Sisi tumepona tuacheni sisi tunamwamini kama wewe humuamini sio lazma umsikilize sisi tunao meamini tuacheni tumskilize
@estermaguwo
@estermaguwo 3 күн бұрын
Kubwa jinga
@evodiajohn7991
@evodiajohn7991 Күн бұрын
Hatukuelewi kwa wew YESU
@makariusndonde4394
@makariusndonde4394 3 күн бұрын
Acha upumbavu mbona Hospital wanakufa na hamuwazuii madaktari kufanya kazi kwenda huko
@agneslimo8750
@agneslimo8750 3 күн бұрын
Akuna lolote semeni ya kwenu bwana ss tumesaidika sana
@makaotagspiritualhealing5287
@makaotagspiritualhealing5287 Күн бұрын
Mh
@josephoresinisaidieninamta1187
@josephoresinisaidieninamta1187 3 күн бұрын
Soma biblia wafilipi 1 : 12 - 20 Paulo umepishana naye
@HotNewsTz
@HotNewsTz 3 күн бұрын
Na wewe soma "" Mathayo 7 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹⁵ Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. ¹⁶ Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? """ Ww umepishana na yesu Mwenyewe !!
@deboranyambele5906
@deboranyambele5906 Сағат бұрын
Anayeta afanye kama we hutaki acha kila mtu na akili yake
@KishoshaMichael
@KishoshaMichael 3 күн бұрын
Gudegude
@lucykebacho4852
@lucykebacho4852 4 күн бұрын
Mmmmm
@jubajewilson18
@jubajewilson18 3 күн бұрын
Acha uwongo wewe !
@LovelyCave-fo2oz
@LovelyCave-fo2oz Сағат бұрын
Soma maandiko acha ujinga
@MkundeMeja
@MkundeMeja 3 күн бұрын
Jamani tuacheni na mchungani
@KasonaNgamila
@KasonaNgamila 2 күн бұрын
Mungu ni mwems kila wakati
@MwambaMasabuda
@MwambaMasabuda 2 күн бұрын
Umeongea alafu ukaongea ongea kwa wanatumia vibaya waonywe lakini sikusema eti wasiitumie eti ikitokea amekufa kanisani kwake mtu awadhibishwe mahosptalin wanakufa wangapi maiti kama matuta ya mihogo wAtu waovu mambo ya siri yanaharibiwa ndo maana kuichochea serikali dhidi mwamposa na wengine wema na nimekusikia na wewe unavoongea nikama baadhi ya waflani hiv kama kakuzidi kakuzidi jifunze kwake sio kumtupia na kutafuta kumwangamiza unaposema anauza anauza maji inakuuma sana pole. Ukiona. Toto wajirani kafaulu kwa ubaya unawetamani afe unasahaukua yy ndie wa kesho kutwa je angekufa wewe ungekua wapi ni kweli asira umuuwa mpumbavu alafu siku vijan kidogo kuelewa Bible mnaanza kusumbua eti ss tunajuaa Bible tamaa ya sadaka. Alafu kama una kanisa dogo kwa mujibu ya maelezo yako
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 68 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 61 МЛН
Why Dangote Refinery Is 'Bad Business' For NNPCL - Laolu Akande
10:26
Channels Television
Рет қаралды 19 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 МЛН
BABA MZAZI WA BISHOP KATUNZI ATOA SIRI NZITO
24:32
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 11 М.
#LIVE : [14.09.2024] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)
1:34:12
MWAMPOSA LIVE
Рет қаралды 4,4 М.