Safi sana kijana! Tunahitaji vijana kama wewe,siyo hawa wenye akili mgando na wahitimu wa vyeti tu.
@NickyTajiriАй бұрын
Unayo akili isaya ya kawaida sasa hizi wanarithi ajila
@user-pf2qk8fz9oАй бұрын
Safi saaana mwanasheria mahiri ujaye 😊😊
@chalokalunde9429Ай бұрын
Wazo zuri sana.
@iddiadam857Ай бұрын
Mi naona sio saw kumfukuza daktari au engineer aliyefanya kazi miaka 10 ana uzoefu na kuweka fresh from school kutakuwa na utowaji huduma mbovu sana frequency make perfection
@nassirnoor35593 күн бұрын
NI SAWA, AKAJIAJIRI AU AAJIRIWE NA SECTOR BINAFSI, HAKATAZWI