Рет қаралды 20,961
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Kisii amematwa kwa tuhuma za kujaribu kumfanyia mtihani mtahiniwa wa kcse kaunti ya kisii. kisa hicho kilitokea katika Shule ya upili ya Kiamabundu viungani mwa mji wa Kisii.Kamanda wa Kisii Francis Kooli amethibitisha kisa hicho. tunaungana naye chripine otieno kwa habari hizo za hivi punde