ROSE ALIYETEULIWA NA LISSU ASIMULIA MAZITO "WALIHUJUMU UCHAGUZI WANGU KWA RUSHWA AMTAJA KIGAILA"

  Рет қаралды 5,367

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@emmanueldeusdedith3374
@emmanueldeusdedith3374 48 минут бұрын
Namkubali sana dada rose
@AgustnoBoaz-m4m
@AgustnoBoaz-m4m 4 сағат бұрын
Hizo fedha naamini zilitoka ccm na kubarikiwa na Mr Mbowe! ndio sbb hakuwahi kuzungumzia rushwa ndani ya chama zaidi alikuwa akimung'unya tu maneno! kwa kweli huyu mwenyekiti wa chadema taifa aliyepita binafsi najihisi hovyo sana sbb wapo wana wengi kwa idadi wameuwawa kikatili wakiipigania siasa na demokrasia huru ndani ya Tanzania.
@MwangaSA
@MwangaSA 4 сағат бұрын
Mtakivuruga chama Mbowe amesema chama kina majeraha mkiendelea hivi mtakivunja chama anayekisimamia chama kwamba yuko Neutral ni John Mnyika sijui iwapo atakinusuru chama
@EzekieliBuyenze
@EzekieliBuyenze 3 сағат бұрын
Wewe nae ni mpenda lushwa kwann uchukie
@JosephMosabi
@JosephMosabi Сағат бұрын
Ni vizuri ukatambua kuwa uchaguzi umekwisha ,muanze kujenga chama,hizo tofauti za uchaguzi muachane nazo
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 54 минут бұрын
Hata hujamsikiliza unatoa comments zako kizembe. Anazungumzia uchaguzi wa njombe ambao umepigwa danadana sana mpaka leo
@fredymapunda1768
@fredymapunda1768 2 сағат бұрын
Boss mlikosa location
@FrankKwanama-lo6fj
@FrankKwanama-lo6fj Сағат бұрын
Kwakweli wajumbe mmefanya jambo la mbolea sana kumuondoa mbowe na genge lake!
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 3 сағат бұрын
Kila siku sehem mnazofanyia interview zinalele.Mwanahalisi is too big kuruhusu uzembe huu
@victaboy7273
@victaboy7273 2 сағат бұрын
Shida ipo wapi sasa
@DavidChacha-c5z
@DavidChacha-c5z Сағат бұрын
Chadema wanahitaji maridhiano. Katika maridhiano lazima uovu ufichuliwe ukubaliwe na wote halafu ukemewe na uachwe ndipo njia ya kusonga mbele ipatikane. Inaonekana kulikuwa na mkakati toka kwa mwenyekiti mbowe kuwashugulikia chadema wenye misimamo mikali dhidi ya serekali ya samia, ili watakapoondoka watengeneze kitakachoitwa maridhiano na ikiwezekana zipatikane nafasi chache za wabunge wachadema kuingia bungeni na hata ushirika feki wa kuendesha serekali ya maridhiano kama Zanzibar, hili lingeihakikishia CCM kuendelea kutawala ktk nafasi ya uraisi bila upinzani mkubwa. Hiyo ndiyo hisia yangu. Hatua atakazochukua mbowe na wenzake baada ya kushindwa uchaguzi zitatoa picha Siri iliyokuwa inaendelea dhidi ya akina Lisu.
@dezruh
@dezruh 3 сағат бұрын
Chama chenu kwa kweli hakifai , ni chama cha Rushwa sana, jifunzeni CCM. Bado wananchi wanatakiwa waiamini CCM.
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp Сағат бұрын
Mhhhh!
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 3 сағат бұрын
Yaani ukisikiliza huu uonevu na ukweli kwamba hawa wakina Kigaila ni mabwana wa wale Wanawake wa Civid 19 ndiyo unaelewa Kwa Nini Wana Chadema wakimkataa Mbowe na haya majambazi mchana kweupe
@MichaelJoashi
@MichaelJoashi 3 сағат бұрын
Ajifunze ccm kwahiyo ccm wako safi
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 2 сағат бұрын
Siku hizi MwanaHalisi TV recording yenu ni very poor, audio iko very poor. Mtu aweza kudhani labda mmerekodi kwa kutumia simu ya kitochi barabarani katikati ya kelele za watu na magari
@MwanaHALISITV
@MwanaHALISITV Сағат бұрын
Tumepokea hili
@JohnGadafi-x8j
@JohnGadafi-x8j 3 сағат бұрын
Namkubali sana huyu dada nampenda sana sana
@menchngonyani3744
@menchngonyani3744 4 сағат бұрын
Hivi mlishindwa kutafuta sehemu nzuri yakufanya mahojiano zaidi ya hiyo standi ya mabus au kichochoroni makelele kibao,that's unprofessional
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 сағат бұрын
Kgaila nalo chawa kumbe
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 5 сағат бұрын
Rose ungeachana na mambo yoteya zamani. Panama Uchaguzi ufanyike
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 4 сағат бұрын
Zamani wapi? Mwaka jana? Acha hayo muache aongee! Unajua kitu kinaitwa Freedom of speech 💬 pumbafu! Muache aongee !
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 5 сағат бұрын
Endeleza migogoro
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 5 сағат бұрын
Hii nikuendrleza
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 4 сағат бұрын
Hakuna mgogoro wanatoa ukweli.
@dezruh
@dezruh 3 сағат бұрын
Chama chenu kwa kweli hakifai , ni chama cha Rushwa sana, jifunzeni CCM. Bado wananchi wanatakiwa waiamini CCM.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН