MWANAJESHI MSTAAFU AOMBA KUJENGEWA NYUMBA NA MHE. PAUL MAKONDA

  Рет қаралды 3,093

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@miriamahmadi1356
@miriamahmadi1356 Күн бұрын
Hongera sana mama na pole sana❤❤❤❤
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 17 сағат бұрын
Vita ya KAGERA 1978,1979 Mimi nilikuwa Mafinga Iringa,Pole sana mama.
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 21 сағат бұрын
Mnakuaga wanoko sana katika nafasi zenu
@titusrobert5890
@titusrobert5890 Сағат бұрын
Makonda atamjegea ni kumfikishia taarifa,ni maisha ya wazee
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 17 сағат бұрын
Mbona mambo ya ajabu haya kiinua mgongo kapeleka wapi?
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 13 сағат бұрын
Si cheo ndicho ambacho kingekupa kuijenga nyumba
@zenachristopher5596
@zenachristopher5596 7 сағат бұрын
Vyabure ni gharama kubwa ... 😅😅😅😅 Jeuri mbaya
@SaniaIdrisa
@SaniaIdrisa 7 сағат бұрын
Huyu mama ukimkuta jeshini ndo wale wakiona vijana wadogo jeshini wanajenga na kufanya maendeleo nje ya kazi yao wanaanza mdomo mdomo wanasahau kuna maisha baada ya hiyo kazi sasa hivi vijana jeshini asilimia kubwa wameshtuka wanajpanga hatarii huyu atakua alikua anakula bata tu🤣
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 17 сағат бұрын
Sasa huyu mama anakosea kidogo,wa kumuomba sio Makonda anatakiwa amuombe Mkuu wa Majeshi.
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 21 сағат бұрын
Mama nyerere enzi hizo makonda hajazaliwa wala hajulikani
@Marjeby
@Marjeby 21 сағат бұрын
Vitaa ya Uganda ni 1978 Mpaka 1979 mama
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 21 сағат бұрын
Kinua mgongongo kapeleka wapi?
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 12 сағат бұрын
Kakiinulia kifua
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 5 сағат бұрын
Makonda kaz unayo.
@firdaus7428
@firdaus7428 Күн бұрын
Pole sana mama 😥🙁
@Veni584
@Veni584 10 сағат бұрын
Makonda yuko Arusha
@mariakiwia
@mariakiwia 22 сағат бұрын
Huna jina???😮
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 21 сағат бұрын
Hapakua na mikopo ukajenga? Daha
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf Күн бұрын
WAKATI ANAFANYA KAZI NA NI KIJANA HADI AMEKUWA MZEE ALIKUWA WAPI KUJENGA AJE ASUMBUE WATU😂😂😂
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 22 сағат бұрын
We Zai wewe 😂😂😂
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 21 сағат бұрын
Umeonaeeeh
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 21 сағат бұрын
@@ZainabLol-wx7xf tatizo la kuacha kazi bila kuangalia mbele maisha yako yatakuaje ndio hayo, matokeo yake unaishia kuomba,omba! Hata huyo makonda anafamilia yake na wanahitaji msaada wake wana jeshi wangapi wamestaafu na wanamaisha magumu lakini hajianiki kwenye mitandao? Kama swala ni kuuguza mzazi, watu tumeuguza wazazi wetu na mpaka wametangulia mbele za haki lakini hajathubutu kuacha kazi kwani kazi ndo kila kitu ,na hata huyo mama Samia atajengea wastaafu wangapi?
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 21 сағат бұрын
Ukimwi ilikua bado enzi hizo
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 10 сағат бұрын
Ebu nikumbushe ulijitokeaza mwaka gni
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 9 сағат бұрын
1978 - 79 ukimwi ILIKUA tayari
@irenemichael
@irenemichael 22 сағат бұрын
Kwan mshahara ulikua unamaliza kabisa😊
@LazandaSweety
@LazandaSweety 19 сағат бұрын
Nimecheka talali😂😂😂
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 9 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 17 сағат бұрын
Mbona mambo ya ajabu haya kiinua mgongo kapeleka wapi?
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 9 сағат бұрын
Enzi hizo hakukuwa na wasomi. Kama sasa. Kujenga ni majaaliwa na kitu chochote ni majaaliwa. RAIS WETU PENDWA Marehemu mzee ABEID AMAN KARUME alisema' tumesoma hatukujua tumejifunza tumetambua" ni maneno ya hekima. Wengi mwanzo wa UHURU walifanya kazi kwa kufunzwa ukiwa kazini ndipo wasomi wakaanza hapo
Новости дня | 30 ноября - дневной выпуск
4:35
Euronews по-русски
Рет қаралды 39 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 8 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 19 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
JOHN HECHE AKINUKISHA TARIME AWATAKA WANANCHI KUTBUWA WAJIBU WAO
10:00
Chadema Media TV
Рет қаралды 21 М.
CCM YAPONGEZWA KWA USHINDI WA ASILIMIA 99'  WALIJIPANGA'
4:29
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12
Jangan Merebut Makananku 🍕#robocarpoliindonesia #shorts
0:48
Robocar POLI TV Bahasa Indonesia
Рет қаралды 82 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
0:41
Topper Guild
Рет қаралды 12 МЛН
#релокант #ухилянт #юмор
0:20
СНИМЕМ
Рет қаралды 3,8 МЛН