SUBHANALLAH mwenyezi MUNGU amlaze mama yangu mahala pema peponi Amin😭😭😭😭
@ummusamira3518 Жыл бұрын
Masha Allah uzuri Sana Ila siku nyengine iwe angalau miaka mitano hivi ya ili mbu wapate supu ya mwili wake gerezani uzuri
@hamidaalhabsi85683 жыл бұрын
Subhanaallah alhamdullilah rabillamin hakimu umefanya Vizuri sana na itakuwa fundisho kwa wengine 👍❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏 sasa angoje. Na yeye kutukana na wanaye
@annamwakibinga5273 жыл бұрын
Mwaka mmoja mdogo. Angefungwa mingi huyoo
@mwanahalimamwachili96793 жыл бұрын
SubhanAllah, Asante Hakimu,Na Atumikie Huo Mwaka Mpaka Uishe,Adabu Na Heshima.
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
SAFI KABISA’ akijitetea muongezee mingine MITATU...!...nimependa sana Haya maamuzi ....👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
😂😂😂😂apew mitano
@المهلهلالحراصي3 жыл бұрын
Cyo mtano afungwe 30 kabisa Chizi huyo
@peragiaisdor63153 жыл бұрын
Mama nae anatukanwa jamani 😭😭 eemungu mlaze mama yangu mahara pema peponi amen
@neemazee18643 жыл бұрын
Dahhh😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@khadijanjama87213 жыл бұрын
Asante mahakama watanyoka tu
@ngoshathebest2283 жыл бұрын
Inatakiwa 5
@ashuuuaisha91223 жыл бұрын
Subhannallah. Daaaah waraah huyu anaikwaluza nguzo yk kwa kinywa chake ddaaaah.Waraah chozi la mzazi ni laaana tosha
@salamakombo32573 жыл бұрын
Subhana Allah daaah mtumee HeeeAkaaa mtihani vo jomoni
@ayishaayisha80533 жыл бұрын
Mhm adhabu ndogo.mama anatukanwa😭😭😭
@mrs28993 жыл бұрын
Safi sana watt wasiku hizi hawana adabu
@asha.mwambamwamba17743 жыл бұрын
Safi wangeongeza miaka miwilii
@munamuna74883 жыл бұрын
Asante hakimu
@fetychina32733 жыл бұрын
Safi sana ila mwaka mdogo sana😭😭😭
@markmlay81963 жыл бұрын
Huyo Dada ana laana
@airinsumeno24903 жыл бұрын
Ikiwezekana aongezewe miak yaan mtu unamlinda tangu mdogo unakesha naye af anakupandia kichwan akipata nguvu khaaaah
@aminaathumani68323 жыл бұрын
Ongezenii miaka mitanoo
@missmoona44973 жыл бұрын
Innah lillah wainnah illah rajiuna 😭😭😭😭😭
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
Mmoj hautosh atatok akitoka anammaliza Tu😢😢
@sanoureyaliwadoa4603 жыл бұрын
Mim uwaga najiuliza Hili swali mpka nakosa Majibu iv kwann watto wa kike ndio wanao Ongoza kwa kuatukana Wazazi Wao Tna Hasa Mama Mbona mim mwezenu Siwez Ata nigombeshwe Vp siwez jibizana na mama Angu Iv nynyi Wezangu Nguvu Ya Kujibizana Na Mama Znu Uwaga Mnazitolea Wpi Nami Nikazichukue
@edinachami43183 жыл бұрын
Safi sana
@mwana45993 жыл бұрын
Safi sana.
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
Subhanallah mamaaaaaa😭😭
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Nahao mashahd wake wangefungwa mwaka mmoja 🤣
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Bass haya mamake amezaa baadae atukana hee mtihani atapata adabu huko jela mtihani hiyo ni lana hajaolewa amezaa hee mtihani huo mungu azidishiye aghadhabu huyo matusi ya nguoni hayo safi sana kwenda jela mm niko oman siku nyengine naliya mama anaumwa tabani
Machozi ya mama yake tu ni kifungo cha maisha.wangemuacha tu atumikie kifungo chake cha maisha
@abuyunusmohamed69613 жыл бұрын
angepewa kifungo cha nje tu.Na kupigwa faini.Mnajaza jela tu bila sababu
@zuhurasadik66113 жыл бұрын
Wacha akajifunze wanatutesa sana wtt km hao
@hidayahassan80143 жыл бұрын
mmmh huyo dada hana radhi analaana kwa kweli
@ngoshathebest2283 жыл бұрын
Mmhhh mnaotukana wazazi aisee
@randomgaming65473 жыл бұрын
Safi sana, sema hio familia ndio basi tena nauhakia mama na mtoto hawata samehana
@AishaAisha-rh1fc3 жыл бұрын
Hasara ya nani km sio ya mtoto
@randomgaming65473 жыл бұрын
@@AishaAisha-rh1fc mtoto kupoteza mama nikawaida, lakini mama kupoteza mtoto litauma zaidi
@ilumvalameck19013 жыл бұрын
Kuzaa kuaibika😭😭😭
@bakariyusufujuma3 жыл бұрын
Alivyohukumiwa mimi sikuepo naomba hukumu irudiwe au aongezewe hata miaka miwili
@zuhurasadik66113 жыл бұрын
Hakimu heshima yako
@floramlowe70783 жыл бұрын
Azibiwe tu asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
@dorahisinika75763 жыл бұрын
Atanyooka tu...hana adabu
@neemazee18643 жыл бұрын
Subuanallah
@samwelsanga53393 жыл бұрын
Mwaka mmoja tuuu jaman mbona mdogo hvyo,alipaswa apigwe hata mi 5 hv hana akili huyoo dada
@munamuna74883 жыл бұрын
Bola ili watu wawe na hekma na busara
@tabasamtv67283 жыл бұрын
Safiiii 👏👏👏😁
@shaibmlandula83843 жыл бұрын
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
@aminasuleiman64023 жыл бұрын
Analaaana huyo mamaako unamtukana vip?
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Mipombe na mibangi aliyovuta imempeleka pabaya mm siwez kumtukana mama angu jmm
@monadinadi52953 жыл бұрын
Mdogo huo mitatu
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Huyo ni mlanifu hajuwi kutumia maneno mazur mamake akiongeya vizur ni sadaka kwake ataepukana na matizo ya dunia
@msafiriiddy31353 жыл бұрын
Kwani vioo vya madirishani ni bei gani
@magrethmollel10783 жыл бұрын
du huyu kalaaniwa aombe radhi kwa mama yake asije juta hata huo mwaka ni kiidogo angeenda 2
@safiakhamiss45673 жыл бұрын
Mm naona malezi mabovu wanaowalea watt wao kama umemlea kimaadili mtt hawezi kukutukana
@comulusnimbuss9313 жыл бұрын
Dada bakisha maneno..muombe mungu akunusuru akistiri na kizaz chako
@safiakhamiss45673 жыл бұрын
@@comulusnimbuss931 dada kuna watt niwajeuri lakin akifika kwa mzazi wake heshima na adabu
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
@@comulusnimbuss931 ....kweli kabisa ‘ kuna watoto wanalelewa vyema na wazazi ‘ lkn akishaingia mtaani anabadilika tabia ‘ halafu lawama zinarudi Kwa wazaza’ ...Nakubali Sio Kweli ukimuona mtoto ana maadili mabovu basi ni wazazi wengine wanayaiga mitaani...Na dunia ya leo kuna MTAA WA MTANDAO ‘ huu mtaa ni hatari sana Kwa VIZAZI VYA LEO..! Umemwambia vyema amuombe MUNGU asitiri kizazi chake..!
@jescajulius80233 жыл бұрын
Mama mzazi?????
@dintazdintaz73113 жыл бұрын
Aje huku ulimwengu yupo huku aje afunzwe tu ni buree
@annajoseph99553 жыл бұрын
Kalaaniwa huyo loooh
@samaboy25923 жыл бұрын
Shkamoo jaji
@lanlady25043 жыл бұрын
Sasa hapo wametatua tatizo au wameongeza chuki dhidi yao?? Ilikuwaje hadi mashtaka yakafika huko? Wazaz, walezi wasisahau jukumu lao la malezi bor na kuwaombea watoto wao! Yaan kweli mwanangu wa kumzaa anaanzaje kunitukana kwa mfn???🤔
@adilialbat7083 жыл бұрын
Hujayajua bd unaona ulikosimama siku ukianza kuona unakokwenda utaelew kwmb kumbe inawezekana mtt wa kumzaa kukutukana au kukupga kabsa
@lanlady25043 жыл бұрын
@@adilialbat708 inategemea na malezi ya huyo mtoto. Ama si hivyo basi atakuwa na tatizo fulani la kisaikolojia. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Na unaweza kujuuliza ni kwanini wengi wao ni wa uswahili au wenye maisha duni au wasio na elimu kubwa?? Kuna kutokuwajibika vizuri kwa mzazi na jamii kwa ujumla. Na ndio matokeo ya kizazi kisicho na maadili. Mzazi huwezi kuwa na maadili halafu mtoto akose maadili. Hapo tatizo ni makuzi +malezi
@lanlady25043 жыл бұрын
Kuna mtu namfahamu, wakati wa utoto wake mzazi wake alikuwa anamwambia "yaan ww nimekuzaa tu bahati mbaya, nakuchukia" sasa kwa kauli kama hizi yule binti hakuwa na upendo kabisa na mzazi wake. Na huyo mama alimtambulisha mtoto wake baba zaidi ya mmoja kuwa ni baba yake mzazi. Na inasemaekama alibakwa. Kwahiyo chuki ya baba inahamia kwa mtoto. Mtoto akiuliza ukweli mama anakuwa mkali. Ilijenga chuki kati yao. Na hawapatani. Sasa kwa binti mwingine akiwa keshavurugwa, na akikosa ushauri mzuri anaweza kutoa lugha mbaya bila kujali, kwa7bu ya maumivu ya hisia aliyonayo. Ni tatzo la kisaikolojia
@adilialbat7083 жыл бұрын
dada sema taratiiibu huku ukinong'oneza ucmalze yote mengine mezea huku ukisema Mungu kijalie hekima kizaz cha tumbon langu kiwe na hofu juu yako ewe Mungu lkn co useme mzazi hawez kuwa na maadili mtoto akakosa maadili wapo weng wako vema lkn walzaa majizi mpk ukiambiwa huyu ndo mtoto wa flan unashangaa kwnn hayupo kama mzazi wake kumbuka hyo ya mtoto umleavyo ndivyo akuavy ilkuwa zaman lkn leo hii mtoto huambiwa hili then yey anafany lile kadri anavyzd kukuwa ndvy anavyjihis yupo vzur zaid ktk kuamua tofaut na yale aliyofunzwa au kukanywa wala hakuna mzazi anaetaman mwanae aharibikiwe na si kwmb wanaoharbkiwa n wa uswahlin tu au wasio na elimu kubwa au wny maisha magum noooo wapo weng wana elimu kubwa maisha matamu nk lkn hao ndo wagum kabsaa hata kukosolewa mana hujitia ujuaji mnoo ukitaka kujua hayo toka nje uyajue nahis unayaongelea ndani ndo mana unajua ya ndani sana kwa kujiangalia wew bnafisi