| MWANAMKE BOMBA | Mwanamuziki mashuhuri Nyota Ndogo

  Рет қаралды 27,528

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Wasanii wengi humu nchini wamekuwa wakivuma na kisha kupoteza umaarufu wao baada ya muda. Mwanaisha Abdallah maarufu kama nyota ndogo ni Msanii ambaye alivuma Kwa vibao vyake vyenye ujumbe mzito WA maisha lakini Kwa sasa ni nadra kwake kuskika na kibao kipya. Bila Shaka wengi watajiuliza jee Yuko wapi Kwa sasa na anajimudu vipi kimaisha. Hii hapa simulizi yake katika makala yetu ya Mwanamke Bomba
#mwanamkeBomba #Nyotandogo

Пікірлер: 67
@saheedali7467
@saheedali7467 Жыл бұрын
Nilipenda Ile nyimbo yako isemayo Duniani Kuna watu na viatu iko poa Sana.
@MargauxNyambura
@MargauxNyambura Жыл бұрын
I am your big fan, Nyota seems to be happy with her life
@winnienyambura4762
@winnienyambura4762 Жыл бұрын
Shabiki mkubwa wa nyota mmi hapa ama so happy
@Musau2023
@Musau2023 Жыл бұрын
Nyota leo nimekupenda hata kuliko zamani.
@petermakaumutuku9150
@petermakaumutuku9150 Жыл бұрын
Huyu ni mwanamke wa shoka kweli.
@fatmahussein1238
@fatmahussein1238 Жыл бұрын
MashaAllah mwanamke jiko nakupenda Bure Nyota ndogo
@mohamedibrahim7732
@mohamedibrahim7732 Жыл бұрын
mshukuru mwenyezi mungu amekutoa kwa maasi umeacha mziki endelea na biashara yako ya halali swali swala tano na utubu. kabisa
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 Жыл бұрын
Nani alikuambia aliacha?
@anjelinemorengua9474
@anjelinemorengua9474 Жыл бұрын
Sawa Hakimu
@mohamedibrahim7732
@mohamedibrahim7732 Жыл бұрын
mbona unaniita hakimu katika uislamu mziki ni haramu huyu muislamu mwenzangu ndio Nampa naswaha
@shadrackmasigaTV
@shadrackmasigaTV Жыл бұрын
Mziki nikujuana 🥰🥰🥰 kweli superstar wetu🥰🥰
@merabgreenway709
@merabgreenway709 Жыл бұрын
Humble sana Nyota 🙏
@shunilcareytv
@shunilcareytv Жыл бұрын
Mwanamke Bomba indeed,
@maxwellayoo7138
@maxwellayoo7138 Жыл бұрын
Baddest Kienyeji Ever when I was growing up!
@victorosong132
@victorosong132 Жыл бұрын
Hapo kwa wasanii wa kuomba mchango umenena.
@tabbywacherakamau8626
@tabbywacherakamau8626 Жыл бұрын
Keep up Nyota ndogo
@munirashughuli618
@munirashughuli618 Жыл бұрын
Alhamdhulillah shukuru Mungu umeondoja kwenye Maasi
@nassorhamadi5738
@nassorhamadi5738 25 күн бұрын
Kwa marayakwanza mwanamke bomba kutaka pwani
@terryanyango9804
@terryanyango9804 Жыл бұрын
Aaaaaah Njota Uko Juuu
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 Жыл бұрын
Ni kweli Masha Allah
@JeffarSani
@JeffarSani 3 ай бұрын
Watu viatu hata kwetu wako❤❤
@hashim6411
@hashim6411 Жыл бұрын
Kweli kabisa Nyota ndogo.kila kitu na wakati wake.
@anabguyo4056
@anabguyo4056 Жыл бұрын
MashaAllah 👍🏽👍🏽👍🏽🤲🏽
@presenterstanley
@presenterstanley Жыл бұрын
Icon 💯💯
@MA-ht7po
@MA-ht7po Жыл бұрын
Mamangu uko juu kabisa
@shebeshshebesh828
@shebeshshebesh828 Жыл бұрын
Pilau smart Sana naja kesho asubuhi voi My dia nakumiss
@frimmbits
@frimmbits Жыл бұрын
Nitaenda kwake nikale mchicha
@Wanyamamorinekenya9669
@Wanyamamorinekenya9669 10 ай бұрын
Sijaona mwanamke bomba kama Nyotandogo
@64aaa
@64aaa Жыл бұрын
MashaAllah!!!
@tophawktvtophawktv6101
@tophawktvtophawktv6101 Жыл бұрын
Chakula tamu hizo,nikipitia ntakula hapo
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Yeah!
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 Жыл бұрын
Nimependaa
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 Жыл бұрын
NIKIJA VOI LAZIMA NIJE KULA HAPO
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Nlikua hapo Jana but the hotel ain't classic Iko njiani
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Baki kwa chakula tuu
@larrymwakisha6009
@larrymwakisha6009 Жыл бұрын
Pilau yako tamu jamani
@mvp_highlights
@mvp_highlights Жыл бұрын
Invest in versatility
@lailabiley386
@lailabiley386 Жыл бұрын
🎉
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 Жыл бұрын
Iko upande gani ii hotel jmn
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Karibu na qwetu sacco
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
kila kitu kina Wakati wake mziki.kwako.umeshapita ni vyema.ulivoangalia mengine
@mwanamgenimusa8966
@mwanamgenimusa8966 Жыл бұрын
Nataka kukualika ila Sina number zenu
@mwanamgenimusa8966
@mwanamgenimusa8966 Жыл бұрын
Naomba number zako... Mwanaisha dadaangu
@mohamedmusa2279
@mohamedmusa2279 Жыл бұрын
Huyu c alikua na mzungu kwani iliendaje?
@tabbywacherakamau8626
@tabbywacherakamau8626 Жыл бұрын
Ako naye bado
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 Жыл бұрын
Kwani utategemea mzungu tuu, lazima ujitume
@anjelinemorengua9474
@anjelinemorengua9474 Жыл бұрын
Bado yuko,lakini si lazima ajitume au ulitaka aketi ategemee mzungu
@adhiambonyasuna4043
@adhiambonyasuna4043 Жыл бұрын
Who Is she?someone comb me
@azuukasha3225
@azuukasha3225 Жыл бұрын
Railas Daughter
@shufaaesala3511
@shufaaesala3511 Жыл бұрын
Nyota ndogo. Kuna watu na viatu
@dominicdommy9194
@dominicdommy9194 Жыл бұрын
Watu na viatu
@festo1591
@festo1591 Жыл бұрын
@@azuukasha3225 😁😁
@wanjiruwanganga5707
@wanjiruwanganga5707 Жыл бұрын
@@azuukasha3225 😂😂😂good answer
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Lakini mbona azungumza sana hivi!!!
@raymondmrabu3530
@raymondmrabu3530 Жыл бұрын
Sasa si alikuwa mwanaziki😏😏
@faithgatwiry
@faithgatwiry Жыл бұрын
Mtu akiongea una shida akinyamaza pia una shida.. unataka afanye nini? Ako interview
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
@@faithgatwiry sawa, lakini hana breki....
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@mpendakiswahili3053 😁😁
@josephaleto8708
@josephaleto8708 Жыл бұрын
Hivo ulitaka anyamaza ilhali anahojiwa,Una vituko wewe
Nyota Ndogo shares her touching story - From maid to a star
21:09
Wako wapi?: Tunamwangazi mwanamziki Nyota Ndogo
27:32
KTN News Kenya
Рет қаралды 21 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 85 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 15 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
SAJUKI AKIELEZEA HALI YAKE BAADA YA MATIBABU YA KWANZA NCHINI INDIA
2:21
How Viola Maina made gooseberries a cash crop in Kenya!
14:39
Smart Farmer Africa
Рет қаралды 6 М.
CHUKI YA WIFI PART 1 || NEW BONGO MOVIES 2023 || PILI MABOGA
23:55
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA PUNDA)
1:05:21
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 22 М.
| Mwanamke Bomba | Shosh atengeneza redio za magari
4:19
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 33 М.
Mwanamke Bomba | Damaris Muriithi amebobea katika ulingo wa biashara
6:50
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 85 МЛН