Alhamic sa10 :30Jion na jumapili8:00 mchana mkuyuni
@neemachuwa68199 ай бұрын
Pia ijumaa atakuwa mbeya
@anethmichael68889 ай бұрын
@@neemachuwa6819 Samahan atakuwa mbeya sehem gani hiyo ijumaa?
@neemachuwa68199 ай бұрын
@@anethmichael6888 ukumbi wa st. Marys
@neemachuwa68199 ай бұрын
Nadhan tangazo linaweza toka kesho
@mariamsanga1359 ай бұрын
Da mtandao unasumbua jaman
@nabikuparsalau52729 ай бұрын
Mnoo😢
@aningilemwambepo67219 ай бұрын
Kinyume cha Utaratibu
@theresialubida1614 ай бұрын
Amina napokea kwa jina la Yesu ameni
@christopherkaloli34188 ай бұрын
Mtumishi napenda mafundisho yako sanaa,ila hapa kwa ESTA soma Tena vzr,modekai na ESTA ni mtu na binamu yake Wala sio mjomba,mfalme pia alimpenda ESTA,Wala hakumkumbuka vasht akiwa na ESTA,lkn pia ulikuwa utaratibu wa jamii ya umedi na uajem kwa mfalme kuwa uwandani mda kadhaa kwa kwa ajili ya kuabudu miungu yao.so nakupenda na tuko pamoja ila hapo kuna mahari hapajakaa sawa
@maryyongo-o4q4 ай бұрын
Alimkumbuka vasht bn
@RebecaGeorge-nx2hr8 ай бұрын
Am in dar es salaam...how can I get the timetable of your preachings... I've so many things to say to that altar
@Peacocktz8 ай бұрын
Every Thursday 10:30 jioni, Sunday 8:00 mchana Millennium Towers 2 floor number moja