Usidanganye mwenyenzi Mungu Kimbangu Mfumu Nzambi roho mtakatifu mtukufu wa muunguDiantungunua amehumba vizazi vyetu viwili vyakwanza ntangu Akongo Ne Kongo (m) na Ngonde Akongo Ndona ( f)iliwahishi vizuri duniyani na wana zawo watakayezaha bahadaye ,hakuna mtu yeyeto alitumwa hapa duniyani kuteseka ,kama shida zimefika ni sisi watu njo tunajikokoteya ,ila Mungu hakafanya hivyo
Jaman naomba kujiunga na nyie Mr Big big napenda sana kuigiza unanisaidiaje
@yohanemellau3220 Жыл бұрын
Nakubali mambo ndo hayo weka TU wekeee
@iddjuma2206 Жыл бұрын
Mimi nko Mombasa Kenya napendashow zako juyo dada usmwache ma Vero m onaufanyi show na violet itakuwa poa
@emmanuelbarnabakiula-np4ye Жыл бұрын
Mpo vizuri,kazi kaz
@laureanclaudia409 Жыл бұрын
Kazi nzuri na ujumbe umefikia jamii
@zulachama1067 Жыл бұрын
Rahma umelikoroga utalinywa na mandazi mawili mr big big matatu🤣🤣 ,kweli usmtukane mamba kabla ujauvuka mto.
@kamthegardener Жыл бұрын
Napenda chapati namarage😂
@aishatwaha7863 Жыл бұрын
Ety sidiria imefanywaje 😂 🤣🤣🤣🤣
@dianamuhumba Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@dicvanofficial Жыл бұрын
Story ni nzuri lakini namna ya kuimaliza story bado lkn kazi nzuri
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
Nakubali Sana Mr Big 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@dtv6734 Жыл бұрын
biG ! dredi zinakupendeza sanA, - ziRudishe😀
@derek-madreeksentlove6014 Жыл бұрын
Nice content
@diegodiedonne870 Жыл бұрын
Noma Kaz ipo
@barakamwasi7442 Жыл бұрын
Kwenye maisha tafta pesa 💰
@ateleteleecibalungumwenelo1423 Жыл бұрын
Hakuna mtu mwenye anastahili kupanga kwetu afilika juhu mungu amwapatiya nababu wetu wawili mamlaka na akili na uwezo wake ili kila mtu ahisha na raha muhiyi duniya,sasa akili mbaya za watu wachache zimesababisha wajifanye wenyewe njo wanamiliki kila kitu ,ukweli nihuyu siku zinazokuja wanaafilika kila mtu atakuwa na nyumba yake ya kuhishi ndani na familiya .shamba kila mtu piya atakuwa na shamba lake piya kutakuwa shamba ya umma.
@eliasjackson9548 Жыл бұрын
Gud Sana big big
@zenamtembezi4921 Жыл бұрын
Sidilia sasa 😂😂😂😂
@najmaothman9447 Жыл бұрын
😂Haha 😂😂😂Haha
@amonmzee4889 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 saa yenyewe sasa so pw
@elmosteve586 Жыл бұрын
Cool 👊
@faieshikoo6955 Жыл бұрын
Wa kwanzaaa
@louisagaston2498 Жыл бұрын
Niatari 🤣🤣🤣🤣
@annahsaimon3904 Жыл бұрын
Daaah 😢😢
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
Tunakula matembele wakati nyama zipo barabarani
@sautikaliitz934 Жыл бұрын
mkn
@sautikaliitz934 Жыл бұрын
big big
@SaidaAli-kr3bi7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@rachelpaul460 Жыл бұрын
Jaman v nampenda huyu dada
@omarsaid287 Жыл бұрын
Jifunze kuish na marafiki sio kila rafik ni mwema wengi wao ni wapotofu