Mwandishi yuko vizuri sana kutupa jiwe gizani kwa mwanasheria ili apate ufafanuzi. Wengine humu mmekuja na Uyanga na Usimba wenu ndio unawatesa akili zimeenda Segerea😂😂😂😂
@andersonshimbi13785 күн бұрын
Ni wehu na wendawazimu kuituhumu Yanga ambayo ni mabingwa, ni sawa kuituhumu Simba tu sababu ilishatuhumiwa na Jwaneng Galaxy kuwa ilipewa sumu
@DouglasBilishanga8 күн бұрын
Mwandishi hujui unachouliza sema pacome na sindano
@agnesnombo55168 күн бұрын
Mtangazaji ni kolo.maana anasema.yanga wamesema uchawi barua yanga imeorodhesha makosa matatu na sio uchawi tu kama anavyosema huyo mtangazaji boya kiazi
@aliferuzi15377 күн бұрын
Yumo ktk kuficha maana kamili ya madai yaliotolewa kwa Ahmed amemtaja PACOME na SINDANO, a kuohexa nguvu na kudhalilosha
Mwandishi kama hujui acha simba na sandalendi wake wajikanyage watajikuta wameilipa pesa yanga maratano ya pesa watakazoripwa na yanga make yanga washaweka mtego tena sandalendi mwenyewe kashashikwa na ubaridi haelewi
@kissanjulumi-vt3yl6 күн бұрын
Mtangazaji uongee kama Ahmeid alivyo ongea usipindishe maneno akiongelea pakome uchahawi ulikuja mwishoni kabisa usipotoshe maneno tunakuwa weweeeee ni koloo. Waachie wengine waongee wewe kama ni mahakamani inawekwa ndani jifunze kusikiliza kilicho ongelewa kwanza 😊
@hassankurwa4647 күн бұрын
Hawa ndio wanao dhalilisha taaluma zao. Mpira ni mpira tu. Mpira una ladha yake, una maneno yake una ustaarabu wake na una karaha zake. Mpira hauwezi kuwa kama walivyo wanasheria na Wanasheria hawawezi kuwa watu wa Mpira. Mawakili tuna waina mitaani na kwenye kazi zao maneo ya kejeli na kuogopana yapo huko. Utani wa Jadi hawawezi waache wasituharibie mpira na utani wetu. Kuna watu wanacheza Draft, Bao, michezo ina lugha tata sana lkn ndio hulka ya michezo hiyo. Hata huyo Sandaland inaonekana kadanganywa na hawa hawa.
@MussaIbrahim-p2s8 күн бұрын
Huyoo anae uliza katoka shule gani
@AristarickTarimo7 күн бұрын
Hakuna shule hapo, hata huyu mwanasheria naye, mmmmh.. Sasa anavyoingiza TFF inahusika vipi hapo?
@geraldmmuya66587 күн бұрын
Huyu mwandishi hajui ile taarifa ya inayomuhusu Ahamed Ally hivyo anapotosha ukweli.
@happymapunda11408 күн бұрын
We mdada umesomea kweli au umekurupuka nenda shule Tena ujui unachoongea
@MohammedHimba8 күн бұрын
Kishamba tafuta waandishi wanaojua kuuliza
@KingDrew-hw6uc8 күн бұрын
Mwandishi wa habari anajuwa sana kuhusu walicho kizungumza yanga ila anamjoki tu mwana Sheria ili ajuwe atasema nini
@RobertKajege7 күн бұрын
Kiufupi tff ifute vyeo vya wasemaji iwe kama uingereza wabaki tu makocha ndo wawe wanaongea na VYOMBO vya habari
@radhiamussa16298 күн бұрын
Ovyoooo kabisa umeshindwa kumuuliza mwanasheria inshu husika ya yanga hawakuzungumzia uchawi tu wamezungumzia vitu vingi kwenye hiyo kesi acha hupotoshaji nakubase upande mmoja
@sebastianmgaya82468 күн бұрын
We kenge sana, usichanganye unyege wako wa uto na Na mambo ya msingi yakisheria. Mwelewe mwanasheria acha umbu mbumbumbu
@atupelemsyani74118 күн бұрын
@@sebastianmgaya8246yaani utopwinyo hawana akili kabisa nashukuru Mungu Mimi sijawahi kuipenda uto na Wala sintaipenda maisha yangu yote na pia nafurahia kuichukia nimeona nimefanya maamuzi sahihi Hawa viumbe uto ni wajinga aisee sijawahi ona dah! Sasa hoja ya kumlipisha Ahmed Ally hoja zote zinadhihirisha ujinga walionao kwani Kuna hoja nyingi za kuweza kuraise mahakamani lkn siyo huo utopolo walioutoa halafu nasikia Azam nao wanataka kumshtaki Ally Kamwe hapo patamu 😂😂
@CarlosRule-p6v7 күн бұрын
Bango zile na ss simba tuna ruka nazo
@PierreBukasa-fu3yx7 күн бұрын
Unaluka na bango kivipi, kwani Yale mabango yamedanganya kwamba yanga hajawachenyenta Mara NNE mfulurizoooo, dunia nzima inajua,
@PierreBukasa-fu3yx7 күн бұрын
Mwanasheria hapo hakuna mwandishi wa habali hana ueledi na kazi yake, mbona suara sio uchawi, swara nipakome kuchomwa sindano kama ametoa mimba, huyo mwandishi ni muongo, aseme ukweli, waache ushabiki kwenye kazi,
@HalidiSaidi-l7m7 күн бұрын
Asilikekwaniizo xandazinaukimwi
@OmanSur-tq4br8 күн бұрын
Na nyinyi waandishi litawakuta rungu
@damsonzabroni12247 күн бұрын
Tokeni zenu kwani ahameda haja taja pakome?
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts8 күн бұрын
Jamani iyo sandalend munaisema nyie mbona alky kasema sanda
@AristarickTarimo7 күн бұрын
Mwandishi umefeli kubalance. Kwani kwenye barua ya Yanga kulikuwa na kosa moja tu la uchawi? Au huna grounds ya unachokihoji. Very unprofessional ndugu mwandishi bidada
@HalidiSaidi-l7m7 күн бұрын
Kwendeniapo nanyiekavaenisanda
@MohammedHimba8 күн бұрын
Hawa waandishu maswali yao ni ya kipumbavu anamuuliza shabiki wa yanga au simba swali kwamba mtani wako katoa jezi je wewe unazionaje sasa sawli hilo unategemea kwa utani wa simba na yanga atasemaje...hawa waandishi ndiyo tatizo
@AllyRamadhani-f2p8 күн бұрын
Vp kuhusu Pacome?
@CharlesElias-zh5hz8 күн бұрын
Mwandish mbona upande wa pili naswal so meng.ww ni kolo ee.
@anithawidambe75438 күн бұрын
NA WEWEMDADA MWANDISHI KWANI HUJAWAHI KUONA JINA LINAITWA KWA KIFUPI?
@mussasaidhamad18916 күн бұрын
simba na Yanga kama mpira ushawashinda anzisheni vikoba maana sasa naona mnataka kujengeana Chuki za kijinga bure badala kuimarisha timu zenu mnaleta upuuzi wa kupigana faini sasa
@makusaro22898 күн бұрын
Kwa hiyo Sandaland siyo mali ya Simba? Kama Si Mali take analalamika nini?
@anithawidambe75438 күн бұрын
YANGA NDY WALIOSEMA KUHUSU UCHAWI.NDYMAANA WALIHAMA UWANJA WA AZAM. YAGA WANA UTOTO SANA.WAPI AHMED ALISEMA KUHUSU UCHAWI?KAMWE ALISEMA KUWA SIMBA NI WACHAWI. KAMWE ALISEMA SIMBA NI MAYI WAO SASA SIMBA WAMSHITAKI KWA HILO?
@khalifasaidi70018 күн бұрын
Yanga humwita simba mai wao kwakuwa wameifunga maranyingi kuliko timu youote Tanzania
@sebastianmgaya82468 күн бұрын
Nyie Uto achen ushamba
@abuumuhammad71338 күн бұрын
Hata Ahmed Ally.alisema walogi nyuma mwiko hakuitaja yanga na hata angesema yanga ni utani wa jadi baina ya hizi timu simba na yanga ila Ally Kamwe ahida ni yeye na Sandalend sio utani baina ya yanga na simba
@FransiskaJohn8 күн бұрын
Achen usng
@deodathmassawe37468 күн бұрын
Very sad! Anayehoji na anayehojiwa wapo biased hahahah……wote wasemaji wamechemka kolo na uto
@makusaro22898 күн бұрын
Kwani kabla ya Simba ilikuwa Sandaland au ni Sunderland? Sasa kwa mini Simba wanakubali iwe Sandland? Je neno Sandaland lina maana yo yote au ni ushamba tu wa Makolo?
@hassankindamba66338 күн бұрын
Ukiwa hujui Jambo inabidi ukae kimya. Sandaland ni kampuni inayojihusisha na mavazi na sio Simba. Simba ni club imeingia mkataba na Sandaland kwa akili ya jez tu na hakuna ushirika mwingine Zaid ya huo. Kama ilivyokua kwa vunja bei mkataba unapoisha na ushirika unaisha