No video

MWANASHERIA AFUNGUKA KISHERIA SAKATA LA LAWI KUSAJILIWA SIMBA

  Рет қаралды 31,478

Katibu Mwenezi CCM Meru

Katibu Mwenezi CCM Meru

Күн бұрын

#simbasc #lamecklawi #usajilisimba #coastalunion

Пікірлер: 60
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 2 ай бұрын
Wakili msomi ' kisheria kawaida ' ni sawa. Likini kama Magoli alivyosema 'sheria ya FIFA ' baada ya Coast Union kuona kuwa Simba hawakuweza kulipa kwa muda uliyowekwa walitakiwa watoe notice ya siku kumi kulipa ' haikutolewa ' muda huo ukipita ndio sheri ya kufuta huo mkataba unafanya kazi. Kwahiyi hayo ni ya Msomi Mwanasheria na haiwezi ikawa ndio uamuzi.
@joshuataramo7317
@joshuataramo7317 2 ай бұрын
Nadhan Simba haina Sababu kung'ang,ania Mchezaji Lameck Lawi . Mpango huo wa Usajili umeshaingiliwa . Maana hapo ilipofikia hapana Muafaka utakaopatikana. Tafuteni mchezaji mwingine. Aidha mkakae tena na Coast Union upya Ila kwa maoni yangu hamtaweza kuafikiana
@erickprotace9463
@erickprotace9463 Ай бұрын
Mtuelimishe juu ya njia za kusitisha mkataba au makubaliano, kama zilifatwa tutajua mwenyekosa ni nani na mmiliki wa mchezaji ni nani make makubaliano tushajua yalikuwepo.
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 2 ай бұрын
Wakili msomi Gani huyu? Atakuwa ni utopolo huyo, akwende zake hajui anachoongea😂😂😂 wakili wa mchongo huyu😂😂😂😂😂
@user-mn3bx7vv7z
@user-mn3bx7vv7z 2 ай бұрын
Simba wanabuni sehemu ya kubishana kila wakati. Wakiona hili ni kama linapoa wanaanzisha lingine jipya.
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Ай бұрын
Wewe sio mwana Shelia ni utopolo tuta ona atakae shinda hii kesi
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 Ай бұрын
Simba hili swala msikubali liishe kienyeji watazoea hawa Coastal lipelekeni Fifa uamuzi utolewe huko, ili liwe fundisho kwa wengine wanaotaka kupindisha Sheria.
@zamoyonimshindo5083
@zamoyonimshindo5083 Ай бұрын
kama kuna mkataba kwa maandishi inawezeka simba wakafeli lakini kama ni kwa maneno costo watafeli
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks 2 ай бұрын
Wakili upo sahihi wanalipaje mda wao nje ya makubaliano hiyo ni dharau kwa coastal kama timu ndogo ifike wakati hivi vilabu vidogo viwe na viongozi wanaojitambua kama coastal wasimamie masilahi ya taasisi sio mapenzi ya watu kufanya mpira wetu kukua zaidi
@dottosweetbert8879
@dottosweetbert8879 2 ай бұрын
Huyu mwana Sheria naye anaongea kishabiki tu au hana taarifa za kina kuhusu yaliyotendeka. Pesa ya coastal union ililipwa advance kabla ya tarehe 31. Ikamaliziwa trh 10 Juni. Kinachoonekana hapo ni TAMAA ya coastal union walipopata mteja mpya anayetoa dau kubwa la 600m. Nijuavyo mie muda si mrefu litakwisha tu hilo
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 ай бұрын
Wakili msomi level gani? Kama mnunuzi alishafanya malipo ya awali alitakiwa kukumbushwa kumalizia malipo na endapo angeshindwa baada ya kukumbushwa ndiyo biashara ingesitishwa... Kitendo cha kupokea malipo ya awali Ina maana mdaiwa anatakiwa amalizie malipo yake na siyo kusitisha biashara kwa sababu ya siku tisa zilizozidi kutoka tarehe aliyotakiwa kumalizia malipo... Ushahidi wa biashara za wachezaji timu huwa zinadaiwa zaidi ya hizo siku kumi... Huyu wakili mmh
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 2 ай бұрын
Yani mchezaji ni wako, mimi nije kutaka kumnunua, kisha unipe tarehe na muda wa kumaliza kulipa ada ya uhamisho, kisha mimi nisaini kuwa nimekubaliana na sharti hilo, kisha tarehe na muda wa malipo tuliokubaliana niwe nimeshakulipa ufika na upite bila ya mimi kukulipa, kisha nije niibuke siku 10 baada ya tarehe ya malipo tuliyokubaliana kimaandishi kupita ndio nijitokeze kulilipa deni langu, unaamini kabisa nitakuwa sikuvunja makubaliano ya mkataba wetu????? Yani umcheleweshee mtu pesa yake kwa siku 10, kisha uamini hukufanya kosa??? Na kwenye utetezi wenu mnadai mko ndani ya sheria kwa kuwa hamkukumbushwa??
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 ай бұрын
@@chillogeorge1383 ndugu mnunuzi Ana sheria inamlinda... Ameweka Nia ya biashara kwa kutanguliza malipo ya awali hivyo mabadiliko yoyote katika biashara alipaswa kutaarifiwa kabla hajamalizia malipo yake... Yaani utoe posa Kisha mke aozeshwe kwa mwingine kwa sababu tarehe uliyoahidi kupeleka mahali ulipata dharula.. Siku umejipanga kupeleka mahali unaambiwa uchumba umekatishwa hukuja Ile tarehe hiyo ni Sawa?.. Huyo wakili ni wa mahakama za mwanzo... Sheria kuu haiko hivyo mdeni hupewa muda kwa sababu kaonyesha Nia kutanguliza malipo ya awali hiyo ndiyo sheria... Biashara husitishwa pale mdeni hana namna kabisa kulipa deni.. Mdaiwa Ana sheria inamlinda siyo ukamkulupukia tu
@NorbertusNyamuga
@NorbertusNyamuga 2 ай бұрын
.5 à​@@chillogeorge1383
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l 2 ай бұрын
Mjomba usitetee upuuzi kisa mapnzi yako kwa Simba.....Wakili yupo sahihi, na ukitaka kuamini kwamba Simba wamefanya magumashi angalia hata utambulisho wa Simba wamemtabulisha pasina kumvalisha jezi yao na wanahofia kuadhibiwa na FIFA kitu ambacho w
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 2 ай бұрын
@@rexgodwill7353 Sheria ya FIFA haiwezi kuwa juu ya makubaliano yenu binafsi. Kama mlikubaliana wenyewe muda wa kumaliza deni, na muda huo ukapita unataka FIFA wakulinde kwenye lipi???? Sheria zipo kuweka muongozo pale ambapo hakuna makubaliano, lkn kama mlikubaliana wenyewe, hapo yataangaliwa makaratasi yenu mliyotia saini yameandikwa nini. Coastal Union, walijifunza makosa yao kwenye mkataba wa Mwamnyeto kwenda Yanga, jinsi walivyocheleweshewa pesa yao, ndio wakaweka hilo sharti keenye mkataba wa mauzo wa LAWI. Pia tambua, ikiwa ulitoa mahari na mkakubaliana muda wa kumalizia mahari, muda huo ukipita bila kumaliza kutoa mahari hio, hata kama ulidharurika, NDIO, hapo utakuwa umepoteza mchumba. Unachostahili hapo ni kurudishiwa mahari yako ya awali tu. Na endapo pia kama mlikubaliana kuwa ikitokea utashindwa kumaliza kwa wakati hata mahari yako uliyotanguliza haitarejeshwa, basi nayo haitarejeshwa keeli.
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 2 ай бұрын
Yaani hapa kwenye clab yetu bado kuna upuuzi Sijui ujinga huu utaisha lini, ikiwa mchezaji umempenda na mkakubaliana malipo kwanini ucheleweshe hayo malipo haliyakua mshakubaliana? Yaani Bado na mashaka ya uwozo huu ukaendelea
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 2 ай бұрын
Hela alizochukua mchezaji nazo zimeexpire
@user-yk8cf9fv7m
@user-yk8cf9fv7m 2 ай бұрын
Walishachukua kishika uchumba wameanzaje kuuza ❤kwingine Tena !?
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 Ай бұрын
Simba Hilo sakata mbona walishamaliza! Nyie mpo Tanzania kweli!
@azizaj776
@azizaj776 2 ай бұрын
Lini zilirudishawa je Costal Union waliitairifu Simba kuwa baada ya Siku ngapi zaidi inawapa Simba kumalizi malipo ??? Kama sheria inavyofai ??????
@januarysungura8119
@januarysungura8119 2 ай бұрын
Kwani ninyi coast kama mnajiamini si mumuze huko mnakoona ni sawa ili tuone uanaume wenu unapoishia
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 2 ай бұрын
Tumechoka kusikia habari za Lawi simba piga chini huyo lawi
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 2 ай бұрын
wakili msomi,Angalia vifungu vya Fifa je Coastal waliwahi kutoa Notice ya siku kumi kuwahimiza Simba kuhusu malipo?
@charleslinhege690
@charleslinhege690 2 ай бұрын
Simba Bado wanarudia makosa hawajifunzi yalishawatokea wakamkosa Mwamnyeto, Sopu, Mlemeta wengine wengine tu na hata walinyang'anywa ubingwa miaka ya nyuma Kwa mambo kama haya. Huwa wanatabia ya kuchelewa kutokamilisha ama kufanya mambo nusu nusu
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 2 ай бұрын
wew nawe mjinga tu mwamunyeto nini saizi ni vitu vingine wew bwege la yanga
@SwaleheHaji
@SwaleheHaji 2 ай бұрын
Wewe wakiri wa kuku
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Wakili maandazi kweli. Mkataba ndio uthibitisho wa kitu chochote sio fedha. Ama kweli tuna wadomi viraza the😂😂😂😂
@FATEHENYANGASA
@FATEHENYANGASA 2 ай бұрын
Nyie endeleeni kubishana na sakata la lawi hatimae usajili unaisha hamjafanya lolote la maana
@musamsangi1610
@musamsangi1610 Ай бұрын
Mkataba inasemaje kama ukishindwa kulipwa unakuwaje
@195941233
@195941233 2 ай бұрын
Huyo mwanasheria ametoa mawazo yake. Angeeleza kwa muktadha wa Sheria za FIFA.
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y 2 ай бұрын
Hivi ni wakili au mlevi?
@KakeSimba
@KakeSimba 2 ай бұрын
Mlevituhuyi
@muddsaid-kn2dq
@muddsaid-kn2dq 2 ай бұрын
wewe mwanasheria ni mchochezi sana kama wanasheria ninyie basi roma haja kosea
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 2 ай бұрын
Huyo Alikomwe sio wakili
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 2 ай бұрын
Mavi mavi
@user-rw7ww2yd7i
@user-rw7ww2yd7i 2 ай бұрын
Mwanasheria wa mchongo
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 2 ай бұрын
Simba waachane na Lameck Lawi maana wapo wachezaji wengi na wazuri kulilo hata huyo Lawi
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 2 ай бұрын
Uko sahihi tafuta mchezaji mwingine achana na lameki
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 2 ай бұрын
Uko sahihi Eliasi tutapoteza muda wa usajili kwa ability ya Lameki. Ujinga ulioje mbona atawahi kuchuja
@user-mj6nu4np5j
@user-mj6nu4np5j 2 ай бұрын
Huenda Mungu katuepushia mateso Akija Simba Kiwango Kitakua Kibovu mwachenii
@Mteza-oc8zd
@Mteza-oc8zd 2 ай бұрын
Siwamuache kwan yy nani fanyani mengine lawi muachen
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 2 ай бұрын
Mtoa post ujielewiii Simba hatu Ng,ang,aniiii mchezajiii kusti sio wastarabu tamaa yapesa hiyo
@alphoncenyanda4699
@alphoncenyanda4699 2 ай бұрын
Wakili hewa unaweza ukakuta hata mhuri hana
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Hakuna maombi hapo hayo
@makamelila
@makamelila 2 ай бұрын
Hamna llolote kama ndiohivo mbona kunawatu mabingwa lakini hawakuwalipa wachezaji Hadi Leo hamjaobgea wanasheria wausenge nyie
@ExpeditusMpulu
@ExpeditusMpulu 2 ай бұрын
Wakili uchwara😂😂
@AdamGerson-hz2gs
@AdamGerson-hz2gs 2 ай бұрын
Huyo wakilihatujamuelewa
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 ай бұрын
Haeleweki kweli... Yaani mteja kaonyesha Nia mmekaa mezani na malipo ya awali umepokea Kisha unavunja biashara bila taarifa yeyote.. Huu ni uhuni
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 2 ай бұрын
MO DEWJI NA MAGORI NI WALEWALE
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 2 ай бұрын
Wewe mjinga nini acha dharau jingaa tunajua tff wapo kost kibao acheeeni ujingaa wenu
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 2 ай бұрын
Wakili huyu sio msomi , je walikubaliana mwisho wa ofa? Au unaongea ki ushabiki?
@ShaabanRamadhanKombo
@ShaabanRamadhanKombo 2 ай бұрын
GSM
@nadulabudodi1816
@nadulabudodi1816 2 ай бұрын
Mwanasheria wa mchongo, hata haelewi anachoongea tunawajuwa wwasafi na. Secret agenda ngoja tuone Muda utaongea
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 2 ай бұрын
Weer mwanasheria wakost au naniiii panya wewe
@makoyemaperah3067
@makoyemaperah3067 2 ай бұрын
Mbo
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 ай бұрын
Hao watu wa fedha ni wazushi ndio unasema Kuna waswahiri
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 2 ай бұрын
Kama Simba wamerudishiwa fedha, waachane Lawi
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 19 МЛН
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01
DOCTOR MO AFICHUA CHAMA KUONDOKA SIMBA/ YANGA WAMEPANGA KUTUKOMOA TU"
13:28
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН