Hayo mambo yatatuletea vita wallahi nawaambia silaha mavitu ya kulevya mungu atusimamie tz yetu
@dennismadundounyamasanahom8435 Жыл бұрын
Hawa tuwe tunawachapa na viboko
@HeavyrainKuresoi-ke9df Жыл бұрын
Ccm ni ccm tu, mmeruhusiwa kila mtu ale urefu wa kamba yake, ila kwa sasa mmekata hata kamba zenu, mnakula kila kitu,,,
@fredyambrose7562 Жыл бұрын
Ukiisikiliza kw makini utagundua kuwa mwekezaji Hana Nia njema na mkataba huu kwenye kipengele Cha Sheria ya mkataba mama ambayo itatumika kutengeneza mkataba ndogo ndogo za kibiashara za magati, pili mwenyekit hajabainisha mda wa ukomo wa mkataba mama wakt huohuo mwenyekiti anamdifendi ukomo utakuwa kwenye mikataba midogo za magati na si mkataba mama maana yake ni kwamba serekali na Dp wanamalizana kwenye Sheria mama na kisha anapewa bandari na serikali haitampangia Nini cha kufanya nani kupewa Gati Gani? Na hiki ndo kilio Cha watanzania kuhofia kuwa bndari ambayo ndo urithi pekee ya kuaminik inaondoka, tatu changamoto nyingine IPO kwnye Sheria ya iliyotumika kuandika mkataba wakati Tanzania ni inchi kamili yenye sheria zake Sasa kwanini uchugue kutumia Sheria za afrika kusini? Ukakas nyingine ni mahala pa kukaa kufanya mikataba hizo ni dharau na Kuna usiri mkubwa, bandari Iko DAr kwanini watafute mahali pa kukubaliama mkataba, mwisho ombi langu kwa viongozi mngesitisha Kwa mda ili mtoe fursa kwa wadau mbalimbali wapate nafasi ya kuchakata mkataba wote kwa ujumla Ili kwepo na maridhiano kamili kwa sababu mikataba mingi imeeingiza taifa kwenye majanga makubwa ya rushwa na kudhoofisha uchumi wetu tumeshudia Mali zetu kama ndege zikikamatwa Canada na Africa kusini kwa sababu ya kuingia kwenye mikataba isiyo kuwa na tija, lakini pia nihoji, ni sahihi kubinafsisha kila kitu tena kwa wageni? Tena maeneo nyeti kama bandari? Kweli serekl imeshindwa kuwasimia watendaji wafanye kazi Kwa tija? Ivi ni lini watanzania tutaleta maendeleo katika inchi yetu? Na kwanin serekali isinunue mashine hizo za upakuzi wa mzigo Ili kuongeza Kasi ya utendaji wa bandari? Mwisho Sina elimu ya bandari lakini Nina uwezo was kusimamia kazi ikawa na ubora unaopendekezwa hivyo basi Mama Samia raisi wetu naomba unipe kazi ya mtendaji mkuu wa TPA naamini nitafanya kazi kwa ufanisi mkubwa ' nwasilisha
@yusuphuchubwa Жыл бұрын
Hii nchi imesha kufatuu hakuna lolote tumesha zoea tule tushibe basi mkitaka uzeni kabisa.
@HermanSasuri-tu6we Жыл бұрын
Unashukuru Mungu kwa sababu umepewa hiyo kazi ,lakini pia Mshukuru Mungu ili mambo yaende vizuri ili tusije rudi kukuuliza na ukose majibu
@jamesjkatimbo5549 Жыл бұрын
Kumbuka kua Mungu anatusimamia
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Hakika serekali yetu iko makini sana , ikiongozwa na mheshiwa Rais wetu mpendwa MAMA SAMIA SULUHU HASANI, HAPA KAZI TU, KAZI IENDELEEEEE, Naunga mkono hoja .
@suzanamushi4567 Жыл бұрын
Daaah jaman , Kwani watanzania tumemkosea nini Mungu
@kibundapesamadimba6352 Жыл бұрын
Huyu ndio katuuuza anahisi yeye anaelewa sana kuliko wengine
@ysonbclassictv7118 Жыл бұрын
Jinga kweli 😢😢
@josephpaschalymanyassa Жыл бұрын
shida mnapenda mle nyinyi tu na familia zenu
@abdaziz1876 Жыл бұрын
Wee sasa hivi unakula bandarini?
@GairoGairo-d8x Жыл бұрын
Sio Mungu aliyekupa nafasi ya kuingia mkataba mbovu
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Magufuli alisema kichaa pekeyake anaweza kusaini
@franciskayombo4656 Жыл бұрын
Ukikosea Kama binadamu ukisema tukuwie radhi utakuwa umetufilisi mno lkn unapongangania kulinda hoja kwa maelezo wakati watu wanataka kujuwa vitu vichache. ( Ukomo) (faida)(kwanini dar na sio zote)
@gracethomas4621 Жыл бұрын
Unatakiwa kujiuzuru maana umeshindwa kutetea ardhi ya Tz yahani tumeuzwa watanzania 😢😢😢😢😢
@bobdutchbobdutch8443 Жыл бұрын
Mwana Sheri's wa Tanzania, unachagua Africa ya kusini unafikiri utasaidiwa aujui kama wa south Africa wenyewe wameshindwa kupigaia Mari ya Asiri Yao , shame 😮😮😮😮😮😮😮😂😂😂😂😂
@estheryamat6121 Жыл бұрын
Haya maelezo kwa nini hatukupewa kabla ya kuupeleka bungeni na kuzua taharuki? Don't take Watanzania for granted . Elimu ya kweli bado inahitajika sana tu kwa amani yetu.
@hijazhija316 Жыл бұрын
Ulishapewa mangapi na waliopita..mbona hukupaza sauti ndugu mzalendo
@ototek8037 Жыл бұрын
Jamani kama mwenyekiti mwenyewe ndo huyu watanzania tumekwisha, hili zezeta halina maono wala mitazamo ya kesho
@abdulkareemchacha2625 Жыл бұрын
Greatest...... binafsi nimekuelewa sana
@captainlii2351 Жыл бұрын
Wenye elimu washaelewa juu ya hili Jambo tunaomba muendelee kutupa taarifa nyengine zinazoendelea kuhusu huu ufafanuzi wa mkataba kupitia huyu mwanasheria.
@abednego3876 Жыл бұрын
Taarifa haisaidii mkataba ushasaiiniwa Mlango wako upo wazi laa tayr kwa taifa kufanywa lolote
@josephpaschalymanyassa Жыл бұрын
unajua dhumuni lenu mnataka wananchi kuandamana mpuuz anaeelezea et walipitisha
@petromwakyalabag9484 Жыл бұрын
Unamanisha huyo mwekezaji mumempa kila sehemu wasomi wa kwenye makalatasi ni hatari sana umesoma tu utendaji sifuri mwenye akili huwezi kumpa mgeni amiliki lango la nchi ni wenda wazimu hatujielewi Tanzania 🇹🇿
@enziaboud Жыл бұрын
Mimi Oscar and hoja zetu atuhutaki huo mkataba muhimu elewa hoja za wanachi kuhusu mkataba.
@husseinmaula4965 Жыл бұрын
Vua miwani tukuone vizuri
@kiatu Жыл бұрын
Hivi kuna nakala ngapi za huo mkataba? Lissu anayo ya kwake, Mdee na ya kwake, Tulia ya kwake, Waziri ya kwake, Musukuma pia ya kwake oh 😮
@chadogsichela3528 Жыл бұрын
Ndio tujue umuimu wakatiba mpya lazma tuandamane watanzania viongoz wachache wanauza nchii
@icclcharters3389 Жыл бұрын
kivumbi leo
@talibomar7954 Жыл бұрын
Huyu jamaa nimuongo ingekua hivyo magu angesema ukweli
@solanuskomba82 Жыл бұрын
Hamna mwanasheria hapa...nyie acheni siasa hakuna mtanzania mbumbumbu...unaongelea Dar tu mbona huongelei sehem zingine...
@malackedson7706Ай бұрын
Hada ayibu halina
@zachariahariohay359 Жыл бұрын
Hamna kitu hapa
@mangashajunior242 Жыл бұрын
Balaa kubwa aisee...
@rizickdaniely7133 Жыл бұрын
mbwa wew
@mimiraia2531 Жыл бұрын
Wewe Unaongea bandari moja tu ya Dar es Salaam, wakati mumewapatia bandari zoooottteeeee za nchi hii. Mbona unatudanganya!!!
@omaryjuma6945 Жыл бұрын
Huyu siyo mwanasheliya kapangwa Ili atuamishe utopolo jaman naomba kama itawezekana tuandamane Hadi ikulu
@hijazhija316 Жыл бұрын
Una familia?
@walidmgonja3644 Жыл бұрын
Andamana kaka wala usitafute sympath kama unkiamini unachokifanya
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Mna uzoefu wa kudanganya hatuwaamini kabisa
@MsodokiSokoine-k2x Жыл бұрын
Dar baba magufuli tutakukumbuka daima Tanzanian inapotea mmmh
@francohaule-ci7ii Жыл бұрын
Ndugai alisema nini kuhusu nchi
@mohamedally121 Жыл бұрын
Ila bongo waparamiaji wapo wengi mnoo
@Nyamko-christmas Жыл бұрын
Yani mtu anaeongea akatumia "labda" ila hakuna uzalendo katika hili kati ya mwenye nyumba na moangaji nani anatoa mkataba inakuwaje bandari yetu sisi mkataba watoe wao maana yake wao ndio wametengeneza mkataba kujilinda wao ni kitu rahisi bandari itagusa maisha yetu WaTanzania kwakiasi kikubwa.
@lionamangole7686 Жыл бұрын
Tatizo hamjui kuna maneno na matendo. Hata richmond iliidhinishwa kwa malengo mazuri lakini kwenye utekerezaji ndio kuna sirikali.
@FIFO28 Жыл бұрын
Kwahyo huyu na akili zake anataka kumtupia zigo Rais Magufuli kama muasisi wa hili... jaman... hii dunia inaenda kasi sana... wanauza tu nchi for nothing
@ramadhankibadeni Жыл бұрын
Sikuwahi kuwa na mashaka na elimu yako wala ushauri wako kwa taifa lako, ni mtu unaemuogopa mungu siku moja wanaokudhihaki leo watakupongeza.
@kanyamageorge7015 Жыл бұрын
Loading and offloading (Loading and unloading)
@danielmushi8065 Жыл бұрын
Uyu maku simuelewi kabisa Hamna point anongea
@ahmadifataha6677 Жыл бұрын
Hivi kwa nini munakuwa waongo wakati vitu vipo wazi
@benny4345 Жыл бұрын
Kumbe ni kukodisha tena!🤔🤔🤔🤔
@yassinhamza1969 Жыл бұрын
Kama wanaoishaur serikali ndio hawa hakuna elimu hapo kabeba miwani tu
@eliapendakileo5151 Жыл бұрын
Kwa vyovyote Hilo haliko sawa Kila mwenye nguvu alinusuru taifa tumekuwa tukishuhudia mikataba ya majuto tuu Kila Mara na sasa bandari ndio uhai wa taifa inakodisha Tena kwa mfanyabiashara.
@chumizola1847 Жыл бұрын
Yupo wapi Prof Kabudi?😢
@NilhamJafaryАй бұрын
1:19
@jamesjkatimbo5549 Жыл бұрын
Mmmh
@smartlevelaluminiumglass7871 Жыл бұрын
Acheni blaa blaa mtaje bas na faida ya pesa ngapi tutapokea kutoka kwa DP WORLD na ni kwa mda gan?
@abednego3876 Жыл бұрын
Aardhi ya TANGANYIKA italaani kizazi chako na watoto wako na wajukuu zako . msomi mavi ww Alaf anaongea kwa kutokujali na dharau
@birianination7097 Жыл бұрын
Wewe maarifa huna, pole wakutegemeao
@abednego3876 Жыл бұрын
Ww mwenye maarifa ndo ngombe huyo mwezio hapo anamaarifa kuliko ww ila kauza Nchi na usalama wa raia
@abednego3876 Жыл бұрын
Ww unampa mtu bandar akipotiaha nyuklia utajua ww Qumaa kwel wewe
@birianination7097 Жыл бұрын
@@abednego3876 hata kuandika hujui, sinahaja yakurumbana nawe.
@sadikykiyago3030 Жыл бұрын
Kokomo ni lini
@gasperandrew3719 Жыл бұрын
R.I.P Magufuli
@Missionary_work Жыл бұрын
Hatuwaelewi, wezi ninyi
@anthonykishiwa5334 Жыл бұрын
Matapeli
@godfreyvedastus4329 Жыл бұрын
Kwahyo mkataba umepitia kwa huyu mwanasheria wa TPA na hakuna kushirikishwa kwa mwanasheria mkuu wa Serikali? There is something behind of Life long contract.
@malackedson7706Ай бұрын
Chawa huyuu akili iko tumboni
@francohaule-ci7ii Жыл бұрын
Mwongo
@GairoGairo-d8x Жыл бұрын
Weredi gani acha upotoshaji hatutaki ubabaishaji
@mndambokilavo2502 Жыл бұрын
Mi nasubir nione wasiwasi wangu ni mtu amechimba bahari kina 15m ameweka maroboti ya kushusha makontena amepanua sehemu za kuweka makontena halafu kirahisi una mwambia mkataba umeisha mda
@masanjanyanda9775 Жыл бұрын
Mwanasheria huyu ni fake ni bora ukiri tu mlichemka sn mkataba uko wazi ila kelele za watu ndio zimefanya uongee utopolo, pole pole alisema wahuni wapo tuwakatae ni sawa na huyu naye mhuni jpm hata Kama aliazisha mchakato lkn hakusemi wafanye kama walivyofanya huu ni uhuni
@patrickmhebela649 Жыл бұрын
Nmejikuta naduwaa kusikia et mnada wa bandari yetu wataufanyia south Africa wakina ruto naomba walikwe kuona inavyouzwa nyumba yetu
@winniefridamutakyawa5943 Жыл бұрын
Kwakuwa hayupo. Ujiuxuru
@enziaboud Жыл бұрын
HOA ndiyo miongoni mwa wezi wa taifa letu.
@HeavyrainKuresoi-ke9df Жыл бұрын
Shida ni nini mkiweka hayo makubaliano yawe na period,,,? Halafu yafanyiwe renewing,,,,?
@frankcharles5299 Жыл бұрын
Hii issue ni kama mwalimu wa Physics akiwa anafundisha wanafunzi ambao mchepuo wao ni Kiswahili. Jamani kila kitu ni Profession kwahayo sio kila kitu mnajua watanzania wenzangu. Kama mtu anajua vizuri mikataba na sheria kwa wakati mmoja nafikiri mtamuaelewa mwanasheria. Please leave this to Contracts professionals there is no way wewe profession yako ni Ualimu (kwa mfano... msiniue hapa) na hauna experience na mikataba tena mikubwa ukaanza kubishia hii issue. Pia hata wakisaini huo mkataba wanaosema haiwezekani ukawa chini ya miaka 15 kwasababu mtu analeta pesa zake kuwekeza ambazo nyie hata miaka 10 hamuwezi zifikisha harafu mumfukuze mapema. Kwahayo tegemeeni miaka 20+ kama sivyo hatawekeza mitambao anayotaka na ufanisi unaotakiwa hautafikiwa.
@GONGALIFESTYLE Жыл бұрын
Kapangwa lakini Hana point, Rais ilibidi atoe ufafanuzi sababu yeye anausika siyo huyu mwanasheria hanaonekana hajui chochote
@hijazhija316 Жыл бұрын
Pumzika
@mabalanyerere1541 Жыл бұрын
Wewe taperi sana
@malalengunda6582 Жыл бұрын
Huko kuanza ya KWAKE ndio hayo???
@PaulAnord-rt1tg Жыл бұрын
Dah iv jaman huyu jamaa mna muelewa kwer
@DOUBLE_G_DA_BST Жыл бұрын
Duuh yani ni kama vile anarudia matapishi, nmejaribu kumuelew ila nimeshindwa, tatzo liko pale pale tunataka tujue mkataba una muda gani kwasababu wao wenyew watuambia hatuna mamlaka ya kuvunja mkataba, mmeona walivyotufunga? Alaf hawa viongoz wetu wanaleta siasa wanataka kutuuza kama kipindi kile cha machifu kwa kusign mikataba bila kuelewa au wanataka kujifanya kwamba wanaelew zaidi kuliko kilichoandikwa kweny mkataba
@nathanlusulo-po2lj Жыл бұрын
Kama una watoto unawaandalia mazingira ya kuwa watumwa kwa baadae muwe mnaangalia na watu wa kufunga nao mkataba
@benjamachimo6424 Жыл бұрын
Kumbe na amani amempa watanzania tunabaki na nn
@shamsahaji6202 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@success-only Жыл бұрын
Huyu NI muongo , ana mahali anachengachenga na kusema ujanja ujanja Asingefaa kwenye shughuli hii NYETI ya kitaifa, Uwekezaji huu haufai mwaarabu sio MTU mzuri hata siku Moja hawezi kuwa na Nia njema na mtanzania, Mama yetu anaukaribisha biashara ya utumwa
@bwizzyunbwagable389 Жыл бұрын
anatetea ugali wake huyu hana facts sisi sio maboya
@emanuelleopod3949 Жыл бұрын
Pua pua pua pua pua hamna akiliiiiiiiiiii mamae
@DigitalAdds-m9m Жыл бұрын
Mkataba unasema hauvunjiki hata akifanya material breach, huyu anathema akifanya material breach wataweza kusitisha, sijui anatomy mkataba gani?😂
@daudimzee Жыл бұрын
Ninaomba namba ya msemaji nasi tuogee niko kijijini
@juneidothman1433 Жыл бұрын
kwa ufupi bandari imeuzwa!
@francohaule-ci7ii Жыл бұрын
Uzalendo Gani huu ambao Hauna kikomo
@omaryjuma6945 Жыл бұрын
Huyu nimwanasheliya feliyaz Tena hafai akiliyake nisawa sawa nakichaa acha ujinga
@lucasnelson7822 Жыл бұрын
Mwongo huyu wanatafuta pakujificha anasingizia awamu ya 5
@ofreyking5975 Жыл бұрын
Huyu hamna kitu yan ingekua kipindi cha nyerere angepgwa vboko 12
@abubakarimussa9131 Жыл бұрын
Pumbavu mkubwa unatutia shimoni kwa kusudi
@GodfreyEdmund-gv3zi Жыл бұрын
Loliondo ,
@abubakarharuna6712 Жыл бұрын
😂😂😂
@josephmwangita7041 Жыл бұрын
Uksikia inji imeuzwa ndo iv bandar ndo lango la taifa mwisho linabinafusishwa jeshi inji yetu bei ya vtu
@mussaelisha3733 Жыл бұрын
Eleweka .
@kabayajoshua9768 Жыл бұрын
Ivi kwanini asiwasomee wananchi namna ya hilo azimio la makubaliano lilivyo endeshwa atafsiri kwa lugha yetu ili kila mtanzania hata yule ambaye hajasoma kingereza aweze kuelewa kuhusu mkataba huo.pia anaongea kwa kutumia mashauri yake mkataba wenyewe upo wapi ili uwasomee watu na kufafanua ili watu tukuelewe vema.hapo ni janja janja tu,mmesaini mkataba nyie leo unasema mchakato huo umeanza awamu5 au sijaelewa mimi? Watanzania hatujaridhika naman makubaliano ya mkataba yanavyo endeshwa tunaomba msitishe kwanza huo mwendelezo hadi hapo tutakapo jirifhisha. Tu waulize mmeshindwa kusimamia bandari zetu?
@mwalimukoba123 Жыл бұрын
Mngese
@amanijampion3045 Жыл бұрын
Sasa kiutaalam unaitwaje huu mkataba? Maana kiswahili na chenyewe ni kikwazo
@GairoGairo-d8x Жыл бұрын
Utuambie watanzania umepewa tsh kupitisha mkataba mbovu huu ingekuwa ni mkataba wakuhisu kubinafsisha mali zako binafsi tusingehitaji maelezo youote
@GairoGairo-d8x Жыл бұрын
Wewe mwanasheria kama na wewe umesubutu kuuza bandari zetu hatutaki kukuona
@YekoniaKusiluka-jt2ju Жыл бұрын
Kichaaa huyu
@tubeminamiwa Жыл бұрын
aha
@brayanmichael6009 Жыл бұрын
Mmeuza nchi yetu kwa maslahi yenu mbwa nyie, huyo msukuma mkosa elimu anasema alienda dubai hakuona mtu yeyote bandarini zaidi ya mashine, leo mnasema ajira zitaongezeka huo ni ujinga, mshapewa chenu mbwa nyie
@EmmanuelGregory-h3b Жыл бұрын
Mpuuzi mkubwa hauna hata aibu we na mama mtauza hata utu wetu
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Hapa bado watanzania huja wajibu Maswali yao unagusagusa tu