Mwanaume Epuka Kufanya Mambo Haya Yanakudhalilisha Bila Wewe Kujua - Roy Sarungi

  Рет қаралды 7,982

Hamasika Tv

Hamasika Tv

Күн бұрын

Mwanaume Epuka Kufanya Mambo Haya Yanakudhalilisha Bila Kujua - Roy Sarungi

Пікірлер: 22
@NuruWilson-u8p
@NuruWilson-u8p 2 күн бұрын
Roy nilianza zamani kukusikiliza, una madini, watu kama ninyi ni adimu saana, inspirational speaker wa maana
@EdwardGodfrey-i2j
@EdwardGodfrey-i2j 2 күн бұрын
Haya ni madini asilimia💯💯
@yusufsuwi5350
@yusufsuwi5350 Күн бұрын
True mzee
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 күн бұрын
Leo nimekuelewa kwa kweli mwanaume msipoteze thamani kwa wanawake wasio wenu wapita njia
@stewartmsamila5691
@stewartmsamila5691 2 күн бұрын
yupo sahihhi 100%
@mwarabukabandama3797
@mwarabukabandama3797 Күн бұрын
🔥🔥
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 күн бұрын
100% watu wana simp sana
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 күн бұрын
SASA MWANAUME LIJARI APITE MWANAMKE MZURI BADO UWEZI KUWA SAWA KWA MWANAUME LIJARI
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 Күн бұрын
WEWE NI MWANAMKE UWEZIMUELEZEA MWANAUME
@siwaletv4185
@siwaletv4185 2 күн бұрын
Na wale wanaoitwa makungwi aghalabu hawana wanaume wa ndoa
@siwaletv4185
@siwaletv4185 2 күн бұрын
Kwa uzoefu nilionao watu kama hawa akina ROY hua wanateswa sana na wake zao 😂😂😂😂😂😂
@AliDulla
@AliDulla 2 күн бұрын
😂😂
@MariamObote
@MariamObote Күн бұрын
😂😂😂😂 afu uyu mzee anaonekana anateseka kweny ndoa
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 Күн бұрын
​@@MariamOboteWw unaongea kwa hisia una assume ila huna utaalam chukua madini basi
@MariamObote
@MariamObote Күн бұрын
@@edwardtrigga5701 yachukue wewe, mimi sina shida nayo😁😁
@mwarabukabandama3797
@mwarabukabandama3797 Күн бұрын
😂😂
@DulaMaslow
@DulaMaslow 2 күн бұрын
Wanaume tuna majukumu yaani tunakula kwa jasho kisha tuna jukumu la kumchunga na kumsimamia mwanamke 😋
@sebastianorossy7284
@sebastianorossy7284 2 күн бұрын
True man
@sebastianorossy7284
@sebastianorossy7284 2 күн бұрын
True man
@RAYMONDMALIWANGA-e4s
@RAYMONDMALIWANGA-e4s 2 күн бұрын
CNN
HAKUNA MAFANIKIO BILA KAFARA
16:17
WACHOKONOZI
Рет қаралды 29 М.
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
Utajiri Upo Kwenye Akili Yako Na Ujuzi Wako - Misana Manyama
10:02
Hamasika Tv
Рет қаралды 3,7 М.
MASWALI YA MUHIMU KWENYE MAISHA | ASKOFU GWAJIMA
10:22
Antary Muddy Rwegoshora
Рет қаралды 2,2 М.
MAFANIKIO HUJA KWA BARAKA ZA WAZAZI
22:05
Issa Tz
Рет қаралды 3,7 М.
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН