Madhabahu y’a Jesus Winner Ministry HQ Favour be upon me and my family all the days of my life.
@PeterKimani-nn5er11 ай бұрын
Naomba neema ya JWM iwe juu yangu nipate kibali kwa kazi ya biashara na financial breakthrough
@CelebVibe01 Жыл бұрын
AMINA. Wakristo tunahitaji Favour Ya Mungu na inapatikana mahali kuna Utukufu Wa Mungu. Tunahitaji Kibali Cha Mungu.Ukipata kibali maisha yako hayatakuwa ya kawaida. Ukipata kibali cha Mungu hauhitaji kujiuza. Ukikubalika Machoni Mwa Mungu hata machoni mwa watu utakubalika. Ukiwa na favor Ya Mungu wewe ndiye utakuwa unavuta watu na watu watajileta wenyewe. Lazima kwanza utafute Uso Wa Mungu, uwachane na mambo ya dunia ukaribie Mungu na uzishike Sheria Zake, nayo hapo utakuwa mwenye hekima.Njia Za Mungu ni njia za utakatifu. Kukaa katika Mlango Wa Jehovah. Kungojea Mungu hapo ndipo utaanza kupata Kibali Cha Mungu. Baraka zitaanza kukuja zenyewe.
@CelebVibe01 Жыл бұрын
AMINA. Wakristo kuna maadui wanatutafuta usiku na mchana, wanangojea tuishe, watucheke lakini kwa sababu ya Favour of God hawatatuweza. Kabla watuangamize Mungu Atakuja. Kama Mungu wa JWM Ameongea nobody can stop!! Hata mawimbi yakija Mungu Atayasimamisha. Ingawa tunaonekana bure Mungu Anabadilisha hiyo hali na nyumba zetu zitabarikiwa kwa ajili yetu. Hata kama utapitia kwa moto shikilia maono na utachomoka. Shika maono, usikufe bila kubarikiwa. Mungu Akikupatia Kibali lazima utabarikiwa. Tunapata favour ya JWM na maisha yatabadilika.Tusimuache Huyu Jehovah! Kuna mambo yatasimamishwa sisi tukienda kubarikiwa, kuinuliwa na kupokea kibali.
@js9292 Жыл бұрын
My spiritual dad I'm grateful to b a member of Jwm roysabu
@JEDIDAHWANGUI-s7m4 ай бұрын
Favour of God is found where is grace
@AgustinoMdeke7 күн бұрын
Amina 👏👏👏🇹🇿
@felisternyagah500110 ай бұрын
Naomba kibali cha haya madhbabu kila siku ya maisha yangu. It is a favor that is unusual. Mtoto wa daddy
@gladysnjeri4299 Жыл бұрын
Lord grant me your favour,ipray
@RotherhamRoth-sm4zb7 ай бұрын
Amen amen 🎉
@christinenguli425011 ай бұрын
Naomba Kibaki cha Mungu
@PeterKimani-nn5er11 ай бұрын
Naomba kibali ya Mungu, nipate kazi na kibali ya financial breakthrough nimjengee Jehovah
@frasiahfavour8255 Жыл бұрын
Amen naomba favour
@fionak952510 ай бұрын
We as kikuyu Jesus wener we love u
@evanchuru913710 ай бұрын
Altar of Jehovah God
@annltendiritu8639 Жыл бұрын
Amen 🙏 amen groly be to God I resived the favor of God
@hellenwanjiru3814 Жыл бұрын
Amen....The grace of God🙌
@Sherry-me Жыл бұрын
My God,please Grant me your favour 🙏
@kibz004 Жыл бұрын
Amen
@mimujanet4753 Жыл бұрын
Kibali ya Jehova🙌 The favor of the Lord is upon me🙏
@kennedykibuchi2830 Жыл бұрын
Amen,I receive it
@elizabethwangui8384 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@MunduwaNgai Жыл бұрын
Oh God I need your favour much more
@GikombaaBusiness Жыл бұрын
nataka kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
@frasiahfavour8255 Жыл бұрын
😊
@agnesmakena22 Жыл бұрын
God is faithful all the time
@MuchiriMary-dd1yl Жыл бұрын
God may Your favor shine on me
@leahwangare4053 Жыл бұрын
I receive the favor of God
@MercyMugo-qt4vz7 ай бұрын
True❤
@nancymbaire1559 Жыл бұрын
Amen glory be to God
@LilyMuthoni-n1t7 ай бұрын
Neno poa
@virginiamwende6563 Жыл бұрын
Amen...I pray that the grace and favour of God locates me 🙏
@elizabethwangui8384 Жыл бұрын
Nataka kibali
@hellenwanjiru3814 Жыл бұрын
❤
@miriamndungu31268 ай бұрын
Amen 🙏 but huwa sielewi kwanini kila siku nikiamka naona Snail kwa nyumba ndani different colour 🙆 hadi zilimaliza pesa ya chumvi 😳