No video

Mwanza Vs Arusha Tanzania 🇹🇿

  Рет қаралды 2,439

𝐄𝐙𝐌.

𝐄𝐙𝐌.

Күн бұрын

Created by InShot:inshotapp.com/share/youtube.html
FollowMeOnInstagram: / emixalpa
KZbinStudioApp:play.google.com/store/apps/de...
Checkout Some Merchandise :www.redbubble.com/i/top/Blueb...
00:00 Intro
00:04 Mwanza .
03:47 Arusha .
MWANZA
Mwanza is a port city on the shore of Lake Victoria, in northern Tanzania. It's ringed by green hills. They city is known for unusual rock formations like Bismarck Rock, near the Kamanga Ferry Terminal. In the center of town are colonial buildings like the crumbling hilltop Dr. Robert Koch's House. The 1935 Indian Public Library, mosques and Hindu temples reflect Indian influence. The Makoroboi area is full of shops. ― Google
Elevation: 1,140 m
Weather: 27°C, Wind S at 16 km/h, 51%
Humidity weather.com
Population: 2.773 million (2012) United Nations
Area code: 028
ARUSHA
Arusha is a city in East Africa's Tanzania, located at the base of volcanic Mt. Meru. It's a gateway to safari destinations and to Africa's highest peak, 5,895m Mt. Kilimanjaro, lying some 100 kilometers northeast. To the west lies Serengeti National Park, home to wildlife including lions, rhinoceros, giraffes and leopards. Annual migrations feature huge herds of wildebeests crossing its plains. ― Google
Elevation: 1,400 m
City: Arusha City Council
Area code: 027
Weather: 22°C, Wind E at 6 km/h, 67% H
#ArushaVSMwanza#Tanzania#EZM#Africa

Пікірлер: 24
@justinafumbuka9357
@justinafumbuka9357 3 жыл бұрын
Mwanza Bomba wanaarusha kaeni kwa kutulia
@chandenyatto2497
@chandenyatto2497 3 жыл бұрын
Mwanza noma
@universewildlife.7668
@universewildlife.7668 3 жыл бұрын
Great .
@edgarmjanja4318
@edgarmjanja4318 Жыл бұрын
Mwanza nomasaaana
@ezm
@ezm Жыл бұрын
Mwanza noma Wajina wangu Mambo Vp
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Mwanza ni tamu
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Unasumbuka tu mwanza jiji tamu Sana tz nzima na ni jiji linalokua kwa Kasi kuliko jiji lolote tz kwa mujibu wa tafiti za kimataifa mfano utafiti uliofanywa na world economic forum mwanza inazidi dar kwa Kasi ya ukuaji kwa mujibu wa utafiti japo dar kwa Sasa inaizidi mwanza kwa ukubwa lakini miaka michache Mwanza litakuwa jiji zuri sana ni suala la muda tu.
@filbert9138
@filbert9138 2 жыл бұрын
How about Dodoma
@ezm
@ezm 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d4OQeYmOiMx5hZo
@peternassari7634
@peternassari7634 3 жыл бұрын
Video ni ya dakika 5 alafu mwanza mnaonyesha dk 4😂😂😂😂 Nyie watu wa mwanza sijui mtaacha lini kujilinganisha na Arusha
@zacmediatz
@zacmediatz 2 жыл бұрын
Nenda ka shoot video yako uje uweke basi...
@zacmediatz
@zacmediatz 2 жыл бұрын
Lot of slums around arusha city
@calvinb68
@calvinb68 3 жыл бұрын
Arusha iko juu wew💪
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Unasumbuka tu mwanza ni jiji tamu mno ndo jiji linaloongoza kwa ukuaji tz nzima japo dar kwa Sasa ni jiji kubwa Sana zaidi ya mwanza kwa Sasa lakini mwanza inakua Sana Sana subiri SGR Ikamilike ndo utaelewa
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Ipo siku mwanza itaizidi dar kimuingiliano wa biashara subiri ni suala la muda tu
@bahatimwangoka5346
@bahatimwangoka5346 2 жыл бұрын
@@madirishasimon9692 Haitatokea
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 5 ай бұрын
Arusha iko juu ya kichuguu; Mwanza IPO juu ya mlima... Jiulize mwenyewe ni mji gani uko juu zaidi dhidi ya mwingine, huna haja ya kupasua akili yako! Hahaha...
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Si rahisi kushindana na GENEVA OF AFRICA na tena ni Makao makuu ya East Africa na pia ndio mkoa wa kitalii kuliko wowote ule kwa Tanzania na pia ndio kunakotoka madini ambayo hayako kokote duniani TANZANITE. Sijui niendelee au inatosha😄😄.
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 2 жыл бұрын
Acha kukariri mwanza imeipita Arusha kwa Mambo mengi Sana hata mwanza imezungukwa na madini mengi kuliko kawaida
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
@@madirishasimon9692 Hebu toa hoja itakayoeleweka kama nilivyoeleza hoja zangu mimi. Usiseme tu Mwanza imeipita Arusha kwa mengi lakini hujayataja na kuhusu madini nimetaja ya TANZANITE ambayo hakuna dunia nzima isipokuwa ARUSHA. Lakini dhahabu au Almasi au shaba zinapatikana sehemu mbalimbali duniani.
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 2 жыл бұрын
@@jambo3751 Tanzanite ipo manyara wewe sio arusha, mwanza ina advantage kubwa Sana kuliko Arusha kwanza ni center ya afrika mashariki japo makao makuu ya afrika mashariki yapo Arusha pili mwanza inazungukwa na migodi mikubwa kabisa ya madini ya dhahabu mfano GGM ,buzwagi,ulyankulu,tulawaka,nyalugusu,buhemba,nyamongo tarime n.k pia mwanza ina ziwa kubwa kabisa linalounganisha nchi tatu kibiashara, mwanza jiji ina halmashauri mbili lakini Arusha ni moja tu pia mwanza ndo jiji linalokua kwa kasi Tanzania kuliko jiji lolote hapa nchini, mwanza ina idadi kubwa ya watu kuliko Arusha ,pia mwanza ina stendi kubwa kabisa mbili na zote ziko mbali na city center lakini pia mwanza ina airport kubwa kabisa yenye miruko mingi ya ndege kuliko yote Tanzania isipokuwa uwanja wa ndege wa Dar es salaam,mwanza ina viwanda vingi kuliko Arusha japo hapo nahitaji kuzidi kufanya utafiti , mwanza inakwenda kuunganishwa na sgr hivyo itachangamka kuliko miji mingi ikiwemo Arusha , mwanza ina makazi mengi ya kisasa kuliko Arusha japo mitaa ya njiro,uzunguni na sakina ndo iliyoibeba Arusha kwa Sana, mwanza ni ya pili kwa ukubwa wa jiji baada ya Dar ,mwanza najua haina hoteli za kitalii Kama za Arusha lakini nayo mwanza imeanza kuwekeza kwenye beach Kali za kisasa mfano waghil kule malimbe, Rocky beach,malaika beach resort n.k mwanza imechangamka Sana Sana hasa center zake za nje kidogo ya jiji na Kuna kila dalili ya biashara nyingi kuhamia mwanza hasa miundo mbinu yote ikikamilika likiwemo daraja la busisi
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
@@madirishasimon9692 Kumbe TANZANITE haipatikani Arusha? Kwa kweli mimi nilikuwa sijui nilifikiri inatoka huko!! Basi tuitoe hiyo lakini ARUSHA itabaki juu kimataifa na kama unakumbuka hata mahakama ya kimataifa ilioshughulikia kesi za mauaji ya kimbari ya RWANDA ilikuwako hapo. Yaani ARUSHA wee acha tu si ya kushindana nayo kimataifa inajulikana zaidi...halafu haiko mbali na jiji la NAIROBI na pia ni jirani na kilimanjaro. Halafu hali ya hewa ya Arusha kama ya kuleeee.
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 2 жыл бұрын
@@jambo3751 unazungumza kishabiki tu kuwa makao makuu ya mahakama sijui ya afrika sio inshu Sana,dodoma kuwa makao makuu haimanishi ndo imeshaiacha Dar es salaam,wengi hatuijui mwanza vizuri ila kiukweli ukiitembelea maeneo yake mengi utaipenda Sana na Kama wewe ni mgeni basi utatamani kuhamia, mwanza ina njia nyingi za kuingilia na kutokea kwa maana ya njia za nchi kavu,majini na angani na mwanza inakuwa kubwa kila siku, mwanza muda si mrefu itaanza kuwekeza majengo makubwa na mazuri hasa eneo la cbd Hadi kule usagara mpaka fela mpango umeshaanza kutekelezwa ni suala la muda tu,pia mwanza ni katikati ya east africa kuelekea angle zote💪💪💪💪
@daddybenny
@daddybenny 2 ай бұрын
Arusha inatisha kwa uzur labda kama hujafika
MUONEKANO WA SOKO LA MWANA KWEREKWE LILIPO FIKIA
2:57
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 9 М.
COMPARISON BETWEEN KISUMU  🇰🇪 🆚 MWANZA🇹🇿
11:57
Iam_gatie
Рет қаралды 60 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 39 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
7 Largest Cities in Tanzania 2024 (Beautiful Cities)
8:25
African Informant
Рет қаралды 52 М.
Arusha City Tour, Tanzania (Geneva of Africa)
40:28
Godlove M.
Рет қаралды 10 М.
BMG TV: Kazi Inaendelea ujenzi wa Flyover (SGR) Mwanza
2:51
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.
TEMBERA IGISAGARA_Ep1
12:41
ODL TV (Our Daily Lives)
Рет қаралды 1,8 М.
Mwanza Vs Arusha | City Comparison 2022 @ezm
3:32
𝐄𝐙𝐌.
Рет қаралды 797
Exploring the DANGEROUS City of Arusha, Tanzania
15:35
Perfect Afrika
Рет қаралды 4,3 М.
Arusha city, Tanzania 🇹🇿 | 4K Drone Footage
4:57
Ace Travel
Рет қаралды 7 М.