Dular Rudi kwa mganga 😅 juzitu umelia umeibiwa Zai na Manara leo unalia umeibiwa ngoma 😅 #Dula mbwa wee
@lameckverka3 ай бұрын
Dulaa kalale 🎉🎉
@Nasbu-tb6cs3 ай бұрын
Nandy anampa mtu jeuri kiasi hiki😂😂
@auntiemylee31573 ай бұрын
Mwanamke anajiamini😂
@RaymondMuga3 ай бұрын
Kweli pesa inaleta dharau
@laurentraphael54703 ай бұрын
Watoboa mapua wote waabudu mashetani.
@becksamtz98393 ай бұрын
Nenga umezingua 🤣🤣
@rashidrashidmaulid11293 ай бұрын
Nenga nakukubali sana ila sijakuzoea hvo hauna dharau Huwa hujibu hvo hata kama umekosewa but Sio poa ya mungu mengi ujui kesho yako kumdharau mwenzio hvo ila all in all nakukubali sana
@mwanaidimussa3 ай бұрын
Ifike sehem wasimpandee kichwaniii!
@mudibojaffar92693 ай бұрын
Dulla Makabila Nimshamba
@pesaspy_tv3 ай бұрын
Hata jay mo anangoma inaitwa boss kazi
@AminaAlmasi3 ай бұрын
Dulla broo nyimbo yako ata asemenini maana whozu kasibitisha na yy ana sema whozu awe upande wake acha naye ndio maana wana mmegea lakini anajifanya aoni
Wewe unaiba nyimbo yamweziyo maongezi inaonyesha kaka
@irenemndeme75753 ай бұрын
Ifike mahala mtu aachwe aongee ukweli 😅 #siodharau
@issahamisi6743 ай бұрын
Kumbe billnas msenge
@AishaHaji-jn7sg3 ай бұрын
Hata kama dunia duara huyu bill kashajitengenezea njia hategemei Mziki tu anabiashara zake zingine na sidhani kama kajibu kwa dharau yeye Ndo mwenye wimbo anajua nani anafaa kuwepo dulla Angeacha kulalamika sabab angefanya mziki wake tu maisha yaendelee
@user-pf2cf4hp6w3 ай бұрын
Maisha yanabadilika kaka usiseme et kashatengeneza
@swabramohammad44873 ай бұрын
Ni kweli @@user-pf2cf4hp6w
@ramseychobaliko10023 ай бұрын
Nyie ndo wale wale mtu anasema eti wimbo ni mkubwa kuliko makabila Kwa wimbo gan!? Ana uboss gan uyo choko analelewa na nandy mpaka amdharau mtu Ivo .. ni choko kama machoko wengine Tu .. dharau sio kitu ya ku-torelate 😢
@mtazycomedy3 ай бұрын
Wafanye ngoma mpya
@Busagotz3 ай бұрын
Mm ninachojua Dullla yuko sawa na ukitaka kujua yuko sawa angalia billinas anasema ety kuna nyimbo yake kibos bosi shida tamaa Dulla yuko sawa revo ya Dulla na billinas ukiangalia Dulla ndio mkubwa
@gustavompemba17813 ай бұрын
Amka usingizin
@sadickmasilah93813 ай бұрын
nenga Acha janja janja mpe haki yake Dula yaonekana dhahiri kuna konakona nyingi unafanya Acha hizo bro kuna Leo na kesho bro utajiri mkia WA Panya bro.. kuna nyuma geuka bro... Acha kudharau watu
@user-xp4re6tv8l3 ай бұрын
Mabodygud wann ten apo
@NgesengeMasanja3 ай бұрын
Nipimbi kwelii
@OmbeniMnemele3 ай бұрын
Nenga kumbe una roho ya kwanini nilikuwa nakuonaga kama mtu flani kumbe daaaaahh ay bhn sijapenda ulicho mfanyia dulla
@mengikiguruwe67503 ай бұрын
Umasikini wa Dullah ndio umemfanya Billnass amwibie wimbo kwa kumuunganisha Jux, hii sio pouwa huo ni wizi hata Whozu ameshuhudia
@auntiemylee31573 ай бұрын
Kimziki chake n kitu kingine😂😂😂huu wangu n mziki🎉🎉🎉
@abdulymaeda26973 ай бұрын
Para ana zarau sana
@StenoMedia3 ай бұрын
Bill adi hapo ushaonekana weeh mwiziii
@user-xg7eu3vk2p3 ай бұрын
Ww billnass msenge tu una nn kikubwa ww jiso baya
@Annact-tz3 ай бұрын
Wewe una Nini ndugu yetu
@user-mv7km8lt5j3 ай бұрын
Billnass ❤❤
@mtazycomedy3 ай бұрын
Harufu ya jux adi uku
@tomsijohni3 ай бұрын
huyu jamaa anavyo ongea inaonekana ni kweli aliiba huo wimbo kwa sababu ajanyoosha maelezo vizuri ana kwepe maswali et huozo inatakiwa akue upande wangu 😂😂😂 Mimi ni ndugu yake😂😂😂
@user-st9yp8io1t3 ай бұрын
Acha dharau billnass unazingua we msanii kioo Cha jamii acha hizo pigo kuongea shit
@Barrel7tv3 ай бұрын
Kweli idea ya dulla
@user-dz5jc6pp8e3 ай бұрын
KWANZA WAPAMBANISHWE KWA KUAMSHA AKUNA KUKAA WASHABIKI NA UJUMBE DULLAH ANAMKALIA HUYO KING'AST
@daudindahan54373 ай бұрын
Gharama zpo kwenye mfuko WA shati tu
@jastinedaudi-qi9vr3 ай бұрын
We mwiz kuma ww
@peterkanza22073 ай бұрын
Huyu mwizi tu.
@donlinechanell47603 ай бұрын
Sas kwa akil ya kawaida sasa dulla na maboss wanafanana ? 😂😂😂😂😂😂
@ngayaimkwe51753 ай бұрын
ww dulla makabila anatukosha sana kuliko ww
@mwalitv45553 ай бұрын
Jamaa mswahili kumbee eehh....mshamba
@user-dz5jc6pp8e3 ай бұрын
Bonge la mshamba jeuri ya mwanamke
@auntiemylee31573 ай бұрын
Bila hawa majibu trend itaendaje😂😂😂bongo bila umbea hamna maisha
@SamweliMwalyungu3 ай бұрын
Kipar a ni msenge unaon umejipt
@djhajiztz3 ай бұрын
Kawimbo kake 😂😂😂
@meshackmbilinyi61963 ай бұрын
Bilnass wewe ni mwizi
@ednapeter83193 ай бұрын
Ushamba unamsumbua nenga 😂😂😂
@michaeljames34803 ай бұрын
anavoongeaa tu Billnass anaonekana muongo😢
@bensonpeter46923 ай бұрын
Ila #Bodygurds wetu bhana.,eti nawao wanavaa S.W.A.T kabisa😂😂.,kwa Special Weapons gani sasa???
@ibrahimkalimbaga13753 ай бұрын
Point ni idea ni yake au sio ameongea maneno mengi ya kijinga