Рет қаралды 438
Ack St John Migori Choir
Mwanzo wa Safari ni Wimbo wa Vol.1 ya Kwaya yetu unazungumzia jinsi Watu wanavyoweza kuanzia nawe vizuri baadaye wakakugeuka, unazungumzia safari ya Bwana Yesu pia ya kusalitiwa,kukanwa na hatimaye kusulubiwa.