MWEKEZAJI MZUNGU AZUIWA na ASKARI KUINGIA KWENYE SHAMBA LAKE MOSHI AKIWA na KIBALI cha MAHAKAMA...

  Рет қаралды 29,164

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@globaltv_online
@globaltv_online 8 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@robertkimaryo7178
@robertkimaryo7178 8 ай бұрын
Hapo kuna mkono wa mtu, huyo jamaa yupo very honest. Kama yupo hapo tokea 1982 tayari ni mzalendo. I stand with him, mpeni haki yake.
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 8 ай бұрын
Inauma sana kumfanyia dhuluma mwekezaji wa Muda mrefu kama huyu😢
@susananyasani6526
@susananyasani6526 8 ай бұрын
Jamani musimwonee Mzungu kama analipa Ushuru wa Nchi na aliajiri Wananchi wengi na kuwapa Elimu ya kazi Biashara ni muhimu kama mwekezaji hutoa Mafunzo ambayo wanahitajika asante
@olaycereuben419
@olaycereuben419 8 ай бұрын
Ugomvi wa wazungu huu kama hujui😂
@MaliusMaliuskagumisa
@MaliusMaliuskagumisa 8 ай бұрын
Mzee mungu akutunze waajiliwa niwengisana akika umetuunga mkono sana mimi naiomba serikali ikusaidie maana selikariyetu imetukuka aiwezi kukupigisha asala ivo kuwampole selikari iende kikanuni na kiutalatibu from tz tukovizuri kuwa naamani mwekezaji wetu tuna kupenda sana sana❤❤❤
@demicratia4071
@demicratia4071 8 ай бұрын
MAKONDA ANAIWEZA HILI TATIZK WHERE ARE YOU MAKONDAAAAA
@richarddavidmk
@richarddavidmk 8 ай бұрын
Mwazir slaaa msaidie huyu mzungu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 8 ай бұрын
Msimfukuze jaman ameajiri wazawa jaribuni kuangalia pande zote 😢😢
@RehemaMtono
@RehemaMtono 8 ай бұрын
Mwachieni mzungu afanye kazi bana
@Chemba67
@Chemba67 8 ай бұрын
Basi hapo usikute kuna washenzi wachache wamekaa pembeni wanasuka wenyewe wanaita mchongo, ni dhuluma, hawajali hao wafanyakazi watanzania wenzao watapoteza kazi, hawajali juhudi za uwekezaji alizofanya huyu bwana tangu siku ya kwanza.
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 8 ай бұрын
Hii nchi ukitaka kuwa tajiri ujipange kwa mengi. Matajiri wanachukiwa sana Yani ni kama vile umasikini wa wananchi wao ndo wanauasababishwa
@aby21111
@aby21111 8 ай бұрын
Brother, take it to the higher level let this case rich to Samia Suluhu. As per guards,fire them and file a protective order against them.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 8 ай бұрын
Huyu Bwana nilikutana naye mwaka 2020 katika AIC mkutano mkuu wa TAHA. Bwana huyu ni mtu mwwnye mano (vission) katika kuweka msukumo wa kukuza kilimo cha mbogamboga, matunda na maua nchini. Huyu ni mwekezaji sahihi katika kukuza maendeleo ya uchumi nchini! Naomba serikali impe support ya kutosha, asidhulumiwe ndoto zake.
@LinusRaymond8
@LinusRaymond8 8 ай бұрын
Hapa tz kumezuka mtindo wa tabia za watu kudhulumu wenzao kwa ujanja wa mfumo wa Mahakama.... Naona Sasa Kuna watu wamekwisha Kufa ila wanatembea...wakiwa hai....Sema Mungu ameweka watetezi Lazima wawepo Ili Wabaya Waibishwe...pia na kutokomezwa kwa ulafi wao....Haki Daima Hekima Sio ulafi wa Pesa Pesa Inataka Discipline....
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 8 ай бұрын
Mlimramba wakati anawekeza pesa zake Leo mnamtema na Mali zake
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 8 ай бұрын
Nchi hii ina ubaguzi wazungu wananyanyaswa sana ila warabu wanajaa kama kwao
@MAGARITanzania
@MAGARITanzania 8 ай бұрын
Wacha roho mbaya ubaguzi kws watu wote haufai ni dhambi
@AhmedZahor
@AhmedZahor 8 ай бұрын
​@@MAGARITanzaniaWacha ujinga Warabu gani walio jaa Tanzania Mukitoka vijijini uko na Ushamba wenu mukiona watu weupi Munahisi wageni na yote Umetaja warabu kwa kua Waislam na wewe mgalatia
@alloycejames5285
@alloycejames5285 8 ай бұрын
Angekuwa na hela angenunua mwenyewe aendelee
@alihussein4303
@alihussein4303 8 ай бұрын
Tanzania Dhulma na utapeli imezidi mnooo Daaahhh
@augustuss4503
@augustuss4503 8 ай бұрын
Tunaogopa hata kuwekeza
@alihussein4303
@alihussein4303 8 ай бұрын
@@augustuss4503Ni kweli kabisa 👍🏿
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 8 ай бұрын
HUYO PATNA WAKE MTANZANIA NI MATAPELI TU....UTAPELI NAMNA HII UNAHARIBU SIFA YA TANZANIA.....MH. RAIS SAMIA MSAIDIENI HUYO MZUNGU.
@Nedjadist
@Nedjadist 8 ай бұрын
Mimi Mzalendo halisi, naema nawasifu sana watu hawa wageni wenye moyo wa kuwekeza Tanzania. Hii nchi ni moja ya nchi za ajabu sana . A lawless country. Miye mwenyewe siwezi kuthubutu kuwekeza huko, labda nikiwa bilionea. Nchi ambayo kila mtendaji ana nguvu za kukufanya chochote...aaakh.
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 8 ай бұрын
Ndio shida ya kuwashare na Watu wenye tamaa Na wasio na IMANI ya biashara
@ShekhahamedMuhsin
@ShekhahamedMuhsin 8 ай бұрын
Mwacheni mzungu wetu aendelea nakazizake mkimpokonya tutakulawapi wanyonge
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 8 ай бұрын
mzee ukirudi ofisini timua wote walinzi washenzi kabisa
@sKITOBO
@sKITOBO 8 ай бұрын
Hahaaaaaa😂😂😂😂😂
@estakapufi7582
@estakapufi7582 8 ай бұрын
Jamani kama analipa ushulu tatizo nini jamani myaka 20 yupo tz leo kunanini ebu selikali wafanya biashara wanaolipa ushuru muwe mnawasimamia kishelia ili waweze kuingiza kipato sio sahihi jamani daa
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 8 ай бұрын
Mzungu wa watu mstaarabu amewastili tu jmn.. Mtu na court order...bado wanamzingua
@zanzibamjimpya17
@zanzibamjimpya17 8 ай бұрын
mwaka mmoja uliyopita alishawahi kupigwa mawe hapo sasa kuna jambo hapo
@toptopress4909
@toptopress4909 8 ай бұрын
Muwaonee huruma hao waajiriwa jamani.Mtaani pagumu
@mwanaidisimoni79
@mwanaidisimoni79 8 ай бұрын
Tz ushenzi tu kawekeze kwenu babu
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 8 ай бұрын
Changamoto kubwa sana
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 8 ай бұрын
Kwanini mnawasumbua wawawekezaji imagine wewe ndiyo umewekeza kwao ungesikiaje Bora msisaini nao mkataba maana ni usumbifu na mkioewa hamuwezi kuendeleza kaeni chini nae namba Gani mtamsaidia anahaki kama wengine
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 8 ай бұрын
Waziri mwenye dhamana ingiapo Kuna shida Huenda watu wachache wanapiga dili hapo
@sss3s867
@sss3s867 8 ай бұрын
SUBIRI MAKONDA AKUJIE HAPO AWAWEKE NA MKUU WA MKOA. UKWELI UTABAINIKA.
@Azikiwe-qi6jd
@Azikiwe-qi6jd 8 ай бұрын
When corruption is at its peak, legal systems paralyzes,
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 8 ай бұрын
Ya Zimbabwe 🇿🇼 tayari Tanzania
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 8 ай бұрын
Kabisa kabisa
@JohnpurkeiLaizer-kq7he
@JohnpurkeiLaizer-kq7he 8 ай бұрын
mtendeeni haki, huyu mzee maana naona kwa maelezo yake, shamba lake na kama mahakama imeruhusu mbona
@luvangakalinga8698
@luvangakalinga8698 8 ай бұрын
Partner business ni ngumu sana Tz
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 8 ай бұрын
1982 huyu raia
@totonata5384
@totonata5384 8 ай бұрын
This is shame kabisa. Unyanyasaji na udhulumaji ni common kwa watanzania. Mama samia kama anataka wawekaji basi akomeshe haya maswala.
@dennishyera5448
@dennishyera5448 8 ай бұрын
Court help him,
@mgayamgaya
@mgayamgaya 8 ай бұрын
Takukuru waingilie kati hapa kuna ukakasi
@abuuda4754
@abuuda4754 8 ай бұрын
Mtupe muendelezo wa hii habari aisee
@mcback4384
@mcback4384 8 ай бұрын
Jamani muacheni Mkamue Menyekiti ya Taa aendelee na kazi yake 😢
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 8 ай бұрын
Huyu mzee anaonewa😢
@maswamills3161
@maswamills3161 8 ай бұрын
Inawezekana.
@maswamills3161
@maswamills3161 8 ай бұрын
Yaani uonevu huu wa nchi hii Ni shida.Huyu mwekezaji akiondoka hapo hakuna kitu kitaendelea hapo, .Mwacheni mwekezaji atuajiri !! Kazi hakuna mnataka tuishije .!?????Tunataka tupate ujuzi kutoka kwa wageni.
@TrustElbashil
@TrustElbashil 8 ай бұрын
Pole sana mzungu ndio serikali ya ccm hii ni kipuuzi sana wanajua kunawatu wameajiliwa hapo lakini wanawatumia watu wajinga kuja kuharibu maisha ya watu duuu ccm siku ikiangushwa marshall
@MejasonMzazi
@MejasonMzazi 8 ай бұрын
Watu wote wameandika kulingana na kile kilichopo katika video hii bila kuhusisha siasa. Ila wewe bawacha umekija mawazo ya kishenzi ya kisiasa ukizani bawacha wenzako wata like ulichoandika. Sasa umeambulia patupu. Kina Mbowe na Lisu hawawezi kukupa ubunge wa viti maalumu mpaka wakutie kitu tunduni.
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 8 ай бұрын
Wenyewe pia uwa ni wanyanyasaji mno.
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 8 ай бұрын
Kwa hiyo wazungu wote wanyanyaswe bila sababu ndugu, matukio ya hivi yanafukuza wawekezaji.
@daslamonline4665
@daslamonline4665 8 ай бұрын
Kuna watu wananjaa hapo
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 8 ай бұрын
Serikali iwe makini na watanzania wahuni. Matapeli.
@agreykombe5396
@agreykombe5396 8 ай бұрын
Tatizo la wabongo ndo hili
@daslamonline4665
@daslamonline4665 8 ай бұрын
Sio wabongo wazungu wenzio
@RoanCorporation
@RoanCorporation 8 ай бұрын
muda ya kupokea wekezaji wengi kutoka nje bado ajakuja Tanzania , mzungu huu ny mfano , wako maelfu na maelfu , ambayo wamekuja na wamepootea kilakitu ata kama wajafanya mbaya
@AllyClaud-ds4hu
@AllyClaud-ds4hu 8 ай бұрын
Aende na madalali wa mahakama tu
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 8 ай бұрын
Kama Mahakama imempa haki basi afunguliwe geti.
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 8 ай бұрын
Share mbaya sana
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 8 ай бұрын
Mzungu akirudi ofcn atimue hao askari wote aajiri wapya wamekuwa hawana adabu boss anazuiliwa getini.washenzi sana. Haki itendeke mzungu asidhulumiwe apate haki yake.wajanja wameshamzunguka.
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 6 ай бұрын
Mwenye kofia ni njaa tuuuu
@edlumala9428
@edlumala9428 8 ай бұрын
Serikali inakiri kuwa haiwezi kwenda bila private sectors, LAKINI serikali mnasaidiaje private sectors kwenye upuuzi kama huu? Huyu mtu analipa kodi, shamba hilo limetoa ajira, lakini short sighted people wanamuona huyu nuksi? Serikali mjitahidi kusimamia mambo muhimu kama haya!
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
bongo banaa hee asishangae ikawa ndo basi kupata haki yake
@georgedalton2021
@georgedalton2021 8 ай бұрын
Share ni mbaya
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 8 ай бұрын
Sana
@mirajiabdallah1339
@mirajiabdallah1339 8 ай бұрын
huyu mzungu nafkiri ni mswidish
@othumanomari1589
@othumanomari1589 8 ай бұрын
🤔. Tanzania ninchi ngumu sana
@abdulazizkilai7285
@abdulazizkilai7285 8 ай бұрын
Haijashinda KENYA...huku Kenya HATARI
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 8 ай бұрын
Wachaga mnataka kumwibia bab wa watu sasa mungu atawalaan
@Ars-t2k
@Ars-t2k 8 ай бұрын
Hujaelewa vizuri.mgogoro ni kati ya wawekezaji wenyewe. Wapo wanaotaka shamba liuzwe na uyo mzee hapo anakomaa lisiuze
@Globalpeace123
@Globalpeace123 8 ай бұрын
Serikali ya Tanzania kuna wafanyakazi ambao kazi yao ni kuona Tanzania na wananchi wanaopenda maendeleo na kuipenda Tanzania hawafaidiki . Polisi wantumia nguvu badala ya kutumia akili na hekima na kufuata sheria This is not acceptable Shame on you guys Mnatutia aibu sana kwa ajili ya matumbo yenu yasiyoshiba wala kutosheka
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy 8 ай бұрын
Ebu muscheni huyo baba wa watu jamani!
@alloycejames5285
@alloycejames5285 8 ай бұрын
Share inawezakuwa lawama...
@samjrdon7954
@samjrdon7954 8 ай бұрын
Huo ni unyanyasaji
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 ай бұрын
Anapewa mwarabu
@MudiSimba
@MudiSimba 8 ай бұрын
6:58
@mubaraalichiku6089
@mubaraalichiku6089 8 ай бұрын
Funga tu huyo mzungu awache ujinga
@callicevallice7383
@callicevallice7383 8 ай бұрын
Hapo aende polisi aonyeshe order bill, kazi imeisha.
@Faridkhalid-z3p
@Faridkhalid-z3p 8 ай бұрын
Nchi ya mambwa kabisa, wanaoathirika ni watanzania, kodi analipa, system imefeli
Новости дня | 30 ноября - дневной выпуск
4:35
Euronews по-русски
Рет қаралды 27 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 11 МЛН
JOHN HECHE AKINUKISHA TARIME AWATAKA WANANCHI KUTBUWA WAJIBU WAO
10:00
Chadema Media TV
Рет қаралды 21 М.