Mwenyeheri Isdore Bakanja - Ni shangwe Mwokozi amefufuka (Official 4k Music Videos)

  Рет қаралды 2,128

MWENYEHERI ISDORE BAKANJA - TABATA KISIWANI

MWENYEHERI ISDORE BAKANJA - TABATA KISIWANI

3 ай бұрын

Karibu kuskiliza na kutazama wimbo huu wa Ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo, Ulioimbwa na kwaya ya Mwenyeheri Isdore Bakanja Parokia ya Mt. Padre Pio - Tabata Kisiwani Jimbo kuu la Dar es salaam.
WAIMBAJI: MWENYEHERI ISDORE BAKANJA - TABATA KISIWANI
WIMBO: NI SHANGWE MWOKOZI AMEFUFUKA
MTUNZI: E. OGEDA
AUDIO & VIDEO : PRO STUDIOS
SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT & SHARE

Пікірлер: 65
@francoadam7394
@francoadam7394 2 ай бұрын
Dah wimbo mzuri Sana ila mfupiiii, I like stakatooo, ladha mpyaaa ya Ufufuko
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
ooh Karibu sana, Tumshkuru Mungu zaidi.
@LANFRANCOKAPINGA
@LANFRANCOKAPINGA 2 ай бұрын
waaaoh!! Congratulations wanabakanjaa kwa Kazi iliyotukuka, Mungu aendelee kuwa tumia kwa kadri impendezavyo.
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina. Ubarikiwe Daima.
@beatrixkarugaba4666
@beatrixkarugaba4666 2 ай бұрын
Mko vizuri kanzi nzuri hakika mko juu Mungu awe pamoja nanyi katika utume wa uimbaji
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina, Mungu atubariki Sote.
@kathbetmgao7590
@kathbetmgao7590 2 ай бұрын
Woyo shikamooooo bakanjaaaaa
@chiefnash1433
@chiefnash1433 2 ай бұрын
Mpango mzuri sana katika wimbo Umepangiliwa vema
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
ooh Marahaba, Asante Na Mungu akubariki Daima
@beatrixkarugaba4666
@beatrixkarugaba4666 2 ай бұрын
Mnatisha Bakanja mko juuuu
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina. Tumshkuru Mungu Kwa kila Hatua.
@felixmbele5987
@felixmbele5987 2 ай бұрын
Well done Jumbe na kwaya yote kwa ujumla.I am very proud of you!!!
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina. Tumshkuru Mungu Zaidi.
@Kylian-mba
@Kylian-mba 2 ай бұрын
Super super super ❤❤❤❤❤
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Karibu sana.
@dariakapinga4891
@dariakapinga4891 2 ай бұрын
Waooo,! unataman usiishee mwee
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
ooh Karibu sana, Mungu akubariki Daima.
@jescaemmanuel8671
@jescaemmanuel8671 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana,hongereni
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina.
@user-lh8sx9il8x
@user-lh8sx9il8x 2 ай бұрын
Hongera saana kwaya ISDORE BAKANJA. pia kazi nzuri sana kwa Pro studios.. Mnafanya kazi nzuri saana. Kama kwaya kuamua kufanya kazi na pro studios hamjakosea. Wanaumakini mkubwa katika utendaji kazi wao... Kweli hamjakosea na mbarikiwe saana. Sauti zoote unazisikia hata kwenye kispika kidogo.. Nabarikiwa saaaana.
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Asanteee saaana, Mungu atubariki sote kwa Kumtumikia Yeye.
@kathbetmgao7590
@kathbetmgao7590 2 ай бұрын
Kabisa hawana baya peponi moja kwamoja
@renaldapeter9466
@renaldapeter9466 2 ай бұрын
Sauti nzur, Hakikai mmeutendea haki wimbo
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina.
@kwekalucasferan
@kwekalucasferan 2 ай бұрын
🎉❤ Hongereni sana na Asanteni sana kwa Wimbo na Ujumbe Mzuri. Performance safi sana...
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina.
@revocatusanton7863
@revocatusanton7863 2 ай бұрын
Hatareèe❤❤❤fireeeeee🎉🎉🎉
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
ooh Karibu saana.
@alphakapinga3329
@alphakapinga3329 2 ай бұрын
Hatimaeeeeeee
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Yes Karibu sana.
@KwayayaMt.PetroKAKOLA
@KwayayaMt.PetroKAKOLA 2 ай бұрын
Wimbo mzurii sana. Alafu mfupi hamu haiishi kuutazama na kuusikiliza. Hongera kwaya Isdore Bakanja. Producer and sound eng: Mutongore umetisha sana. Nazikubali saana kazi zako. Very interesting.. Unasikia vocals kila kitu utadhani upo live fulani hivi. Hahahha. Keep it up bro and the team. Bro Isack umetisha pia. Endeleeni hivyo hivyo. Hatua ni safari.
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
OOOh!! Tumshkru Mungu Zaidi, Na aendelee kutujalia Matashi kwa kadri impendezavyo yeye.
@waromokello
@waromokello 2 ай бұрын
This is top
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina. Karibu sanaaa
@chiefnash1433
@chiefnash1433 2 ай бұрын
Mbarikiwe
@kathbetmgao7590
@kathbetmgao7590 2 ай бұрын
Amen nawe pia pamoja na familia yko na mzeee chief mswaga
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina, Tubarikiwe sote.
@flavialatinus2162
@flavialatinus2162 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤wonderful
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Thank you, welcome
@TelesiaMapunda-wl3me
@TelesiaMapunda-wl3me 2 ай бұрын
Kaka kathbet mbarikiwe wimbo mzuri sana
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina. Karibu Tumshkuru Mungu zaidi
@user-dd9ee3xd5t
@user-dd9ee3xd5t 2 ай бұрын
Wasabato wakiona hiiii watakuja kujifunza 😂bhakanjaa mmetshaa😂❤❤hatareeeeee😅🎉🎉🎉🎉🎉
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Ahhh Amina.
@WinfridaNyaruba
@WinfridaNyaruba 2 ай бұрын
Hongereni sana nakuona kathbet,
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina. Karibu
@eugenekeragori6533
@eugenekeragori6533 2 ай бұрын
Wimbo mtamu sana 🙏🙏🙏
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina. Tumshkuru Mungu zaidi.
@theresiajoseph1943
@theresiajoseph1943 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina, Karibu sana.
@veronicabernald8208
@veronicabernald8208 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Aminaaa
@monicamarco5800
@monicamarco5800 2 ай бұрын
Nice
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Thank, welcome.
@Arati896
@Arati896 2 ай бұрын
Nice❤
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Amina
@abelmochama680
@abelmochama680 2 ай бұрын
Amazing ❤❤❤❤
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Asante, Karibu tufurahi pamoja
@VeronicaSambagi
@VeronicaSambagi 2 ай бұрын
Mpo juuuu 🔥🔥
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Aminaa, Mungu ni mwema
@magrethshayo-kw8st
@magrethshayo-kw8st 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Karibu Tumfurahie kwa Pamoja Kristo Mfufuka
@loserianaugustino6717
@loserianaugustino6717 2 ай бұрын
Hakika, AMEFUFUKA
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
@@loserianaugustino6717 Amina, Ubarikiwe na Bwana.
@laurentlugema593
@laurentlugema593 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwenyeheriisdorebak3058
@mwenyeheriisdorebak3058 2 ай бұрын
Ameen!
Neema Gospel Choir - Tubariki Leo (Live Music Video)
5:58
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 282 М.
Mwenyeheri Isdore Bakanja - Neema Zatung'arisha (Official 4K Music Videos)
4:44
MWENYEHERI ISDORE BAKANJA - TABATA KISIWANI
Рет қаралды 50 М.
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 75 МЛН
CHRIS MWALUFICHO - NIFANIKIWE (VISUALIZER)
3:57
Chris Mwaluficho
Рет қаралды 1,8 М.
Mwenyeheri Isdore Bakanja - Mwamba wa uzima (Official 4K Music Video)
8:46
MWENYEHERI ISDORE BAKANJA - TABATA KISIWANI
Рет қаралды 2 М.
MARIA MAMA WA MUNGU KWAYA YA MT. MARIA GORETH CHUO KIKUU CHA USHIRIKA By KIDESU D.P
5:48
KWAYA YA MT. MARIA GORETH CHUO KIKUU CHA USHIRIKA
Рет қаралды 4,5 М.
HUYO NI MUNGU
4:16
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 319 М.
UJIO - Called To Serve Ministries - Official Music Video
4:19
Called To Serve
Рет қаралды 76 М.
Finyango _ D. Ng'atigwa Wimbo maalum wa Ndoa Kwa ajili ya Mpendwa wetu Denice na mwenza wake Malkia.
2:53
MWENYEHERI ISDORE BAKANJA - TABATA KISIWANI
Рет қаралды 576
YOTE NI KWA NEEMA (Official Video)by DR. KELVIN BONGOLE (BMM Sjut ft. F.M. Shimanyi)
4:17
BMM Choir St.John's University of Tanzania-Dodoma
Рет қаралды 28 М.
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН