MWIJAKU AFICHUA WALIOMCHONGEA KISA SAFARI YAKE ya UFARANSA - ''SIHUSIKI NA BODI YA UTALII''...

  Рет қаралды 5,623

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 Жыл бұрын
Mpuuzi sana!
@aubreykasoyaga1665
@aubreykasoyaga1665 11 ай бұрын
Sasa Brother huko France mbona wamejaa Machoko tu
@juliussuleiman3999
@juliussuleiman3999 Жыл бұрын
Hii nimeipenda, Mwijaku cjawahi kumuunga mkono ila kwa hili Akili sanaaaa
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Leo ndio nasikia dubai ni Africa
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 Жыл бұрын
Ni waziri sasa
@KasimJuma-e2o
@KasimJuma-e2o 10 ай бұрын
Apo ni chawa ana mgoga chawa duuu noma sana
@user-pd8gx8ff6w
@user-pd8gx8ff6w Жыл бұрын
Waliyokusafirisha wamepata hasara sana sana, unadhalilisha wasomi wabongo hii
@allymohammedothman6593
@allymohammedothman6593 Жыл бұрын
Eti ulaya ulaya😂😂😂 mkoshaa choo ulaya ndio super star wa bongo kwa hali hii dah noma kweli 😢😢😢
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 Жыл бұрын
Ety ulimpa rizki ak kwan ww umekuwa mungu
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Mnapenda watumia wamasai huku nje, hao mnaojaribu kuwauzia biashara zenu, wakishajua jinsi mnavyosapoti wanaonyanyasa wamasai wazungu watasusa! poleni.
@rutashobyanovath1116
@rutashobyanovath1116 Жыл бұрын
Kama nakuelewa hivi
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 11 ай бұрын
Mie nakupongeza. Saka maokoto kaka. Wengine wanakusema lakini umewapita kimaisha. We mwenyewe unajua unachokifabya. We endelea na yako usiangalie mtu
@PilliPilli-r8g
@PilliPilli-r8g Жыл бұрын
Mwenye Namba ya mwijaku anisaidie kuna mteja huku wa nyumba
@edwardleonard7402
@edwardleonard7402 Жыл бұрын
Huna akili ww
@mohamedmohamud9691
@mohamedmohamud9691 Жыл бұрын
Lakini kilichonishangaza ni kwamba nilitizama Video ya vile kunguni imejaa mji wa Paris. Yaani si Kwa daladala au Taxi, sio kwenye ma Hoteli za ki fahari Wala kwenye speed train. Sasa swali nililojiuliza ni kwamba mbona wizara inayohusika ya France hawakuchukua hatua kabla kunguni kuenea kiasi hicho? Something must be wrong somewhere!!!
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
😢😢😢😢
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 11 ай бұрын
Huyu pembeni mmemuona? Katoa mdomo anatafuna ubani dume zima kama punga Sese.😂
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kumbe baba levo debe tupu
@cmantz8837
@cmantz8837 Жыл бұрын
TRA mteja wenu huyo
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Mbona kama nyumba zinafanana sana?
@kelvinsauveur6264
@kelvinsauveur6264 Жыл бұрын
Mwijaku mudomo wako siyo wa kula tuu . Na kusema piya
@halimaoman8726
@halimaoman8726 Жыл бұрын
Wwe mwijaku sasa hayo maneno ipo siku yatakuponza wenzio kuwaita kenge na ndio watu wengi zinaponza kauri uchafu
@repsphrs5051
@repsphrs5051 Жыл бұрын
Hasara kubwa kukutumia wewe mbwa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
😂😂😂😂
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 74 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 47 МЛН
KUPITIA  P DIDI HERUFI G na S kuna cha kujifunza hapa na wewe pia
33:17
DP Gachagua gutheria ciigii utonga wake mbere ya giikaro gia gwitetera na ambunge
27:48
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 74 МЛН