MWIJAKU: HAJI MANARA KAZOEA KULIPIWA KODI NA MWARABU/HAWEZI MILIKI KIWANDA/ANAWADANGANYA/RUSHAYNA

  Рет қаралды 34,285

CHAZY MEDIA

CHAZY MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola Ай бұрын
Mwijaku si vyema...hata wewe unamabaya yako si vyema...utanikumbuka niko pale...kutaja majina ya watu si vyema...usibebe ugomvi usio kuusu...wanao kuuliza hao si watu wazuri kwako...kuongelea maisha ya watu sumu...hata hao wanao kuuliza wanakusanifu...
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r Ай бұрын
Manara ndo mwenyewe mdomo mchafu na wivu kwa watu anao fanya nao kazi
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 Ай бұрын
Jamaa Ana kibri sana lakin dunia ndio mama muda ukifika mtajua kibri ni nini
@glorymamkwe4360
@glorymamkwe4360 28 күн бұрын
😂😂😂😂 mwijaku Shikamo
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Ай бұрын
Mmmmmh makubwaaya mwarabu gani anaemlipia tena
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Mwijaku achana na manara humuwezi hata dakika moja. Yule sio chawa😂
@Zinga-l4o
@Zinga-l4o Ай бұрын
Anaishi nyumba ya kupanga
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Ай бұрын
Wewe nae wakati anaishi kwenye nyumba ya kupanga na anakaribia miaka 50
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r Ай бұрын
Chawa tu yule yeye mwenyewe wanaume wenzie ndo wanao mlipia kaodi anapo lala huyo manara wako
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Moo mbona anaishi National housing
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Ай бұрын
Mm​@@cdeleo9336mmmh makubwaaaya
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 Ай бұрын
MWIJAKU mwenyewe kunguru tu MANARA nimkubwa sana kwako wewe achana na nyota hiyo umbwa tu wewe
@mwitamtete3440
@mwitamtete3440 Ай бұрын
Alie karibu na mwijaku amzibe mdomo atnishukuru
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 Ай бұрын
Nashona hadi nguo za spider Ili nile pesa ya try again
@mulumederwasifa4801
@mulumederwasifa4801 Ай бұрын
Wewe ni wakike tu
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Ай бұрын
Manara chizi wanawake ndio wanaomaliza Manara ndoa kila kukicha masifa ndio yana maliza pesa kutaka kujionyesha naoia mdomo unamponza Manara
@ABUU426
@ABUU426 Ай бұрын
Ndugu zangu kama kuna mtu ana namba ya simu ya mwijaku naomba anipe
@AbdallahMapila
@AbdallahMapila Ай бұрын
Point
@IdrissaHabibu
@IdrissaHabibu Ай бұрын
Mwijaku njoo ujenge zanzibar bc , ttz uko kwenu hakuna gharama za kujenga 😅 njoo zenj hebu
@sifatiiman
@sifatiiman Ай бұрын
We nae kuma tu
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t Ай бұрын
Manara pia hana swaga asaiv ata hatumfatilii
@AbdusamadAttassy
@AbdusamadAttassy Ай бұрын
Huyu naòna ana hitlaf mara kamva kipanya mara zuchu naona mdomo ufungwe its too much
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Ай бұрын
Chawa wa ovyo usiyejielewa mwijaku
@Q_lax255
@Q_lax255 Ай бұрын
Masikini akipata lazima kalio libwatuke
@daudbutunga1190
@daudbutunga1190 Ай бұрын
Mwijakau ww ni mtu wa hovyo Sana Ni msomi lakin mpuuzi sana Yaan unajikombaga kwa Manara na anakupa pesa Leo hii unamsena bila haya Badilika mpuuzu sna ww
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 Ай бұрын
Manara hajamzungumzia vibaya Hersi nyinyi waandishi wa habari ni wabaya sana
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Ай бұрын
Wanatabia yakuongeza chumvi atakama jambo dogo wanalikuza iliwachonganishe pachangamke hikokote nikutfta pesa looh maisha magumu yatawapereka motoni
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 Ай бұрын
Manara Jenga bhana.
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 Ай бұрын
Wewe una sikiliza hiyo chizi Mwijaku? Una amini kuwa Manara bado ana ishi kwao?
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r Ай бұрын
Manara mmoja ni sawa na machawa 1000
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani Ай бұрын
Sio kweli wewe
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r Ай бұрын
Wadanganye
@williamdeba96
@williamdeba96 Ай бұрын
Labda kwenu 😂
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Manara hana lolote
@FrancisMliga-pp7cp
@FrancisMliga-pp7cp Ай бұрын
Kwa sababu labda anakunyanduwa Kinyeo ausio😅
@AshaAmiry-x6v
@AshaAmiry-x6v Ай бұрын
Mwijaku wivu na hasad ndio zinakusumbua. Mwanaume mmbea ww kama mwanamke. Nyumba kabur shehe ubwabwa wewe.
@bahatisanga8890
@bahatisanga8890 Ай бұрын
Mpasue mjinga huyo hajitambui
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 Ай бұрын
Fact
@BazozMasudi
@BazozMasudi 12 күн бұрын
pumbavu nyama ya pori kiwerewere na kina tamani mond akile nyuma nyuma coz hakiezi fanyiwa interview bila kumsema mond ila na nyinyi waandish ni matako zenu
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu Ай бұрын
Manara sio chawa mwijaku na humuw ezi hata uwe na ma gorofa mia moja mu ache manara huling ani nae
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f Ай бұрын
Vipi wewe unamuweza mwijaku ?
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Ай бұрын
Wewe nawe hamuwezi kwa kipi wakati Ndo ukweli hana nyumba
@hassankindamba6633
@hassankindamba6633 Ай бұрын
Unafiri ukimtetea huyo manara atakuoa
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Ай бұрын
Hamuwezi kvp manara ananini wakati yupo kwenye nyumba zakupanga huu mwaka wa elfu Moja anakaribia miambili nabado
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
Kumbe mwijaku mdogo
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Mwijaku katumwa na hao hao GSM
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@lifeonearth94
@lifeonearth94 Ай бұрын
😂
@kelvinbinda8767
@kelvinbinda8767 Ай бұрын
Kwa mdomo hamuwez ila kwa akil manara takataka kabisa, Kwan manara Ana nin? Au yeye ni nan? Achen unafik.
@munyawerasosthene7548
@munyawerasosthene7548 Ай бұрын
Unasemea Huuu Mpumbafu Hakiri Gani Ww Yeye Ni DC Wawapi Kama Tz Mna Viongozi Kama Huu Hamna Kitu Kicua Majii Mudomo Tuuu
@MohamediShughuli
@MohamediShughuli Ай бұрын
Kunamda saambovu inasema ukweli
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je Ай бұрын
Nilichogundua waandishi wa bongo ni wachochozi sana nyie ndo mnasababisha ugomvi mdogo unakuwa mkubwa
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Ай бұрын
Size yako ni B. Levo Manara sio level yako ulimsafisha viato Hadji akakupa pesa ivi ata B. Levo anakushinda achana na Manara utajiaibisha binaadam unatatizo na kila mtu ata Kiba ajiandaye iko siku utamsema weye iyo ni nyumba
@WakiliAbasi
@WakiliAbasi Ай бұрын
Mwambie
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r Ай бұрын
Li chawa likumbwa
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani Ай бұрын
Lakini ndo kajenga wewe unanin
@JacobNzowa-e2f
@JacobNzowa-e2f Ай бұрын
Kujenga nikufukia hena na kujenga sio mafanikio hizo nihakili zazamani​@@AishshibnShibani
@MariamuJuma-t8z
@MariamuJuma-t8z Ай бұрын
Anajiita malaika namazambi Yao tele tokalini malaikaakaja duniani
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
​@@MariamuJuma-t8z😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
BORA NIZIPASUE
11:34
Joti TV
Рет қаралды 359 М.
MANARA AMJIA JUU BABALEVO "KUNIFANANISHA NAE NI KUNITUKANA"
2:09
Wasafi Media
Рет қаралды 231 М.
ToRung comedy: i just eat cake😂
0:34
ToRung
Рет қаралды 24 МЛН
Глаза уже не те 🤣🤣
0:58
RofloRezka
Рет қаралды 6 МЛН
ИЩУ ТАКСИ - ВЕРБЛЮДА В ДУБАЕ🐫 😱
0:38
Diana Maiers
Рет қаралды 877 М.
Проба 585 | ЖАҢА ҚАЗАҚША КИНО 2025
1:31:59
Inter Production
Рет қаралды 505 М.
Решил поиграть😄
0:38
фильм3000
Рет қаралды 6 МЛН