MWIJAKU: UCHAWA WA BABA LEVO UNAMPOTEZA DIAMOND/BABU TALE HASTAHILI UDOKTA/HANITISHI KWA CHOCHOTE

  Рет қаралды 31,912

Carrymastory

Carrymastory

Жыл бұрын

Tumepiga Story na Mwijaku na kufunguka mambo yanaondelea kuhusu kujibishana na Baba Levo mitandaoni/Baba Levo kumpeleka Diamond kwenye Kamari/Babu Tale kupewa Udokta bila kuusomea Darasani

Пікірлер: 120
@omarkalita5340
@omarkalita5340 Жыл бұрын
Hata hivyo huyu mama levo ana msifia sadala hata kama anakosea
@Dorrisshoppnah
@Dorrisshoppnah Жыл бұрын
U always talk facts Mwijaku.
@andrecarlos1024
@andrecarlos1024 Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🇲🇿🇲🇿🇲🇿Mwijaku.ni.kweli
@andrecarlos1024
@andrecarlos1024 Жыл бұрын
Thanks mwijaku
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Жыл бұрын
SAFI SANA APO MWIJAKU. Apo kwenye kupeana udaktari bila kuingia darasani.. Uko sahihi. I mean za kua mazoea . INASHUSHA HADHI YA elim ya juu kabisa!!!!!
@avitrugakingirajr1669
@avitrugakingirajr1669 Жыл бұрын
Huyu chawa wa mama ni shida salute
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Жыл бұрын
Huyu mjinga anasema hakuna aliyecheza kamari akafanikiwa halafu hiyohiyo kamari ndo imempa ubalozi..ukisikia akili matakoni ndo hii sasa😂😂😂
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Jinga hili
@sulejiTv
@sulejiTv Жыл бұрын
Kweli kabisa brother.
@farhaadkassim4168
@farhaadkassim4168 Жыл бұрын
Mwijaku oyeee
@jay_zanzibar433
@jay_zanzibar433 Жыл бұрын
kweli Mwinjaku
@Mariot130
@Mariot130 Жыл бұрын
Mwijaku yuko sahihi
@joleal7941
@joleal7941 Жыл бұрын
Mwijaku✌✌
@jacksonmbena5410
@jacksonmbena5410 Жыл бұрын
Duhh babu kumbe unamadini... Kichwani.. nilikuwa nakuona ...Kama katuni Fulani
@selemanendemangandemanga
@selemanendemangandemanga Жыл бұрын
Very well DC Mwijaku
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Nj kweli kabisa yeye mfanyakazi serikali ni wajibu wake wakuu wote wapewe Dk jamani kali
@elizabethndinda4538
@elizabethndinda4538 Жыл бұрын
Hapo sawaaaaa 😂😂😂😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Dah huyu anafaa awe mume wako
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
WEWE MSENGE KILA SIKU AJUI KUIMBA WEWE WAKUPIGWA CHINI #MMBWA WEWE
@danielsimwanza1046
@danielsimwanza1046 Жыл бұрын
Uyu kanunua udaktali mjinga uyu kichwan akuna kitu
@lizzyvictor6188
@lizzyvictor6188 Жыл бұрын
Bongo raha jamani hawa watu 2 wananipa raha sana
@tumainibenard
@tumainibenard Жыл бұрын
ana stakabadhi yoyote🤣🤣🤣
@zulphaadam4671
@zulphaadam4671 Жыл бұрын
Mapuwa😂🤣😅
@williamernest8712
@williamernest8712 Жыл бұрын
Yakweli ayo!!
@biggievandar254
@biggievandar254 Жыл бұрын
Nikweli umeongea ukweli
@daudjohn3458
@daudjohn3458 Жыл бұрын
Diamond achez kamali
@bakarimohammed2796
@bakarimohammed2796 Жыл бұрын
Hahahaaaaaa,,eti MAPUA.
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Жыл бұрын
Povu 😤... Mashav yatapasuka!!!😀
@salumusquare8149
@salumusquare8149 Жыл бұрын
Ni kwer kabisa huyo mama levo ni kuma
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu Жыл бұрын
Mapua mwijaku🤣🤣🤣
@flyhigher5393
@flyhigher5393 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mchawi kabisa, ana wivu wakisenge kweli. Sasa hao watu wa ardhi kwakumkamia mwenzako hivyo vipi aisee.
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 Жыл бұрын
Mwijaku hamwabudu mtu sababu ya hajira, mkewake ata mu backup. So wakina mamalevo waendelee nauchwawa. Mwijaku next level.
@salummohamed9179
@salummohamed9179 Жыл бұрын
Uyo mjinga japo mengine anaongea ukweli kwenye Kamari lkn bet iyo ndo iyo iyo Kamari lkn Mbona na ww mmoja wa wasafi bet nn nini iyo bac ww mbumbumbu maandiko yanasema hakika ulevi Kamari na kuabudiwa asiye mungu hivi vyote ni uchafu na ni kazi ya shetani bac jiepusheni navyo
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul Жыл бұрын
Uyu jamaa mungu atakuja muumbua one day kwanza n mnafiki pili anaroo ya kichawi uo ushirikina anaoutegemea unamwisho
@goodsonzimba8120
@goodsonzimba8120 Жыл бұрын
Bila kumtukana Mond ili lijamaa haliwez kwenda mjini
@giftbala4687
@giftbala4687 Жыл бұрын
This mwijaku guy is full of shit. A hypocrite and a sycophant.
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Upepo kwa hamo humeama
@abbacushabba4110
@abbacushabba4110 Жыл бұрын
Wewe ni tapeli tu ,si umeso elimu bali sasa umekuwa chawa tumia elimu yako kwa shule sio kelele
@kingbiggy870
@kingbiggy870 Жыл бұрын
Simba tunaomba umutowe mwijaku umutupe mbali tunakuomba boss
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Kwan Dimond Nani apa duniani achan ujinga huo
@wilsonwidudupfikiwilson1723
@wilsonwidudupfikiwilson1723 Жыл бұрын
@@mohamedswaleh6778 umemuezs.kabisaaaaaa
@faridabady237
@faridabady237 Жыл бұрын
Mapua🤣🤣
@salummohamed9179
@salummohamed9179 Жыл бұрын
Hhhhh msomi chawa degree ya 3 iyo salute baba levo hana degree lkn kwa mondi humwqbii kitu yeye chawa na tunaona anakuzidi mafanikio ww unaongea mabaya tu kwa wenzio kwa kuona umejipeleka kwa mondi uyo uyo unayemchafua kakupa ubalozi wasafi bet Yaani ungekuwa na akili kama zangu usingemponda mondi wa tandale ambae hana hata degree 1 lkn Ana pesa na Anawapa ubalozi watu wenye degree za mzumbue na morogoro na degree ya 3 ya uchawa ambayo unaowachafua ndo wanakuweka mjini kina mondi Yaani we ungekuwa mondi tungekoma mwijaku😂😂
@richardtimoth7865
@richardtimoth7865 Жыл бұрын
"Hakuna mtu alofanikiwa kwa kucheza kamali" halafu tena.... "mimi ni mwanzilishi wa wasafibet" dah
@mariamlucas6922
@mariamlucas6922 Жыл бұрын
Roho mbaya ndo inamsumbua watu wa kigoma
@nassjr6566
@nassjr6566 Жыл бұрын
Sio roh mby mwambino hajuw ukwl
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Mapuaa😂😂😂Minyonyo 😂😂😂Ng'onda 😂😂
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 Жыл бұрын
Kumbe wasomi watanzania wanaongea kama watoto Wakike my God
@sethstiven3393
@sethstiven3393 Жыл бұрын
Elimu inashushwa thamani wanapeana kama keki
@protaspeter5371
@protaspeter5371 Жыл бұрын
Huyu msenge kweli hela ya kamali haramu wakati ww mwenyew ni balozi wa kamali, mamae kweli mwez wa 6 hutoboi fara ww, hubebeki mond anakuvumilia sana
@julianamushi3392
@julianamushi3392 Жыл бұрын
Kweli ujasoma chochote unapewa udactari 😆😆tz ya mizinga
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Doctor wa mchongo😂😂
@jahashinuri7102
@jahashinuri7102 Жыл бұрын
mwijaku says gambling is bad forgetting even wasafi bet is involved in gambling, man thinks he is Smart but many a times he spits gibberish
@giftbala4687
@giftbala4687 Жыл бұрын
He's a hypocrite and a sycophant at the same time. He's Full of himself. Loud mouth for nothing.
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 Жыл бұрын
Fact yaan 🤣🤣🤣nlikuw nacbr hii comments
@dfordadu176
@dfordadu176 Жыл бұрын
Huyu ni empty debe
@jamesdadu7059
@jamesdadu7059 Жыл бұрын
Mwijaku mwenyewe MAPUA pia,, tahira kabisa,, unatangaza kamari
@merybaden361
@merybaden361 Жыл бұрын
babu tale uchaw mwingi tatizo
@Wastara001
@Wastara001 Жыл бұрын
Wajuvunia haramu ya wasafibet; kamari. Muogope Allah
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Babu tale Ana PHD kwa kujenga barabara lol ha 😆 🤣 😂 😄 😅 😀 😆 🤣
@saidbago1881
@saidbago1881 Жыл бұрын
Kweli hakuna aliyefanikiwa kwenye kamali sasa kwnn mnaibrands wasafi bet cyo kamali n iyo
@patriciambuvi8233
@patriciambuvi8233 Жыл бұрын
Puguza maneno mingi mwanaume wewe ☝️☝️😜😜😜😜hujasoma Babu wacha porojo
@issambassa5901
@issambassa5901 Жыл бұрын
Sijawahi kuiamini hiki kichwaah
@yakobontigwambukwa
@yakobontigwambukwa Жыл бұрын
Uyu KUMA cjawah kumwelew
@babuumacdizohapakazitu1746
@babuumacdizohapakazitu1746 Жыл бұрын
Wacha upumbavu fala wew Sasa mbona we unatangaza kamari
@nyulaseptember5573
@nyulaseptember5573 Жыл бұрын
Mnamchokoza mwijaku
@omaredhasaidal.obthani4775
@omaredhasaidal.obthani4775 Жыл бұрын
huyu mtu ni mjinga sana anasema kamari haramu ni kweli haramu .. ila ww unaetangazia kamari ndio unadhambi zaidi kuliko anaecheza ...
@swalhashuaibu
@swalhashuaibu Жыл бұрын
Yani Wewe Uko mswahili sana jamani unaongea maneno ya uwongo hakuna msomi wa degree anaweza kua cawa yani bile vyeti vyako uloneshaga sio vyako majina sio yako na mtu alo kuazima tunamjua sasa aca maneno jaaa inakusumbua
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 Жыл бұрын
Na ww kopy mpuuzi kabisa mond anakuweka mjini unabaki kubwabwaja alafu wa2 wengine et wanakusapot.
@nagaloshabuilders7908
@nagaloshabuilders7908 Жыл бұрын
Siku zote tajiri hadaiwi bali hukumbushwa deni..
@uwerauweraanicet3443
@uwerauweraanicet3443 Жыл бұрын
haaaaaaahaaaaaaaaaa mapuwaaaa
@bboyoffical259
@bboyoffical259 Жыл бұрын
Kubeti na kuwa barozi wa kubeti Kuna tofauti 😄😄😄😄 watu bwanaa
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Sengge hili
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Жыл бұрын
Wewe msaka tonge uwe na heshima
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Kwa kweli hakuna watu wanaoniudhi kama hawa watoto wa kiha wanavyoniudhi wanaliabisha hili sana hili kabila asili ya kabila hili ni wachapa kazi kama wachaga sasa hawa ngedere ni waha waina gani kuwa wachawa shenzi kabisa
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Uyu jama ni mbwa sana baba Levo sio Levo Yako mbwa wewewwww 🐕🐕🐕🐕 wewewwww ni kama upele
@mariamameir8324
@mariamameir8324 Жыл бұрын
Mapua😁😁😁😁
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
😂😂
@patrickmavugo257
@patrickmavugo257 Жыл бұрын
Uyo mbwa muko munahoji hovyo pour kabisa jinga kubwa
@barakaelkaaya40
@barakaelkaaya40 Жыл бұрын
Kamari hela ya Haramu....lakin hiyo ndo inakulipa mshara!kwa hiyo huo mshara si haramu ? ?????
@nickolausofficial2838
@nickolausofficial2838 Жыл бұрын
Harafu siyo mwambino anaitwa diamond platinamuz
@williamreuben4866
@williamreuben4866 Жыл бұрын
Kiingereza haujui hahahaha Kwa hyo unamcheka had Rais Samia
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 Жыл бұрын
Kama una jiamini Acha uchawa
@nickolausofficial2838
@nickolausofficial2838 Жыл бұрын
Acha ujinga wewe yaani wewe ndo unamptza diamond kwhy wewe unachezaga naye kamari au
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg Жыл бұрын
Msomi gani kutwa kusifia wanaume wenzio
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
😂😂😂
@mlachakeofficial8289
@mlachakeofficial8289 Жыл бұрын
Amesema kamare ni haram...kwan bet si kamare na yye ni balozi
@freddierich9920
@freddierich9920 Жыл бұрын
Aisee umeongea point mzee. 👌 hehehe
@salumsalim7564
@salumsalim7564 Жыл бұрын
Ww ndio maan kichwa chako kimepasuliwa km dafu unamlaumu mondi et kisa ana campuni ya wasaf bet unasema ni kamar lkn mbna ww ndie baloz wa kamari hilo🖕🏿
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Kuma ww
@queenmilan2024
@queenmilan2024 Жыл бұрын
WEWE MSOMI WAPI ENGLISH HUJUI?
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg Жыл бұрын
Kushauriana sio kumsema mtu ktk mitandao wewe ungemfata siri
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
wewe tokea lini ukawa mkweli
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Babutale kaenda marekani kamdanganya p.didy Sean didy combs walivyoenda Tuzo za bet na Diamondplatnumz kamjaza p. Didy wampe PHD udaktari wa mchongooo mimi mbunge msanii wangu mkubwa Tanzania na east Africa Diamondplatnumz nimejenga barabara nimeleta maji katika jimbo langu Hiyo PHD TCU Tanzania commission for university wathibitishe kwanza P.Didy na yeye ana PHD udaktari in humanity ila kasomea
@hawasouth7887
@hawasouth7887 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zaitunifamao7777
@zaitunifamao7777 Жыл бұрын
Sasa Kamari na sports betting is there any difference,my swahili is not that good.
@VyuoTanzania
@VyuoTanzania Жыл бұрын
Kuna sports and games
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 Жыл бұрын
leo ndio unajua kamali haramau umepewa ubalozi ulikuwa hujui kama ni haramu ww anyway..huwezi na degree ya uhusiano wa jamii alafu ujiite msomi
@salomemunishi1695
@salomemunishi1695 Жыл бұрын
Mwijaku umeongea point sana..sisi wachache sana tunakuelewa...tuliosoma Degree na Masters...watu hawaijui desertion nini hahaha..vitabu vitatu profesor anaona zero...Waache ujinga wa kutoa UDOCTOR wa kijinga kijinga
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 Жыл бұрын
Huyu hanaga lolote
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 Жыл бұрын
KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
Asante dada tunashukuru Kwa taarifa tutaifanyia kazi🤔🤔🤔
@gabbyntirampeba7305
@gabbyntirampeba7305 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@omarnantuta9068
@omarnantuta9068 Жыл бұрын
Nkubwa hana ata tuzo kwa Sasa
@abdallahhamic3586
@abdallahhamic3586 Жыл бұрын
Mshamba wewe mwijako njaa tyu inakusumbua we dawa yako kutupwa wasafi beat
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Жыл бұрын
Kwan unadhan akitupwa ndo Atakufaa n njaa achen ujinga kueni ki akili
@gracewairimu800
@gracewairimu800 Жыл бұрын
Naaomba simba mtoe huyu msenge karibu nae kabisa!mnafki mkubwa huyu
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Duhh ujue ana mke huyu na anasema ni yeye pekee ana mke mzuri wee unamuita msenge.😂😂
@blastermkama7579
@blastermkama7579 Жыл бұрын
Hili jamaa pimbi kweli
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
Hivi huyu jamaa ni kweli ni holder wa degree..mbona ana point dhaifu sana...maelezo yake hayaendani na msomi
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Hamna nyuz hapa sema tu nilitaalam la unafki linachonganisha wasan af linataka liwe linapewa hela na hawa wasan wadogo ili lisiwaseme vbaya
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Alafu anataka Kila kitu awe yeye tajir yeye msomi yeye kumbe hamna kitu na kwa huo wivu bro anguko lako likarbu
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
@@amedeuskimario8895 Hovyo kabisa..Yaani hata Basic English tu hawezi..haya basi hata terms ndogo ndogo za kiingereza hawezi kuziongea..Hobyo kabisa
@saidmaulid2686
@saidmaulid2686 Жыл бұрын
Kama wewe mgodi fungus kampuni yako, acha kumdharau
@saidmaulid2686
@saidmaulid2686 Жыл бұрын
Kama wewe mgodi, fungua kampuni yako, acha kumdharau Diamond amekupa maisha
@mohdalwaili5289
@mohdalwaili5289 Жыл бұрын
Kwani pesa ya muzuki ni halali ni haramu tu, Wajinga tu
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
LIVE MAHABA YA MWIJAKU AKIMSHAWISHI SNURA AMUOE MKE WA PILI
14:05
Millard Ayo
Рет қаралды 173 М.
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 4,1 МЛН
There's a Starman #starman #starmanmeme #superman #fyp
0:17
SigMew
Рет қаралды 71 МЛН
And who would you choose?👇
0:20
Kitty Power
Рет қаралды 15 МЛН
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 21 МЛН
A young mother couldn't calm down her baby at the lesson #shorts
0:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 7 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 13 МЛН