MWINYI MPEKU WA PEKU LA UNGO HADITHI YA BUNUASI

  Рет қаралды 47,428

Mau Mpemba

Mau Mpemba

Күн бұрын

Video Credit
Starring: Mwinyi Mpeku
Producer: Mau Mpemba
Boom: Jamal Fuad
Directed by: Sayd Fuad
Kuhusu sisi:
ZMOTION STUDIOS inajihusisha na utengenezaji wa filamu za kiswahili, matangazo, na video fupi za vichekesho na vituko mbali mbali. Ukijiunga na chanali yetu kwa kubonyeza 'Subscribe' utakua miongoni mwa wanaopokea ujumbe wa barua pepe kila tunapoweka video mpya, pia utapata fursa ya kujishindia zawadi ya mwaka ukiwa utakua mfatiliaji mzuri unae 'share', 'like' na kukoment katika video zetu.
Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "MAKAME NUHUSI ANAHONGA KIWANJA ZANZIBAR (FUMANIZI)"
• MAKAME NUHUSI ANAHONGA...
~-~~-~~~-~~-~

Пікірлер: 30
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 5 жыл бұрын
Ba mwinyi hadithi ni nzuri sana
@mhonamisaomar7011
@mhonamisaomar7011 7 жыл бұрын
Wow..thanthee. babu mwinyi pekupeku la ungo..
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Haaaaaaaa nikweli masikini twateseka
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 7 жыл бұрын
asante babu .wazanzibar 2likuwa na hulka hii ya kuhadisiwa hadis na wazee wa
@antarsaid4021
@antarsaid4021 5 жыл бұрын
Hahahahahaah asante
@lukmaankhamas6808
@lukmaankhamas6808 6 жыл бұрын
Hadith nzr
@hamisisaria2628
@hamisisaria2628 7 жыл бұрын
Hadithi nzuri mzee mpekua ungo
@Asili
@Asili 7 жыл бұрын
+Hamisi Saria great
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 7 жыл бұрын
asante babuu wazanzibar tulikuwa na hulka hii ya kuhadisiwa hadisi na wazee wetu. ila sasa kwamaisha yalivyo wabana kila m2 anaenda mbio kutafuta pesa
@yahayahamisi1847
@yahayahamisi1847 7 жыл бұрын
nzurii mpaka basi
@Asili
@Asili 7 жыл бұрын
+Yahaya Hamisi shuhran
@khamispcali8099
@khamispcali8099 7 жыл бұрын
dah tamuuu
@abdallahhamad298
@abdallahhamad298 7 жыл бұрын
Safi mnoo
@haulasaid5382
@haulasaid5382 7 жыл бұрын
nzuri mashaalla mh
@Asili
@Asili 7 жыл бұрын
+Haula Said Shukran
@38wahida
@38wahida 6 жыл бұрын
Sub hana Allah 😢
@hatibusalum6928
@hatibusalum6928 7 жыл бұрын
khaitu. slamu
@aslamhoussein4116
@aslamhoussein4116 7 жыл бұрын
good
@mohammedhamadomar5884
@mohammedhamadomar5884 6 жыл бұрын
Aloo lugha ina miko yake ukibadilisha herufi moja tu neno linabadilika maana kwaii waswahili wenzangu andikeni vizuri mwatukana hadisi maana yake ni kutosimama kwa uume wa mwanamme we vp andikia vizuri bwana hio ni hadithi au simulizi za kale sawa na ukome kutuandikia matusi umepata alama moja tuu kwa kukosea kuandika sawa mwanafunzi wangu
@salumseif1005
@salumseif1005 5 жыл бұрын
Hahaaa
@allyfaki452
@allyfaki452 7 жыл бұрын
😊😊😊
@Quilant749
@Quilant749 7 жыл бұрын
Sasa nyinyi ndio mnaharibu kiswahili....lazma uongeze riali...riali sio swahili ila thamanani y fedha za Saudi na Qatar...ingesema shilingi themanini kungepunguka nn wakati asili mia tisini na tisa ni lugha y swahili unatumia...basi hadhia kiarabu.
@Asili
@Asili 7 жыл бұрын
Inawezekana hukuwahi kuhadithiwa hadithi za kale kama hizi ndo maana unataka tuhadithi Bongo Movie hapa.
@suleimanamour9158
@suleimanamour9158 6 жыл бұрын
sumimasen mochiron nani kakwambia sitini na Tisa ni kiswahili yote hayo ni kiarabu
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 6 жыл бұрын
@@suleimanamour9158 sawa sawa
@aliabda6693
@aliabda6693 7 жыл бұрын
Sombay
@khalfankhamis9083
@khalfankhamis9083 5 жыл бұрын
Abdallah Shaib na Rii hawa wahadisiwa hahaha
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 7 жыл бұрын
asante babuu wazanzibar tulikuwa na hulka hii ya kuhadisiwa hadisi na wazee wetu. ila sasa kwamaisha yalivyo wabana kila m2 anaenda mbio kutafuta pesa
@Asili
@Asili 7 жыл бұрын
+man mango hahaha ni kweli
#7-MGENI WENU- MAU MPEMBA- FUMBUA MACHO
14:20
Mau Mpemba
Рет қаралды 44 М.
Mau mpemba, Makame nuhusi na Mwinyi mpeku ona vituko vyao.
26:37
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
MFAHAMU MSANII WA PEMBA MWINYI MPEKU NA SAFARI YAKE YA CHINA
44:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 19 М.
Shairi; Kuchuma najitahidi,sina bahati mwenzenu...
3:17
Webster Sinje
Рет қаралды 3,2 М.
RAMADHANI HII ITABAKI HISTORIA KATIKA MAISHA YETU
6:33
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 31 М.
#-48 - ZAWADI - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:06
Mau Mpemba
Рет қаралды 22 М.
Sheha~ Kachara&Mwinyi Mpeku&Dongo&Mpemba
7:52
Kachara Media
Рет қаралды 58 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН